Author Archives: Regina Kelvin

Serikali kutafuta njia mbadala kwa walemavu ombaaomba

KUFUATIA agizo lililotolewa hivi karibuni na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam la kuondolewa ombaomba jijini humo, serikali inajipanga kutafuta njia mbadala ya kuwawezesha kiuchumi ombaomba ambao ...

Read More »

Mnyika amchokonoa Rais Magufuli

JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba jijini Dar es Salaam ameanza kumchokonoa Rais John Magufuli kwamba, ahuishe Mchakato wa Katiba Mpya na kurejesha maoni ya wananchi, anaandika Regina Mkonde. Amesema, hakuna ...

Read More »

Kigwangalla afungia kliniki za tiba asilia

SERIKALI imesitisha huduma za tiba asili zitolewazo na Kiliniki za Kikorea, Maibong Sukidar Medical na Korea Medical Clinic zilizopo Jijini Dar es Salaam kwa kosa la kutokuwa na kibali kwa ...

Read More »

Makamba: Serikali imejiandaa kukabili mazingira

SERIKALI imeandaa mkakati wa kupambana na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi ...

Read More »

Makonda akurupua ombaomba Dar

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametoa amri ya kutaka ombaomba wote jijini Dar es Salaa kusitisha kazi hiyo vinginevyo atawachukulia hatua kali, anaandika Regina Mkonde. Amesema, ...

Read More »

JWTZ lachunguza ubakaji DRC

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linafanya uchunguzi wa kina ili kuthibitisha taarifa za ubakaji kwa baadhi ya wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo (DRC), anaandika ...

Read More »

Figisufigisu za Umeya zahamia Tanga

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinatuhumiwa kupoka ushindi wa Meya wa Jiji la Tanga, na sasa madiwani wa Chama cha Wananchi (CUF) wamegoma kuendelea na shughuli za baraza la madiwani jijini ...

Read More »

‘The Great Dar’ kuanza kung’ara

JIJI la Dar es Salaam linaloongozwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), sasa litaanza kung’ara, anaandika Regina Mkonde. Halmashuri ya Manispaa ya Ilala imeanza kufungua mlango kwa ...

Read More »

‘Magufuli anasafiria nyota ya Kikwete’

LICHA ya Serikali ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kutuama katika tuhuma ya uzembe, ufisadi na rushwa, sehemu ya utawala wake unatajwa kumbeba Rais John Magufuli, anaandika Regina Mkonde. Hatua ya ...

Read More »

Makonda aanza mipasho dhidi ya UKAWA

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameanza kutoa kauli za mipasho dhidi ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Regina Mkonde. Akizungumza na Umoja ...

Read More »

CUF yaitolea uvivu China

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimempuuza Dk. Lu Youqing, Balozi wa China nchini Tanzania, aliyesifia uchaguzi wa marudio Zanzibar uliofanyika tarehe 20 Machi mwaka, anaandika Regina Mkonde. Dk. Youqingalitoa alitoa kauli ...

Read More »

Balozi Idd ni mpotoshaji – Awadh

SIKU moja baada ya Balozi Seif Ali Idd, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, kusema kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) iko palepale, Awadh Ali Said, Wakili wa Mahakama ...

Read More »

Makonda: Simwogopi Magufuli

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amedai kwamba hafanyi kazi kwa kumwogopi Rais John Magufuli, anaandika Regina Mkonde. “Nafanya kazi zangu ipasavyo na si kwa woga wa ...

Read More »

TAMWA: Pombe chanzo cha ukatili

CHAMA cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA) kupitia Kituo cha Usuluhishi (CRC) kimeitaka serikali kurekebisha baadhi ya vifungu vya sheria ya vileo, kuandaa sera ya kitaifa ya masuala ya matumizi ya ...

Read More »

Salma: Sitarudi nyuma

SALMA Said, Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji la Ujerumani (DW) pia Gazeti la Mwananchi amesema, licha ya kutekwa na kuteswa hatorudi nyuma, anaandika Regina Mkondo. Amesema, kazi yake ya ...

Read More »

JUVICUF yalaani propaganda na mateso Z’bar

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Wananchi CUF Taifa (JUVICUF) imesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar kuwashutumu baadhi ya wanachama wa CUF na kuwahusisha na ...

Read More »

Chadema: Sura ya Magufuli ni hii

RAIS John Magufuli anatajwa kuwa mtawala anayeendekeza kisasi cha kiutawala kwa wananchi walioamua kupigia kura vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Regina Mkonde. Jana wakati Rais Magufuli ...

Read More »

TRA kuandaa mpango mpya ukusanyaji kodi

WIZARA ya Fedha na Mipango kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), imeandaa mpango maalum wa ukusanyaji mapato wakilenga kuwafikia walipa kodi wote, anaandika Regina Mkonde. Akipokea msaada wa Sh. ...

Read More »

NMB kukusanya mapato ya halmashauri nchini

BENKI ya NMB ipo katika mpango wa kuunganisha huduma za kielektroniki za ukusanyaji mapato katika halmashauri zote nchini ili kuondoa mianya ya rushwa kwa baadhi ya watendaji, anaandika Regina Mkonde. ...

Read More »

Rais Magufuli aanza kuhujumiwa

SERIKALI ya Rais John Magufuli imeanza kuhujumiwa, wanaotajwa kuihujumu ni wafanyabiashara, anaandika Regina Mkonde. Wafanyabiashara wa sukari nchini wameanza kujenga utaratibu wa kuficha sukari ili kuibua malalamiko kutoka kwa wananchi lengo ...

Read More »

Serikali yajipanga kurudisha mitaala ya michezo mashuleni

SERIKALI imeahidi kurejesha mitaala ya michezo katika shule za msingi na sekondari, viwanja vya michezo, kuongeza bajeti ya michezo pamoja na kupunguza kodi kwa vifaa vya michezo vinavyotoka nje ili ...

Read More »

Waitara amvaa Magufuli

RAIS John Magufuli ametakiwa kutumbua jipu kwa baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wanaoingia mikataba bila kufuata sheria na kanuni, anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo ...

Read More »

Kaseja kuikosa Simba Jumapili

KOCHA Mkuu wa Mbeya City FC, Kinnah Phiri amesibitisha kuwa mlinda mlango mahiri wa kikosi  chake, Juma  Kaseja  hatakuwepo katika mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini ...

Read More »

Robo fainali Kombe la Shirikisho Machi 26

ROBO Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane zikichuana kusaka nafasi ya kuingia ...

Read More »

Twiga wakiri ngoma ngumu kuwatoa Zimbabwe

SOPHIA Mwasikili, Nahodha wa Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars) amesema mechi yao dhidi ya Zimbabwe utakuwa mgumu kutokana na uzuri wa wapinzani wao, anaandika Regina Mkonde. Twiga ...

Read More »

Serikali yajibu jeuri waliobomolewa

SERIKALI imegoma kuwapa viwanja wananchi waliobomolewa nyumba zao zilizokuwa bondeni kwa madai jiji limejaa na hakuna viwanja, anaandika Regina Mkonde. Said Mecky Sadick, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ...

Read More »

Kuiona Twiga Stars 2,000 Chamanzi

KIINGILIO cha chini cha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Taifa Stars’ dhidi ya timu ya ...

Read More »

Mahakama: Hatukusimamisha uchaguzi wa Meya

MGOGORO wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya Mahakama kukana kutoa amri ya zuio la kufanyika kwa uchaguzi huo, anaandika Regina ...

Read More »

‘Tutasaka majambazi popote walipo’

IKIWA ni siku moja baada ya Jeshi la Polisi kuua majambazi watatu jijini Dar es Salaam, jeshi hilo limepanga kuanza msako wa majambazi kwenye misitu wanakofanyia mazoezi,anaandika Regina Mkonde. Jeshi ...

Read More »

Ndalichako ang,oa vigogo watatu taasisi ya elimu

JOYCE Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Bodi ya Taasisi ya Elimu nchini (TET) kwa kushindwa kusimamia   sheria ya manunuzi na kazi ya uchapaji ...

Read More »

Waziri Majaliwa awakomalia Makamba, Ndalichako

MAJALIWA Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewapa saa 12 wa mawaziri ambao hawajarejesha fomu ya kiapo cha utumishi wa umma, kuzirejesha kwenye Ofisi ya Maadili ...

Read More »

Waziri Possi: Ajirini walemavu

DAKTARI Abdallah Possi, Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu) amevitaka vyombo vya habari nchini kuandaa sera endelevu ya kuajiri walemavu na kutumia lugha za alama ili ...

Read More »

Hatma ya Geita, Polisi Tabora Machi 20

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itatoa maamuzi ya upangaji wa matokeo unaozikabiri timu za Geita Gold Mine na Polisi Tabora, anaandika Regina Mkonde. Jamal ...

Read More »

CUF:  Kauli ya Jecha haiathiri msimamo wetu  

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema taarifa iliyotolewa jana na Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ya kutotambua uhalali wa kujitoa kwa baadhi ya wagombea ...

Read More »

Mshindo wa CUF Z’bar

KIMYA cha viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kina mshindo visiwani Zanzibar, hata hivyo chama hicho kinasema kinapambana na sera za kibabe za Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika ...

Read More »

Mashabiki wa Simba, Yanga waonywa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaonya mashabiki wa Simba na Yanga watakaohudhuria kwenye mechi itakayofanyika kesho katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kufuata sheria na taratibu za ...

Read More »

Wezi waitia hasara ya 720.5 Mil Tanesco

WIZI wa umeme unaofanywa na baadhi ya watu katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani umeitia hasara ya Sh. 720.5 milioni Shirika la Umeme nchini, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza ...

Read More »

Wanavyuo ‘wamrudi’ Prof. Ndalichako

LICHA ya Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kusimamisha kazi wakurugenzi wanne wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB), wanavyuo nchini wamesema, hatua hiyo ...

Read More »

Fedha za CCM zavuruga vyama Z’bar

FEDHA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinatumika kuvuruga mwelekeo na msimamo wa vyama vya upinzani visiwani Zanzibar, anaandika Regina Mkonde. Kazi hiyo inafanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa wa CCM ...

Read More »

815 waomba hifadhi nchini

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Kamati ya Kitaifa (NEC) imepokea maombi 815 ya raia wa nchi za nje wakihitaji hifadhi ya ukimbizi nchini, anaandika Regina Mkonde. Isaac ...

Read More »

Wakurugenzi wanne MSD wapigwa ‘stop’

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo, Jinsia na Watoto amewasimamisha kazi wakurugenzi wanne wa Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kwa shutuma za ubadhirifu wa Sh. 1.5 bilioni, anaandika Regina ...

Read More »

Rais Magufuli agoma kutatua mgogoro Z’bar

LICHA ya kuwepo kwa shinikizo kutoka ndani na nje ya nchi kumtaka Dk. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuingilia na kutatua mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar, ...

Read More »

Wasafirishaji binadamu wakamatwa

IDARA ya Uhamiaji Dar es Salaam leo imewatia mbaroni watu wanne kwa makosa mbalimbali ikiwemo biashara ya kusafirisha binadamu na kufanyisha kazi wageni bila kuwa na vibali vya kazi nchini, ...

Read More »

TFDA: Wananchi wanashiriki kuingiza bidhaa mbovu

UINGIZAJI bidhaa zisizo na ubora nchini unachangiwa na wananchi ambao hushiriki bega kwa bega na wafanyabiashara wasio waaminifu kukamilisha zoezi hilo, anaandika Regina Mkonde. Gaudensia Simwanza, Meneja Mawasiliano na Uhusiano ...

Read More »

Patricia apania nidhamu kwenye taarabu

PATRICIA Hillary ambaye ni mwanamuziki mkongwe wa Taarabu Asili nchini ameweka dhamira ya kurejesha hadhi ya muziki huo, anaandika Regina Mkonde. “Napanga namna ya kurejesha hamasa ya kuandika na kuimba ...

Read More »

Bomoabomoa bila vibali Mkwajuni

WAFANYAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo wamebomoa makazi ya wananchi wanaoishi sehemu ya juu ya Bonde la Mkwajuni, Mtaa wa Idrisa, Kata ya Magomeni, ...

Read More »

Kinondoni kupekuwa wasio na makaro ya majitaka

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imesema kuwa, ifikapo Juni mwaka huu itawachukulia hatua za kisheria wenye nyumba wasiojenga makaro ya kuhifadhia majitaka. Anaandika Regina Mkonde. Akizungumza na MwanaHALISI Online jijini ...

Read More »

TBS kuondoa bidhaa hafifu sokoni

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa kampeni maalumu ya kuondoa bidhaa hafifu sokoni itakayo tambulika kama Ondoa Bidhaa Hafifu Sokoni. Anaandika Regina Mkonde. Akizungumza na MwanaHalisi Online jijini Dar es salaam ...

Read More »

Magufuli akanyaga demokrasia

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefuta mawazo kwamba, nchi hii haiwezi kuongozwa na chama kingine isipokuwa Chama Cha Mpinduzi (CCM) pekee. Anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo ...

Read More »

Nisha: Tuwasaidie watoto wa mitaani

MSANII nguli wa vichekesho kwenye Tasnia ya Filamu nchini, Salma Jabu (Nisha) ameitaka jamii kutoa msaada kwa watoto waishio kwenye mazingira magumu badala ya kuendekeza starehe. Anaandika Regina Mkonde. Amesema ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube