Author Archives: Hamisi Mguta

TEF nao wamkaba koo Prof. Lipumba, wamtaka aombe radhi

JUKWAA la Wahariri Tanzania ‘TEF’ limemtaka Prof. Ibrahim Lipumba kutoa kauli kuhusu tukio la kupigwa kwa waandishi wa habari katika uvamizi wa mkutano wa Chama cha Wananchi ‘CUF’ uliotokea wiki ...

Read More »

CUF wamtaka Sirro kuchukua hatua ‘mazombi’ ya Prof. Lipumba

KAMATI ya Uongozi ya Chama cha Wananchi ‘CUF’ imemtaka Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuchukua hatua dhidi ya waliotekeleza uvamizi wa mkutano wa chama hicho ...

Read More »

Makamu wa Rais mgeni rasmi Kongamano ya Jinsia

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es ...

Read More »

Wauaji wa Kibiti wahofiwa kujificha Dar

SIMON Sirro, Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, amewataka wakazi wa jiji hilo kuwa makini hasa katika kipindi hiki uchunguzi dhidi ya waliotekeleza mauaji ya askari nane, Kibiti, ...

Read More »

Isango azikwa kijijini kwao Kisasida

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta. Isango alifariki Aprili 14 siku ya Ijumaa ...

Read More »

Mwigulu avalia njuga, mauaji Kibiti

WAKATI hofu juu ya usalama wa maisha ya wananchi wa Kibiti, Pwani ikizidi kutanda baada ya tukio la mauaji ya askari Polisi nane yaliyotekelezwa na watu wasiojulikana juzi, Waziri wa Mambo ...

Read More »

Josephat Isango kuzikwa Jumanne

MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta. Marehemu Isango alifariki dunia jana mapema asubuhi ...

Read More »

Polisi kusaka waliyoua Askari Kibiti

KAMISHNA wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani amesema Jeshi la Polisi linakwenda kufanya operation kali dhidi ya majambazi waliohusika  na mauaji ya askari nane wilayani ...

Read More »

Josephat Isango afariki dunia asubuhi hii

MWANDISHI wa habari Josephat Isango amefariki dunia mapema asububi leo, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake aitwae Christopher ambaye amekuwa akimuuguza. Christopher amezungumza na Mhariri ...

Read More »

Roma: Hatupo salama, aeleza mateso waliyopata

MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa kilichowakumba, anaandika Hamisi Mguta. Roma amesema hayo ...

Read More »

Kamanda Sirro: Roma ‘kutekwa’ ni kawaida

IKIWA ni siku tatu tangu tukio la kupotea kwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wenzake watatu Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ...

Read More »

Wasanii wamvaa Sirro kumdai Roma

NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe Records, anaandika Hamisi Mguta. Kufuatia tukio hilo ...

Read More »

HakiElimu yakosoa sera ya Rais Magufuli

UTAFITI wa taasisi inayoshughulikia masuala ya elimu ‘hakiElimu’ unaonesha kuwa serikali haijafikia lengo la sera ya kutoa elimu bure iliyoahidiwa mwaka 2015, anaandika Hamisi Mguta. Katika waraka wa Elimu Namba ...

Read More »

Rais Magufuli amwingiza Prof. Kitila serikalini

RAIS John Magufuri amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na kuwa mpinzani wa kwanza kuingia serikali ya Awamu ya Tano, anaandika Hamisi Mguta. Rais Magufuli ...

Read More »

Kama mbunge anafungwa kimakosa, raia je?

KWA tukio la kufungwa na kushinda dhamana yake kwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na dereva wake Stephano Mgata unaweza kujiuliza ni wangapi wanafungwa magerezani bila hatia kwa sababu ya ...

Read More »

Kimbisa, Maghembe kuwania ubunge wa Afrika Mashariki

CHAMA Cha Mapinzuzi CCM leo kimeteua wanachama 12 wa Tanzania Bara na Visiwani watakaoomba ridhaa kwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wajumbe wa Bunge la Afrika Mashariki, ...

Read More »

Sakata la Nape latikisa

SAKATA la Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kutishiwa kwa bastola na askari asiyevalia sare, limeibua mshituko kwa umma unaoshangaa inafanyikaje hiyo kwa mtu ambaye juzi ...

Read More »

Nape: Nitasema ukweli daima

ALIYEKUA Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Mnauye amesema ataendelea kusimamia ukweli daima kwa kila anachokiamini, anaandika Hamisi Mguta. Nape ameyasema hayo leo akizungumza na wanahabari ikiwa ni ...

Read More »

Rais Magufuli amkomoa Nape, kisa kamgusa Makonda

CHINI saa 24 tangu Nape Nnauye atoe ahadi ya “kumshughulikia” Paul Makonda amekomolewa yeye, anaandika Hamisi Mguta. Nape katika nafasi ya uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, juzi aliunda ...

Read More »

Sumaye: Magufuli hujajipa urais mwenyewe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais John Magufuli amesahau kama amechaguliwa na wananchi jambo linalomfanya kufanya maamuzi yake bila kujali hisia zao, anaandika Hamisi Mguta. Sumaye alitoa kauli hiyo ...

Read More »

Rais Magufuli amzodoa Mwakyembe

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ametengua agizo la Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe la hakuna kufunga ndoa bila ya cheti cha kuzaliwa, anaandika Hamisi Mguta. Mwakyembe alitoa ...

Read More »

Kubenea: Amri za JPM zisivuruge utaratibu

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema maagizo yanayodaiwa kutolewa na Rais John Magufuli kuhusu wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) yanasababisha migogoro kwani baadhi yao wamekuwa wakikiuka taratibu nzuri zilizowekwa ...

Read More »

Makonda atibua, Polisi kwawaka moto

SIKU mbili baada ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaja majina ya wasanii na askari wanaotuhumiwa kuhusika na utumiaji pia biashara ya dawa za kulevya, askari ...

Read More »

Mauaji ndani ya msikiti Canada

WAUMINI sita wa Dini ya Kiislam nchini Canada, wamefariki dunia na wanane kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi katika msikiti wa Quebec usiku wa kuamkia leo, anaandika Hamis Mguta. Watu wawili walivamia ...

Read More »

CUF mambo magumu

HALI ya fedha ni ngumu ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) jambo ambalo linaloongeza changamoto katika kampeni za chama hicho kwenye Jimbo la Dimani visiwani Zanzibar, anaandika Hamis Mguta. CUF ...

Read More »

Anayeiuza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingizwa kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Profesa Ibrahim ...

Read More »

Siku 30 za ‘fungulia mbwa’ Ukawa Vs CCM

VYAMA vya siasa nchini kwa mara ya kwanza tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, vitaruhusiwa kufanya kampeni za majukwaani, anaandika Hamisi Mguta. Vitatumia siku 30 kunyukana kwenye uchaguzi mdogo wa marudio ...

Read More »

Wenger: Ramsey yupo fiti kurejea uwanjani.

Kocha wa klabu ya Arsenal ya nchini England Arsene Wenger amethibitisha kiungo wake raia wa Wailes Aaron Ramsey atarejea dimbani katika mchezo unaofuta wa ligi dhidi ya Sunderland baada ya ...

Read More »

CCM watakiwa kutobweteka

VIONGOZI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya za Mkoa wa Morogoro, wameshauriwa kuwa wabunifu katika miradi ya maendeleo ya chama hicho, anaandika Christina Haule. Ni kwa kuwa, ...

Read More »

Wafanyabiashara Dar waililia serikali Moro

SERIKALI imeombwa kuandaa vifungashio vinavyokwenda na mizani ili kuifanya sheria ya vipimo kutekelezeka, anaandika Christina Haule. Lakini pia kufanya magari yanayobeba bidhaa zinazoharibika haraka (malimbichi) kupimwa kwa usahihi na haraka ...

Read More »

Taasisi yabeza awamu za JK na Mkapa

CHAMA cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi stadi, Ushauri, Habari na Utafiti (RAAWU),  kimesema ni serikali ya awamu ya tano pekee ndiyo iliyokubali kufanyia kazi ...

Read More »

Wafanyabiashara vilainishi kudhibitiwa

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za nishati na Maji (EWURA) imeanza kufanya kazi kwa  pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Wakala wa Viwango (TBS) ili kudhibiti wafanyabiashara wa vilainishi  wanaoingiza bidhaa  ...

Read More »

SUA kutumia teknolojia kupambana na magonjwa

CHUO Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), kimeanzisha Ndaki mpya (College), ya Sayansi ya Tiba za Wanyama na Binadamu kitakachotumia teknolojia ya mawasiliano kutoka kwa jamii hadi kwenye wizara husika ...

Read More »

Serikali kutoa mkopo kiwanda cha nyanya

CHARLES Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, amesema serikali itatoa mkopo kwa Mwekezaji atakayejitokeza kujenga  kiwanda cha kuchakata na kusindika nyanya mkoani Morogoro, anaandika Christina Haule. Mwijage ameyasema hayo ...

Read More »

TRA: Wafanyabishara jisalimisheni kila mwaka

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Morogoro imewashauri wateja wake kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kila mwanzoni mwa mwaka, ili kufanyiwa makadirio ya kodi za biashara zao na ...

Read More »

Wakulima Wami wamlilia Rais Magufuli

WAKULIMA na wafugaji kutoka Kijiji cha Wami, Luhindo wilayani Mvomero, Morogoro wamemwomba Rais John Magufuli kuwasaidia wasiporwe ardhi yao, anaandika Christina Haule. Na kwamba, wameungana kwa pamoja kupinga ardhi yao ...

Read More »

Mafundi waililia Tanzania ya viwanda Morogoro

MAFUNDI wa kushona na kuuza viatu Manispaa ya Morogoro wameiomba Serikali kuanzisha viwanda vya ngozi na vya kutengeneza viatu ili kuwafanya kupata malighafi ikiwemo ngozi na soli kwa bei nafuu, anaandika ...

Read More »

Akutwa na SMG, risasi 30

GODFREY Octavian (44), Mkazi wa Mkundi, Morogoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG), anaandika Christina Haule. Octavian alikuwa ameifukia ...

Read More »

Haki za wanawake kuipeleka TGNP Mlima Kilimanjaro

  MTANDAO wa jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao) kwa kushirikiana na Action Aid wanatarajia kuwashirikisha wadau kupanda mlima Kilimanjaro hapo mwezi Oktoba mwaka huu ili kupaza sauti kudai haki za wanawake ikiwemo ...

Read More »

DC Utaly: ‘kitanzi’ kwa wafugaji wabishi kipo tayari

SERIKALI wilayani Mvomero, Morogoro imezindua zoezi la utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo ikiwa ni pamoja na kupiga chapa mifugo yote halali kulingana na ukubwa wa eneo huku ikiahidi kutoza ...

Read More »

Polisi Moro wanasa dawa za kulevya

POLISI mkoani Morogoro, imemkamata Bwiru Hamisi (44) mkazi wa Ilala Bungoni, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha kilo 60 za dawa za kulevya aina ya bangi kutoka Doma ...

Read More »

Lissu kuwaburuza polisi mahakamani

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametangaza kuwa jopo la wanasheria wa chama hicho, lipo mbioni kuliburuza kortini Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar ...

Read More »

Polisi Morogoro wamnasa muuaji

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, linamshikilia kijana Rashidi Hassan (20), mkazi wa wilaya ya Kilosa, kwa tuhuma za kufanya mauaji baada ya kumpiga mwenzake na kitu butu mwilini, anaandika Christina ...

Read More »

CCM = Chama Cha Magufuli?

MWENYEKITI mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli, anaweza kujenga utamaduni mpya ndani ya chama chake. Utamaduni wa kujimilikisha chama na maamuzi yake, anaandika Kondo Tutindaga. Huko nyuma wakati wa ...

Read More »

Wabunge CUF waunga mkono Ukuta

WABUNGE wa Chama Cha Wananchi (CUF), wametangaza kuunga mkono maandamano yaliyoitishwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chini ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta), anaaandika Shabani Matutu. ...

Read More »

Ukuta umefunua siri ya Tanzania – Lissu

KWA muda mrefu watu wengi wamekuwa wanafikiri kwamba, nchi yetu inatawaliwa na chama cha siasa, yaani CCM, anaandika Tundu Lissu. Hata hivyo, wapo wachache ambao walishaanza kuhoji kama CCM ni ...

Read More »

Ukuta wamtia kiwewe waziri wa JPM

MSIMAMO wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuendesha Operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta), umemtisha waziri wa Rais John Magufuli, anaandika Christina Haule. Chadema wameendelea ...

Read More »

Wezi fedha za TASAF kikaangoni

SERIKALI imetoa siku 30 kukamatwa kwa watumishi waliosababisha matumizi mabaya ya fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) III, kwa kuingiza majina ya watu masikini wasiostahili ili kujipatia ...

Read More »

Aliyelawiti watoto atiwa mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Alhaji Dotto (27) mkazi wa Sabasaba Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wawili, anaandika Christina Haule. Leonce Rwegasira, Kaimu Kamanda wa Polisi ...

Read More »

Wosia wa Rais Jumbe wabebwa

KAULI ya Alhaj Aboud Jumbe, aliyekuwa Rais wa Zanzibar ya kugoma kuzikwa ‘kifalme’ kama ilivyo kwa viongozi wengine wa kitaifa, imetekelezwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Hamis ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube