Author Archives: Moses Mseti

Ewura wajipanga kupunguza kero katika utendaji

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) inakusudia kupunguza mwingiliano wa utendaji kazi baada ya kuanza kuweka mikakati kwa watumiaji wa huduma hizo, kufahamu wajibu wa kulinda ...

Read More »

Madiwani CCM, Ukawa waungana kumg’oa M’kiti Halmashauri

HALI si shwari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Mwanza baada ya madiwani 24 kati ya 34 kuandikia na kuisaini barua ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, ...

Read More »

Samaki wa Sh. 20 milioni wataifishwa Mwanza

SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za uvuvi zinazoelekeza samaki kuvuliwa kuanzia sentimita 51 ...

Read More »

Uhaba wa dawa wakithiri Nyamagana

UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali hiyo, kitendo kinachosababisha watu kupoteza maisha, anaandika ...

Read More »

Mamilioni ya Rais Magufuli yazua balaa Mwanza

JUMUIYA ya Maendeleo Kanindo (CDK) jijini Mwanza, imemtaka Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula, kuihoji serikali bungeni juu ya ahadi ya kutoa Sh 50 milioni kwa kila kijiji kwa ...

Read More »

DC Mwanza amsweka rumande mwalimu

FRANCIS Chang’ah, Mkuu  wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika kutokana na  kosa la kuwafungia darasani wanafunzi, anaandika ...

Read More »

Mbunge Ilemela atishwa

ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi, anaandika Moses Mseti. Wananchi wapatao 7500 katika ...

Read More »

Sangara wazidi kuwa ‘adimu’ Mwanza

UZALISHAJI wa Samaki katika Kiwanda cha Tanzania Fish Processors Limited (TFP), jijini Mwanza, kinachojihusisha na uchakataji wa minofu ya samaki aina ya Sangara umeshuka kutoka tani 120 kwa siku hadi Tani ...

Read More »

Mbowe: Viongozi Chadema kufungwa ni mkakati wa Serikali

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa kufungwa kwa baadhi ya viongozi wao akiwemo Diwani na Mbunge ni sehemu ya mkakati uliosukwa na Chama Cha Mapinduzi ...

Read More »

Waziri wa Nyerere ‘amchana’ Magufuli

ARCADO Ntagazwa, aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, Pili na Tatu amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, haina nia njema na wananchi ...

Read More »

Shehena ya Samaki yanaswa ikisafirishwa

SHEHENA ya samaki aina ya Sangara tani tatu zenye thamani ya Sh. 19 milioni imekamatwa jijini Mwanza baada ya maofisa wa uvuvi kuanza msako wa watu wanaojihusisha na uvuvi haramu ...

Read More »

IGP amng’oa OCD Ukerewe

JESHI la Polisi nchini limemuondoa Ally Mkaripa, Mkuu wa Polisi (OCD) wa Wilaya ya Ukerewe, Mwanza katika nafasi hiyo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Wastaafu waililia Serikali ya JPM

ZAIDI ya wastaafu 300 kutoka wilaya za Nyamagana na Ilemela Mkoani Mwanza, wameilalamikia Serikali kwa kuwakata makato makubwa ya pensheni zao za kila miezi mitatu kwani hayaendani na hali halisi ...

Read More »

Kumekucha uchaguzi mdogo Sengerema.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Sengerema kimeanza kampeni zake kwa kasi katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kahumulo, na kuwataka wananchi wasimchague mgombea wa Chama cha Mapinduzi ...

Read More »

DC Magu atishiwa na wananchi

WANANCHI wa kijiji cha Kanyama kata ya Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, wamecharuka na kumpa Hadija Nyembo Mkuu wa Wilaya hiyo siku 21 ili kuhakikisha anatatua mgogoro wa ardhi wa ...

Read More »

Maji yatesa Wananchi Ukerewe

WAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, wameitupia lawama Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushindwa kuwafikishia huduma ya maji safi na salama na kuwapimia ardhi kwa kipindi ...

Read More »

Mzimu mauaji ya Mabina waibuka tena Mwanza

MGOGORO wa ardhi katika mlima wa kijiji cha Kanyama kata ya Kisesa Wilaya ya Magu uliosababisha Clement Mabina aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza kuuwawa na wananchi ...

Read More »

RC: Machinga lazima waondoke

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amesema kuwa, mpango wa kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) katikati ya Jiji la Mwanza upo pale pale, anaandika Moses Mseti. Tarehe 3 Desemba, ...

Read More »

Mkurugenzi Mwanza anusurika kipigo

VURUGU zimeibuka katika kikao baina ya Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza na wafanyabiashara wanaodai kupandishiwa kwa kiwango cha kodi ilihali biashara zao haziendi vizuri, anaandika Moses Mseti. Wafanyabiashara ...

Read More »

Prof. Mbarawa amtisha mkandarasi

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ameitaka kampuni ya Beinjing Construction and Engineering Group (BCEG) ya China, inayofanya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza na jengo ...

Read More »

Waliotesa machinga Mwanza kukiona

STANSLAUS Mabula, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana (CCM) amesema kuwa, atawatafutia wanasheria wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) kuwashitaki wakuu wa Wilaya za Nyamagana na Ilemela, anaandika Moses Mseti. Wakuu hao ni ...

Read More »

Jambazi ‘kinda’ afunga mtaa

MTOTO anayesadikiwa kuwa na umri kati ya miaka 15-17 amefunga Mtaa wa Mecco, Kata ya Nyakato wilayani Nyamagana, Mwanza kwa kupiga risasi hewani na kusababisha taharuki kubwa kwa wafanyabiashara na ...

Read More »

CCM Mwanza wamuweka mtegoni Magufuli

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mwanza kimemtaka Rais John Magufuli kuwatimua kazi Marry Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana na Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, kwa kukaidi maagizo ...

Read More »

Rais Magufuli achonganisha Polisi, Mgambo Mwanza

AGIZO la Rais John Magufuli kutaka wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga kurejeshwa katikati ya jiji la Mwanza limezua jambo kufuatia mgambo wa jiji hilo kuingia katika mvutano mkali kiasi ...

Read More »

Mshtuko wa ugaidi, 11 wanaswa

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, linawashikilia watu 15 wakiwemo watoto 11 wenye umri wa miaka 10 wakidaiwa kufundishwa ‘ugaidi’ katika nyumba moja iliopo Kishiri nje kidogo ya jiji hilo, anaandika ...

Read More »

Walimu wataka DED aliyempigisha deki mwenzao ang’oke

KITENDO cha Eliud Mwaiteleke, Mkurugenzi wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kumpigisha deki mwalimu, kimeibua maandamano, anaandika Moses Mseti. Chama cha Walimu (CWT) wilaya humo kimetangaza maandamano kushinikiza Mwaiteleke aondolewe ...

Read More »

Serikali ya JPM yayumba

SERIKALI ya Rais John Magufuli inayumba kutokana na watendaji wake kujigawa makundi makundi, anaandika Moses Mseti. Wakati Jijini Dar es Salaam kukiwa na sintofahamu kutokana na Umoja wa Katiba ya ...

Read More »

Ufisadi wa Sh. 1.3 bilioni kila mwaka Mwanza

HALMASHAURI ya jiji la Mwanza, hupoteza Sh. 1.3 bilioni kila mwaka kutokana na kodi  ya maduka zaidi ya 1024 inayokusanywa kuishia katika mifuko ya baadhi ya wafanyabiashara wajanja na watumishi ...

Read More »

Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

ELIUD Mwaiteleke, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, aliyeamuru Hamis Sengo, mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Shilala kudeki darasa mbele ya wanafunzi ‘amekitolea nje’ Chama Cha Walimu (CWT) ...

Read More »

Machinga ‘wakoga’ mabomu

WAFANYABIASHARA ndogo (machinga) wametawanywa kwa mabomu baada ya kugoma kuondoka katikati ya jiji hilo kwa madai maeneo wanakopelekwa si rafiki kwa shughuli zao, anaandika Moses Mseti. Mvutano huo ulianza jana saa ...

Read More »

TAKUKURU yamnasa askari ‘feki’ wa JWTZ

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza, imemtia nguvuni Felister Mawe kwa tuhuma za kujifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huku akiomba rushwa, anaandika Moses ...

Read More »

Lukuvi: Watumishi ardhi wezi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amesema kuwa, watumishi wengi katika idara ya ardhi nchini ni wezi, anaandika Moses Mseti. Na kwamba, watumishi hao wamekuwa wakishirikiana na ...

Read More »

Waziri amtwisha ‘zigo’ Rc Mongella

MHANDISI Gerson Lwenge, Waziri wa Maji na Umwagiliaji amemtaka John Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kufuatilia na kubaini kilichosababisha kukwamisha mradi wa maji wa Kazilankanda uliojengwa chini ya kiwango, anaandika ...

Read More »

UVCCM wakiri ngoma nzito Mwanza

UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Mwanza, umesema kuwa hautasahau mapambano magumu yaliyofanyika katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana ili kuking’oa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

Wanafunzi hewa watubu walimu Mwanza

CHAMA cha Walimu (CWT) na Umoja wa Wakuu wa Shule za Msingi katika Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamesema kuwa, wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu za kisheria ...

Read More »

Abiria fastjet Mwanza wafura

  ZAIDI ya abiria 80 waliokuwa wanatarajiwa kusafiri na ndege ya FastJet ya saa 6:00 jana mchana kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam, walilalamika baada ya safari yao kuahirishwa, anaandika ...

Read More »

Ukatili watikisa maendeleo Tarime 

VITENDO vya ukatili vinavyofanyika mkoani Mara, vimetajwa kusababisha shughuli mbalimbali za maendeleo kukwama, anaandika Moses Mseti.  Ni kutokana na wanawake kutelekezwa na kunyimwa haki na waume zao jambo ambalo limekuwa likilalamikiwa ...

Read More »

Ukatili washamiri Mwanza

IMEELEZWA kuwa, makosa ya ukatili dhidi ya binadamu katika Mkoa wa Mwanza yameongezeka hadi kufikia matukio 749 kwa mwaka mpaka sasa huu kutoka matukio 447 ya mwaka jana, anaandika Moses ...

Read More »

Majambazi yafanya umafia Mwanza

  MTU mmoja amefariki dunia baada ya kupigwa risasi tatu kifuani, mwingine kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi katika tukio la uharifu wa kutumia silaha za moto mkoani Mwanza, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Ajali Mwanza yaua 13, yajeruhi 11

WATU 13 wamefariki dunia huku wengine 11 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya Super Shem, ambalo limegongana uso kwa uso na daladala katika eneo la Nhungumalwa, wilayani Kwimba ...

Read More »

Meya, Ded Mwanza watifuana

MGOGORO umeibuka kati ya James Bwire, Meya wa Jiji la Mwanza na Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji hilo kuhusu madai ya kutengenezwa madawati 8500 yanayodaiwa yapo chini ya kiwango, anaandikaMoses ...

Read More »

Mwigulu: Polisi ‘washughulikieni’ wanaowakashifu

MWIGULU Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani, amevitaka vyombo vya usalama hapa nchini, kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote wanaolikashifu Jeshi la Polisi, ikiwemo kusambaza picha za polisi wanaouawa ...

Read More »

Bundi anyemelea kanisa la Anglikana,

HALI si shwari katika kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), baada ya waumini wa kanisa hilo kudaiwa kumsusia ibada kanisani, Askofu Boniface Kwangu, Kiongozi mkuu wa dayosisi ...

Read More »

Mbarawa awabana Wachina ‘Airport’ Mwanza

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ameiagiza Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) inayofanya ujenzi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza, kuhakikisha inakamilisha kazi ...

Read More »

Sheria usafirishaji Ziwa Victoria yaiva

KUANZA utekelezaji wa sheria ya usafirishaji Ziwa Victoria ya mwaka 2007 kwa Nchi za Afrika Mashariki, itasaidia kuleta mageuzi kwenye sekta ya usafiri majini na kuimarisha ulinzi na usalama wa ...

Read More »

DC Masale: Wavuvi wamepuuzwa

IMEELEZWA kuwa licha ya wavuvi wadogo kuchangia katika pato la taifa kwa kiasi kikubwa, sekta hiyo imedaiwa kupuuzwa pia kutopewa kipaumbele, anaandika Moses Mseti. Kauli hiyo imetolewa na Moses Masale, ...

Read More »

Lissu, Bulaya wamliza Wassira

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, imetupilia mbali maombi mawili yaliyopelekwa kortini kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Bunda mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, anaandika Moses ...

Read More »

Wananchi wamshutumu mbunge wa Ilemela

ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, analalamikiwa na Wananchi wa Mtaa wa Nyanguku na Lukobe uliopo katika Kata ya Kahama kwa kushindwa kuwasaidia kulipwa fidia za ardhi ...

Read More »

Mkenya aipongeza Tanzania

JIM Nyamu, Raia wa Kenya anayezunguka nchi tatu katika Afrika Mashariki (Kenya, Tanzania na Uganda), akitoa elimu kuhusu uwindaji haramu wa tembo na kifaru, ameipongeza Tanzania kwa kuunga mkono juhudi ...

Read More »

Shiekh wa Mkoa atimuliwa kwa JPM

SHEKH Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Fereji, amezuiliwa kuingia meza kuu wakati wa mkutano wa Rais John Maguguli, anaandika Moses Mseti. Shekh huyo ambaye aliwasili katika mkutano huo saa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram