Author Archives: Hamisi Mguta

NEMC latoa msimamo mpya

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeeleza kuwa, waanzilishi wa mradi wowote unaohusisha mazingira ni lazima wapate cheti cha mazingira, anaandika Hamisi Mguta. Jaffar Chimgege, Mratibu ...

Read More »

Lukuvi aipa siku 10 kamati ya ardhi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku 10 kwa kamati ya ardhi kutoa maelezo namna watakavyotatua mgogoro wa nyumba kwa wakazi wa Magomeni Kota (Magomeni ...

Read More »

Magufuli aanza kusafishwa

AMOS Siyantemi, Mwenyekiti wa kampeni ya vitabu na mdahalo (KVM) amesema Dk. John Magufuli, rais wa Tanzania si dikteta kama watu wanavyosema, anaandika Hamisi Mguta. Siyantemi ameyasema hayo wakati akizundua kitabu ...

Read More »

Ndoto ya Gwajima CCM kutimia

NDOTO ya Josephat Gwajima, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima inaelekea kutimizwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Hamis Mguta. CCM kimeeleza kuwa, Dk. Jakaya Kikwete, mwenyekiti wa sasa wa ...

Read More »

CUF yamtega Lipumba

  CHAMA cha wananchi CUF kimesema mkutano mkuu wa taifa ambao unategemewa kumpata Mwenyekiti wa chama hicho, upo pale pale, na kuweka msimamo kuhusu Ibrahimu Lipuma kuwa kama anataka kurejea ...

Read More »

Madereva mwendokasi waendeleza mgomo

HUDUMA ya usafiri inayotolewa na mabasi yaendayo kwa kasi jijini Dar es Salaam ipo shakani kufuatia madereva wa mabasi hayo kuendeleza mgomo wakilalamikia kile wanachokiita mkataba ‘tata’ waliopewa, anaandika Hamisi ...

Read More »

Serikali: Utalii umechangia 17%

SERIKALI imesema kwamba, Sekta ya Maliasili na Utalii imechangia kiasi cha asilimia 17 katika pato la Taifa, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa leo bungeni na Ramo Makani, Naibu Waziri wa ...

Read More »

Zitto: Rais Magufuli ajiandaye

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo ametoka hadharani na kusema, ‘Rais John Magufuli ajiandae kuongoza nchi kwa muhula moja,’ anaandika Hamisi Mguta. Zitto ambaye pia ni Mbunge wa ...

Read More »

Wahariri MAWIO, Lissu kortini

SIMON Mkina, Jabir Idrissa na Tundu Lissu kesho watapandishwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya uchochezi, anaandika, Hamisi Mguta. Mkina ni Mhariri wa Gazeti la MAWIO, Jabir Idrissa, ...

Read More »

Rais Magufuli apangua baraza la Mawaziri

DK John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya maabdiliko ya baraza la Mawaziri wake kwa kumteua Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, anaandika ...

Read More »

Bei ya vyakula yapaa Morogoro

WAKAZI wa Mji wa Morogoro wamelalamika kupanda maradufu kwa bei ya vyakula ikiwemo magimbi, mihogo, viazi pamoja na sukari, anaandika Christina Haule. Mwandishi wa Mwanahalisi Online ameshuhudia hali hiyo kwenye maeneo ...

Read More »

Wavamizi mwendo kasi kukiona

MOHAMMED Mpinga, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani amesema, Jeshi la Polisi halitatoa adhabu ya kulipa faini kwa madereva wa vyombo vya moto watakaopita barabara ya mabasi ya mwendokasi ...

Read More »

Mwezi Mtukufu watengua kanuni bungeni

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua kanuni kanuni ya 153 (1) kutokana na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, anaandika Hamisi Mguta. Hayo yameelezwa  bungeni leo na Jenister Mhagama, Waziri ...

Read More »

Wananchi waomba ufafanuzi maliasili

WANANCHI waishio jirani na hifadhi za wanyama wilayani Ulanga, Morogoro wameiomba serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuwapa ufafanuzi wa kupata fidia pale wanyama pori wanapoingia kwenye mashambani yao ...

Read More »

Tanga waanza kutumbuana

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi, Tanga limewasimaisha kazi watumishi wawili  na wengine wawili kupewa adhabu kwa madai ya ukikwaji wa taratibu za utumishi wa umma, anaandika Christina ...

Read More »

Ngono na mwanafunzi yaleta msukosuko Ushirombo

TUMBO John Madaraka, Afisa Tarafa wa Siloka, Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, yupo matatani kwa kufanya ngono na mwanafunzi, na kusababisha ashindwe kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha ...

Read More »

Vijana wavamia, wapora Dar

KUNDI la vijana wakiwa na mikuki, mapanga na magobole wamevamia nyumba kadhaa za wakazi wa Buza, Mjimpya jijini Dar es Salaam na kupora vitu mbalimbali vya thamani usiku wa kuamkia ...

Read More »

Utata dhamana ya ‘wabakaji, ulawiti’ Dakawa

DHAMANA ya watuhumiwa wa ubakaji, ulawiti na usambazaji wa picha chafu katika eneo la Dakawa, Morogoro imeibua utata, anaandika Christina Haule. Mvutano mkali umeibuka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro ambapo ...

Read More »

Maalim Seif pasua kichwa

SERIKALI ya Dk. Ali Mohammed Shein haipati usingizi. Ni kutokana na Maalim Seif Shariff Hamad kuumiza vichwa vyao, anaandika Hamisi Mguta. Jeshi la Polisi visiwani humo leo limemuhoji Maalim Seif, ...

Read More »

‘Wabakaji’ Dakawa waanza kusota

WATU sita wanaodaiwa kumbaka na kumlawiti msichana kisha kumrekodi na kusambaza video hiyo, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, anaandika Christina Haule. Miongoni mwa watuhumiwa hao ni pamoja na ...

Read More »

Buhari: Sitaki kuombwa radhi

 MUHAMMADU Buhari, Rais wa Nigeria amekataa kuombwa radhi na David Cameroon, Waziri Mkuu wa Uingereza aliyelitaja taifa lake (Nigeria) kuwa ni miongoni mwa mataifa yaliyo na ufisadi mkubwa, anaandika Wolfram ...

Read More »

DART wafanya safari za majaribio

WAKALA mradi wa mabasi yaendayo haraka (Dart), leo wameanza kutoa mafunzo kwa wananchi namna ya kutumia vituo vya mabasi hayo na namna ya kulipa nauli, anaripoti Hamisi Mguta. Ni baada ...

Read More »

Lipumba: Magufuli ananyanyasa wafanyabiashara

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mtaalam aliyebobea kwenye masuala ya Uchumi amesema Rais wa Tanzania John Magufuli anatumia cheo kuwanyanyasa wafanyabiashara, anaripoti Hamisi Mguta. Lipumba ameyasema hayo katika mahojiano ya moja kwa ...

Read More »

Rais Magufuli ampiku Kikwete

RAIS John Magufuli amempiku Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete katika kushusha kiwango cha makato ya kodi za mishahara kutoka asilimia 11 aliyoiacha (Kikwete) na kuwa asilimia 9, anaandika Hamisi Mguta. Kwa ...

Read More »

Trump anusa ushindi Republican

LICHA ya upinzani mkali kutoka katika baadhi ya majimbo, Donald Trump amepiga hatua katika kukaribia kutwaa tiketi ya kuwania urais kupitia Chama cha Republican nchini Marekani baada ya kushinda mchujo ...

Read More »

Uchomaji Kituo cha Polisi Bunju A, 17 huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa 17 kati ya 35 wanaokabiliwa na kesi ya kuchoma moto Kituo cha Polisi Bunju ‘A’ baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka, anaandika ...

Read More »

Waliotumbuliwa majibu wafikishwa kortini

VIGOGO watatu waliowahi kutumbuliwa ‘majipu’ na Rais John Magufuli katika Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (RAHCO), wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka manane ...

Read More »

Bodaboda walalamika Kibaha

MADEREVA wa bodaboda katika mji mdogo wa Mlandizi, Kibaha mkoani Pwani wamelalamikia baadhi ya polisi kwa kupokea faini bila kutoa stakabadhi, anaandika Hamisi Mguta. Makosa hayo ni pamoja na kutovaa ...

Read More »

Magufuli aweka jiwe la msingi Arusha

RAIS Pombe Magufuli amesema, hakutakuwa na sababu ya yeye kuitwa rais kama atashindwa kuwasaidia wananchi wa Tanzania kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki, anaandika Hamisi Mguta. Rais Magufuli amesema hayo leo ...

Read More »

‘Hakuna atakayejifungua kwa shida’

“HAKUNA mjamzito atakayejifungua kwa shida katika Hospitali ya Muhimbili” ni ahadi aliyoitoa Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto leo wakati akiratibu zoezi la uwekaji wa ...

Read More »

Serikali: Hatujafukuza wafanyabiashara wa kigeni

SERIKALI ya Tanzania imekanusha kuwafukuza raia wa kigeni waliokuwa wakifanya biashara zao nchini na kuwa haina mpango wakufanya hivyo. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jiji ...

Read More »

AZAKI zalia na hali ya kisiasa Zanzibar

ASASI za kiraia zimewataka viongozi wakubwa kutumia siku ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoa taarifa fafanuzi inayojibu ajenda zao, kueleza walipofikia katika majadiliano yao ya kutatua mgogoro wa urais Zanzibar. Anaandika ...

Read More »

Jumaa atatua mgogoro wa ardhi Kibaha

SERIKALI imetakiwa kuwafafanulia wakulima wa kilimo cha muda mfupi wanaotumia bonde la Kiwalani, wilayani Kibaha, kuhusu mradi unaotarajiwa kufanyika katika bonde hilo na umiliki halali wa mashamba hayo. Anaandika Hamisi ...

Read More »

Diwani alia na changamoto Mtambani

Diwani wa kata ya Mtambani wilayani Kibaha mkoani Pwani, Godfrey Mwafulilwa(CCM) ameitaka Halmashauri ya wilaya hiyo kuondoa changamoto zinazokwamisha maendeleo kwa kutenga maeneo ya biashara na kusimamia miundombinu ya mashamba. ...

Read More »

Serikali wasilikiza mapendekezo ya walemavu

SERIKALI ya Tanzania imeendelea kusikiliza changamoto na mapendekezo ya makundi mbalimbali ya walemavu kwa lengo la kutekeleza mahitaji maalum kwa kila kundi. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Mapendekezo hayo yamepokelewa ...

Read More »

Nyumba 100 zawekwa X Jangwani, vurugu zatawala

ZOEZI la uwekaji alama nyekundu katika zaidi ya nyumba 100 zinazotakiwa kubomolewa kwenye bonde la Mto Msimbazi, Jangwani limemalizika chini ya ulinzi mkali wa polisi baada ya vurugu za wananchi ...

Read More »

Sadaka ya Mkesha wa Mwaka Mpya kuweka umeme Tabora

KANISA la ‘Tanzania Fellowship of Churches’ ambao ndio waandaaji wa mkesha mkubwa kitaifa wa mwaka mpya wa 2016 limeeleza kuwa fedha zitakazotokana na sadaka za siku hiyo zitaelekezwa kusaidia upatikanaji ...

Read More »

Kova: Krismasi, Mwaka mpya Disko toto marufuku

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amepiga marufuku disko toto na milipuko ya baruti katika kusherehekea sikukuu za krismass na mwaka mpya. Anaandika Hamisi Mguta ...

Read More »

‘Magufuli hajatekeleza ahadi’

AHADI ya Rais John Magafuli kutangaza maeneo kwa ajili ya wafanyabiashara wadogowadogo, bado haijatekelezwa. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Ahadi ya Rais Magufuli ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar ...

Read More »

Waziri wa Afya atoa mwarobaini wa kipindupindu

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa, wilaya na kata kuhakikisha wanakuwa na kikosi kazi cha kupambana na kipindupindu na kutoa ...

Read More »

TAA wawakomalia wahasibu

CHAMA cha Wahasibu Tanzania (TAA) kimetishia kuwaondoa wahasibu waliokuwepo kwenye daftari la chama hiko endapo watakiuka taratibu na maadili ya kazi kulingana na matakwa ya chama hicho ikiwemo ya rushwa, ...

Read More »

Cosota yawataka wachoraji kupanua soko

CHAMA cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), kimetoa rai kwa wasaniii wa sanaa za uchoraji kupanua soko la sanaa kwa kutafuta mikataba ya kimataifa. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

Asasi za hiari zafutwa

WIZARA ya mambo ya ndani ya nchi, imefuta vyama 1,268 vya  kijamii vya hiari vilivyopo Tanzania katika zoezi la uhakiki wa vyama hivyo. Vilivyosajiliwa chini sura ya 337 ya sheria ...

Read More »

METL yamalizana na wafanyakazi wake

UONGOZI wa kampuni ya Mohamed Enterprises LTD inayomiliki kiwanda cha Oil & Fats Limited kilichopo Kurasini umelaumu uongozi wa chama cha wafanyakazi, TUICO kushindwa kusimamia mgogoro kati wa fanyakazi na ...

Read More »

Meck Sadick ahimiza usafi kwenye mabasi

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amewataka madereva na makondakta kuhakikisha wanaweka masanduku ya taka ndani ya gari na kuzuia abiria kutupa taka kupitia madirisha ya ...

Read More »

Wafanyakazi METL wagoma

WAFANYAKAZI wa kiwanda cha kuzalisha mafuta na sabuni, Eastcoast Oil & Fats LTD iliyopo chini ya Mohamed Enterprise LTD, wameshinikiza Afisa rasilimali watu wa kampuni hiyo, Erick Bubelwa afukuzwe kutokana ...

Read More »

Wizara ya Mawasiliano yasikia kilio cha wananchi

WIZARA ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imewataka wananchi kujenga tabia ya kutoa malalamiko kwa wakala wa mitandao ya simu na Mamlaka ya Mawasiliano ili kutatua vikwazo vya kuunganishwa katika huduma ...

Read More »

Serikali yasaini mkataba wa Sh. 89.4 Bil

SERIKALI ya Tanzania yasaini mkataba wa Sh. 89.4 bilioni kutoka katika Serikali ya Switzerland kwa lengo la kusaidia kukuza na kuimarisha mfuko wa huduma za afya. Anaandika Hamisi Mguta … ...

Read More »

Rais Magufuli kuanza na kiwanda cha Urafiki

RAIS wa Tanzania John Magufuli ameahidi kusimamia na kuhakikisha kiwanda cha nguo cha urafiki kilichopo Ubungo kinarudi katika ubora wake. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Hayo yamesemwa leo na Mkuu ...

Read More »

Wizara Nishati yasikia kilo cha wachimbaji wadogo

WIZARA ya Nishati na Madini Tanzania inadhamiria kusaidia wachimbaji wadogo wa madini kwa kuwatengea hekali 197,432 na Dola za Marekan 3.4 milioni kama ruzuku. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Kauli ...

Read More »
error: Content is protected !!