Author Archives: Khalifa Abdallah

Polisi, Dawasco, Tanesco kuanzisha msako mkali

IMG-20180817-WA0026

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Tanesco, Dawasco na kampuni mbalimbali za simu za mkononi limeanzisha msako dhidi ya watu wanaohujumu miundombinu ya mashirika ...

Read More »

Wajawazito wahimizwa kupima Ukimwi

images (1)

AKINA Mama wajawazito wametakiwa kuwahi kliniki mara wanapohisi wana ujauzito na kufuata ushauri wa wataamu wa afya ili kuwakinga watoto wanaotarajia kujifungua dhidi ya maabukizi ya Virus vya UKIMWI. Anaripoti ...

Read More »

Mtandao wa Wanafunzi waipongeza TCU

Alphonce Lusako, ofisa wa ukaguzi wa haki za binaadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Picha ndogo Hellen Sisya, Ofisa Habari wa TSNP

MTANDAO wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umetoa shukrani kwa Tume ya Vyuo Vikuu  (TCU) kwa kukubali ushauri wao wa utaratibu mpya wa wanafunzi wa elimu ya juu wa kujithibitishia vyuo au ...

Read More »

Dk. Mwakyembe awaagiza TCRA kutoa ufafanuzi sakata la ving’amuzi

muu

DK.Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo,  amesema kuwa uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzitaka kampuni zinazomiliki Zuku, DSTV na Azam TV kuondoa chaneli za umma ...

Read More »

TCU waanzisha mfumo mpya kwa wanafunzi wapya

Katibu Mtendaji TCU, Charles Kihampa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kuwa na mfumo mpya wa kielektroniki utakomwezesha mwanafunzi kuthibitisha chuo anachokwenda kusoma baada ya kuchaguliwa na zaidi ya chuo kimoja. Anaripoti Khalifa Abdallah ...

Read More »

Serikali kuwatibu wagonjwa damu nchini

IMG-20180813-WA0052

SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya mkakati wa kuhakikisha watanzania wote wanaougua magonjwa ya damu watibiwe ndani ya nchi kwa kujengea uwezo hospitali zote nchini. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Mganga ...

Read More »

Serikali yatangaza tahadhari ya uwepo wa ugonjwa wa Ebola

Mmoja wa wagonjwa wa Ebola huko Afrika ya Magharibi

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya hali ya juu ili kujikinga na kudhibiti na ugonjwa wa Ebola nchini. Anaripoti ...

Read More »

Wanawake wanaotumia uzazi wa mpango waongezeka

IMG-20180810-WA0044

SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa idadi ya wanawake wanaotumia huduma za Afya za Kisasa za uzazi wa mpango zimeongezeka nchini mpaka ...

Read More »

Polisi wajichunguza tuhuma za kumpiga mwandishi

Kamanda Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandiishi wa habari wa Wapo Radio aitwaye Sillas Mbise lililotokea August 08, 2018. ...

Read More »

Viongozi Tanga watakiwa kuwa wabunifu

20180807_215803

VIONGOZI na watendaji wakuu wa halmashauri ya Jiji la Tanga wametakiwa kuwa wabunifu katika kuhakikisha wanawafikia wanawake wengi wanaoishi mjini ili waweze kujiunga na huduma za uzazi wa mpango. Anaripoti ...

Read More »

Utumiaji maji safi na salama, kinga kubwa ya kipindupindu

20180807_211735

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza jamii ya Tanzania juu ya utumiaji wa maji safi na salama ili kuweza kupambana na ugonjwa wa ...

Read More »

Watu 13 wafikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi

IMG-20180807-WA0026

WATU 13 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji fedha wa Sh. 154 milioni. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). ...

Read More »

Serikali kuinadi Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema Serikali imejipanga kuandaa na kutoa mafunzo ya uwezeshaji wa programu za kisomo na kufanya kampeni kwa kanda za kitaaluma ili ...

Read More »

Wizara ya Afya kufanya udahili wa wanafunzi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, inatarajia kufanya udahili wa wanafunzi kwa asilimia 100 kutoka wanafunzi 150 hadi 180 wa kada za Afya nchini. ...

Read More »

Watekaji waliotumia gari ya UN, wanaswa

IMG-20180803-WA0034

JESHI la Polisi Kanda Maluum ya Dar es salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuteka watu na kudai fedha kwa  kutumia gari yenye namba za Umoja wa Mataifa (UN) ...

Read More »

Serikali yasisitiza wajawazito kutibiwa bure

20180801_200455

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza kuwa huduma za uzazi kwa wajawazito zinatolewa bila ya malipo katima Hospitali na vituo vya afya vya ...

Read More »

Uwanja wa ndege mpya wakamilika asilimia 8o

20180801_101240

MHANDISI Isack Kamwelwe, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, amefanya ziara katika kiwanja kipya cha ndege cha Julius Nyerere kilichopo DSM kufanya ukaguzi wa ujenzi wa kiwanja hicho. Anaripoti Khalifa ...

Read More »

Augustino Mrema ampa kazi Kangi Lugola

maxresdefault

AUGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole,  amesema kama Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amedhamilia kuwashughulikia wanaowabambikizia watu kesi, basi aanze na waliombambikia kesi ...

Read More »

Rais Magufuli apongezwa  

Rais John Magufuli

SERIKALI inayoongozwa na Rais John Magufuli imepongezwa kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa kutoa na kuchukua hatua hasa katika magonjwa ya mlipuko. Anaandika Khalifa Abdallah… (endelea).  Pongezi hizo zimetolewa na Kituo ...

Read More »

DART yabadili ratiba ya mabasi

IMG-20180726-WA0001

KUFUATIA ujenzi wa daraja la juu kwenye makutano ya barabara ya Morogoro na Mandela, Kampuni ya UDA Rapid Transport (UDART)  inayotoa huduma kwenye mfumo wa mabasi yaendayo haraka imetangaza kubadili ...

Read More »

Askari waliokamatwa mauaji ya Akwilini waachiwa huru

Kamanda Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

ASKARI waliokamatwa kwa ajili ya uchunguzi wa mauaji ya Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilini Akwilina wameachiwa huru baada ya uchunguzi kutobaini kama wamehusika na tukio hilo. Anaripoti Khalifa ...

Read More »

Siku ya Mashujaa, JWTZ kufanya shughuli za kijamii

Msemaji Mkuu wa JWTZ, Kanali Ramadhani Dogoli

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho litaadhimisha Siku ya Mashujaa waliopoteza uhai wakipigania Taifa, kwa kufanya shughuli za mbalimbali za kijamii. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Msemaji ...

Read More »

Vodacom wamponza Mkurugenzi TCRA

Mhandisi Izack Kamwelwe, Waziri wa Uchukuzi, Usafirishaji na Mawasiliano. Picha ndogo, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kulaba

MHANDISI Izack Kamwelwe, Waziri wa Uchukuzi, Usafirishaji na Mawasiliano amempa siku 30 Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania  (TCRA) kuzungumza na Kampuni ya Mtandao wa simu ya  Vodacom Tanzania kutatua kero ya wizi wa ...

Read More »

Rais Magufuli atia saini ujenzi wa daraja la Salender

Dix4olEWAAApOgh

RAIS John Magufuli amemtaka mkandarasi wa daraja la Salender kuhakikisha anakamilisha kazi hiyo ndani ya muda uliopangwa huku akiwataka kuwatumia wafanyakazi kutoka Tanzania. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Hayo amezungumza ...

Read More »

Chadema wapingwa

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepinga vikali kitendo kitendo cha wananchi wanaosadikika ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujichukulia sheria mkononi kwa kuchoma moto ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube