Author Archives: Saed Kubenea

Kingunge ametoweka akiwa ‘kijana’

20180206_121506

ALIYEKUWA “mchungaji mkuu” wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), msemaji wa chama hicho na muumini wa itikadi yake iliyokufa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru (87), amezikwa jana Jumatatu, jijini Dar es Salaam. ...

Read More »

Lowassa, Sumaye kunguruma Dar kesho

IMG_9581

MAWAZIRI wakuu wawili wastaafu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano –Fredrick Sumaye na Edward Lowassa – kesho Jumamosi, wanatarajiwa kunguruma jijini Dar es Salaam. Anaripoti Saed Kubenea… (endelea). Sumaye na ...

Read More »

​Lissu afika salama Ubelgiji, apokelewa kwa ulinzi mkali

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki akipokelewa na madaktari wa hospitali aliyoenda kutibiwa nchini Ubelgiji

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu, amewasili salama nchini Ubegiji alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu zaidi. Anaripoti Saed Kubenea.… (endelea). Taarifa kutoka kwa mmoja ...

Read More »

Magufuli amwangukia Kinana

Rais John Magufuli, Mwenyekiti wa CCM (wakwanza) akitete jambo na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa chama hicho

JOHN Pombe Magufuli, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemuomba katibu mkuu wa chama hicho, Abdulrahaman Kinana, kuendelea na wadhifa huo. Anaripoti Saed Kubenea….(endelea). Vyanzo vya taarifa kutoka ...

Read More »

Jussa amsuta Kikwete hadharani

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete picha kubwa. Kulia ni Ismail Juma na kulia ni kikosi cha Zanzibar Heroes kilichotinga fainali michuano ya Chalenji

ALIYEKUWA Rais wa Jamhuri, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, “amesutwa” hadharani kuwa ndiye chanzo kikuu cha kuwapo mkwamo wa kisiasa, Visiwani Zanzibar. Anaandika Saed Kubenea… (endelea). Tuhuma dhidi ya Kikwete zimetolewa ...

Read More »

Mbunge Chadema aibukia polisi

Susan Kiwanga, Mbunge wa Mlimba

MBUNGE wa Mlimba (Chadema), Suzan Kiwanga (Mama Kiwanga), pamoja na wanachama wengine 67 wa chama hicho, wameswekwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mkoani Morogoro, anaandika Saed Kubenea. Taarifa kutoka ...

Read More »

Lazaro Nyalandu hakamatiki

20171030_232529

KILICHOITWA na watawala, “Operesheni Tokomeza” iliyoishia kujiuzulu kwa waziri mmoja na kufutwa kazi mawaziri watatu wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, yaweza kuwa funguo ya ukomeshaji wa vitendo vya mauwaji, ...

Read More »

Wananchi hawali takwimu, wanakula uchumi

DSC01501-FILEminimizer

Na Saed Kubenea MSEMAJI wa serikali, Dk. Hassan Abass, amekana madai kuwa uchumi wa taifa unayumba, mfumuko wa bei umeongezeka na mifuko ya wananchi imetoboka. Dk. Abass anasema, uchumi wa ...

Read More »

Sakata la Madiwani Arusha; Takukuru, Maadili kazi kwenu

DLJMhkJXkAAM0NW

MBUNGE wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari, sasa aweza kuwa “amefunga rasmi” mgodi wa ununuzi wa madiwani wa upinzani uliobuniwa na viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika ...

Read More »

Nassari aanika ushahidi wa CCM kununua madiwani

Nassar na uzio6

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ameanika ushahidi mwanana kuhusiana na mradi wa ununuzi wa madiwani, anaandika Saed Kubenea. Mbele ya waandishi wa habari mjini Arusha, ...

Read More »

Tundu Lissu aibuka, awahutubia mawakili kwa simu

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema

RAIS wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ameibuka na kusema, “vijembe vinavyorushwa na Ummy Mwalimu,” waziri wa afya na ustawi wa jamii, “vitajibiwa na mimi mwenyewe,” anaandika Saed Kubenea. ...

Read More »

Jerry Muro asiye na fadhila

Jerry Muro akiwa na mawakili katika moja ya siku za kesi yake

NIMESOMA kilichoitwa na Jerro Muro, “ushauri kwa wanasheria nchini ” juu ya msimamo wao wa kutohudhuria mahakamani leo (Jumanne) na kesho, anaandika Saed Kubenea. Hatua ya mawakili hao, imefuatia kuvamiwa ...

Read More »

Magufuli anashitakika

John Magufuli, Rais wa Tanzania

RAIS John Magufuli, anaweza kushitakiwa kwa makosa aliyoyatenda wakati akiwa waziri wa Ujenzi katika serikali ya Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, anaandika Saed Kubenea. Hii ni kwa kuwa kinga iliyotajwa ...

Read More »

Walioshikilia Bombadier wamlima barua JPM

AC 6

KAMPUNI ya mawakili nchini Canada – Irving Mitchell Kilichman (IMK) – imemlima barua Rais John Magufuli, iliyosheheni masharti mazito ya kuachiwa ndege yake aina ya Bombadier Q400, anaandika Saed Kubenea. ...

Read More »

Bombardier ya Magufuli kupigwa mnada

Ndege aina ya Bambadier Q400

NDEGE iliyonunuliwa na Rais John Magufuli, nchini Canada, aina ya Bombardier Q400, imekamatwa nchini humo na iko hatarini kuuzwa kwa mnada, anaandika Saed Kubenea. Taarifa kutoka Montreal, Canada na wizara ...

Read More »

Rais Magufuli: Mtoto akipata mimba asirudi shule

Rais John Magufuli

RAIS John Magufuli amepiga marufuku wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shuleni, kurejea na kuendelea na masomo baada ya kujifungua, anaandika Saed Kubenea. Akihutubia mamia ya wananchi katika mji wa ...

Read More »

Tundu Lissu akamatwa tena

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (katikati) akiwa chini ya ulinzi alipokamatwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni

JESHI la polisi limemkamata mwanasiasa machachari nchini na mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anaandika Saed Kubenea. Lissu ambaye amepitishwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kugombea nafasi ya ...

Read More »

Uchaguzi TLS, Dk. Mwakyembe aanza kupukutika

Harrison Mwanyembe, Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) na hivyo hataweza kupiga kura, anaandika Saed Kubenea. Dk. ...

Read More »

Tunahitaji sheria isiyonyamazisha wananchi

Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

KAMATI za Kudumu za Bunge la Jamhuri zinaanza vikao vyake leo Jumatatu mjini Dodoma. Mikutano ya Kamati ni mahususi kwa wabunge kupata fursa ya kukutana na serikali na wadau kupitia ...

Read More »

Rais Magufuli ameshindwa mapema

  RAIS John Pombe Magufuli aweza kukwama mapema. Alichokisema miezi 10 iliyopita sicho anachokitenda sasa. Alivyoahidi ameanza kuvisahau. Anavyong’ang’aniza havitekelezeki, anaandika Saed Kubenea.  Baadhi ya waliokuwa wamemuunga mkono katika mbio ...

Read More »

Jaji Mutungi, wakala wa CCM?

JINA la Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa nchini, limegonga tena vichwa vya habari. Jina hili huwa linajitokeza kwa nadra. Ila linapojitokeza, huwa ni kwa masuala yenye utata, anaandika ...

Read More »

Rais Magufuli asipotoshwe mali za Waislamu

RAIS John Pombe Magufuli, ameahidi kuwa serikali itarejesha “mali zote za waislamu” anazodai zimeporwa na wajanja wachache, anaandika Saed Kubenea. Amesema kwa muda mrefu Waislamu wamelalamika kwamba mali zao zimeporwa ...

Read More »

Tulia ametenda uovu

DK. Tulia Akson, naibu spika wa Bunge, amefanikiwa kuvuna aibu. Ni kule kukubali kwake kusimamia uamuzi wa kufukuza wabunge saba wa upinzani katika Bunge la Jamhuri, anaandika Saed Kubenea. Miongoni ...

Read More »

Zanzibar ni kupe katika Muungano?

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amefuta Sherehe za Maadhimisho ya Muungano. Ameagiza wananchi waadhimishe sherehe hizo wakiwa majumbani au katika shughuli zao binafsi, anaandika Saed Kubenea. Sherehe za ...

Read More »

Lowassa amshinda Magufuli

EDWARD Ngoyai Lowassa, sasa anaongoza rasmi jiji la Dar es Salaam. Ni baada ya Isaya Chares Mwita, aliyekuwa mgombea wa kiti cha umeya, kutangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho, anaandika ...

Read More »

Magufuli na serikali vipande

BAADA ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuwa mshindi wa kiti cha urais na baadaye kuapishwa, Rais John Magufuli aliahidi kuunda baraza dogo la mawaziri, anaandika Saed ...

Read More »

Wizi mpya wagundulika Bandari

MAMILIONI ya shilingi ya Mamlaka ya Bandari (TPA), yaliyohifadhiwa katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), yamenusurika kukwapuliwa na baadhi ya vigogo serikalini. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Kwa mujibu wa ...

Read More »

Kubenea akana tuhuma, akemea

NIMESOMA andishi la anayejiita Seif Rashid, lililochapishwa kwenye mitandao kadhaa ya kijamii, pamoja na baadhi ya magazeti. Andishi limejielekeza katika kunijadili binafsi: Jinsi nilivyofanikiwa kuwa mbunge wa jimbo la Ubungo, ...

Read More »

Zito Kabwe, kutoka uzalendo hadi usaka tonge

ZITTO Zuberi Kabwe, kiongozi mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, ni ndumilakuwili. Ni kigeugeu. Haaminiki. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Anataka kupanda farasi wawili kwa wakati mmoja; lakini kwa barabara ...

Read More »

Lowassa amtingisha JK

NI Lowassa kina kona. Kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, sherehe za harusi, msiba, usafiri wa daladala, meli na ndege, jina la Edwad Lowassa, mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya ...

Read More »

Waziri wa JK kuburuzwa mahakamani

WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, aweza kufikishwa mahakamani, kujibu shitaka la utapeli. Anatuhumiwa kumtampeli raia kutoka Korea, Chris Incheul Chae. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Mwingine awezaye kufikishwa ...

Read More »

Siri za Prof. Lipumba kujiuzulu zafichuka

Rais Jakaya Kikwete (kulia), akifurahia jambo na Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba

SIRI kuu ya kujiuzulu uenyekiti katika Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, imeanza kufichuka. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka serikalini, ofisi kuu ya CCM, Lumumba, Idara ya ...

Read More »

Prof. Lipumba ‘afika bei’

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akitanganza kung'atuka wadhifa wake wa Uenyekiti wa CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ametangaza kung’atuka wazifa wake, kwa kile alichoeleza, “kuwa kikwazo” katika harakati za kukindoa madarakani Chama Cha Mapinduzi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). ...

Read More »

Mnyika aibukia Kamati Kuu

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika (wa kwanza kushoto) akiwa na viongozi wenzake katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameibuka jijini Dar es Salaam na kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama chake. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka ndani ya kikao ...

Read More »

Ujio wa Lowassa Chadema: Maswali mengi yatapata majibu

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na aliyekua mgombea wa urais Chadema, wakati wa kuchukua fomu ya kugombea urais katika uchaguzi wa 25 Oktoba mwaka jana

MJADALA juu ya Edward Lowassa, mbunge wa Monduli, kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaendelea kushika kasi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). ...

Read More »

Rais wa UKAWA hadharani

Viongozi wa UKAWA wakitia saini makubaliano yao waliyokubaliana

JUMUIKO la vyama vinavyounda muungano wa kutetea katiba ya Wananchi (UKAWA), linatarajiwa kumtangaza mgombea wake urais jioni hii, jijini Dar es Salaam. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka ndani ...

Read More »

Lowassa kumshitaki Kikwete

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) alipokuwa anamnadi Edward Lowassa jimboni kwake Monduli 2010

WAZIRI mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amepanga wakati wowote kutoka sasa, kumkatia rufaa Rais Jakaya Kikwete. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).   Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ...

Read More »

Magufuli kulinda wizi wa Mkapa

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa (kushoto) akiteta jambo na Rais wa Tanzania, John Magufuli

JOHN Pombe Magufuli, ni mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyepitishwa kuwania nafasi hiyo ili kulinda maslahi binafsi ya Rais mstaafu, Benjamin Mkapa. Anaadika Saed Kubenea … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Pinda aliulilia urais

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa machozi wakati John Magufuli akitangazwa kuwa mgombea wa CCM

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, alimwaga chozi ndani ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulilia urais. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Taarifa zinasema, Pinda alimwaga kilio hicho wakati John ...

Read More »

Lowassa aenguliwa mbio za urais

Mtia nia wa CCM, Edward Lowassa (katikati) akiwa kwenye sura ya majonzi

JINA la Edward Lowassa, mmoja wa wasaka urais kwa udi na uvumba, limeenguliwa katika hatua za awali za kinyang’anyiro hicho. Anaandika Saed Kubenea …(endelea). Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na ...

Read More »

Jeshi Burundi lamng’oa Nkurunziza

Waandamaji wa Burundi wakishangilia pamoja na wanajeshi mjini Bujumbura, baada ya kutangazwa kuwa Pierre Nkurunziza kupinduliwa

PIERRE Nkurunziza, Rais wa taifa la Burundi, amepinduliwa na kikosi cha jeshi la nchi hiyo. Mapinduzi hayo yamefanyika wakati Nkurunziza akiwa jijini Dar es Salaam, alikokuwa akihudhuria mkutano kuhusu taifa ...

Read More »

ACT-Tanzania: Demokrasia au ufalme wa Zitto?

Zitto Kabwe akikabidhiwa kadi ya ACT-Wazalendo

KINACHOJIITA chama kipya cha siasa nchini – ACT Tanzania na ambacho kilizinduliwa jijini Dar es Salaam, Jumapili iliyopita, kimepoteza upya wake. Kimekumbatia ukale. Viongozi wake ni wale walioshindwa kufanya kazi ...

Read More »

Makonda hana usafi wa kumtuhumu Gwajima

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda

ANAYEITWA mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, ameelekeza asichokiamini na; anataka kutenda asichokuwa na mamlaka ya kukitekeleza. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Amesema amemuita ofisi kwake Askofu wa Kanisa ...

Read More »

Zitto Kabwe: Historia haiheshimu wanaojikweza

Viongozi wa ACT-Tanzania

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hatimaye kimetua mzigo uliokielemea kwa muda mrefu. Ni kuondoka kwa Zitto Zuberi Kabwe katika chama hicho. Zitto, aliyepata kuwa naibu katibu mkuu, mbunge wa ...

Read More »

Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

Profesa Mwesiga Baregu

PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kibuli cha kujiona hakuna zaidi ya yeye. Anandika Saed Kubenea ...

Read More »

Zitto Kabwe: Msaliti aliyejivika ukondoo

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe, ameanza kuweweseka. Anasema kisichopo na kusingizia wasiohusika. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara, jimboni kwake Jumapili iliyopita, Zitto alisema, hatua ...

Read More »

Askofu Kilani amkana Kardinali Pengo

Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini, amekana kujiengua na viongozi wenzake wa madhehebu ya Kikristo wanaosisitiza waumini wao kupigia kura ya hapana Katiba Pendekezwa.  Anaandika Saed Kubenea … ...

Read More »

Kanisa lataka CCM isichaguliwe 2015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

JUKWAA la Wakristo nchini limetaka waamini wake, kutopigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Anaandika Saed Kubenea…(endelea). ...

Read More »

Membe, Pinda ‘wajiengua’ mbio za urais

Waziri Mkuu, Mizeongo Pinda akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe

MIZENGO Pinda na Bernard Membe, tayari wamejiengua katika orodha ya wanaosaka urais kupotia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Saed Kubenea…(endelea). Ni vigumu kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri, Mizengo Pinda na ...

Read More »

NIDA: Mradi wa kunufaisha wakubwa

Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maumi

DICKSON Mwaimu, mtendaji mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ameliibua upya sakata la mradi wa vitambulisho vya taifa. Anaandika Saed Kubenea…(endelea).aifa (NIDA0, Dickson Maumi Amenukuliwa akisema, uandikishaji mpya mikoani haufanyiki ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube