Friday , 29 March 2024
Home mseti
113 Articles3 Comments
Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli amwaga Sh. bilioni 9  Mwanza

RAIS  John Magufuli ameagiza zitolewa Shilingi bilioni tisa kwa ajili ya upanuzi wa  uwanja wa ndege wa Jiji la Mwanza, anaandika Moses Mseti....

Habari MchanganyikoTangulizi

Jinamizi lamkalia Diallo uenyekiti CCM  Mwanza

JINAMIZI la kisiasa limezidi kumkalia kooni mwenyekiti wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Antony Diallo baada ya kuibuka tuhuma...

Habari Mchanganyiko

Wamarekani wamwaga vyandarua kwa wajawazito Mwanza

WAJAWAZITO nchini wametakiwa kuwa na utamaduni wa kupima afya zao na kuhakikisha wanapata chanjo ya ugonjwa wa malaria ili kujikinga wao pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Ukatili kijinsia wawekewa mkakati Mwanza

SERIKALI ya Jamhuri ya Ireland kupitia Shirika la Maendeleo nchini humo (IrishAid), limetoa msaada msaada wa Euro 350,000 sawa na Sh. milioni 750...

Habari Mchanganyiko

NMB yawapa matumaini wananchi wa Mwanza

WATANZANIA wameshauriwa kujiunga na huduma za benki ili kuwawezesha kupata mikopo ambayo itawasaidia kufanya shughuli za ujasiliamali kwa lengo la kujikwamua kiuchumi, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Ukerewe wachekelea kufikiwa na PSPF

WATUMISHI wa umma pamoja na wananchi katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wameiomba serikali na mashirika yanayotoa huduma za jamii kusogeza huduma zake...

Habari za Siasa

Mshindi UVCCM adaiwa kutoa rushwa ya nyama

UCHAGUZI unaoendelea ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) umezidi kugubikwa na vitendo vya rushwa, vitisho, matusi ya nguoni na kupigana ngumi hatua inayosababisha...

Habari Mchanganyiko

Tatizo la moyo lapiga kambi kanda ya ziwa

ASILIMIA 15 ya wagonjwa wanaofika katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mkoani Mwanza, kutoka katika mikoa ya kanda ya ziwa kupima afya...

Habari Mchanganyiko

Kamanda Msangi awekwa kitimoto Mwanza

ZAIDI ya wakazi 23,000 wa mitaa 10 ya kata ya Pamba wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, wameliomba jeshi la polisi kuwajengea uwezo na mbinu...

Habari za SiasaTangulizi

Bombidier za Magufuli wazidi kupata hitilafu

ABIRIA zaidi ya 50 waliokuwa wakitarajia kusafiria na ndege ya Bombidier  jijini Mwanza, wameshindwa kusafiri kutokana na ubovu wa ndege hiyo kitendo kilichosababisha...

Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi Misungwi aporomosha mitusi

MRADI wa maji wa zaidi ya Sh. 300 milioni uliojengwa katika Kata ya Fera Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, umeshindwa kuanza kufanya kazi...

Habari Mchanganyiko

‘Watanzania jiungeni na bima’

WATANZANIA wameshauri kuwa na utamaduni wa kukatia bima nyumba, viwanda na gari zao hatua itakayosaidia kurejeshewa baadhi ya mali pindi zitakapokumbwa na majanga...

Habari Mchanganyiko

RC Mongella amshauri waziri aivunje bodi ya Pamba

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amemshauri Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Charles Tizeba kuivunja Bodi ya Pamba kanda ya ziwa...

Afya

Shirika la Jhpiego lajipanga kupunguza vifo mama na mtoto

SHIRIKA la Jhpiego kupitia mradi wa Maternal and Child Survival Program (MCSP), linatarajia kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini kutokana na idadi...

Habari Mchanganyiko

Mkoa wa Mwanza waahidi neema kwa wafanyabishara

SERIKALI imeahidi kushirikiana na wafanyabiashara nchini ili kukuza biashara zao na uchumi wa taifa kwa kuhakikisha bidhaa zao zinapata soko la uhakika kimataifa,...

AfyaTangulizi

Hospitali ya Bugando kupata matumaini mpya

HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inakabiliwa na uhaba wa vifaa mbalimbali vya tiba pamoja na ugunduzi vikiwamo Xray na CT Scan hatua...

Afya

Wagonjwa 800 kutibiwa jengo jipya Bugando

HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inatarajia kujenga jengo maalum litakalowahudumia wagonjwa 800 kwa siku ambao wanatibiwa kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa CCM Mwanza ‘wavuana nguo’

MSUGUANO wa Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire (CCM) na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba, limefikia katika hatua mbaya baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani wa CCM wamkataa Meya wao

MADIWANI 19 kati ya 25 wa baraza la madiwani Jiji la Mwanza, wamesaini waraka wa kutokuwa na imani na Meya wa Jiji la...

Habari Mchanganyiko

Wapiga debe waiangukia serikali

ZAIDI ya vijana 200 ambayo wanaopiga debe eneo la Kamanga Ferry jijini Mwanza, wameiangukia serikali na kuiomba iwaache waendelee na shughulzao na kusitisha...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawaonya watumishi, madiwani

SERIKALI imewataka madiwani na watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea ikiwemo kukubali na kufunga hoja zinazohusu namna fedha za miradi zilivyotumika kitendo kinachosababisha...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafukuza wafanyakazi 2744

SAKATA la kuwasaka wafanyakazi wa serikali wenye vyeti feki limeacha kilio kwa wanachama 2744 wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Nchini...

Habari Mchanganyiko

Manji apata pigo jingine akiwa mahabusu

SERIKALI imekitaifisha kiwanda cha kuchakata ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo Ilemela mkoani Mwanza kwa kushindwa kuendelezwa na kuendeshwa kwa zaidi ya miaka mitano...

Habari za Siasa

Mbunge wa zamani amtupia neno Rais Magufuli

EZEKIEL Wenje, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana, Mwanza, amemchana Rais John Magufuli kwamba baadhi ya mairadi anayozindua ni hewa haipo, anaandika Moses...

Habari Mchanganyiko

Waziri amvua madaraka mkuu idara ardhi

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemvua madaraka mkuu wa idara ya ardhi wa Wilaya ya Ukerewe, Elia Mtakama, kwa...

Habari za Siasa

Waziri aagiza watumishi wanane ‘watumbuliwe’

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kwimba, Pendo Malabeja, kuwachukulia hatua watumishi wote wanane wa...

Habari Mchanganyiko

Buchosa yakabiliwa na uhaba wa watumishi, vifaa

HALMASHAURI ya Buchosa Wilaya ya Sengerema, Mwanza, inakabiliwa na upungufu wa vifaa vya ofisi, vifaa vya uchoraji ramani na vifaa vya kutayarisha hati...

Habari Mchanganyiko

‘Mifupa ya binadamu yazagaa Mwanza’

ANGELINA Mabula, NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, ameitaka halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, kuhakikisha zinamaliza uhaba wa...

Habari Mchanganyiko

Asilimia 80 ya watanzania wanategemea kilimo

IMEELEZWA asilimia 80 ya watanzania nchini wanategemea kilimo kutokana na watu wengi kuendesha maisha yao ya kila siku na wengine kujipatia kipato kupitia...

Habari Mchanganyiko

Rc Mongella achukua hatua kiwandani

SERIKALI mkoani Mwanza, imekipa siku 10 kiwanda cha ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo Wilaya ya Ilemela jijini hapa, kuhakikisha kinaondoa vyuma chakavu mara...

Habari za Siasa

DC mwingine wa Rais Magufuli ajiuzuru

DK. Leonard Masale, Mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza, ametangaza kujiuzuru nafasi hiyo kwa hiari yake mwenyewe baada ya kumwandikia...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara ‘kufunga’ biashara zao

WAFANYABIASHARA wa maduka ya nguo za jumla na rejareja katika Jiji la Mwanza, wametishia kufunga biashara zao kutokana na Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa...

Habari Mchanganyiko

Machinga waliamsha ‘dude’ Mwanza

WAFANYABIASHARA ndogondogo mkoani Mwanza maarufu kama Machinga, wamepinga hatua ya Mary Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana kuratibu na kuendesha uchaguzi ‘haramu’ wa...

Habari Mchanganyiko

TRA wazua kizaazaa Mwanza

SHUGHULI za kijamii na kiuchumi zimesimama jijini Mwanza, kwa zaidi ya saa sita kutokana na baadhi ya barabara za katikati ya Jiji kufungwa...

Habari Mchanganyiko

Wavamia kanisa watembeza ‘kichapo’, wapora

KUNDI la watu wasiofahamika,  limevamia na kuvunja Kanisa la Mwanza City Center International Church Tanzania Reveland, lililopo Butimba mkoani Mwanza na kuanza kutembeza kichapo...

Habari Mchanganyiko

Wavuvi wamlilia Rais Magufuli

CHAMA cha Wavuvi Tanzania (TAFU), kimemtaka Rais Magufuli kuunda tume ya uchunguzi juu ya bei ya ununuzi wa samaki katika mikoa ya kanda...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi 101 ‘wapigwa’ mimba Januari – Juni

WIMBI la Wanafunzi wa kike Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza kupewa mimba limezidi kuongezeka, baada ya Wanafunzi 101 kupewa mimba ndani ya miezi...

Habari Mchanganyiko

Wadaiwa sugu kodi ardhi watahadhalishwa

WADAIWA sugu wa kodi ya ardhi Kanda ya Ziwa wametahadharishwa kulipa mapema madeni yao wanayodaiwa kwa kipindi kirefu kabla ya Juni 30, mwaka...

Habari Mchanganyiko

Samia awabebesha ‘zigo’ SIDO

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania ameliagiza Shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo nchini (SIDO) kuhakikisha linasimamia viwanda hivyo vinavyoanzishwa na watumishi...

Habari Mchanganyiko

Tusaidieni mitaji, vifungashio bora – Wajasliamali

SERIKALI imeombwa kuhakikisha inaweka mipango na mikakati madhubuti ya kuwawezesha wajasiliamali wadogo nchini wanaomiliki viwanda vidogo, ili waweze kukuza mitaji yao, anaandika Moses...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tetemeko ardhi laua Polisi Mwanza

TETEMEKO la ardhi lililopita mkoani Mwanza na kudumu kwa sekunde 10 limesababisha askari Polisi WP. 114674 Joyce Jackson kupoteza maisha wakati akiwa kazini...

Habari za SiasaTangulizi

CCM Mwanza watifuana, maslahi binafsi yatajwa

VIONGOZI wakubwa wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Meya wa jiji hilo kwa tiketi ya CCM na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba...

Habari za SiasaTangulizi

Mkurugenzi Mwanza matatani kutoa zabuni ‘kinyemera’

KIOMONI Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kujenga chini ya kiwango...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi waua majambazi watatu

WATU watatu wanaozaniwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wakati walipokaidi amri ya Polisi ya kujisalimisha eneo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM mdaiwa sugu

JUMANNE Kishimba, Mbunge wa Kahama mkoani Shinyanga (CCM) anatuhumiwa kushindwa kulipa kodi ya ardhi kiasi cha Sh. 2.7 milioni kwa kipindi cha mwaka...

Habari Mchanganyiko

Wakwepa kodi 310 waburuzwa kortini

OFISI ya Kamishna wa Ardhi Kanda ya Ziwa, imewafikisha mahakamani wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi 310, walioshindwa kulipa kodi hiyo kwa kipindi...

Habari za Siasa

Lukuvi atishia kumtoboa kitambi DED

WILLIAM Lukuvi, WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemtahadhalisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga, kwamba atakitoa pumzi kitambi chake,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM atuhumiwa kuhujumu uchumi

MBUNGE wa Kwimba, Mwanza, Shannif Mansour (CCM), anatuhumiwa kugoma kulipa kodi ya eneo lake la ardhi lenye ukubwa wa hekta 39,000, kiasi cha...

Habari Mchanganyiko

Visiwa vilivyokuwa giza toka Uhuru, kupata umeme

VISIWA vinne kati ya 38 vilivyopo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, vitaanza kupata umeme wa nishati ya jua baada ya Kampuni ya Rex...

Habari Mchanganyiko

DC Ukerewe aomba kivuko

ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri...

error: Content is protected !!