Author Archives: Hamisi Mguta

IGP Sirro: Kama Mbowe kadanganya…

SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) amesema, kama Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kadanganya kuhusu kushambuliwa kwake, atafikishwa mahakamani. Anaripoti Hamis Mguta, Dar ...

Read More »

THRDC, MISA-TAN yalaani kufutwa leseni Gazeti la Tanzania Daima

UAMUZI wa Idara ya Habari na Maelezo nchini Tanzania kusitisha leseni ya uzalishaji na uchapishaji wa Gazeti la Kila Siku la Tanzania Daima, umewaibua Mtandao wa Watetezi wa Haki za ...

Read More »

Jaji Warioba: JPM kugombea pekee, kuna sharti

JAJI Mstaafu Joseph Warioba, amsema ni utamaduni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu rais aliyepo madarakani kutetea kiti chake iwapo hajakiangusha chama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Amesema, kama ...

Read More »

Serikali yafuta leseni ya Gazeti la Tanzania Daima

GAZETI la kila siku la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Kampuni ya Free Media Limited, limeingia kifungoni kwa muda usiojulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Leo Jumanne tarehe 23 Juni ...

Read More »

Majaliwa: Milioni 700 kujenga shule ya wasichana Ruangwa  

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa Sh. 700 milioni  kwa ajili ya kuanza ...

Read More »

Corona isiwe kigezo watoto kukosa chanjo

SERIKALI ya Tanzania imeitaka jamii kutotumia kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19) kama kigezo cha kutopeleka watoto kwenye chanjo ili wapate kinga ya magonjwa mengine. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Urais Z’bar: Refa avaajezi, aingia uwanjani

HATUA ya Jecha Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM imeibua maswali. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaa…(endelea). Abdul Nondo, Mwenyekiti ...

Read More »

Mkutano wa Trump wadoda Oklahoma

MATARAJIO ya timu ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani katika kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, yanawavunja moyo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Katika mkutano wake wa ...

Read More »

Rais Magufuli atua Dar, achangisha harambee Ubungo

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea Makao Makuu Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, ...

Read More »

Spika Ndugai awachongea wabunge kwa wananchi, avikosoa vyombo vya habari

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshauri wananchi kutowachagua wabunge walopokaji na watovu wa nidhamu. Anaripoti Mwandishi Wetu. …(endelea). Spika Ndugai ametoa wito huo leo Ijumaa tarehe 19 Juni ...

Read More »

Urais Chadema: Mtia nia alivyojigamba kurudisha uhusiano wa kimataifa

WAKILI Simba Neo, aliyejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemwaga sera zake. Anaripoti Hamis Mguta,Dar ...

Read More »

Huduma zarejea Hospitali ya Amana, bila barakoa…

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema, Serikali imerudisha huduma za kawaida katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam Amana kwa ...

Read More »

Chadema ‘yavuna’ kutoka NCCR-Mageuzi

FELIX Mkosamali, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ametangaza kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: Wafadhili waipa mamilioni THDRC

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, utaendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari ya namna watakavyofanya kazi zao kwa usalama pamoja ...

Read More »

Waziri Ummy aionya bodi mpya ya TMDA

BODI mpya ya ushauri ya Wizara ya Afya kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetakiwa kuisimamia mamlaka hiyo na kuacha kufanya kazi ya kipolisi kwa wenye viwanda vidogo ...

Read More »

India, China ‘vitani,’wanajeshi 20 wauawa

WANAJESHI 20 wa India wameripotiwa kuuawa baada ya kushambuliwa na Jeshi la China mpakani Magharibi mwa Milima ya Himalaya. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ya Jeshi la India iliyotolewa tarehe jana ...

Read More »

Urais Chadema: Nyalandu kutekeleza mambo 26 akiwa Rais 

LAZARO Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 26 atakavyovifanya ndani ya siku 100 endapo atapewa ...

Read More »

Mch. Msigwa: Nina dhamira ya kweli ya urais

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kwamba ana dhamira ya kweli kuling’oa Taifa katika umasikini uliotopea. ...

Read More »

Mweusi mwingine auawa Marekani

IKIWA ni zaidi ya wiki tatu ya maandamano kutokana na polisi wa Minnesota, Marekani kumuua raia mweusi wa taifa hilo George Floyd, tayari mauaji mengine ya kusudi yamefanyika nchini humo. ...

Read More »

Bunge lapiga ‘stop’ mtu au mamlaka kuihamisha Serikali Dodoma

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuitaka Serikali kutobadili uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi na shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Azimio ...

Read More »

Kwa nini tunaumba Miungu itakayogharimu taifa?

SERIKALI iko mbioni kuwasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Utekelezaji wa Haki na wajibu wa Msingi, Sura ya 3 (The Basic Rights and Duties Enforcement Act Cap 3). Muswada huu, ...

Read More »

ACT-Wazalendo wapinga kinga ya Rais, Jaji Mkuu, Spika

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeleeza kuwa nia ya serikali ya kupitisha Muswada wa sheria mbalimbali Na.3 ya mwaka 2020 inalenga  kufunga milango ya kudai haki za binaadamu, utawala wa sheria na ...

Read More »

Safu Mount Meru kufumuliwa

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru ...

Read More »

Mrema: Piga ua galagala Dk. Magufuli atashinda Urais

MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party,  (TLP) Augustine Lyatonga Mrema amesema, katika uchaguzi mkuu mwaka 2020 chama chake hakitaweka mgombea wa Rais badala yake watampigia kura mgombea wa Chama ...

Read More »

Waziri Ummy aonya wavuta sigara hadharani, atoa maagizo

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako hatarini kuyumba kiuchumi na kupata magonjwa yasiyoambukizwa ...

Read More »

Wafanyakazi NEMC wasomewa mashtaka tisa

WAFANYAKAZI wanne wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka tisa yakiwemo kutia ...

Read More »

‘Rais, Spika na Jaji Mkuu hawatoshitakiwa Tanzania’

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa ...

Read More »

Balozi Seif akerwa talaka za ovyo, unyanyasaji Z’bar

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameitaka Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kufanya wajibu wake wa kuwaelimisha wananchi kuhusu haki ili kuelewa haki zao ...

Read More »

Rais Magufuli ateta na vigogo wa CCM Ikulu

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Pombe Magufuli amefanya kikao na viongozi waandamizi wa chama hicho akiwemo Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Watatu mbaroni tuhuma mauaji ya dereva tax Dar

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER), Joseph Tillya Mpokala,(51),Mkazi wa Mbezi kwa Msuguli. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) ...

Read More »

Uhamiaji wakabidhiwa nyumba 103, Majaliwa awapa ujumbe

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kutambua wajibu wao wa kutoa huduma iliyobora na inayokidhi matarajio ya wateja ambao ndiyo waajiri wao. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Majaliwa ...

Read More »

Serikali: Mashabiki ruhusa viwanjani

MSEMAJI wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema kutokana na maoni mbalimbali serikali imeridhia mashabiki watakaotaka kwenda viwanjani kutazama mechi mara tu baada ya ligi kuanza waruhusiwe kuwepo kwa kuzingatia muongozo ...

Read More »

Mauaji ya Floyd: Hali ilivyo miji 25 Marekani

MAUAJI yaliyofanywa na polisi wa Mji wa Minnesota, yamebadili taswira ya miji 25 ya Marekani na kuwa ya vurugu, maandamano na uharibifu wa mali. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Licha ya ...

Read More »

Madiwani Chadema, CUF Dar watimkia NCCR- Mageuzi

VIGOGO wawili wa upinzani jijini Dar es Salaam, Mustafa Muro (Chadema) na Maalim Amir Mbuju (CUF), wamekimbia vyama vyao na kujiunga na NCCR- Mageuzi. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … ...

Read More »

CCBRT wajitosa vita ya corona

MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 ...

Read More »

Ongezeko matumizi mabaya ya mitandao yatua bungeni

MBUNGE wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Mlinga ameihoji Serikali ya Tanzania jinsi ilivyojipanga kudhibiti matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Mlinga ameuliza swali ...

Read More »

Kilichotarajiwa Burundi chatimia, wapinzani wang’aka

UCHAGUZI Mkuu nchini Burundi umefikia tamati, malalamiko yanayotolewa na vyama vya upinzani baada ya Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye wa chama tawala – CNDD-FDD – kutangazwa mshindi, yalitarajiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). ...

Read More »

Wagonjwa wa Fistula wasibaki nyumbani

WAZIRI wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake waende kupata matibabu katika Hospitali zilizoainishwa na Serikali bila ...

Read More »

#live: Kinachoendelea Bungeni muda huu

Tazama LIVE Mkutano wa Bunge, Mkutano wa 19 kikao cha 35 tarehe 22 May 2020

Read More »

Makonda atoa siku 10 Hospitali ya Kigamboni ianze kazi

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital wilaya hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo tarehe 1 ...

Read More »

#VIDEO: Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari

Tazama LIVE Mkutano wa Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.

Read More »

Mchungaji Msigwa amwomba msahama Kinana

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), amemuomba radhi Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kumhusisha na biashara ya ujangili na uuzaji wa nyara ...

Read More »

Mbowe: Corona haihitaji kiburi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mapambano dhidi ya gonjwa la Corona, hayahitaji mzaha au kibri. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea).  “Janga hili ...

Read More »

Waziri Ummy awazungumzia wazee, watoto mapambano ya corona

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, amewataka Watanzania kuwalinda watoto na wazee  dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19).  Anaripoti Hamis Mguta, ...

Read More »

Wabunge waliofukuzwa Chadema, watinga kwa Msajili

WABUNGE waliofukuzwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekata rufaa ofisi ya msajili wa vyama vingi vya siasa kupinga uamuzi uliochukuliwa dhidi yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Wabunge ...

Read More »

Polisi Tanzania yaomba kusaidiwa vifaa kinga mapambano ya corona

JESHI la Polisi Makao makuu, Ofisi ndogo Dar es Salaam limepokea lita 100 za vipukusi (sanitizers) pamoja na dispenser 5, ikiwa ni sehemu ya vifaa kinga vitavyosaidia kujikinga dhidi ya ...

Read More »

Serikali ya Tanzania kununua chakula kuikabili corona

SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kununua tani 735,000 za chakula, zinazotosheleza kwa matumizi ya nchi nzima, katika kipindi cha mwezi mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma, leo tarehe 12 ...

Read More »

Weijia Jiang, mwandishi aliyemtoa Rais Trump kwenye ‘reli’

MKUTANO wa Rais wa Marekani, Donald Trump na wanahabari, umevunjika baada ya rais huyo kuulizwa maswali yaliyomchefua. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).  Mkutano huo ulifanyika jana Jumatatu tarehe 11 Mei 2020, kwenye ...

Read More »

BoT yashusha ahueni kwa wakopaji

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezitaka benki na taasisi za fedha nchini humo, kutoa unafuu wa urejeshaji mikopo, ili kupunguza makali ya athari za janga la ugonjwa wa homa kali ...

Read More »

Chadema wamvimbia Spika Ndugai

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameagizwa kutotii agizo la Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba warejeshe fedha za posho walizopewa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!