Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8561 Articles1222 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Makonda: Chama kitafuata mkondo wake kuhusu Gekul

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema taratibu zitafuata mkondo wake kupitia mamlaka za nidhamu kuhusu tuhuma za udhalilishaji zinazomkabili Mbunge wa Babati mjini, Pauline...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza wananchi washirikishwe uandaaji Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wananchi...

Biashara

Fanya haya kabla hujacheza kasino

  UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida, Meridianbet kasino mtandaoni ni jibu tosha, cheza michezo mingi ya Sloti na kasino...

Biashara

NMB, Oryx Tanzania wazindua mpango wa kukopesha gesi ya kupikia

BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa jina la ‘Moto...

Afya

‘Ambulance’ yawarejeshea tabasamu wananchi Mkuyuni

Wananachi wa  Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Morogoro mkoani Morogoro, wameepukana na adha ya kukodi magari ya kubebea wagonjwa kwa gharama kubwa kutoka...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Tanesco kateni umeme kwa yeyote mnayemdai

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amtumbua Naibu Waziri – Pauline Gekul

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul. Anaripoti Mwandishi Wetu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB mlipa kodi mkubwa na bora zaidi Tanzania 2023

Benki ya NMB imeibuka mshindi wa jumla kitaifa katila kundi la mlipa kodi mkubwazZaidi Tanzania lakini pia katika kundi la mlipa kodi bora...

Habari za Siasa

Majaliwa: Majina wezi wa mapato Mbozi ninayo…

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema fedha nyingi za mapato yanayokusanywa katika halmashauri kongwe ya wilaya ya Mbozi  mkoani Songwe zinaishia katika mifuko ya...

Michezo

Yanga wasijiamini kupitiliza, watafanya vizuri

  NILICHOKIONA kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga hatua ya makundi, ni kwamba Yanga imekaribishwa rasmi kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kupita...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aitaka TRA kukusanya kodi bila kuwapa misukosuko wafanyabiashara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wafanyakazi wa wizara ya fedha na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha...

Habari Mchanganyiko

Makatibu wakuu wakagua ujenzi wa miundombinu Msomera

Makatibu wakuu wa wizara za kisekta leo ijumaa wametembelea kijiji cha Msomera  wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hatua mbalimbali za ujenzi wa miundombinu...

Habari Mchanganyiko

GST yatafiti miamba, udongo kwa kurusha ndege nyuki Shinyanga, Geita

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kufanya majaribio ya utafiti wa jiosayansi kwa kutumia njia ya High Resolution Airborne...

Habari za Siasa

Rais Museveni aitaka Afrika iache kutegemea misaada ya wazungu

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema ili nchi za Afrika zipate mafanikio zinatakiwa kuungana badala ya kuendelea kutegemea misaada kutoka katika mashirika na...

Habari za SiasaTangulizi

Begi la mirungi lakutwa kwa mwenyekiti wa CCM, Polisi wamhoji

BEGI lenye dawa za kulevya aina ya mirungi, linadaiwa kukutwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Amani, Kerege, Bagamoyo mkoani Pwani, Othman Ally,...

BiasharaHabari za Siasa

Dk. Biteko aipongeza NMB kwa ubunifu, uwekezaji katika teknolojia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza benki ya NMB kwa kuwa wabunifu kwenye utoaji huduma pamoja na kuwekeza...

Habari za Siasa

Majaliwa: Wanaotorosha mbolea ya ruzuku Malawi ni wauaji…

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo mawakala feki wa mbole ‘vishoka’ wanaotorosha mbolea ya ruzuku kwenda...

Biashara

Wateja 100 wajizolea Sh10 milioni droo ya 3 ‘NMB MastaBata Halipoi’

DROO ya tatu ya Msimu wa Tano wa Promosheni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu inayoendeshwa na Benki ya NMB, ijulikanayo kama ‘NMB...

Michezo

Hizi hapa mechi za maokoto leo Odds za uhakika Meridianbet

  LIGI ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari, Yanga waliopo...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko akaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian ambapo...

Habari za Siasa

Samia ashiriki mkutano wakuu wa nchi EAC

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ameungana na viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, kufanya mkutano wao wa kawaida nchini...

Elimu

Shule za St Mary’s zang’ara matokeo darasa la saba

SHULE za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa alama A kwenye...

Afya

573 wafariki kwa kipindupindu

Takriban watu 573 kati ya 11,640 walioambukizwa kipindupindu nchini Nigeria wamepoteza maisha tangu mlipuko wa ugonjwa huo uanze Desemba 2022. Inaripoti Mitandao ya...

Kimataifa

Mateka wa Israel, Gaza kuanza kuachiwa leo

Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na vikosi vya Hamas yameanza leo Ijumaa saa moja asubuhi ikiwa ni mpango wa kusitisha mapigano...

Biashara

NMB, CTM TZ wazindua mikopo ya kumalizia ujenzi

BENKI ya NMB wamesaini makubaliano na Kampuni ya CTM Tanzania yaliyopewa jina la ‘Lipa Baadaye,’ yatakayowawezesha wateja wa benki hiyo kupata mikopo ya...

Afya

Majaliwa aagiza Songwe kuitumia hospitali ya rufaa kuchochea utalii

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kutoa fedha ili kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Songwe ili kuimarisha huduma...

ElimuHabari za Siasa

‘Mafataki’ wamchefua Majaliwa, 2 kati ya 59 wamefikishwa mahakamani

WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kushangazwa na idadi ya kesi mbili pekee kufikishwa mahakamani kati ya kesi 59 zinazohusu wanafunzi waliofanyiwa ukatili na...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa waliojifanya maofisa wa TRA wadakwa na Polisi

  JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Butiku: Kuna shida ya haki katika mfumo wa uchaguzi TZ

MWANASIASA mkongwe Tanzania, Mzee Joseph Butiku, amesema rushwa ndiyo chanzo cha changamoto ya watu kuchagua au kuchaguliwa, katika chaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Michezo

Messi kuvuta Bil 24 baada ya kuuza jezi sita, cheza kasino ushinde kirahisi

  NYOTA wa Soka Lionel Messi huenda akaongeza rekodi nyingine kwenye maisha yake baada ya kutanganzwa kwa mnada wa seti ya jezi sita...

ElimuTangulizi

Twibhoki, Graiyaki zafungiwa, Mother of Mercy, St. Marys’ Mbezi Beach zapewa onyo

BARAZA la Mitihani la Tanzania limefungia vituo vya mtihani viwili ambavyo ni Twibhoki (PS0904095) na Graiyaki (PS0904122) vyote vya Halmashauri ya Serengeti mkoa...

ElimuTangulizi

Wasichana, wavulana wakabana koo ufaulu darasa la 7

TOFAUTI na miaka iliyopita, katika matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani...

Biashara

Majaliwa aipongeza Exim kusogeza huduma kwa wananchi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema jitihada zinazofanywa na Benki ya Exim Tanzania katika kusogeza huduma zake karibu na wananchi katika maeneo mbalimbali hapa...

Biashara

NMB yazindua rasmi tawi Dumila- Morogoro

WANANCHI wa Mji wa Dumila wilaya ya Kilosa wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kati ya kilometa 35 hadi 70 kufuata huduma...

Habari Mchanganyiko

GGML, CCBRT wakabidhi vitimwendo 55 kwa wenye ulemavu Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na shirika la CCBRT imetoa msaada wa viti mwendo na vifaa saidizi 55 kwa...

Michezo

Matumaini ya Taifa Stars kufuzu Kombe la Dunia bado yapo, kasino ya Meridianbet habari ya mjini

  MOROCCO moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania kidunia inashika...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko: Viongozi wa dini msichoke kuwaunganisha watu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Dk. Doto Biteko amewataka viongozi wa dini kutochoka kuunganisha watu ili kujenga Taifa lenye umoja, amani...

Habari za Siasa

Bashungwa awashukia wakandarasi Tanga

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS),  Eng. Mohammed Besta  kukamilisha usanifu wa kina wa Barabara...

Habari za SiasaTangulizi

Ufisadi fedha za bajeti wamuibua Rais Kikwete

RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, ameshauri fedha zinazotengwa katika bajeti za serikali, zitumike vizuri ili zilete tija. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Dk. Kikwete...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yagawa mizinga 500 ya nyuki kwa wafugaji 300

Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500 kwa vikundi 17 vyenye wafugaji zaidi ya 300, katika mikoa ya...

Kimataifa

Israel, Hamas kusitisha mapigano kwa muda

NCHI ya Israel, pamoja na kikundi cha wanamgambo wa kiislamu, Hamas, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, ili kuruhusu zoezi la kuacha...

Kimataifa

Ugonjwa usiojulikana wauwa 10 Uganda

WATU zaidi ya 10 katika Wilaya ya Kyotera, nchini Uganda, wameripotiwa kupoteza maisha kwa mlipuko wa ugonjwa usiojulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa...

ElimuHabari Mchanganyiko

TADB yawashika mkono wahitimu waliofanya vizuri SUA

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) cha Morogoro kwa kuwapatia zawadi...

Biashara

NBC yashirikiana na taasisi 6 kuongeza ukusanyaji wa mapato Zanzibar

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ) yanayotoa fursa kwa...

Michezo

Ni Achraf Hakimi na watanzania, furahia ushindi rahisi unapocheza kasino

  UNAIKUMBUKA kisa cha mchezaji wa timu ya taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi na mkewe Hiba Abouk kudai nusu ya mali...

Biashara

Mtambo wa umeme Ubungo kupelekwa Mtwara

Imeelezwa kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litapeleka mtambo wa umeme wa MW 20 mkoani Mtwara kutoka kituo cha umeme Ubungo  III ili...

BiasharaHabari za Siasa

Dk. Biteko aiagiza TPDC kuandaa mpango wa muda mrefu wa upatikanaji gesi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja...

Elimu

Mwanafunzi aliyeacha shule kwa kukosa fedha za chakula arejeshwa

MKUU wa Wilaya ya lleje, Farida Mgomi kwa kushirikiana na wazazi wamefanikiwa kumrejesha shuleni, Irene Mwazembe (15), mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika...

Habari za Siasa

Kisa Mpoki kusimamishwa uwakili: TLS yajitoa kamati ya maadili

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimetangaza kuondoa uwakilishi wake kwa muda katika Kamati ya Maadili ya Mawakili, hadi pale hatma ya Mpale...

Habari za Siasa

THRDC, LHRC zapinga Mpoki kusimamishwa uwakili

MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’S), yanayotetea haki za binadamu, yamelaani uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili, kumsimamisha uwakili, Mpale Mpoke, kwa muda...

error: Content is protected !!