Author Archives: Mwandishi Wetu

Wafungwa wateka gereza, watoa masharti mazito

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wafungwa wanaoshikiliwa kwenye gereza la Juba nchini Sudan Kusini wanadaiwa kuliteka gereza hilo huku wakiwa na silaha ikiwemo bunduki na visu, wakishinikiza kuachiliwa huru kwa ...

Read More »

Mbunge mwingine Chadema aachia ngazi

ALIYEKUWA mbunge wa Simanjiro (CHADEMA), James Millya, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika barua yake kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, Millya anasema, ameamua kuchukua uamuzi ...

Read More »

Marekani, Saudi Arabia watibuana

MARAFIKI wawili, Taifa la Saudi Arabia na Marekani yameingia kwenye mgogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa taarifa, Prince Salman ameishambulia Marekani kwa kusema kuwa, taifa la Saudi ...

Read More »

Prof. Ndalichako amuitia Takukuru mkuu wa chuo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amemtaka Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Diwani Athuman kutuma wataalamu kuchunguza ujenzi wa baadhi ya majengo ya ...

Read More »

Mtoto wa miaka mitano afariki kwa moto

MTOTO wa miaka mitano, Solile Emannuel amefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea tarehe 3 Oktoba 2018 nyumbani kwao maeneo ya Nh’obola wilayani Nayamaga mkoa wa Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

CUF Z’bar washtukia faulo uchaguzi 2020

MBUNGE wa Malindi Visiwani Zanzibar, Ali Salehe (CUF) amedai kuwa, kuna mkakati wa kuzuia baadhi ya wananchi katika kujiandikisha kwenye usajili wa vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Serikali yatoa leseni mpya za madini

LESENI mpya za madini takribani 7,879 zimetolewa na Tume ya Madini kuanzia mwezi Mei hadi Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika leo ...

Read More »

Rais Magufuli apokea hati ya mabalozi

RAIS John Magufuli leo tarehe 4 Oktoba 2018 amepokea hati za utambulisho wa mabalozi watano watakaowakilisha nchi zao hapa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa mchana ...

Read More »

Walimu Pemba wapigwa marufuku kwenda harusini

WALIMU wa Shule za msingi na sekondari katika mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar wamepigwa marufuku kwenda katika sherehe hasa harusi wakati wa kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Agizo ...

Read More »

Ushirikiano ndiyo silaha pekee itakayowalinda waandishi-MCT

KAJUBI Mukajanga, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), amesema silaha pekee itakayowakwamua waandishi wa habari nchini katika mazingira ya magumu wanayopitia ni kuongeza ushirikiano katika utendaji wa kazi ...

Read More »

Jengo la Benjamin Mkapa lawaka moto

MOTO umezuka katika jengo la Benjamin Mkapa Tower lililopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam katika ghorofa ya nne hali iliyosababisha kuzua taharuki kwa watu waliokuwa katika jengo hilo. ...

Read More »

Serikali yanunua mashine 10 za X-ray

MASHINE kumi za mionzi (digital X-ray) zenye thamani ya Sh. 1.74 bilioni zimenunuliwa na serikali kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mashine hizo ...

Read More »

Benki ya Dunia kuondoa kwa serikali 112 bilioni  

SERIKALI ya Tanzania, huenda ikakosa msaada wa dola za Kimarekani 50 milioni (zaidi ya Sh.112 bilioni), kufuatia hatua yake ya kupitisha sheria  ya Takwimu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa kutoka jijini Dar ...

Read More »

Job Ndugai ailima barua NEC

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage ya kumfahamisha kuwa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara kwa sasa liko wazi. ...

Read More »

Waliotoroka Mgambo wapewa siku mbili kurudi kambini

VIJANA takribani 200 waliotoroka katika mafunzo ya mgambo wapewa saa 48 ambayo ni sawa na siku mbili kurudi kambini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Agizo hilo limetolewa mapema leo tarehe ...

Read More »

Tanzania yashinda tuzo ya kimataifa

TANZANIA imetunukiwa tuzo ya Kimataifa ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambikiza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tuzo hiyo alikabidhiwa jana tarehe 27 Septemba 2018 Waziri wa Afya, Maendeleo ya ...

Read More »

Soko la Mitumba lateketea kwa moto

MABANDA takribani 1,000 ya wafanyabiashara katika Soko la Mlango Mmoja lililoko jijini Mwanza yameteketea kwa moto alfajiri ya leo tarehe 28 Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa ya ...

Read More »

Viongozi wa vijiji wasakwa na Jeshi la Polisi, kisa bangi

JESHI la Polisi mkoani Arusha linawasaka viongozi wa kijiji cha Kisimiri Juu kilichopo wilayani Arumeru kwa tuhuma za kukiuka agizo la serikali pamoja na kukwamisha msako wa bhangi kijijini hapo. ...

Read More »

Mbunge aliyetishia kuhamia CCM, ahamia kweli

MBUNGE wa Serengeti (Chadema), Marwa Chacha amejiuzulu uanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza leo Septemba 27, 2018 Chacha amesema amechukua uamuzi huo ...

Read More »

MV Nyerere sasa yaelea Ziwa Victoria

JUHUDI za unyanyuaji meli ya MV Nyerere zimefikia hatua nzuri baada ya kuinuliwa na kuanza kuonesha taswira yake ya siku zote. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hatua hiyo ni mafanikio ...

Read More »

Magazeti ya Leo Septemba 27, 2018

Read More »

Walimu Hazina kizimbani kwa kuiba mitihani

PATRICK Cheche, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Kimataifa Hazina pamoja na walimu wanne wa shule hiyo, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za kuvujisha ...

Read More »

Kangi Lugola atengua uamuzi wake mwenyewe

SERIKALI imefuta utaratibu wa utoaji vibali kwa wananchi wanaolima jirani na kambi za wakimbizi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katazo hilo limetolewa jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya ...

Read More »

Magazeti ya Leo Septemba 26, 2018

p

Read More »

Saa 24 za kilichojiri Ukara  

WAKATI harakati mbalimbali zikiendelea kufanywa na serikali kuhakikisha shughuli za wakazi wa Kisiwa cha Ukara zinaendelea, hatua mbalimbali zimeendelea kuchukuliwa. Anaripoti Mwandishi wetu…(endelea). MV TEMESA yape jukumu Meli ya Mv ...

Read More »

Leo kila mwathirika MV Nyerere kulamba Mil 1

RAIS John Magufuli anatarajiwa kutoa kiasi cha Shiling milioni moja kwa kila mwathirika wa ajali ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa hiyo ...

Read More »

Jenerali Waitara kuongoza uchunguzi ajali MV Nyerere

JENERALI Mstaafu, George Waitara kuongoza jopo la wajumbe saba wa Tume ya kuchunguza ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Mwanafunzi kidato cha nne mbaroni kwa kutupa kichanga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo, Ines Mtundu (19) kwa kosa la kumtupa chooni mtoto mchanga. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Nape Nnauye apata ajali leo asubuhi Liwale

NAPE Nnauye, Mbunge wa jimbo la Mtama,  amepata ajali asubuhi ya  leo tarehe 24 Septemba 2018  akiwa safarini kuelekea wilaya ya Liwale mkoani Lindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Museveni kung’oka madarakani?

RAIS wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, aweza kung’oka madarakani ndani ya kipindi cha miaka miwili kutoka sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).  Taarifa kutoka nchini Uganda zinasema, shinikizo ...

Read More »

Zitto awataka mawaziri wa JPM wajiuzulu, kisa MV Nyerere

Anaandika Zitto Kabwe Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri? Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40….. ...

Read More »

Rais Magufuli avunja Bodi ya Ushauri TEMESA

RAIS John Pombe Magufuli ameivunja bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ...

Read More »

Mil 180 zachangwa leo kusaidia waathirika ajali MV Nyerere

MPAKA kufikia saa 12:00 jioni ya leo tarehe 23 Septemba 2018, jumla ya Sh. Mil 180 zimechangwa kwa ajili ya kusaidia walioathirika kwenye ajali ya MV. Nyerere. Anaandika Mwandishi Wetu ...

Read More »

Kuzama MV. Nyerere: Nimeachiwa mtoto anayenyonya

SIMULIZI za Merry Mgowe, mkazi wa Kisiwa cha Ukara zinaumiza ngoma za masikio hasa baada ya kubaini kuwa, sasa yeye ndiyo mlezi kamili wa wajukuu zake watatu mmoja kati yao ...

Read More »

Oil yaokoa maisha ya Mhandisi kivuko cha MV Nyerere

OIL imetajwa kuwa miongoni mwa sababu zilizookoa maisha ya Mhandisi wa Kivuko cha MV Nyerere, Alphonce Charahani, aliyeokolewa akiwa hai baada ya kupita saa 48 tangu kivuko hicho kizame katika ...

Read More »

Falsafa ya Askofu Bagonza kuzama kwa MV Nyerere

ANAANDIKA Baba Askofu Dk. Benson Bagonza (PHD), Daktari wa Falsafa na Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. MAPENZI YA MUNGU NA MAPENZI YETU Siyo kila kifo ni mapenzi ya Mungu, ...

Read More »

Dada wa Kabila akamatwa na begi la hela Dubai

DADA wa Rais wa Kongo (DRC), Joseph Kabila, anayefahamika kwa jina la Janeth Kabila, amekamatwa na mamilioni ya dola za Kimarekani nchini Imarati (UAE). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Janeth ...

Read More »

Waliofariki MV Nyerere wafikia 136, Sirro kufanya uchunguzi

IDADI ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere iliyotokea jana tarehe 20 Septemba 2018 imeongezeka kutoka watu 79 hadi 136. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Simu ya JPM yampeleka Lukuvi Bunda

SIKU 12 baada ya Rais John Magufuli kumwagiza William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutatua mgogoro wa kiwanja cha Nyasasi Masike, sasa ametua Bunda mkoani Manyara. Anaripoti ...

Read More »

Kalanga ashinda Monduli, aahidi makubwa

MBUNGE mteule katika jimbo la Monduli aliyeshinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana tarehe 16 Septemba 2018 kwa kura asilimia 95, Julius Kalanga ameahidi kushirikiana na serikali katika kutatua changamoto zilizomo ...

Read More »

Gari la mbunge Chadema lashambuliwa kwa risasi Monduli

ANNA Gidarya, Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Manyara ameeleza kuwa, gari lake limeshambuliwa kwa risasi leo tarehe 16 Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Anna amesema, risasi hizi zimepiga ...

Read More »

Polisi wawatahadharisha wakazi wa Monduli

IKIWA kesho tarehe 16 Septemba 2018 ni siku ya uchaguzi mdogo katika majimbo mawili na kata zaidi ya 20 za Tanzania Bara, Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewatahadharisha wananchi ...

Read More »

Mbowe, Lowassa wala kiapo Monduli

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) akimkabidhi kadi Waziri Mstaafu, Edward Lowassa alipotangaza kujiunga rasmi na chama hicho

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho wameapa hadharani kumkabili Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Monduli ...

Read More »

Bendera ya Chadema yawazuzua CCM Ukonga

NI kama maneno ya kumnadi Mwita Waitara yamewaishia makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kwanza kushambulia rangi za bendera ya Chadema. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Livingstone Lusinde, ...

Read More »

Lukuvi afanya yake Monduli

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kufukuzwa kazi afisa ardhi wa wilaya ya Monduli Kitundu Mkumbo. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Sababu ya agizo ni ...

Read More »

Kucha na kope bandia marufuku bungeni

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Job Ndugai, amepiga marufuku wabunge wanawake kuingia bungeni wakiwa wamebandika kucha na kope za bandia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Wapinzani DRC kumtikisa Kabila

HATUA ya Mahakama ya Juu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kutangaza kuwa, mgombea wa chama kikuu cha upinzani-MCL- Jean-Pierre Bemba hana sifa ya nafasi ya urais, inapeleka taifa ...

Read More »

Chadema Karatu mbioni kupasuka  

NGOME pekee ya Chama cha Demokrasia naMaendeleo (Chadema), iliyokuwa imesalia – halmashauri ya wilaya ya Karatu – iko hatarini kuvunjika muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Aidan Aziz … (endelea).  Taarifa ...

Read More »

China kutoa msaada wa Bil 60

RAIS wa China, Xi Jinping amesema serikali yake itatoa dola za kimarekani 60 bilioni katika mpango wake wa miaka mitatu wa ushirikiano na Afrika katika shughuli za maendeleo. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Mwalimu aliyemuua mwanafunzi afikishwa mahakamani

MWALIMU Respicius Patrick Mtazangira na Julieth Gerald wa Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba wanaotuhumiwa kumuua kwa viboko mwanafunzi wa darasa la tano, Sperius Eradius (13) wa shule ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram