Author Archives: Mwandishi Maalum

Mbwana Samatta ajiunga Fenerbahce ya Uturuki

NAHODHA wa timu ya soka la Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta amejiunga na Fenerbahce ya Uturuki kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Anaripoti ...

Read More »

NEC yatangaza wabunge wateule 18 wa CCM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza wabunge wateule 18 wa chama tawa cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania ambao wanasubiri kuapishwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Taarifa ya Mkurugenzi ...

Read More »

Corona: Saa 24 watu 572 wafariki A. Kusini

SAA 24 zilizopita, watu 572 wameripotiwa kufariki dunia nchini Afrika Kusini kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Baraza la Utafiti wa ...

Read More »

CCM Ubungo wamdhamini Magufuli, wasema anatosha

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamesema, mgombea wa chama hicho wa nafasi ya Urais, Dk. John Pombe Magufuli anatosha na wala hana mpinzani. Anaripoti ...

Read More »

Mapambano ya corona: Bunge kumpongeza Rais Magufuli

BUNGE la Tanzania, linatarajia kupitisha azimio la kumpongeza Rais wa nchi hiyo, John Pombe Magufuli, kwa namna alivyoliongoza Taifa katika Mapambano dhidi ya janga la ugonjwa wa Corona (COVID-19). Anaripoti ...

Read More »

Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

Baadhi ya vijana waliojitokeza kwenye usaili wa ajira za Uhamiaji

SERIKALI ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa  pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu wa maabara za shule za Sekondari itakaporidhisha. Anaripoti ...

Read More »

Askofu Bagonza: Ni Mungu tu asiyekosea

UMMA na mataifa huongozwa na wanadamu. Sifa kuu ya mwanadamu ni kukosea au kuishi katika uwezekano wa kufanya makosa. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea) Dawa ya kumsaidia mwanadamu mwenye uwezo ...

Read More »

Alibakwa, akaambukizwa Ukimwi, sasa shujaa

NI binti anayetimiza miaka 28 mwaka huu. Alibakwa akiwa na miaka 10 na kuwa chanzo cha kuambukizwa ugonjwa wa ukimwi. Ameishi na virusi vya ugonjwa huo kwa miaka 18 na ...

Read More »

Papa amteua Askofu Nzigilwa, kuwa Askofu Mkuu jimbo la Mpanda

BABA Mtakatifu, Francisko amemteuwa Askofu msaidizi, Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Mkoa wa Katavi. Kabla ya uteuzi huu, Askofu Nzigilwa alikuwa ni Askofu msaidizi wa Jimbo ...

Read More »

Fili Karashani, Mtoto wa Tasnia ya Habari Barani Africa

SAA sita na dakika ishirini na moja mchana wa Jumapili terehe 10 Mei 2020 nilizungumza na Kagina Karashani kuhusu maendeleo ya matibabu ya baba yake, Fili, na mipango ya kumtembelea ...

Read More »

Buriani Kaka Evod Herman Mmanda

EVOD Mmanda, naomba uamke kaka yangu. Umeondoka mapema mno kaka. Kwa nini lakini? Anaandika Moses Machali … (endelea) Kwangu hukuwa rafiki tu, bali Kaka wa kweli uliyependa kushauriana nami mambo ...

Read More »

Chui aambukizwa corona

SHIRIKA la Habari la Uingrereza (BBC), limetengaza mnyama wa kwanza (Chui) kukutwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Chui huyo wa kike anayetambulika kwa jina la Nadia (4), ...

Read More »

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza hoi, akimbizwa hospitali

BORIS Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza amekimbizwa hospitali kutokana na makali ya virusi vya corona (COVID-19). Linaripoti Shirika la Habari la BBC. Boris alikimbizwa hospitali jana Jumapili usiku katika hospitali ...

Read More »

Mtangazaji maarufu afa kwa corona

ZORORO Makamba (30), mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni nchini Zimbabwe, amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Makamba aliyefariki jana tarehe 23 Machi 2020, amekuwa mtu ...

Read More »

Elimu mpya: Je, Covid-19 vinaishi muda gani katika vitu kabla kuambukiza?

JINSI hofu ya kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 inavyozidi kupanda, ndivyo hofu ya kushika vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuwa na virusi pia inapanda. Unaripoti Mtandao wa Shiriki la Habari la Uingereza (BBC). ...

Read More »

Mpalestina azindua gari la umeme

JIHAD Mohammed, Mpalestina na mmiliki wa Kampuni ya Electra iliyopo Lebanon, amezindua gari linalotumia umeme. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea) Uzinduzi huo, unafanyika kwa mara ya kwanza katika Historia ya Palestina, ambapo ...

Read More »

Lissu aichomea tena Serikali ya JPM

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameandika wakala wake kwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu juu ya kifo cha Katibu wa Chama ...

Read More »

Bavicha na UV-CCM, ni pipa na mfuniko

BARAZA la taifa la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo ((BAVICHA), jana Alhamisi, tarehe 13 Februari 2020, liliitisha mkutano na waandishi wa habari jijiji Dar es Salaam, kushinikiza serikali ...

Read More »

‘Kabendera hajamalizana na DPP’

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, bado yupo kwenye majadiliano na Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Makosa ya Jinai (DPP). Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Mafuriko Bonde la Msimbazi: Kutoka hofu mpaka fursa

SASA ni wazi kwamba mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zinazonyesha jijini Dar es Salaam tangu miaka ya 1990, yameikumbusha serikali ya Tanzania kuhusu umuhimu, uharaka na ulazima wa kubuni na ...

Read More »

Habari za hivi punde: Iran yakiri kuangusha ndege ya Ukraine

HATIMAYE Serikali mjini Tehran, imekiri madai kuwa imeidungua ndege ya abiria Ukraine, runinga ya taifa ya Iran imeripoti. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, jeshi nchini humo limekiri kuwa ndege hiyo ...

Read More »

Mwambe ameonja sumu kwa ulimi

IMBUNGE wa Chadema, katika jimbo la Ndanda, wilayani Masasi, mkoani Mtwara, Cecil David Mwambe (45), amethubutu. Amejaribu na ameweza kutenda kile kilicho washinda wengi. Anaandika Joseph Mwanakijiji, kada wa Chadema. ...

Read More »

Zitto amchambua bilionea Mufuruki, amuombea makazi mema Peponi 

MWILI wa mfanyabiashara mzalendo na ambaye amejipatia umashuhuri mkubwa nchini, Ali Abdul Mufuruki, aliyefariki dunia Jumapili iliyopita, nchini Afrika Kusini, unaagwa leo jijini Dar es Salaam. Unatarajiwa kuzikwa leo leo ...

Read More »

Ni uvamizi, unyanyasaji na mauaji tu Palestina

WAKAZI wa Palestina ni moja ya raia wanaoishi katika mateso makubwa ndani ya ardhi yao. Wananyanyaswa, wanateswa na hata kuuawa. Kutoka katika mitandao ya kimataifa….(endelea). Haya ndio maisha yao kwa ...

Read More »

Kifo cha Mhandisi Lwajabe: Maswali bila majibu 

JESHI la Polisi jana tarehe 31 Julai 2019, lilitoa ripoti yake fupi ya uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Miradi ya Umoja wa Ulaya (EU), katika Wizara ya Fedha, ...

Read More »

Masikini Abdul! apigwa risasi ya kichwa, yupo taaban

IJUMAA ya tarehe 12 Julai 2019, imebaki katika kumbukumbu hasi kwa wakazi wa Kijiji cha Kufr Qaddoum kilichopo Kaskazini mwa Mji wa West Bank. Inaripotiwa kimataifa…(endelea). Ni baada ya kushuhudia unyama aliotendewa ...

Read More »

Nyalandu asimulia mkasa wake na polisi, Takukuru

NAWASHUKURU sana wote walioguswa na mkasa ulionisibu katika saa ya kujaribiwa kwangu mnamo majira ya 8:30 mchana Jumatatu, tarehe 27 Mei 2019. Anaandika Lazaro Nyalandu … (endelea). Tuliwasili kijijini Itaja, Wilayani ...

Read More »

RA Mengi: Tasnia ya habari itakukumbuka

NI matarajio yangu kuwa siku historia ya vyombo vya habari katika Tanzania katika robo karne itakayopita itakapoandikwa, basiwaandishi wa historia hiyo watampa nafasi pekee na maalum Reginald Abraham Mengi (RAM), ...

Read More »

Uporaji nyumbani kwa Dk. Mengi

WATU ambao hawajatambulika, wamepora vito vya thamani wakati wa shughuli ya maziko ya mfanyabiashara na aliyekuwa mkurugenzi wa kampuni zilizo chini ya IPP Group, Dk. Reginald Abraham Mengi. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Ya Joshua Nassari na ubunge wake

NIMESOMA yanayomhusu Joshua Samwel Nassari, mbunge wa Arumeru Mashariki, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kuvuliwa ubunge wake. Nimeona hapa kuna mwelekeo mkubwa wa kukubaliana na hukumu ya ...

Read More »

Magaidi wavamia, waua 49 msikitini New Zealand

HALI ya taharuki, wasiwasi na hofu imetanda kwa saa kadhaa katika mji wa Christchurch nchini New Zealand baada ya watu kadhaa kufanya shambulizi kubwa kwenye misikiti miwili na kuuawa watu ...

Read More »

Kocha Zahera: Naondoka Yanga SC

MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, anaumizwa na tabia ya wana Yanga kushindwa kuisaidia klabu yao, na sasa ataondoka. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Kocha huyo mahiri na aliyeiweka ...

Read More »

Tuhuma za ushirikina zamtisha Waziri Majaliwa

MIGOGORO, kutoelewana na tuhuma za ushirikina kwa wafanyakazi wa serikali zimekuwa zikisababisha kupungua kwa ufanisi katika utendaji kazi ofisini. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika ...

