Author Archives: Mwandishi Wetu

Ratiba mitihani kidato cha sita, Ualimu hizi hapa

BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) nchini Tanzania, limetoa ratiba ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ratiba hiyo ...

Read More »

Mitihani kidato cha sita Juni 29, Prof. Ndalichako atoa maagizo

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amesema, mitihani ya kidato cha sita mwaka 2020 itaanza Juni 29 hadi Julai 16, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

WHO yataharuki, maambukizo yafika 105,000 kwa siku

WAKATI Serikali ya Tanzania ikinadi kupungua kwa maambukizo mapya ya virusi vya corona, Shirika la Afya Duniani (WHO), limeeleza dunia kufikia rekodi ya maambukizi ya kiwango cha juu kwa siku. Inaripoti ...

Read More »

Taasisi ya Mo Dewji, Timu ya Simba watoa msaada Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja na vitakasa mikono katika maeneo mbalimbali ya ...

Read More »

Wagonjwa wa corona dunia wafikia mil 5.1, vifo laki 3 

MAAMBUKIZO ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) yamefikia milioni 5.1 duniani huku vifo vikiwa 330,004. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu ya mtandao wa Worldometer, hadi leo ...

Read More »

Tanzania kupokea mabilioni ya wafadhili

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea fedha za msaada, kwa ajili ya kukabiliana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19), Dola ...

Read More »

Rais Magufuli aonya pokeapokea vifaa ya corona, watakaobainika

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaonya watu watakaopokea misaada ya vifaa vya kupambana na janga la virusi vya Corona (Covid-19), vyenye dosari. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Vyuo vikuu, michezo, ‘Form six’ kufunguliwa Juni 1

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Rais Magufuli: Kuna wakati Waziri Ummy alitengwa

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amewashangaa wale wote waliokuwa wakihoji alipo Rais wa Tanzania, John Magufuli katika mapambano ya ugonjwa unaosababishwa na virusi ...

Read More »

Rais Magufuli awaapisha viongozi sita Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo Alhamisi tarehe 21 Mei 2020 amewaapisha viongozi sita aliowateua hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hafla ya ...

Read More »

Chadema wamtunishia misuli Jaji Mutungi

SAKATA la wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuvuliwa uanachama wa chama hicho, sasa limechukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hatua ya ...

Read More »

Mitandao ya Twitter, WhatsApp, Facebook yazimwa Burundi

MITANDAO ya kijamii ya Facebook, twitter na WhatsAapp imezimwa nchini Burundi leo tarehe 20 Mei 2020, wakati wananchi wakiendelea kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa ...

Read More »

Askofu Bagonza: Ibada zitarejea Mei 31, kila muumini kuvaa barakoa

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: Vyombo vya habari Tanzania vyapewa somo

VYOMBO vya habari nchini Tanzania, vimetakiwa kutoa uwiano sawa kwa wanawake na wanaume wakati wa kuhabarisha umma hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Gambo: Kenya inataka kuua utalii wa Tanzania

MKUU wa Mkoa wa Arusha (RC), Mrisho Gambo amesema, Serikali ya Kenya inakata kutumia ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kuua utalii wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla. ...

Read More »

Mil. 780 zawaponza watatu Temesa, Majaliwa atoa maagizo mazito

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa Sh. 780 milioni zinazotokana na zabuni. ...

Read More »

Mbunge CCM ataka polisi waongezewe posho, Waziri amjibu

ANGELINA Malembeka, Mbunge Viti Maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ameishauri Serikali iwaongezee posho askari polisi, ili wajiepushe na tamaa wanaposimamia zoezi la uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Mtindo mpya wa maisha New York

TISHO la virusi vya corona limebadili utaratibu wa maisha duniani. Mfano ulio wazi ni Jiji la New York, Marekani wikiendi iliyopita. Inaripoti mitandao ya kinataifa … (endelea). Eneo ambalo watu walikuwa ...

Read More »

Chadema ilivyopoteza wabunge 17

MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35),  amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuondoka bungeni, kujiengua ama ...

Read More »

Mazingira ‘tata’ yagubika uchaguzi Burundi

TAIFA la Burundi kesho Jumatano tarehe 20 Mei, 2020, linaingia kwenye uchaguzi ‘peke yake.’ Hakuna waangalizi wa kimataifa wala Umoja wa Afrika. Utawala wa nchi hiyo umegomea mwangalizi yoyote, umepanga ...

Read More »

Mikoa sita yenye udumavu Tanzania yatajwa

SERIKALI ya Tanzania imetaja mikoa sita inayoongoza kwa tatizo la udumavu, kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mikoa hiyo inaongozwa ...

Read More »

Lijualikali aondoka Chadema, amwaga chozi kwa kunyanyaswa

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, amejiondoa katika chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni Mjini Dodoma jioni ya leo, Lijualikali amesema, ameamua kuondoka Chadema kwa kuwa ...

Read More »

Spika Ndugai: Mbowe usijipime ubavu na rais

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameonesha kukerwa na kitendo cha Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Deemokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, kuzungumza na wanachi baada ya Rais John Magufuli kufanya ...

Read More »

Profesa Ndalichako aitaka HESLB kujiandaa kutoa mikopo 

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kujiandaa kuwalipa wanafunzi mikopo wakati wowote vyuo vitakapofunguliwa. ...

Read More »

Spika Ndugai: Bunge Tanzania kuvunjwa Juni 19

SHUGHULI za Bunge la 11 nchini Tanzania, zinatarajiwa kuhitimishwa rasmi tarehe 19 Juni 2020 kwa Rais John Magufuli kulihutubia. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatatu tarehe 18 Mei, ...

Read More »

Siku 25 zilivyopukutisha Vigogo wa Wizara ya Afya

DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Amuua mama yake, anywa damu yake

DANIEL Emanuel (32), mkazi wa Arusha, Sakila katika Wilaya ya Arumeru, amekuta akinywa damu ya mama yake Eliyamulika Emmanuel Sarakikya (79) baada ya kumuua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Taarifa zinaeleza, ...

Read More »

Kipimajoto cha corona, chawapagawisha wananchi

Kipima joto kilichotolewa na Kampuni ya Qwihaya General Enterprises Co Ltd kimesababisha wananchi wanaofanya kazi stendi ya Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kusimamisha shughuli zao kwa muda ili wapime joto ...

Read More »

Dk. Ndugulile azungumzia kutumbuliwa kwake

DK. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais wa Tanzania, John Pombe Mangufuli kumteua kufanya kazi kama naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Mtuhumiwa mkuu mauaji ya kimbari Rwanda akamatwa

WIZARA ya sheria nchini Ufaransa, imetangaza kumkatama Félicien Kabuga, mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994. Inaripoti mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu wa ...

Read More »

Chadema wamsubiri Jaji Mutungi 

MKURUGENZI wa Mambo ya Nje, Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, amedai kuwa wabunge wake waliofukuzwa wana haki ya kukata rufaa. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Rais Uhuru afunga mpaka Tanzania, Somalia

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema, kuanzia leo Jumamosi tarehe 16 Mei, 2020 saa 6 usiku, mpaka wa Kenya na Tanzania (Namanga) na wa Kenya na Somalia itafungwa kwa siku ...

Read More »

Vifo vya corona vyafikia 88,507 Marekani

MAREKANI imeendelea kuwa taifa linaloongoza kwa vifo vinavyotokana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa Worldmeter unaonyesha, hadi leo Jumamosi ...

Read More »

‘Kaka tuchati’ video kali, gharama haizidi elfu 60

KAKA tuchati. Linaweza lisiwe neno geni masikioni mwako hasa katika kipindi hiki kifupi ambapo wasanii wa muziki nchini Tanzania, Roma na Stamina wameachia ngoma yao waliyoipa jina hilo. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Mashine ya kupima corona yatua Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepokea mashine moja kati ya tatu ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Waziri Mpango ataja mambo matano yanayoikabili wizara yake

WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango amebainisha changamoto tano ambazo zinaikabili wizara hiyo ikiwamo mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya ...

Read More »

Slovenia nchi ya kwanzaUlaya kumaliza corona

NCHI ya Slovenia, iliyo na watu 2,078,901, wiki hii limekuwa taifa la kwanza barani Ulaya kutangaza hitimisho la maambukizi mapya ya virusi vinavyosababisha homa ya mapafu (COVID-19). Unaripoti mtandao wa habari wa ...

Read More »

Sh.6 trilioni zalipa deni la Serikali, wastaafu 57,605 kicheko

SERIKALI ya Tanzania imesema, kati ya Julai 2019 na Machi, 2020 imelipa mafao na pensheni kwa wastaafu wa Serikali 57,605, mirathi kwa warithi 1,006 na malipo ya kiinua mgongo kwa watumishi ...

Read More »

Mbunge CCM ahoji mbwa kukagua watoto, vyakula bandarini

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (CCM), Jaku Hashim Ayoub amehoji sababu za mbwa kutumika kwa ukaguzi wa vyakula na watoto wadogo katika bandari ya Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Anaripoti ...

Read More »

Majaliwa amtaka bosi Tanesco kusimamia ipasavyo JNHPP 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Tito Mwinuka kusimamia mradi ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa akagua SGR, yazalisha ajira 18,700

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi 18,700. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). ...

Read More »

Viongozi 140 waiandikia barua WHO kutaka dawa ya corona iwe bure 

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa na Imran Khan, Waziri Mkuu ni miongoni mwa viongozi 140 waliosaini barua kwenda Shirika la Afya Duniani (WHO), wakishauri dawa ya corona itakapopatikana, igawiwe ...

Read More »

Hekaheka yaibuka ndani ya ndege Marekani

HEKAHEKA imeibuka ndani ya ndege ya Jet Blue, ambapo abiriwa waliokuwa wakitoka katika uwanja wa Ndege wa San Juan (Carolina) kwenda Miami, waligoma kusafiri. Unaripoti mtandao wa habari wa CBS … (endelea).   ...

Read More »

Qwihaya waipiga ‘tafu’ Polisi vita ya corona

KAMPUNI inayozalisha nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprise Co Ltd imelikumbuka jeshi la Polisi mjini Mafinga, wilayani Mfindi Mkoa wa Iringa kwa kutoka vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ...

Read More »

Wabunge Chadema wasalitiana

SIRI imefichuka. Baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walikaidi chini kwa chini, maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »

Madereva 23 wa Tanzania wakutwa na corona, wazuiwa kuingia Kenya

SERIKALI ya Kenya imewazuia madareva 25 wakiwamo 23 wa Tanzania kuingia nchini humo baada ya kuwapima na kuwakuta na maambukizo ya virufi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Madereva wengine ...

Read More »

Majaliwa ataka Suma JKT kuongeza kasi ujenzi ofisi za NEC

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Suma ...

Read More »

Prof. Kabudi: Tunatuhumiwa ukiukwaji haki za binadamu

TANZANIA inatuhumiwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo kujieleza, kutoa maoni, kujumuika na kukusanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizaya ya Mambo ...

Read More »

‘Lockdown’ siku ya Eid

SIKU ya Sikukuu ya Eid el Fitr na siku nne mbele, wananchi wa Saudi Arabia wametangaziwa kutotoka nje. Utekelezaji wa tangazo hilo utaanzia tarehe 23 mpaka 27 Mei 2020. Inaripoti mitandao ...

Read More »

Corona yaanza kulipuka upya Hong Kong

MJI wa Hong Kong nchini China, leo Jumatano tarehe 13 Mei 2020, umeripoti wagonjwa wawili wapya wenye maambukizo wa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Aljazeera…(endelea). Mamlaka za jiji hilo zimeeleza, maambukizi ...

Read More »
error: Content is protected !!