Thursday , 25 April 2024
Home mguta
611 Articles80 Comments
Habari Mchanganyiko

TCU yafuta vyuo vikuu, vishirikishi

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imefuta hati za usajili za vyuo vitatu na chuo kikuu kishiriki kimoja, baada ya kubaini kukosa uwezo...

Afya

‘Mkiona dalili magonjwa ya mlipuko, toeni taarifa’

WANANCHI wametakiwa kutoa taarifa pale wanapokutana na watu wenye dalili za magonjwa ya mlipuko, ikiwemo ugonjwa wa Ebola. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amng’ang’ania Mkurugenzi wa Jiji

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amemtuhumu mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Spora Liana, kutumia madaraka yake vibaya na kwa maslahi...

Habari za Siasa

Tume Huru: Wazee Chadema ‘tatizo si Magufuli, ni Kikwete’

BAZARA la Wazee la Chama cha Chadema (BAZECHA), limesema mkwamo Tume wa Huru ya Uchaguzi, umesababishwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Sakata la Meya Dar: Mahakama yambwaga

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imesema, haiwezi kuzuia ‘meya’ wa jiji hilo, Isaya Mwita kuondolewa madarakani. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari Mchanganyiko

Askari aliyejitosa kwenye matanki ya mafuta apandishwa cheo

WILSON Mwageni, Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini aliyeonyesha ushujaa baada ya kuingia kwenye eneo lililokuwa na matanki ya mafuta yanayowaka...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yatangaza kumuondoa Meya wa Dar

MKAKATI wa kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (Chadema), umeshindwa kufanikiwa baada ya kukosekana 2/3 ya madiwani wanaotakiwa, hata...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaweka kiporo kesi ya Meya Dar

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kutolea maamuzi maombi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, kuzuia baadhi ya madiwani...

Habari za Siasa

Mdee aweka msimamo Kawe 2020

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam amesema, hakuna wa kumbabaisha kwenye Jimbo la Kawe, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Meya Dar: Maji yamenifika shingoni

ISAYA Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam anaonekana kukata tamaaa, ni baada ya kuundiwa kamati ya kuchunguza kuhusu tuhuma zinazomkabili. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mama Kabendera aagwa, kuzikwa Jumatatu Bukoba

MWILI wa Verdiana Mujwahuzi, Mama wa Mwanahabari Erick Kabendera, leo tarehe 3 Januari 2020, umeagwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Francis Xavier, Chang’ombe...

Tangulizi

Erick Kabendera, azuiwa kumzika mama yake mzazi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeyatupilia mbali, maombi ya mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, kushiriki msiba...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika Katibu Mkuu Chadema, Mbowe ampoza Heche

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemteua John Mnyika, Mbunge wa Kibamba kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe apewa mitano mingine Chadema

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ametangazwa tena kuhudumu nafasi hiyo kwa awamu nyingine. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akitangaza...

Habari za Siasa

Lwaitama atupa dongo kwa Sumaye

DK. Azaveli Lwaitama, Mhadhiri mstaafu, ameutumia Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutupa jiwe gizani kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM)....

Habari za SiasaTangulizi

Shibuda atibua hali ya hewa mkutano wa Chadema, kisa Rais Magufuli

JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amechafua hali ya hewa katika Mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ajitoa uchaguzi Chadema, amwachia Lissu

SAED Kubenea, Mbunge wa jimbo la Ubungo, Dar es Salaam (Chadema) amejitoa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

ACT- Wazalendo kimenuka, ‘swahiba wa Zitto’ aachia ngazi

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Msafiri Mtemelwa, ametangaza kujiuzulu nyazifa zake, kufuatia kuvuja kwa mazungumzo yake na mbunge wa Moshi Vijijini...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee apeta Chadema

HALIMA James Mdee, ametetea kiti chake cha Uenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Taifa kwa kupata kura nyingi za ndio. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Pigo Pwani, Katibu Chadema amfuata Sumaye

MAZINGIRA ya demokrasia goigoi ndani ya Chama cha Demokrasia na Mamendeleo (Chadema), yamemkimbiza Casmir Mabina, Katibu wa Chadema Kanda ya Pwani. Anaripoti Hamis Mguta...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye abwaga manyanga Chadema

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, ametangaza kukihama chama hicho.  Anaripoti Hamis Mguta … (endelea).  Akizungumza...

Habari za Siasa

Ni kazi kubwa kutenda haki – Ally Hapi

ALLY Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa amesema, kazi kubwa zaidi katika uongozi hasa wa kuteuliwa ni kutenda haki. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa …...

Habari za Siasa

Lukuvi amtumbua Mkuu Idara ya Ardhi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amemvua Ukuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Iringa, Wilbert Mtongani kwa kosa...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye: Nina asilimia chache kupita

FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amewataka wagombea kwenye kanda hiyo, kutojenga chuki pale wanaposhindwa. Anaripoti Hamis...

AfyaMakala & Uchambuzi

Kukoroma kunaweza kusababisha kifo

WATU wengi wanaona tatizo la kukoroma usingizini, ni jambo la kawaida, lakini linapokomaa, madhara yake ni makubwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Dk. Elisha Madebere,...

Habari za Siasa

JPM: Tumebembelezana sana, sasa basi

RAIS John Magufuli, amezipa siku 60 taasisi, mashirika na kampuni 187 za umma, ziwasilishe gawio serikalini. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Ametoa agizo hilo leo...

Habari Mchanganyiko

Mambosasa akazia marufuku ya wapiga debe

LAZARO Mamabosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Saalam amesema upigaji wa debe ni marufuku katika vituo vya daladala. Anaripoti Hamis...

Habari Mchanganyiko

Tapeli wa fedha kupitia ATM akamatwa

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Halima Juma (23), Mkazi wa Chalinze kwa tuhuma za wizi wa fedha kupitia...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aelemewa Z’bar

SIASA za upinzani Zanzibar, zinaelekea kumwelemea Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), na sasa anatupa lawama zake kwa Maalim Seif...

Habari Mchanganyiko

Muhimbili sasa kupandikiza ‘ujauzito’

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), imeweka mipango ya kuwa na huduma ya kupandikiza mbegu za ujauzito (mimba), ifikapo mwaka 2020. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kung’oka? Mchakato waanza

MCHAKATO wa kupata viongozi mbalimbali wapya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umetangazwa kuanza rasmi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumzia kuanza...

Habari za Siasa

LHRC: 43% ya wafanyakazi hawajui haki zao

MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga amesema, asilimia 43 ya wafanyakazi waliowahoji, hawajui haki zao. Anaandika...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wamng’oa Rais Bolvia

EVO Morales, Rais wa Bolvia amejiuzulu ili kupunguza ghasia zilizotokana na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, yaliyomuweka madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

‘Utatu mtakatifu’ wa kupinga rushwa ya barabarani wazinduliwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na wadau mbalimbali wa kupinga rushwa nchini imezindua...

Habari Mchanganyiko

Takwimu ubakaji watoto zatisha

VITENDO vya ubakaji vimeongezeka kwa kasi kulinganisha na vitendo vingine vya ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa watoto. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Kwa mujibu wa takwimu za...

Afya

Saratani ya matiti kuwa tishio kuu- Dk. Kahesa

ENDAPO hatua hazitachukuliwa, saratani ya matiti inaweza kushika nafasi ya kwanza, kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa nchini. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Habari za Siasa

Rafu uchaguzi CCM zatamalaki

RAFU katika uteuzi wa wajumbe watakaogombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), zimetamalaki. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumza na...

Habari za Siasa

Kubenea aunga na familia kumsaka mwanafunzi aliyesombwa na maji

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika jimbo la Ubungo, leo Jumapili, tarehe 20 Oktoba, aliungana na mamia ya wananchi katika...

Habari za Siasa

Bunge kuanza, taarifa ya CAG kuchambuliwa

VIKAO vya Kamati 14 za Kudumu za Bunge, vinatarajia kuanza tarehe 21 Oktoba 2019 hadi Novemba Mosi mwaka huu. Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). Taarifa...

Habari za Siasa

Uandikishaji: Serikali ya JPM yabebeshwa lawama

MWITIKIO hafifu wa watu kujitokeza katika uandikishaji kwa ajili ya kupiga kura, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu, umehusishwa na...

Habari Mchanganyiko

Serikali yasikia kilio cha wananchi Kimara

SERIKALI imeondoa zuio la wafanyabiashara kuendeleza maeneo yao yaliyopakana na barabara ya Kimara Mwisho hadi kwa Kichwa, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis...

Afya

Watu bilioni 1.3 wanatatizo la kuona Duniani

TAKRIBANI watu bilioni 1.3 duniani wanakadiriwa kuwa na tatizo la kuona wa namna tofauti. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Hayo yameelezwa na Daktari...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aiweka serikali mtegoni

ALIYEKUWA mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu, ameapa kutorejea nchini mwake, hadi hapo serikali ya...

Habari Mchanganyiko

‘Tatizo la mdomo wazi linatibiwa bure CCBRT’

WAZAZI wenye watoto waliozaliwa na tatizo la mdomo wazi (Mdomo Sungura), wametakiwa kuwapeleka hospitali kwa ajili ya upasuaji. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akizungumza leo...

Habari za Siasa

CUF yaibua kasoro uandikishaji daftari la wapiga kura

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelalamikia zoezi la uandikishaji wa Daftari la Wapiga kura, kikieleza kwamba lina kasoro. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Malalamiko hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba: Kuna sintofahamu nchini

JAJI Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania amesema, kuna dalili za uwepo wa matukio yanayodhoofisha umoja, uzalendo na mshikamano wa Taifa....

Habari za Siasa

Zitto: Naiona ndoto hii

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameendesha maombi ‘maalum,’ kuliombea taifa kupitia ukurasa wake wa twitter. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Katika maombi...

Habari za Siasa

JPM ‘aitekenya’ Chadema

USHAURI wa Rais John Magufuli, uliyomtaka Biswalo Maganga, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DPP), kuangalia namna ya kuzungumza na watuhumiwa wa uhujumu uchumi...

Habari Mchanganyiko

Hiki ndio kilio cha mmiliki wa Coco Beach

ALPHONCE Buhatwa, mmiliki wa Hoteli ya Coco Beach iliyopo kwenye fukwe ya Oysterbay, jijini Dar es Salaam iliyoungua moto tarehe 22 Septemba 2019,...

Habari Mchanganyiko

Mlipuko wa bomu wauwa mmoja na kujeruhi wawili Kibaha

MBARAKA Koromera (37) amepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa katika mlipuko wa kifaa kinachodhaniwa kuwa bomu, uliotokea maeneo ya Msangani wilayani Kibaha mkoa...

error: Content is protected !!