Read More »

Serikali yatupia lawama vyama vya ushirika ununuzi korosho

SERIKALI imetupia mzigo vyama vya ushirika kwa kutofanya kazi yao ipasavyo ya kuwasajili na kuwatambua wakulima wa korosho. Anaripoti Mwandishi Maalum…(endelea) Japhet Hasunga, Waziri wa Kilimo ndiye aliyetoa malalamiko hayo ...

Read More »

Kuporwa mafao ya Wafanyakazi, dhambi ya Bunge au tunalishwa matango pori?

WAKUBWA zangu salaam. Mimi ni Mbunge na kwa hiyo ninaweza kusemwa nina maslahi katika mjadala huu. Ninayo kweli. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji … (endelea). Kwa vile ‘mmetupiga’ sana kwenye suala ...

Read More »

Tundu Lissu amvaa tena Rais Magufuli

KWA mara nyingine tena Rais Magufuli ametoa kauli yenye ukakasi mkubwa kwa Uhuru wa Mahakama. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji … (endelea).  Iko hivi: Majaji na Mahakimu na watumishi wengine wa ...

Read More »

Kesi ya Abdul Nondo: Mahakama yathibitisha uongo wa Polisi

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Mahmoud Nondo. Anaandika Tundu Lissu, Tienen, Belgium ...

Read More »

Mo aitwa Singida, wazee wataka kufanya yao

MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya CCM Singida baada ya kupatikana Mo, Mzee ...

Read More »

Ya TANU, Afro Shirazi sio ya CCM

Kamati Kuu ya CCM

UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana na uchumi wa dola. Anaandika Mbonea Mkasimongwa ...

Read More »

Rangi ya CCM ni ile ile

WAKATI wa Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alianza kwa makeke yaliyomsisimua kila Mtanzania.Anaandika Mhode Mkasimongwa … (endelea). Moja ya makeke hayo ni semina elekezi kwa viongozi aliowateua toka ...

Read More »

Utabiri wa Lema haukufika kwa Millya?

KATIKA siku za hivi karibuni, mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Gobless Lema, alijizolea umaarufu wa kutabiria wabunge wenzake, kuondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Kibona Dickson ...

Read More »

Upya wa CCM na matendo ya kale  

UKIWAKUTA walevi wanasifiana unaweza ukashangaa ni jinsi gani wamehitimu katika sanaa ya kupeana ujiko. Ni kama mashindano ya nani anaweza kutoa sifa zaidi kwa mlevi mwingine. Anaandika M. M. Mwanakijiji … ...

Read More »

Lugola, Polisi watoke mafichoni kujibu maswali haya  

TUKIO la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Hamis Issah. Anaandika Mwandishi ...

Read More »

Polisi wasusiwa maiti Moshi, wamtaka Kangi Lugola

NDUGU wa marehemu Andrew Kiwia, aliyekuwa dereva wa Hiace wamesusa kuchukua mwili wa ndugu yao. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Ndugu hao wameeleza kuwa, sababu za kutotaka kuchukua mwili wa ...

Read More »

Kujivika utukufu ni kujivika uzuzu

WAPENDWA tuanze maandiko ya leo kama tulivyoanza maandiko ya mara ya mwisho. Tulikumbushana kuwa sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia! Anaandika Mwalimu Mkuu wa Watu…(endelea). Hakuna kati ...

Read More »

Waliofariki MV Nyerere wafika 94

IDADI ya watu waliofariki dunia katika ajali ya kivuko cha MV. Nyerere katika Ziwa Victoria jana. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Mpaka kufika saa 4 leo asubuhi pekee wameopolewa maiti ...

Read More »

Huwezi kujua kesho ya mpinzani wako

SITAKI kumtetea Patrick Aussems na wala sitaki kusimama upande wa Masoud Djuma lakini najisikia kusema jambo dogo tu baada ya dakika 90 pale CCM Kirumba. Anaandika Mchambuzi Maalum … (endelea). ...

Read More »

Nani aliyeomba kuzaliwa Tanzania?

WAPENDWA sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia! Anaandika Mwalim Mkuu wa Walimu…(endelea). Hakuna kati yetu aliyeomba azaliwe katika nchi hii ambayo sasa inaitwa Tanzania. Nani alimchagua mwenzake ...

Read More »

Ngono chap chap yapigiwa chapuo bungeni  

 SUSAN Lyimo, Mbunge wa Viti Maalum Chadema ametaka kutengenezwa mazingira ili wanaotaka kufanya ngono haraka, wawe  na amani. Anaandika Mwandishi Maalum…(endelea). Lyimo ameitaka serikali kuruhusu watu kujipima wenyewe maambukizi ya ...

Read More »

Lema apigwa, visu vyatamba Arusha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari taarifa ya kipigo hicho ameifikisha katika Jeshi ...

Read More »
error: Content is protected !!