Author Archives: Moses Mseti

Waziri Mbarawa atimua wanne Mwanza

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, amewasimamisha kazi watumishi wanne wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSC) mkoa wa Mwanza, kupisha uchunguzi kutokana na matumizi mabaya ya ...

Read More »

Waziri wa Afya aipa wakati mgumu MSD

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummi Mwalimu ameiagiza Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kujenga maduka ya dawa katika kila Hospitali ya mkoa hapa nchini ...

Read More »

Daktari feki anaswa hospitali ya Sekou Toure Mwanza

MTU mmoja aliyejulikana kwa jina la David Igwesa, anayedaiwa ni daktari feki amekatamatwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure huku akiwa  amemtapeli mgongwa Sh. 170,000 kwa ajili ya ...

Read More »

Mgodi wa Buzwagi wafungwa, Serikali yagoma

MGODI wa Dhahabu wa Buzwagi uliopo Wilaya ya Kahama, Shinyanga unatarajiwa kusitisha shughuli za uchimbaji (Mining) na kuendelea na uzalishaji wa maeneo ya akiba yaliyoachwa awali kutokana na mmiliki wake ...

Read More »

Waziri afunga kiwanda na faini Sh. 25 milioni

NAIBU Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina, amekifunga na kukipiga faini ya Sh. 25 milioni, kiwanda cha kusindika ngozi mjini Shinyanga cha Xing ...

Read More »

Afisa kazi, kampuni ya Kascco akalia kuti kavu

RAIS Dk. John Magufuli, ametakiwa kuwachukulia hatua za kisheria watumishi wa Idara ya kazi mkoa Mwanza, hususani Afisa Mkuu wa Idara ya Kazi, Khadija Hersia, kutokana na kushindwa kutatua migogoro ...

Read More »

Askofu atimuliwa kwa wizi wa mamilioni ya fedha

KANISA la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN) lililopo jijini Mwanza, limemtimua rasmi Askofu kanisa hilo, Boniface Kwangu, kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya Sh. 600 milioni. Anaandika Moses ...

Read More »

Bomoabomoa ‘yaanza’ Mwanza

WAKATI zoezi la bomoabomoa likiendelea Dar es Salaam, zoezi hilo linatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa jijini Mwanza baada ya watalaamu wa mipango miji kubaini maeneo yasiyoruhusiwa kwa ajili ya ...

Read More »

Abiria 269 wanusurika kufa ziwa Victoria

ABIRIA 269 waliokuwa wakisafiri kutoka Mwanza kuelekea wilayani Bukoba, wamenusurika kufa baada ya meli ya Mv Serengeti waliokuwa wakisafiria kupata hitilafu ya injini katika ziwa Victoria. Anaandika Moses Mseti, Mwanza ...

Read More »

Jafo asimamisha kazi Mkurugenzi Mwanza

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, Suleiman Jafo, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauli ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga kutokana matumizi mabaya ya madaraka. Anaandika ...

Read More »

Rais Magufuli atangaza vita na mafisadi, wauza dawa za kulevya 2016

RAIS Dk. John Magufuli, amesema Watanzania wote wanapaswa kuendelea kumuombea ili aendelee na kazi yake ya kupambana na mafisadi wahujumu uchumi na vigogo wauza dawa za kulevya nchini. Anaandika Moses ...

Read More »

Bil 500 zahitajika kusambaza dawa nchi nzima

BOHARI Kuu ya Dawa nchini (MSD) imedai kuwa licha ya Serikali kuilalamikia kwamba hushindwa kupeleka dawa za kutosha katika vituo vya afya na hospitali za wilaya na mikoa, imedai kikwazo ...

Read More »

Wakurugenzi Jiji la Mwanza kukiona cha moto

SERIKALI mkoani Mwanza imewapa wiki moja wakurugenzi wa halmashauli ya Jiji la Mwanza na manispaa ya Ilemela mkoani hapa kuhakikisha wanakarabati na kujenga barabara ambazo ni sugu na mbovu. Anaandika ...

Read More »

Siri ya Polisi waliouana yabainika

SIRI ya askari polisi wawili waliofariki jijini hapa imefahamika baada ya kudaiwa kuwa wawili hao walikuwa wanakopeshana fedha za mishahara na posho zao za kila miezi miwili. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Prof. Muhongo aibua madudu Tanesco

WAZIRI wa Nishati na Madini, Professa Sospeter Muhongo, ameibua madudu makubwa katika Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Mwanza baada ya kubaini kuwepo kwa mitambo mibovu mitatu yenye uwezo ...

Read More »

Rais Magufuli aanza `kuhonga` vyeo

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amedaiwa kuanza uongozi wa nchi kwa `kuhonga` wapambe na vigogo wa Serikali wanaotuhumiwa na kashfa mbalimbali za ubadhirifu wa mali za umma katika kila kona. Anaandika ...

Read More »

Wahindi wavuruga zoezi la usafi Mwanza

ZOEZI la usafi katika Jiji la Mwanza limeingia dosari baada ya Wananchi kutishia kugoma kufanya usafi, wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, kuwaamuru watanzania wenye asilia ya kiasia ...

Read More »

Ukawa wajazana kortini kanda ya ziwa

KESI za kupinga matokeo ya ubunge zimezidi kumiminika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, ikiwamo za kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya (Chadema). Anaandika ...

Read More »

Hospitali ya Sekou Toure yashtakiwa kwa Rais Magufuli

HOSPITALI ya mkoa wa Mwanza, Sekou Toure inakabiliwa na changamoto lukuki zikiwamo za ubovu wa mashine za Ultra Sound na ile ya kutambua magonjwa (CD4) kuharibika huku haifahamiki zitatengenezwa lini. ...

Read More »

Wananchi Nyamagana waibana Tanesco

WANANCHI wa Kata na Kijiji cha Kishiri Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza juzi waliwabana viongozi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kutokana na mradi wa Wakala wa Umeme Vijijini (Rea) ...

Read More »

RC Mulongo atoa siku 14 madai CWT

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amempa wiki mbili Mkurugenzi wa Halmashauli ya Wilaya ya Sengerema, Julias Chalya kuhakikisha anawalipa Walimu 778 madai yao. Anaandika Moses Mseti … (endelea). Pia ...

Read More »

Timuatimua ya Magufuli yakumba watatu Mwanza

WATUMISHI watatu wa Halmashauli ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamesimishwa kazi kutokana na uzembe na uongo ikiwa ni pamoja na kudaiwa kutaka kuidanganya serikali hivyo kuiingia hasara ya shilingi ...

Read More »

RC Mulongo: Miundombinu Mwanza ni tatizo

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amesema Jiji la Mwanza limekithiri kuwa na miundombinu mibovu kitendo kinachochangia ukusanyaji mdogo wa mapato na kufikika kwa huduma mbalimbali. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

JWTZ, Polisi wadaiwa sugu Tanesco

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoa wa Mwanza, limezilalamikia Taasisi za Serikali ikiwemo Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambazo zimekuwa sugu katika ulipaji wa ankara ya umeme kitendo kinachosababisha ukusanyaji ...

Read More »

TRA Mwanza washindwa kufikia lengo

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Mwanza imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato katika kipindi cha mwaka 2013 – 2014, bila kubainishwa sababu za msingi zinazochangia ukusanyaji mdogo ...

Read More »

Mkuu wa Mkoa Mwanza aigomea Mwauwasa

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amepinga hatua za Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Mwauwasa) kuongeza bei ya maji kwa madai ongezeko hilo litasababisha wananchi wengi ...

Read More »

Lowassa awapa masharti magumu polisi

ALIYEKUWA mgombea Urais wa Chadema, Edward lowassa, amelitaka jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua wale wote wanadaiwa kumuua, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na kwamba ...

Read More »

Maamuzi kesi ya Mawazo kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, jana ilishindwa kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita, Marehemu ...

Read More »

Familia ya Mawazo yatinga kortini, muafaka kesho

KESI ya kuagwa kwa heshima kwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita, Marehemu Alphonce Mawazo, imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mwanza. Anaandika Moses ...

Read More »

Chadema, Polisi wavutana msiba wa Mawazo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema pamoja na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kupiga marufuku uagaji wa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, mkoa wa Geita, Alphonce ...

Read More »

Mashine ya CT-Scan Bugando yaharibika

MASHINE ya CT-Scan katika hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) imeharibika na kusababisha wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kukosa huduma. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Hivi karibuni Rais John Magufuli, alifanya ...

Read More »

Trafiki 78 watimulia kwa utovu wa nidhamu

ASKARI 78 wa usalama barabarani Mkoa wa Mwanza, wameondolewa katika nafasi zao na kupangiwa kazi nyingine katika vitengo mbalimbali kutokana na utovu wa nidhamu. Anaandika Moses mseti, Mwanza … (endelea). ...

Read More »

Mbaroni kwa kughushi majina ya CCM, M4C

WATU watatu wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa kwa makosa manne ya kutumia vibaya mtandao ili kujipatia fedha isivyo halali huku wakitumia jina la Chama cha Mapinduzi (CCM) na Movement For Change. Anaandika ...

Read More »

Marehemu Mawazo apigwa mabomu Bugando

HALI isiyokuwa ya kawaida Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limekiuka sheria na kuanza kupiga mabomu ya macho katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), kuwatawanya wafuasi wa Chadema. Anaandika ...

Read More »

Gharama za maji zapanda Mwanza

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MWAUWASA) Mkoa wa Mwanza imeongeza bei ya maji kutokana na kupanda kwa gharama ya manunuzi ya mita za maji kuongezeka kufikia Sh. ...

Read More »

Rais Magufuli umesikia hospitali ya Mwanza

HOSPITALI ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure, inakabiliwa na changamoto ya vifaa pamoja na mtaalamu wa tiba ya mfupa kitendo kinachosababisha wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kukosa huduma. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Waandamana wakihofia kipindupindu

WANANCHI wa Mtaa wa Mkuyuni Sokoni, kata ya Mkuyuni Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza, wameandamana na kufunga mtaa huo, wakiishinikiza serikali kuondoa dampo la taka wakihofia ugongwa wa milipuko wa ...

Read More »

Polisi yazuia maandamano ya kumpinga Magufuli

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limepiga maarufuku maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi, Rais mteule wa awamu ya tano, John Magufuli. ...

Read More »

Kiwia kupinga matokeo mahakamani

ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Highnes Kiwia, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa ushindi, Angelina Mabula (CCM). Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Sumaye: Ukawa tutaleta katiba ya Wananchi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inatumia vibaya madaraka yake, kutokana na katiba iliyopo kuwa mbovu, hivyo Ukawa ikiingia madarakani itahakikisha inapatikana katiba ya ...

Read More »

Polisi waanza kuibeba CCM

JESHI la Polisi jijini hapa, limeanza kutumika kwa kukibeba Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya askari Polisi, kugeuka wanaccm kwa kuwasimamia wafuasi wa CCM kuchana bendera za Chadema. Anaandika Moses ...

Read More »

Kingunge kuibomoa CCM Mara

MWANASIASA mkongwe Kingunge Ngombare -Mwiru, anarajiwa kufunga kampeni za Mgombea ubunge Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere (Chadema), Oktoba 24 mwaka huu ikiwa ni siku moja kabla ya uchaguzi mkuu. ...

Read More »

Bawacha: Wanawake lindeni kura zenu

BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria. Anaandika ...

Read More »

Mkurugenzi ahamishwa kwa kukataa ‘bao la mkono’

MKURUGENZI wa Jiji la Mwanza, Hassan Hida, anadaiwa kuhamishwa katika jiji hilo kwa kile kinachodaiwa ni kukataa kucheza ‘bao la mkono’ katika Jimbo la Nyamagana. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … ...

Read More »

Polisi: Haitakibeba chama chochote cha siasa

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limesema halipo tayari kukipendelea chama chochote kile cha siasa katika kipindi hiki cha uchaguzi utakaofanya Oktoba 25 mwaka huu. Anaadika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). ...

Read More »

Magufuli akumbana na nguvu ya Ukawa Mwanza

MGOMBEA wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, jana alikumbana na nguvu ya Ukawa, wakati akisalimiana na wakazi wa kata ya Mabatini jijini hapa. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

TFDA yatekeza pombe ‘fake’ za Sh. 83 mil

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Kanda ya Ziwa (TFDA) imetekeza pombe `fake` aina ya Empire, Singnature Vodka na bidhaa nyingine zenye thamani ya zaidi ya Sh. 83 milioni zilikokuwa zinatengenezwa ...

Read More »

Mulongo anasurika kipigo, kisa Lowassa

VURUGU zimetekeo katika kikao kilichoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, kilicho wakutanisha watumishi wa Halmshauri ya Kwimba pamoja na walimu wa shule za msingi wilayani humo. Anaandika ...

Read More »

Mtandao hatari wa CCM wanaswa

MCHEZO na mbinu chafu zinazotajwa kuratibiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) za kuwagawia vijana bia ‘fake’ ili wasiamke siku ya kupigakura Oktoba 25, zimebainika. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Taarifa ...

Read More »

CWT watoa onyo kali

CHAMA cha Walimu wilayani Magu (CWT), kimesema kuwa kitafanya maandamano ya amani kuanzia Oktoba 14 mwaka huu, endapo Serikali haita walipa fedha zao kiasi cha milioni 430. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »
error: Content is protected !!