Tuesday , 19 March 2024
Home mguta
611 Articles79 Comments
Habari Mchanganyiko

Mjukuu wa Mwalimu Nyerere afariki dunia

  SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 27 Julai 2021,...

Michezo

Kocha Yanga aingia mitini Kigoma, TFF yamtimua Siwa

  KOCHA mkuu wa kikosi cha Yanga, Nasriddine Nabi ameshindwa kutokea kwenye mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho,...

Habari za Siasa

Waziri Ummy alipia mashabiki 1000 Coastal, wachezaji awaahidi…

  WAZIRI Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu amewaahidi Sh.5 milioni, wachezaji wa Coastal Union endapo watafanikiwa kubaki Ligi Kuu Tanzania bara huku akilipia...

AfyaTangulizi

Corona yaua 29 Tanzania, Dk. Gwajima “tuchukue tahadhari”

  SERIKALI ya Tanzania imesema, mpaka sasa wagonjwa 29 walioambukizwa virusi vya corona (COVID-19), wamefariki dunia. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Wahanga bomoabomoa Ubungo-Kimara wapewa matumaini

  WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kuongeza muda wa notisi kwa wamiliki wa nyumba na vibanda vya biashara, vilivyopo katika hifadhi ya...

Afya

Dk. Gwajima aipa siku 10 MOI

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ametoa siku 10 kwa Taasisi ya Tiba na Mifupa Muhimbili...

Habari za Siasa

Kilio tozo mitandao ya simu: UVCCM wamuangukia Rais Samia

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), mkoani Shinyanga, wameuomba Rais Samia Suluhu Hassan, apunguze kiwango cha tozo ya mitandao ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mtaka apiga ‘Stop’ daladala kusimamisha abiria, kisa Covid-19

  MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, amepiga marufuku mabasi ya abiria ‘daladala’, kusimamisha abiria, ili kudhibiti maambukizi ya mlipuko wa ugonjwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Cyprian Musiba aingia mitini, wafanyakazi wake kumburuza kortini

  WAFANYAKAZI wa Kampuni ya CZ Information and Media, wanatarajia kumpeleka mahakamani mmiliki wa kampuni hiyo , Cyprian Musiba, kwa madai ya kutowalipa...

Habari za SiasaTangulizi

M/kiti CCM awapa somo wapinzani madai Katiba mpya

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mwanza, Dk. Anthony Diallo, amewataka wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania, wadai mifumo bora ya...

Habari Mchanganyiko

Baraza la NGO’s laomba kuonana na Rais Samia

  BARAZA la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania- NACONGO, limeomba kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kutafuta...

Habari Mchanganyiko

Kodi huduma za mitandaoni yaja

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Juma, Dk. Hoseah wataka Kingereza ‘kisitoswe’ kimahakamani

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, wamewashauri mawakili na...

Habari Mchanganyiko

RC Dar ayapa masharti mabasi yaendayo mikoani

  MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, ameagiza wamiliki wa mabasi yaendayo mkoani, wafuate utaratibu wa kupakia na kushusha abiria...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amlilia kaka yake Mbowe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzania nchini humo-Chadema kufuatia...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM alitishia gazeti la Raia Mwema, siri zaidi zafumuka

  TIMOTHEO Paul Mzava, mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), amelitishia gazeti la Raia Mwema, kuwa atalifikisha mahakamani kwa madai ya kuchapisha “habari za...

Habari za SiasaTangulizi

Hashim Rungwe: Rais Samia amewakosea Watanzania

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amewakosea Watanzania, kufuatia msimamo wake wa kuweka...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mbunge CCM, mchumba ake kortini

  MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anatarajiwa kuburuzwa mahakamani kesho Jumanne, tarehe 6 Julai 2021, kufuatia kuibuka kwa mgogoro katika ndoa...

Habari za Siasa

Mdude Chadema aibua mjadala, UVCCM yamuonya

  KAULI ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali ya kutaka kumnyoa kwa wembe Rais Samia Suluhu Hassan, imezua...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapya yaibuka sakata la ndoa ya mbunge CCM

  MWANAMKE anayedai kuwa ni mchumba, aliyezaa na kuishi na mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anamtuhumu Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili...

Habari za Siasa

Bunge laahirishwa, maswali 1,468 yaulizwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ameahirisha shughuli za Bunge la 12 la Tanzania leo Jumatano, tarehe 30 Juni 2021, jijini Dodoma...

Tangulizi

Kigogo MSD aelezea alivyosota rumande miezi 11

  LAUREAN Bwanakunu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), amesema Hayati Padri Privatus Karugendo ni miongoni mwa watu waliomtia moyo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aagiza mabaraza ya biashara yafufuliwe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya, kufufua mabaraza ya biashara katika maeneo yao. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Siku 100 Madarakani: Rais Samia hajagusa ‘mtima’

  KATIBA na baadhi ya sheria kandamizi, zimetajwa kukwamisha kiu ya haki katika uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

THRDC na siku 100 za Rais Samia

SIKU 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, zimerudisha matumaini kwa Watanzania pamoja na kutibu waliokuwa na majeraha, hasa waliokutana na changamoto ya kesi...

Habari za SiasaTangulizi

Wakazi ataka mchakato Katiba Mpya uendelee

  MSANII wa HipHop nchini Tanzania, Webiro Wakazi Wassira maarufu ‘Wakazi,’ amesema ni muhimu kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Anaripoti Matilda Peter…(endelea). Amesema, anatamani...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati Kuu ACT-Wazalendo yamchambua Rais Samia, yatoa maazimio

  KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, jana tarehe 19 Juni 2021, iliuchambua uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Tanzania, chini...

Habari za Siasa

Kasesela, Odunga, Ole Sabaya watemwa U DC

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya (DC) 139 katika mikoa ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Mchungaji EAGT ataja muarobaini ukali gharama za matibabu

  MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God (EAGT), Nason Manyere, amewashauri Watanzania kujiunga na bima ya afya, ili kuepukana na mzigo...

Habari za Siasa

Kata tano Segerea zalia ubovu barabara

  KATA tano katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam, zinakabiliwa na changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara za mitaa, hali...

Habari za SiasaTangulizi

DPP Mwakitalu atangaza uamuzi mgumu

  MKURUGENZI mpya wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu, ametangaza neema kwa mahabusu, wafungwa na watuhumiwa wengine wanaokabiliwa na mashtaka ya jinai...

Habari Mchanganyiko

Sakata la Escrow: Bil 26 zamuweka huru Sethi

  MFANYABIASHARA Habinder Sethi, aliyesota rumande kwa miaka minne ( 2017 hadi 2021), ameachwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge laagiza uchunguzi ‘Super Market’

  BUNGE la Tanzania, limeiagiza Serikali ifanye uchunguzi katika maduka makubwa ‘Super Market’, ili kuondoa biadhaa za kughushi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Agizo...

Habari Mchanganyiko

Masheikh Uamsho wafutiwa mashtaka, DPP afunguka

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewafutia mashtaka viongozi 18 kati ya 36, wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar,...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia atoa maagizo korosho ipitie bandari Mtwara

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, ameagiza korosho zote zinazozalishwa mikoa ya Ruvuma, Mtwara...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu, Mchungaji Msigwa wawapeleka kortini AG, bosi magereza

  WABUNGE wa zamani wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania- Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ wamewafungulia mashtaka Kamishna...

Habari za Siasa

Sh. 6 Bil. kujenga nyumba za viongozi Dodoma

  SERIKALI ya Tanzania, imesema itatumia Sh. 6.0 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 20 za viongozi, katika makao makuu ya nchi,...

Habari Mchanganyiko

Watatu mbaroni tuhuma za mauaji

  WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuuwa Elizabeth Mwaike. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aweka kambi Shinyanga

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameendelea na utekelezaji wa operesheni mpya ya chama hicho, iliyozinduliwa hivi karibuni...

Habari za SiasaTangulizi

Walimu wageuza madarasa nyumba za kuishi

  BAADHI ya walimu katika Shule ya Msingi Mwachambia mkoani Singida, wamelazimika kugeuza madarasa kuwa nyumba za kuishi. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wanaume wasitengwe fursa za kiuchumi

  MBUNGE wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro (CCM), Priscus Tarimo, ameiomba Serikali iweke mipango ya kuwawezesha wanaume kiuchumi, kama inavyofanya kwa wanawake, vijana...

Habari za Siasa

Mbunge alilia barabara ya lami Uwanja wa Ndege Chato

  MBUNGE wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa, ameiomba Serikali ijenge Barabara ya Nyamirembe-Chato mpaka Katoke Biharamulo , kwa kiwango cha lami, ili kurahisisha...

Habari Mchanganyiko

RC Dar aanza na majambazi

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewaonya watu wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha (ujambazi), kwamba wasipoacha atawaonyesha ‘Show’....

Tangulizi

Wabunge walia na Wizara ya Kilimo

  WIZARA ya Kilimo nchini Tanzania, imeshauriwa ibadilishe utendaji wake katika kuiendeleza sekta ya kilimo, kutoka kwenye mikakati ya nadharia kwenda kwa vitendo....

Habari za Siasa

UVCCM yahofia mporomoko ajira za vijana

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeiomba Serikali ichukue hatua za haraka, kumaliza tatizo la vijana kukosa ajira nchini. Anaripoti...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Rais Samia anakwamishwa

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anakwamishwa na baadhi ya watendaji wake, hasa waliopewa dhamana ya kusimamia michakato...

Habari MchanganyikoTangulizi

CAG Zanzibar abaini madudu, Rais Mwinyi atoa maagizo

  RAIS wa Zanzibar,Dk. Hussein Mwinyi ameagiza watu waliohusika katika ubadhirifu wa fedha za umma, uliofichuliwa kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...

Afya

Maadhimisho fistula 2021, CCBRT yatoa wito

  IKIWA zimebaki siku mbili kuelekea maadhimisho ya kutokomeza Fistula ya Uzazi, bado takwimu zinaonyesha, idadi ya wanawake wenye tatizo hilo imekuwa ikiongezeka....

Habari za Siasa

Changamoto sugu: Wananchi Njombe Mjini wamfungia kambi mbunge 

  BAADHI ya Wananchi wa Jimbo la Njombe Mjini, wamelazimika kuweka kikao na Mbunge wao, Deo Mwanyika, kujadili namna ya kumaliza changamoto  sugu...

Habari Mchanganyiko

Bosi zamani TRA ateuliwa Udart

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Edwin Mhede kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Anaripoti Hamis...

error: Content is protected !!