Author Archives: Moses Mseti

Kinana azidi kuinanga CCM, adai wanatumia `mabavu`

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema kuwa ndani ya chama hicho, wamejaa watu wanaotumia vibaya madaraka yao na wanaofuja fedha za umma kwa masrahi yao binafsi. ...

Read More »

Lembeli, Nyerere, Wenje kubomoa ngome za CCM

KIKOSI kazi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiongozwa na James Lembeli anayegombea Jimbo la Kahama Mjini, Vicent Nyerere wa Jimbo la Musoma Mjini na Wenje wa Nyamagana wote ...

Read More »

Wenje, Nyerere waivuruga CCM Mwanza

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), amesema Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imechangia kuiuwa elimu na imeshindwa kutafuta mbinu na mikakati ya kuikomboa isiangamie. Anaandika Moses ...

Read More »

Chiragwile: Professa Muhongo ni mzigo usiobebeka

MGOMBEA ubunge Jimbo la Musoma Vijijini (Chadema), Mburaa Chiragwile amesema aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ni mzigo usiobebeka kutokana na kulisababishia Taifa hasara ya Sh. 320 ...

Read More »

Mgombea CCM akitabiria anguko chama chake

MGOMBEA ubunge Jimbo la Tarime Mjini, Michael Kembaki (CCM), amesema chama hicho kilikuwa hakina uwezo na nguvu ya ushindi katika jimbo hilo, kabla ya kumteua Dk. John Magufuli, kuwania nafasi ...

Read More »

Walimu wavamia ofisi ya Mkurugenzi, kudai fedha zao

SHUGHULI katika Ofisi za Jiji la Mwanza, jana zilisimama kwa muda wa saa 6, baada ya Walimu zaidi ya 300 kuandamana hadi katika ofisi hizo, wakidai kulipwa fedha zao. Anaandika ...

Read More »

Mgombea Chadema amchimba mkwara Chegeni

MGOMBEA ubunge jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk. David Nicas (Chadema), amewataka wagombea wenzake akiwemo Raphael Chegeni (CCM) kuacha kujipatia matumaini ya ushindi na badala yake wanapaswa kufungasha mizigo yao ...

Read More »

Mabalozi CCM mbaroni wakitekeleza ‘bao la mkono’

POLISI mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa makosa mawili tofauti ikiwamo ya kukutwa wakiandikisha namba za kadi za wapiga kura na kuchana mabango ya mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa. ...

Read More »

Msafara wa Mgombea wa Chadema wapigwa mabomu

MJI wa Musoma mkoani Mara, jana uligeuka uwanja wa kivita baada ya Askari Polisi waliokuwa na silaha za moto kuanza kupiga mabomu ya machozi hewani katika msafara wa mgombea ubunge ...

Read More »

Wenje: CCM ni wapinzani wanatapatapa

MGOMBEA Ubunge jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimebaki kinatapatapa kama mgonjwa anayetaka kukata roho, baada ya kukabiliwa na upinzani mkali kutoka Umoja wa Katiba ...

Read More »

Polisi wamvamia Bulaya hotelini

ASKARI Polisi zaidi ya 10 waliokuwa na silaha za moto na mabomu ya machozi, hivi karibuni walivamia hoteli aliyofikia mgombea ubunge wa jimbo la Bunda Mjini (Chadema) na kuanza kumpekua ...

Read More »

Walimu watangaza kuinyima kura CCM

CHAMA cha Walimu Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, kimesema kitendo cha serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwapiga `chenga` kila kukicha, watahakikisha wanawashinikiza walimu na wanafunzi wa sekondari, kuacha ...

Read More »

Mgombea: Msimchague Ngereja hajatekeleza ahadi

MGOMBEA Ubunge jimbo la Sengerema mjini, kupitia Chama cha United Demokratic Party (UDP), Franscico Shejamabu, amewaomba Wananchi wa jimbo hilo kuacha kukichagua Chama cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wake, William ...

Read More »

Mauaji ya vikongwe yaibuka Mwanza

WAKATI Taifa likitarajiwa kuingia katika uchaguzi mkuu wa udiwani, ubunge na urais, watu wasiyofahamika wanadaiwa kuuwa kikongwe mmoja, Leticia Mwenda kwa kumkata mapanga, kichwani na shingoni. Anaandika Moses Mseti, Mwanza ...

Read More »

Lusinde akumbana na nguvu ya UKAWA Mwanza

MBUNGE wa Jimbo la Mtela (CCM), Livingstone Lusinde amejikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi na wanaccm, kumtaka atelemke kutoka jukwaani kwa kile walichodai hazungumzi vitu vya msingi. Anaandika Moses ...

Read More »

Mchungaji wa kanisa atuhumiwa mauaji

MCHUNGAJI wa kanisa la Tanzania Adventist Conference (TACC) lililopo kata ya Kiseke, Ilemela mkoani Mwanza, Hanscolling Exaud (Munuo) anatuhumiwa ya Samwel Makoye. Anaadika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Tukio hilo ...

Read More »

Wapiga kura wamchimbia shimo Mkapa

MUUNGANO wa wapiga kura Tanzania (TANVU), umeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumchukulia hatua, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kwa kitendo alichokifanya kuvitukana vyama vya upinzani kwa kuwaita viongozi na ...

Read More »

Kikwete: Jumuiya ya Afrika Mashariki itenge bajeti mahakama

RAIS Jakaya Kikwete ameziagiza nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, kutenga bajeti katika mahakama zao ili ziweze kujiendesha na kumaliza kero za Wananchi. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Kauli ...

Read More »

Lowassa: Nitakuwa mfano kwa Kikwete

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesema, akiingia Ikulu atakuwa mfano kwa marais waliomtangulia. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Miongoni mwa marais watakaokuwa kwenye ...

Read More »

Wanachama CCM wamtwanga Katibu wao

HALI isiyokuwa ya kawaida wanachama na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bugogwa, Mwanza wamevamia na kumtembezea kichapo, Katibu wa chama hicho, wilaya ya Ilemela, Acheni Maulid, kwa ...

Read More »

CCM `yabomoka` Diwani, wanachama 100 wajiunga CUF

HALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza si shwali baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mkuyuni, Charles Lugo (Fashion), na wanachama zaidi ya 100 kujiunga na Chama ...

Read More »

Meya Mabula Mwanza apingwa

WAGOMBEA 10 kati ya 20 walioshindwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, wameandika waraka mzito wa kupinga matokeo, yaliyompa ushindi ...

Read More »

Umeme `wasitisha` safari za ndege Mwanza

ABIRIA wanaotumia usafiri wa anga mkoani Mwanza, wameilalamikia Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA) nchini , kushindwa kutafuta njia mbadara ya kutatua kero ya umeme inayoendelea hivi sasa. Anaandika ...

Read More »

Meya Mwanza matatani kwa rushwa

WAKATI Chama cha Mapinduzi (CCM), kesho kikitarajiwa kuingia kwenye mchakato wa kura za maoni, Meya anaemaliza muda wake, jijini Mwanza, Stanslaus Mabula, anatuhumiwa kuwahonga vijana fedha, kuwafanyia fujo na kuwatembezea ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu wawakutanisha majaji Arusha

MAJAJI kote nchini wamekutana Jijini Arusha kwa ajili ya kuwajengea uwezo namna watakavyozikabili pingamizi za uchaguzi hasa katika kipindi hiki ambacho Tanzania inaelekea katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Anaandika Ferdinand ...

Read More »

RC Mulongo awatisha wafanyabiashara Mwanza

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amewaonya Wafanyabiashara na watu wanaotumia uwezo wa mali kuwatishia maisha binadamu wenzao na wakati mwingine kukatisha uhai wao, kuacha mara moja. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Wenje: Miswada ya gesi inawanufaisha vigogo

MBUNGE wa Jimbo la Nyamagana,( Chadema), Ezekiel Wenje, amesema Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekuwa ikipitisha miswada ya madini na gesi kwa hati ya dhararu ambayo kwa kiasi kikubwa ...

Read More »

Meya cup Mwanza kutimua vumbi Julai 19

MICHUANO ya kuwania Kombe la Meya wa Jiji la Mwanza (Meya  Cup 2015), utepe wake utakatwa Julai 19 mwaka huu. Anaandika  Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Aidha, katika ufunguzi huo ...

Read More »

Maabara Ilemela yatafuna bilioni moja

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza imetumia zaidi ya Sh. bilioni moja katika ujenzi wa vyumba 24 vya maabara kwenye shule 18 za Sekondari wilayani humo. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

UVCCM Mwanza wamkana Mtemi

SIKU moja baada ya Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza, Mtemi Yaledi, kuwataka wananchi kupuuza agizo la Mkuu wa Mkoa ...

Read More »

BoT yakarabati Makumbusho ya Nyerere

BENKI Kuu wa Tanzania (BoT) imetoa Sh. 50 milioni kwa ajili ya kukarabati wa Nyumba ya Makumbusho ya Mwalimu, Julius Nyerere iliyopo kijijini kwake Mwitongo, Butiama mkoani Mara. Anaandika Moses ...

Read More »

Polisi, majambazi watunishiana misuli

HALI ya usalama leo  katika Kata mpya ya nyegezi Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, iligubikwa na hofu kubwa baada ya jeshi la Polisi na watu watatu wanaodaiwa majambazi kurushiana risasi ...

Read More »

Chai, viazi almanusura vivunje semina ya walimu

WALIMU wakuu wa Shule za  msingi na Waratibu kata mkoani Mwanza, `alimanusura` wavunje  semina ya mafunzo ya uongozi wa elimu baada ya kunywa  chai na kiazi kimoja. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Green guard wafunga ofisi UVCCM

HALI si shwari ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Magu, Mwanza (Green guard) baada ya umoja huo kufunga ofisi hizo kwa kufuli kuzuia katibu wake ...

Read More »

Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameanza vibaya ziara yake wilayani Sengrema, Mwanza baada ya wananchi kumzomea. Anaandika Moses Mseti … (endelea). Hata hivyo, ...

Read More »

RC Mulongo awekwa kiti moto

MADIWANI wa Manispaa ya Ilemela jijini hapa, wamemtaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kutoa majibu ya kina juu ya kushindwa kwenda safari ya kujifunza namna bora ya upangaji wa ...

Read More »

‘Wasaka urais CCM walaghai’

MBUNGE wa Jimbo la Nyamagana, Mkoa wa Mwanza (Chadema), Ezekiel Wenje amesema, wasaka Urais ndani ya CCM ni walaghai kwa kuwa, hawana sifa na vigezo vya kuwatumikia wananchi. Anaandika Moses ...

Read More »

‘Wenye umri 10-24 wana hatari zaidi VVU’

IMEELEZWA kuwa, vijana wenye umri kati ya miaka 10 hadi 24 wanakabiliwa na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), mimba za utotoni na vifo vinavyotokea wakati wa kujifungua jambo ambalo linadhoofisha ...

Read More »

JB Belmont Mwanza yafungwa

HOTELI ya JB Belmont ambayo viongozi wa kitaifa na kimataifa hufikia imefungwa kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya mkataba kati yake na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Anaandika Moses ...

Read More »

Nyalandu: Ni Watanzania kunufaika na rasilimali

KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Lazaro Nyalandu amesema, umefika wakati Watanzania wakaanza kunufaika na raslimali za taifa lao ikiwemo ardhi, gesi na madini. Anaripoti Moses Mseti … (endelea).  Nyalandu ambaye ...

Read More »

RC Mulongo atuhumiwa ufisadi

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo anatuhumiwa kukwapua Sh. Mil 10 za safari ya kikazi Dubai na kisha kutokomea. Anaandika Moses Mseti … (endelea). Safari hiyo ilihusu kwenda kujifunza ...

Read More »

Sumaye asisitiza kuhama CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, amekitahadhalisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kuacha kuteua mgombea Urais, ambae anatumia fedha kuwahonga wananchi ili wamchague katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Anaandika Moses Mseti, Mwanza ...

Read More »

Mulongo: Mauaji ya Albino iwe mwisho

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amewataka watu wanaowaua na kuwakata viungo wenye ulemavu wa ngozi (Albino) kuacha mara moja. Anaandiaka Moses Mseti …. (endelea). Mulongo alitoa kauli hiyo ...

Read More »

Chadema yataka NEC iongeze BVR

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salum Mwalim, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuongeza mashine za BVR ili kuongeza kasi ya uandikishaji katika ...

Read More »

CRDB yaahidi neema

BENKI ya CRDB, imetangaza kuanza kuwahudumia watumishi walio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa kuwalipa mishahara pindi serikali itakapochelewasha fedha zao kupitia ...

Read More »

Pinda atamani “akina Nyambui” wengine

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewahimiza wachezaji wanaoshiriki michezo ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari (Umisseta) na Msingi (Umitashumta) kufuata nyayo za wachezaji waliong’ara ndani na nje ya nchi ...

Read More »

Wassira: Msiweke nchi rehani

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, amewataka Watanzania kutoiweka nchi rehani, kwa kuwachagua baadhi ya watangaza nia ya kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wanatumia fedha ...

Read More »

Ngeleja atumia mafanikio ya wizara kuomba urais

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja akitangaza nia ya kuwania Urais kupitia CCM

MBIO za kuomba uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuwania urais Oktoba mwaka huu, zinazidi kupamba moto, ambapo Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William ...

Read More »

Kamani aja na usimamizi rasilimali, kukuza uwekezaji

DAKTA Titus Kamani-Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, ametangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili agombee urais Oktoba mwaka huu, huku ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram