Author Archives: Moses Mseti

Magufuli ‘azika’ demokrasia

  JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameonesha wazi dhamira ya kuzuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa nchini katika kipindi cha utawala wake wa miaka mitano, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

RC azomewa mbele ya JPM

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi, mbele ya Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti. Mongella alikumbana na kasheshe hiyo wakati akitoa ...

Read More »

Mbunge CCM amshambulia mteule Magufuli

MVUTANO kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali dhidi ya wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika Jji la Mwanza unakita mizizi, anaandika Moses Mseti. Stanslaus Mabula, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana (CCM) jijini humo amemshambuliwa ...

Read More »

Mwenge wamtia matatani DC Mwanza

MARY Tesha, Mkuu wa Wilaya (DC) Nyamagana mkoani Mwanza, anadaiwa kuhusika kuzuia shughuli zote za kijamii na kiuchumi katika wilaya yake ili wananchi wote wakaimbe wimbo wa Taifa na kuupokea ...

Read More »

Waumini wamgomea Askofu wao  

HALI si shwali katika Kanisa la AICT Mkolani lililopo katika Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza baada ya baadhi ya waumini kugomea hatua ya John Bunango, Askofu wa kanisa hilo Jimbo ...

Read More »

Jiji la Mwanza tuhumani

HALMASHAULI ya Jiji la Mwanza imeingia katika mvutano mkali wa kugombea ardhi na wananchi wa Mtaa wa Nyabulogoya, Kata ya Nyegezi Wilaya ya Nyamagana, anaandika Moses Mseti. Mgogoro huo wa ...

Read More »

Chadema: Tutamalizia kwa Dk. Magufuli

  SIKU moja baada ya Rais John Magufuli kuonya mikutano ya kisiasa ya hadhara, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kumalizia mikutano yake nyumbani kwake Chato, Geita, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Mabomu yarindima Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya madereva wa daladala walioanza mgomo baridi katika stendi ya mabasi yaendayo mikoani-Nyegezi, anaandika Moses Mseti. Mgomo huo wa madereva wa daladaa ...

Read More »

Mteule wa JPM aiga mbwembwe

KIOMONI Kibamba, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, ameanza kazi kwa kuiga mbwembwe za Hamisi Kigwangala, Naibu Waziri wa Afya, anaandika Moses Mseti. Amefika ofisini na kisha kuwafungia geti ...

Read More »

Mbunge, RC wavurugana

STANSLAUS Mabula, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza na John Mongella, mkuu wa mkoa huo wanavurugana, anaandika Moses Mseti. Viongozi hao wanaoitumikia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameingia ...

Read More »

Ukerewe kupata maji safi Julai 30

ZAIDI ya Sh. 20 bilioni zimetumika kwenye ujenzi wa mradi mkubwa wa maji safi, katika Mji wa Nansio wilayani Ukerewe, Mwanza uliokuwa unakabiliwa na tatizo sugu la maji tangu taifa ...

Read More »

Tizeba afumua vyama vya ushirika

CHARLES Tizeba, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, amemuagiza Mrajisi wa Vyama vya Ushirika nchini, Audas Rutambanzibwa, kuvunja Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika (Nyanza) mkoani Mwanza kutokana na matumizi ...

Read More »

Ma-DED, DC wampuuza Rais

MARRY Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mwanza na Housian Kusiga, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la hilo wamekiuka agizo la Rais John Magufuli la kufanyika kwa sherehe za kupongezana pindi ...

Read More »

Agosti mwisho wa Machinga Mwanza

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amemuagiza Marry Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) ifikapo Agosti Mosi mwaka huu, anaandika Moses Mseti. Mongella amesema ...

Read More »

Mongella awatishwa mzigo Ma-DC

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amewaagiza wakuu wapya wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanasimamia na kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na mauaji ya vikongwe, anaandika ...

Read More »

Kitwanga: Sijutii kutumbuliwa

CHARLES Kitwanga, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa, hajutii ‘kutumbuliwa’ na Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti. Ametoa kauli hiyo wikiendi iliyopita jimboni kwake Misungwi jijini ...

Read More »

Mongella ‘ajiongeza’ uchangiaji madawati

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amejiongezea muda wa kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kuhakikisha uhaba wa madawati katika shule za umma linakoma, anaandika Moses Mseti. Machi ...

Read More »

Watano wafariki, 13 wajeruhiwa Mwanza

WATU watano wamefariki  dunia na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya basi lenye namba za usajili T. 449 BCB mali ya kampuni ya Super Sami lililokuwa likitokea  Dar es Salaam kwenda ...

Read More »

Watumishi hewa wafilisi serikali

  WATUMISHI hewa 367 kati ya 1057 katika Mkoa wa Mwanza, wamebainika kutafuna zaidi ya Sh. 2 bilioni 2, anaandika Moses Mseti. Ni wale ambao majina yao yapo katika ofisi lakini wao ...

Read More »

Mahakama yamgomea Mbowe

KESI ya madai iliofunguliwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuiomba mahakama kupiga marufuku zuio la Polisi, leo limetupiliwa mbali, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Mbowe: JPM anatupeleka kwenye ugaidi

 FREEMAN Mbowe, Mwenekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa amesema kuwa, Serikali ya Rais John Magufuli inalipeleka taifa kwenye ugaidi, anaandika Moses Mseti.  Amesema, kitendo cha serikali yake kuzuia watu ...

Read More »

Polisi tuhumani kwa mauaji Mwanza

ASKARI Polisi jijini Mwanza wanatuhumiwa kwa kumpiga na kumuua Danny Jalali, mkazi wa Kata ya Kirumba Wilaya ya Ilemela, anaandika Moses Mseti. Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Juni mwaka. Kuuawa ...

Read More »

Polisi wachemka, CCM waandamana

SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi nchini kupiga marufu maandamano na mikutano ya vyama vya siasa nchini, wafuasi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wameandamana, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Chadema yaanza safari mpya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza safari mpya ya kudai haki ya kufanya mikutano ya hadhara, anaandika Moses Mseti. Tayari chama hicho kimefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu ...

Read More »

RPC Msangi atamba Mwanza

AHMED Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC) ametamba kwamba, vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha za moto vinavyofanya na watu wachache vitakomeshwa, anaandika Moses Mseti. Amesema, hali ya usalama ...

Read More »

Mauaji tena Mwanza

JIJI la Mwanza linakithiri kwa mauaji ambapo leo watu wawili wamemfyatulia risasi kifuani na begani, Aliphonce Musanyenzi, Mwenyekiti wa Serikali Mtaa wa Bulale, Kata ya Buhongwa na kumuua, anaandika Moses ...

Read More »

Mauaji msikitini

NDANI ya Msikiti wa Rahma ‘Masjid Rahma’ mkoani Mwanza mauaji yametokea, watu watatu waumini wa msikiti huo wamepoteza maisha, anaandika Moses Mseti. Watatu wakiwa wamepoteza maisha huku mmoja akiwa amejeruhiwa ...

Read More »

Polisi Mwanza: Tumepata picha ya mtuhumiwa

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limedai kupata picha ya mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi, anaandika Moses Mseti. Mtu huyo anadaiwa kufanya uhalifu wa kutumia silaza za moto katika miamala inayofanywa ...

Read More »

‘Rais Magufuli mkandamizaji’

SERIKALI ya Rais John Magufuli inalalamikiwa kutokana na serikali yake kujenga tabia ya ukandamizaji kwa wanahabari, anaandika Moses Mseti. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitika kutokana na kujengekwa kwa ...

Read More »

Watumishi hewa wakopa fedha benki

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, imebaini kuwepo kwa watumishi hewa zaidi ya watano ambao uongozi wa mkoa huo haukuyawasilisha majina yao kwa Rais Dk. ...

Read More »

Mwakyembe: Bora Watanzania wafe maskini

DK. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria, amesema kuwa Tanzania ni bora iendelee kutaambika na watanzania wafe wakiwa masikini kuliko kuendelea kunyanyaswa na mataifa ya ulaya, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Watanzania wawagomea Wachina

  WAFANYAKAZI 170 wa Kampuni ya Ujenzi ya China Railway Jianchang Engineering (CRJE), wameingia katika mgomo usio na kikomo wakishinikiza uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa stahiki zao, anaandikaMoses Mseti. Kampuni ya CRJE ...

Read More »

Polisi ruksa kuua

  JESHI la Polisi limeamriwa kuua mtu yeyote ataedaiwa kuwa jambazi, anaandika Moses Mseti. Ruhusa hiyo imetolewa leo na Ahmed Msangi, kamanda mpya wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza ambaye pia ...

Read More »

Mteule wa JPM amshambulia mwenzake

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amemvaa Justus Kamugisha, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza kwamba alikuwa mzigo, anaandika Moses Mseti. Amesema, Kamanda Kamugisha ndiye aliyesababisha kuwepo kwa matukio ...

Read More »

Wenje apigwa mweleka Nyamagana

EZEKIEL Wenje, mbunge wa zamani wa Jimbo la Nyamagana, Mwanza ameshindwa kwenye kesi aliyoifungua katika Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya Stanslaus Mabula, anaandika Moses Mseti. Mahakama hiyo leo ...

Read More »

Fomu No. 21B yatesa ‘ubunge’ wa Wenje

FOMU namba 21B yenye matokeo ya vituo mbalimbali kwenye Jimbo la Nyamagana, Mwanza ndiyo inayomtesa Ezekia Wenje, mbunge wa zamani wa Jimbo la Nyamagana, anaandika Moses Mseti. Kutokana na vuta ...

Read More »

Mongella aanza msako Mwanza

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ameanza kusaka masalia ya watumishi hewa kwenye Halmashauri ya Jiji hilo, anaandika Moses Mseti. Katika harakati hizo tayari ameunda kamati ya watu 10 ...

Read More »

CCM yapeleka ‘msiba’ kwa Lugola, Ndasa, Mwambalaswa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza harakati za kuwatema makada wake wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa kwa madai ya kuonesha taswira hasi kwa wananchi, anaandika Moses Mseti. Shaka Hamudu Shaka, ...

Read More »

Mwanasheria, mhandisi wa Jiji Mwanza kizimbani

HALMASHAULI ya Jiji la Mwanza leo imesimamisha kazi watumishi wawili kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kusababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh. 300 milioni, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Mulongo ampuuza Kigwangala

MAGESA Mulongo, Mkuu wa Mkoa wa Mara, amepuuza tuhuma zilizotolewa na Khamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kwamba, ameaibisha fani ya uuguzi nchini, ...

Read More »

Bilioni 12 kufikisha maji Magu

JUMLA ya Sh. 12 Bilioni zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ili kutatua tatizo hilo, anaandika Moses Mseti. Hayo yamebainishwa ...

Read More »

RC amvimbia Rais Magufuli

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC-Mwanza) ametofautiana na kauli ya Rais John Magufuli ya kukamata vijana wanaocheza ‘pool’ wakati wa kazi, anaandika Moses Mseti. Mongella ametoa kauli hiyo ...

Read More »

Ajifungulia kwenye beseni, nesi adundwa

SUZAN Anatory aliyeenda kujifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana-Butimba na watoto wake wawili kufariki, kumesababisha Mariam Mkankule, nesi wa hospitali hiyo kudundwa, anaandika Moses Mseti. Hatua hiyo iliibua vurugu ...

Read More »

Mtumishi wa Jiji Mwanza atuhumiwa kutapeli

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameagiza uongozi wa Jiji la Mwanza kumkamata Asubuhi Otieno, aliyekuwa Ofisa Ardhi wa jiji hilo kwa madai ya utapeli ...

Read More »

Wananchi watifuana na polisi Mwanza

POLISI jijini Mwanza wamewatawanya wananchi kwa mabomu katika eneo la Sinai, Mtaa wa Nyerere ‘A’ Kata ya Mabatini baada ya kutokea vurugu kutokana na mtu mmoja kugongwa na gari, anaandika ...

Read More »

Watumishi wa umma chanzo cha migogoro ardhi

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, amesema kuwa migogoro mingi ya ardhi inachangiwa kwa kiasi kikubwa na watumishi wa umma wasiokuwa waaminifu kwenye nafasi zao, ...

Read More »

Jiji la Mwanza kuonja ladha ya bomoabomoa

ADHA na mateso ambayo wamepata wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofikiwa na bomoabomoa hivi karibuni, sasa inaelekezwa kwa wakazi wote wa halmshauri za jijini Mwanza, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

RC Mwanza ambeza Kikwete, ajipendekeza kwa Magufuli

MAGESA Mulongo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (DC) anajipendekeza kwa Rais John Magufuli huku akimbeza Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete. Anaandika Moses Mseti. Mulongo amesema, wakati wa uongozi wa Rais Kikwete ...

Read More »

Mgambo 50 wavamia Ofisi ya Mkurugenzi Mwanza

ZAIDI ya Mgambo 50 wa Jiji la Mwanza waliosimamia mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana, wamevamia Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauli ya Ilemela wakishinikiza kulipwa fedha zao. Anaandika Moses ...

Read More »

Serikali yakiri kukaukiwa 

SERIKALI imekiri kukaukiwa kwa hazina yake hivyo kusababisha ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwanza kukwama. Anaandika Moses Mseti … (endelea). Katika upanuzi huo, serikalia ilihitajika kuchangia kiasi cha Sh. 85 Bilioni ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram