Author Archives: Nyaronyo Mwita Kicheere

Nani kawahonga Mwakyembe, Masaju?

MWAKA 1955 wakati mama yangu amebeba mimba yangu kulitokea jambo kule mkoani Mara katika Wilaya ya Tarime, ambalo halisahauliki miongoni mwa Wanyamongo wa Tarafa ya Ingwe na Wanyabasi wa Tarafa ...

Read More »

Magufuli anasababisha CCM wote tuchekwe

HIVI kama ni wewe, utafanyaje iwapo utatoka matembezini na kupishana mlangoni, na mamako mzazi, naye anakwenda matembezini, huku upande mmoja yuko uchi, kwa sababu pindo la sketi au gauni yake ...

Read More »

Waheshimiwa Wassira, Chikawe wanaishi dunia gani wenzetu?

Stephen Wassira

KAULI  za mawaziri wawili wa Rais Jakaya Kikwete, Mathias Chikawe, waziri wa Sheria na Katiba na yule wa Ofisi ya Rais Uratibu, Stephen Wassira zimetufunza kwamba kwa Mtanzania kuondoka kijijini ...

Read More »

Nimepata ajira mpya CHADEMA

Vurugu Bungeni

NINAYOSEMA leo sikutumwa na mtu, chama au kiongozi yeyote,  ni yangu mwenyewe na ninayasema kwa wadhifa wangu mpya kama Msemaji Mkuu wa CHADEMA kwa mambo ya mitaani, barabarani, vijiweni na ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube