Author Archives: Regina Kelvin

Wageni nchini wapewa angalizo

WAFANYAKAZI wa kigeni wametakiwa kuzingatia kanuni na sheria za kazi hususan vibali vya ajira na ukaazi ili kutokiuka sheria za nchi, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa na Hilda Kabissa, Kamishna ...

Read More »

‘Wapalestina wanapaswa kuishi kwa amani’

VYOMBO vya Umoja wa Mataifa (UN) vimetakiwa kuhakikisha kuwa, raia wa Palestina wanaishi kwa amani kama ilivyo raia katika nchi nyingine zenye amani, anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo imetolewa jana ...

Read More »

Magufuli atoboa udhaifu wa polisi

RAIS John Magufuli leo ameeleza udhaifu wa Jeshi la Polisi katika kukabiliana na ujambazi nchini, anaandika Regina Mkonde. Mkuu huyo wa nchi ameonesha kushangazwa na majambazi kutamba wakati Jeshi la ...

Read More »

Rais Magufuli: Nitawanyoosha

RAIS John Magufuli ameapa kuwanyoosha wale wanaotafuna fedha za wananchi badala ya kuzielekeza katika maendeleo, anaandika Regina Mkonde. Pia ameeleza furaha yake baada ya Bunge la Jamhuri kupitisha sheria ya ...

Read More »

JUVICUF yalaani fujo Zanzibar

UMOJA wa Vijana wa Chama cha Wananchi CUF (JUVICUF) umelaani matukio ya kikatili yanayoendelea kufanyika Zanzibar, anaadika Regina Mkonde. Akizungumza na waandishi wa habari leo Zanzibar, Mahmoud Mahinda, Katibu Mtendaji ...

Read More »

Ofisi ya Msajili kukesha kusubiri fomu za gharama

VYAMA vya siasa nchini vimekumbushwa kurejesha ripoti ya gharama za uchaguzi kwa kuwa mwisho wa kurejesha ni kesho na kwamba ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa itakuwa wazi licha ...

Read More »

Sheria kandamizi chanzo cha ukatili

SHERIA kandamizi za mirathi chanzo cha ukatili na unyanyasaji kwa wajane nchini, anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo imetolewa leo na Rose Sarwat, Mkurugenzi wa Umoja wa Wajane Tanzania (TAWIA) katika ...

Read More »

Rais Kagame mgeni rasmi Sabasaba

PAUL Kagame, Rais wa Rwanda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonesho ya 40 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanaotarajiwa kuanza kufanyika Julai Mosi mwaka huu, anaandika Regina Mkonde. ...

Read More »

Ukawa: CCM wanatuumiza

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinalalamika kuhujumiwa na na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Regina Mkonde. Viongozi wa vyama hivyo wanaeleza kuwa, hujuma za kisiasa zinazoendelea ...

Read More »

Taslima:Ninatosha Uenyekiti CUF

  TWAHA Issa Taslima, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha Wananchi (CUF) amesema kutokana na uzoefu alio nao anastahili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho na anatosha, ...

Read More »

Amana One Stop Center wapigania wabakwaji

JAMII imetakiwa kutoa taarifa za watoto wanaobakwa na au kulawitiwa mapema ili kuwezesha upatikanaji wa ushahidi, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Sophian ...

Read More »

Mrema: Rais Magufuli atanitafutia kazi

AUGUSTINE Mrema, Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Taifa na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo mkoani Kilimnjaro katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana bado ana ndoto za ...

Read More »

Bajeti ya Rais Magufuli 2016/17 ‘kimeo’

BAJETI ya Seriali ya Awamu ya Tano kwa mwaka wa fedha 2016/17 chini ya Rais John Magufuli ni ngumu na haitekelezeki, anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo ameitoa Prof. Ibrahimu Lipumba ambaye ...

Read More »

Unyanyasaji, ukatili watesa Watanzania ughaibuni

ZAIDI ya Watanzania 500 walioko nchini India pia nchi nyngine wameomba msaada wa kurejeshwa nyumbani baada ya kufanyiwa matendo ya kikatili na kukiukwa kwa mikataba yao na waajiri wao, anaandika Regina ...

Read More »

Albino waipa kisogo serikali

SERIKALI kutokuwa na mkakati endelevu wa kupambana na matukio ya kikatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ndiyo chanzo cha kutotokomea kwa ukatili huo, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa na ...

Read More »

Zitto ahojiwa, amuonya Magufuli

Kiongozi wa ACT, Zitto Kabwe

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameonya utawala wa Rais John Magufuli kuacha tabia ya kutaka kuziba midomo wapinzani, anaandika Regina Mkonde. Amesema, Serikali ya Rais Magufuli haipo ...

Read More »

Ni Prof. Lipumba ama Taslima CUF

Prof. Ibrahim Lipumba

NI Prof. Ibrahim Lipumba ama Twaha Taslima ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Jibu litapatikana Agosti mwaka huu, anaandika Regina Mkonde. Agosti mwaka huu, chama hicho kimepanga kuitisha Mkutano Mkuu ...

Read More »

Temeke yapigia chapuo ukusanyaji kodi

  MADIWANI, watendaji wa kata na wananchi wametakiwa kuhakikisha ukusanywaji wa kodi unafanywa unavyostahili ili Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iweze kutoa fedha za mikopo ya kutosha, anaadika Regina Mkonde. Hayo ...

Read More »

Jina la Kikwete ndani ya EPA

RAIS Mstaafu, Jakaya Kikwete ametajwa kukiuka Katiba kwa kutoa msamaha kwa watu waliotuhumiwa kwa kashfa ya Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ambao walikuwa hawajahukumiwa,anaandika Regina Mkonde. Rais Kikwete ametajwa ...

Read More »

Ukawa watibua tena, Naibu Spika kukiona

DK. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge ‘ataisoma namba’. Ni baadaya ya Bunge kusimamisha wabunge saba kutoka vyama vya upinzani, anaandika Regina Mkonde. Wabunge wa vyama vya upinzani leo wametoka ...

Read More »

VVU tishio

MAAMBUKIZI ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yanaedelea kuathiri na kutishia maendeleo ya nchi, anaandika Regina Mkonde. Kutokana na hali hiyo, serikali ina mpango wa kufanya utafiti na kupima wananchi ili kujua ...

Read More »

Vyanzo migogoro ya ardhi vyatajwa

UPUNGUFU wa vitendea kazi na watendaji katika sekta ya ardhi ndiyo sababu ya migogoro ya ardhi nchini, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo na Biseko Musiba, Mkuu wa Chuo cha ...

Read More »

Wala rushwa kunaswa ‘kiulaini’

WALA na watoa rushwa nchini wamepatiwa dawa. Ni baada ya kuzinduliwa kwa Kampeni ya Longa na Takukuru itakayomwezesha raia yoyote kumnasa mla rushwa, anaandika Regina Mkonde. Kampeni hiyo inatoa fursa ...

Read More »

Maalim Seif awindwa Z’bar

TAARIFA zimevuja. Wanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatajwa kushinikiza Jeshi la Polisi kumkamata Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Regina Mkonde. Si Maalim ...

Read More »

CCM yavuliwa nguo bungeni

Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo imeivua nguo Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni, anaandika Regina Mkonde. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kwamba, Serikali ya ...

Read More »

Ukawa waiangushia jumba bovu CCM

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo bungeni vimeeleza kuwa, chanzo kikubwa cha migogoro kwa wananchi ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Regina Mkonde. Na kwamba, migogoro ya ...

Read More »

CUF yaeleza chanzo cha ubaguzi Zanzibar

UKANDAMIZWAJI wa demokrasia unaofanywa na serikali ya awamu ya tano ndiyo chanzo cha ubaguzi na chuki iliyopo miongoni mwa wananchi wa visiwani Zanzibar, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo na ...

Read More »

CUF kuanza ziara ya kushukuru

CHAMA cha Wananachi (CUF) kimesema kinatarajia kujaza mapengo ya nafasi za uongozi miezi miwili ijayo ili kukiimarisha chama pamoja na kurudi kwa wananchi kutoa shukrani kutokana na mchango wao ulioleta ...

Read More »

Ukawa wapigania wachimbaji wadogowadogo

Wachimbaji wadogo wadogo wa madini katika mgodi wa Mwadui

  KAMATI ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa Nyamongo na Kampuni ya ACCACIA iliyoundwa na Sospeter Muhongo, Waziri wa Nishati na Madini imetakiwa kuharakisha utoaji wa taarifa ili kunusuru ...

Read More »

Serikali yaonya vyama vya ushirika

WANAOANZISHA Vyama vya Ushirika kwa lengo la kupata fedha za misaada na kutelekeza vyama hivyo, watachukuliwa hatua za kisheria ikiwa pamoja na kulipa faini na kifungo cha miaka mitano jela, ...

Read More »

Tumbua tumbua yamgeuka Magufuli

  DHANA ya utumbuaji majipu sasa imemgeukia Rais John Magufuli kutokana na kuongoza wizara iliyotawala na ubadhirifu wa fedha za umma, anaandika Regina Mkonde . Katika Serikali ya Awamu ya Nne ...

Read More »

Kasi ya kipindupindu yaongezeka

KASI ya ugonjwa wa kipindupindu katika wiki iliyopita imeongezeka kutoka wagonjwa 138 walioripotiwa kuanzia tarehe 1 Mei mwaka huu hadi 9 na kufikia 212, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

Prof. Lipumba amchoka Rais Magufuli

PROFESA Ibarahim Lipumba, mchumi mbobezi ndani na nje ya nchi ameeleza kuchoshwa na utendaji wa Rais John Magufuli katika kukabiliana na changamoto za kiuchumi, anaandika Regina Mkonde. Mchumi hiyo aliyekuwa ...

Read More »

Wazee wakaribia ‘kuula’

MCHAKATO wa utafiti na ukusanyaji maoni ya utungwaji wa sheria ya ustawi wa wazee umefikia hatua ya mwisho na kwamba upatikanaji wa sheria hiyo uko karibuni, anaandika Regina Mkonde Hayo yamesemwa ...

Read More »

Polisi kuwadhibiti wanaoingilia barabara ya mwendo kasi

JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limejipanga kudhibiti madereva wa vyombo vya moto wanaokiuka taratibu na sheria za barabarani hasa kwa kutumia barabara za mabasi yaendayo haraka kinyume ...

Read More »

Bei mabasi ya mwendo kasi hadharani

BEI za nauli ya mabasi yaendayo haraka katika Jiji la Dar es Salaam zimetangazwa rasmi na kwamba viwango vipya vya juu vya nauli kuwa ni Sh. 400 kwa njia ya ...

Read More »

Golani wamshukuru Kubenea

WANANCHI wa Golani, Kimara katika Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam wamemshukuru Saed Kubenea, mbunge wa jimbo hilo kwa kuwasaidia kupata kisima cha maji, anaripoti Regina Mkonde. Wametoa shukurani hizo ...

Read More »

TRA yanasa wafanyabiashara 300

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imekamata wafanyabiashara 300 kwa makosa ya kutotoa stakabadhi ama kuandika stakabadhi zenye bei ya chini tofauti na bei halisi ya bidhaa pia kutotumia mashine za ...

Read More »

Lissu amshauri Magufuli atumbue washauri wake

RAIS John Magufuli ametakiwa kutumbua majipu ya wanasheria walioshindwa kumshauri kufuata sheria ya kukasimisha mamlaka ya kiuwaziri kwa mawaziri walioteuliwa miezi sita iliyopita, anaandika Regina Mkonde. Tundu Lissu amesema hayo ...

Read More »

Magufuli apingwa

KAMBI Rasmi ya Upinzani imepinga tabia ya ‘kutumbua majipu’ inayofanywa na serikali ya Dk John Magufuli hivyo imewataka watumishi na watendaji wa umma waliosimamishwa au kufukuzwa kazi na mawaziri, kufungua ...

Read More »

Snura awaomba radhi Watanzania kwa video ya Chura

BAADA ya wimbo wake wa Chura kufungiwa na Serikali jana, Msanii Snura Mushi, leo ameibuka na kuomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali, anaandika Regina Mkonde. Wimbo huo ulipigwa ...

Read More »

Snura, ‘Chura’ wapigwa kitanzi

WIMBO na Chura na video yake vimepigwa marufuku kuoneshwa ama kupigwa kwenye maonesho yote ya hadhara ya mwanamuziki wa kizazi kipya, anaandika Regina Mkonde. Pia shughuli za Snura Mushi, msanii na ...

Read More »

Sakaya: Kilimo, Mifugo kwanuka ufisadi

WATENDAJI katika Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wameelezwa kuingia mikataba ya ovyo kwenye baadhi ya Vyama vya Ushirika ikiwa ni pamoja na usimamizi mbovu, anaandika Regina Mkonde. Magdalena Sakaya, ...

Read More »

Ukawa yapigania haki za waliobomolewa

KAMBI Rasmi ya Upinzani imeitaka serikali kuhakikisha inalipa fidia waathitika waliobomolewa nyumba zao kwa kadri walivyopoteza mali zao wakati wa bomoabomoa, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo na Pauline Gekul, Waziri ...

Read More »

Kilimanjaro, Mara, Morogoro vinara kipindupindu

MIKOA ya Mara, Kilimanjaro, Morogoro na Dar es Salaam ndio vinara kwa kuwa na wagonjwa wengi wa kipindupindi katika mwezi Aprili mwaka huu, anaandika Regina Mkonde. Ummy Mwalimu, Waziri wa ...

Read More »

Sakata la UDA: Serikali yamlinda Salma Kikwete, Ridhwan

SERIKALI imetetea uuzwaji wa hisa za Shirika la Usafirishaji nchini (UDA) kwa Kampuni ya Simon Group na kwamba, kampuni hiyo inamilika hisa hizo kihalali, anaandika Regina Mkonde. Lawrance Mafuru, Msajiri ...

Read More »

Muhimbili, ‘Sickle Cell wavutana

BAADA ya kusitishwa utolewaji huduma ya bure kwa wagonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kumetokea mvutano baina ya wazazi wa wagonjwa na uongozi wa hospitali ...

Read More »

Jiji la Tanga labebesha walimu mzigo wa Mwenge

WAKATI utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano ukijinisabu kwamba, umejipanga kupunguza makali ya maisha kwa wananchi, kwa Jiji la Tanga mambo hayapo hivyo, anaandika Regina Mkonde. Halmashauri ya Jiji ...

Read More »

Nchi 165 kujenga historia mpya

ZAIDI ya nchi 165 zinatarajiwa kuingia mkataba wa kihistoria wa mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye hafla inayofanyika leo mijini New York nchini Marekani, anaandika Regina Mkonde. Kwa mujibu wa ...

Read More »

Rais Magufuli avuruga wengi

STAILI ya Rais John Magufuli kutimua watumishi wa umma kwa ‘munkari’ inawavuruga watu wengi ambapo Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeonya, anaandika Regina Mkonde. Kabla ya LHRC ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube