Author Archives: Gerva Lyenda

Sergio Aguero atajwa kuwania Ballon d’Or

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya Machester City, Sergio Aguero ameungana wachezaji mahiri duniani waliotajwa kuwania tuzo ya FIFA ya Ballon d’Or. Anaripoti Gerva Lyenda … ...

Read More »

Mwakyembe atoa sababu 10 za kuhamia CCM

ALIYEKUWA Diwani wa Mtoni kwa tiketi ya CHADEMA, Bernard Mwakyembe, ametoa sababu 10 zilizomfanya aondoke Chadema na kuhamia CCM. Anaripoti Gerva Lyenda … (endelea). Mwakyembe alizitaja sababu hizo mbele ya ...

Read More »

Chadema yazindua Sera mbadala ya maendeleo ya Taifa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua sera mbadala ya Taifa leo Jumanne tarehe 25 Septemba, 2018. Akizungumza wakati wa uzinduzi, Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema ...

Read More »

Fellaini ashika namba nne kulipwa mshahara mnono Man United

KIUNGO wa Manchester United ambaye ni raia wa Ubelgiji, Marouane Fellaini, ameongezewa mshahara unaomfanya ashike namba nne kati ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa kwa wiki kwenye klabu yake. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Anthony Joshua aendeleza rekodi ya kibabe

BONDIA wa Uingereza, Anthony Joshua (28), usiku wa kuamkia Jumapili Septemba 23, 2018, ameendeleza ubabe kwa kumtwanga Alexander Povetkin (39) kwa KO (Knock Out) katika raundi ya saba. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram