Richard Makore – MwanaHALISI Online

Author Archives: Richard Makore

Kwa hili serikali kuweni wapole

092-559x520

TAASISI za dini ni miongoni mwa wadau wakubwa wanaochangia kuwapo na kuendelea kustawisha amani ya nchi yetu ya Tanzania. Anaripoti Richard Makore … (endelea). Lakini ni jambo la ajabu na ...

Read More »

Nini kimetokea uchaguzi marudio udiwani

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage

KATIKA hali ya kawaida mtu anaweza kujiuliza nini kimetokea katika uchaguzi wa marudio katika kata 43 hapa nchini. Siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa ...

Read More »

Rais Magufuli asema kulima mtoni ruksa

Rais John Magufuli akiwa katika ziara yake mkoani Kagera

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Rais John Magufuli ameondoa amri ya kuwazuia wananchi kulima katika maeneo ya mito na kuwataka kuendelea kufanya hivyo hata kama maji yatasomba maza yao, anaandika ...

Read More »

EU yamwaga fedha kwa ajili ya umeme vijijini

Fundi umeme wa Tanesco akiunganisha umeme wa REA katika moja ya nyumba zilizopo kijijini

UMOJA wa Ulaya (EU), umetoa msaada wa Euro Milioni 50 ambazo ni sawa na takribani Sh. bilioni 130 kwa ajili ya miradi ya usambazaji wa umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala ...

Read More »

Mawasiliano ya barabara Dar mikoani yarejea

410618366

MAWASILIANO ya barabara kati ya jiji la Dar es Salaam na mikoani imerejea leo baada ya magari kuanza kupita katika daraja la Kiluvya ambalo jana lilikuwa limejaa maji na hivyo ...

Read More »

Waziri wa Kikwete asema Tanzania hapafai kufanyia siasa

Goodluck Ole Medeye

GOODLUCK ole Medeye, aliyepata kuwa naibu waziri katika serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameibuka na kusema mazingira ya sasa nchini hayafai kufanya shughuli za kisiasa, anaandika Richard Makore. Akizungumza na ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube