Beki wa zamani wa Liverpool na klabu ya Crystal Palace kwa sasa Mamadou Sakho amekutana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
By Kelvin MwaipunguMay 31, 2021UONGOZI wa klabu ya Yanga umethibitisha kuvunja mkataba na kiungo wake Raia wa Angola, Carlos Stenio Fernandes ‘Carlinhos’ mara baada ya makubaliano...
By Kelvin MwaipunguMay 31, 2021Wachezaji watatu wa klabu ya Simba Josh Onyango, Clatous Chama na Ame Ibrahim watakosekana kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Namungo kocha...
By Kelvin MwaipunguMay 28, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba Hassan Dilunga ameondolewa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) mara baada ya jina lake...
By Kelvin MwaipunguMay 28, 2021Mara baada ya kukamilika kwa mchezo wa tarehe 3 Juni, 2021 kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba, Ligi Kuu Tanzania Bara...
By Kelvin MwaipunguMay 27, 2021KOCHA wa klabu ya Real Madrid amechukua maamuzi ya kuachana na klabu hiyo mara baada ya kumaliza kwa msimu huu wa Ligi...
By Kelvin MwaipunguMay 27, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeelezeka kuwa klabu yoyote ambayo inadaiwa na wachezaji haitoweza leseni na kushiriki michuano mbalimbali msimu...
By Kelvin MwaipunguMay 27, 2021MARA baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1, dhidi ya Rhino Rangers kocha msaidizi wa Azam FC vivie Bahati anaitaka klabu...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2021Robo fainali ya tatu nan ne zitaendelea tena hii leo kwenye viwanja tofauti, ambapo Jijini Dar es Salaam mabingwa watetezi wa michuano...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2021Manchester United leo itashuka dimbani kumenyana na Villarreal kwenye fainali ya kombe la Europa ambao itapigwa kwenye dimba la Gudansk nchini Poland...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2021Ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Mwadui FC kwenye robo fainali ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho (Azam Federation Cup)...
By Kelvin MwaipunguMay 25, 2021RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ametoa onyo kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara juu ya matumizi mabaya...
By Kelvin MwaipunguMay 25, 2021MARA baada ya klabu ya ASC Jaraaf ya Senegal kuondolewa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Coton Sports...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021KOCHA Luis Enrique amemuacha mlizi wa Reala Madrid Sergio Ramos kwenye kikosi cha wachezaji 25 cha timu ya Taifa cha Hispania kitakachoshiriki michuano...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021MABAO mawili kwenye dakika ya 71 na 76 yalimfanya Sergio Kun Aguero kufikisha mabao 184 ndani ya Ligi Kuu England na kuweka...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameipongeza klabu ya Simba kwa kufikia hatua ya robo Fainali ya...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2021PAMOJA na ushindi wa bao 3-0 walioupata kkabu ya Simba dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, lakini mabingwa hao wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguMay 22, 2021KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs, Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba, Didier Gomes ameshangazwa na wachezaji wake kwa kila...
By Kelvin MwaipunguMay 21, 2021Kwa mara ya kwanza toka aliposajiliwa ndani ya klabu ya Yanga mshambuliaji kutoka Burkina Faso Yacouba Sogne ameitwa kwenye timu yake ya...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2021Nahodha wa klabu ya Simba John Bocco anaamini kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs watahakikisha wanapambana ili kuondoka na matokeo...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2021Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika klabu ya Kazier Chiefs wamewasili jana...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2021WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, Dk. Medard Kalemani, amesema takribani Sh. 28 bilioni, zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia wananchi 3,832, ambao...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2021BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Jkt Tanzania Yanga sasa inafikisha jumla ya pointi 61, sawa na Simba...
By Kelvin MwaipunguMay 19, 2021SERIKALI imeagiza Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), irudie upya utafiti iliyoufanya kuhusu uvuvi wa samaki aina ya Kambamiti. Anaripoti Nasra...
By Kelvin MwaipunguMay 19, 2021KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, klabu ya Simba imekuja na kauli mbiu ya ‘Ama zetu,...
By Kelvin MwaipunguMay 19, 2021WAZIRI wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo innocent Bashungwa amewataka watanzania kwa pamoja kuinga mkono klabu ya Simba kwenye mchezo wa marudiano...
By Kelvin MwaipunguMay 19, 2021Mwamuzi msaidizi namba moja Abdulaziz Ally aliyechezesha mchezo wa Namungo Fc dhidi ya Yanga ameondelewa kwenye orodha ya waamuzi kwa michezi mitatu mara...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2021SASA ni rasmi klabu ya Mwadui FC imeshuka Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21, baada ya kukubali kichapo cha bao...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2021HARRY Kane, mshambuliaji Tottenham Hotspur ameandika barua ya kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo licha ya kubakia na mkataba wa miaka mitatu na...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2021KIKOSI cha Simba kimeingia kambili leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2021IKIWA umesalia mchezo mmoja kukamilika kwa Ligi Kuu Hispania (La Liga), klabu ya Real Madrid ipo shakani kupoteza ubingwa wa Ligi hiyo...
By Kelvin MwaipunguMay 17, 2021HUENDA kocha Mauricio Pochettino wa kikosi cha PSG, akawa kwenye wakati mgumu wa kutetea taji lake la Ligu Kuu Ufaransa baada ya...
By Kelvin MwaipunguMay 17, 2021PENALTI ya dakika 26, kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ dhidi ya SC Freiburg uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, ilitosha...
By Kelvin MwaipunguMay 17, 2021NAHODHA Mkuu wa kikosi cha Yanga, Lamine Moro ameondolewa kwenye timu hiyo na Kocha Nasriddine Nabi, baada ya kuonesha utovu wa nidhamu, wakati...
By Kelvin MwaipunguMay 16, 2021MARA baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-0, dhidi ya Kaizer Chiefs kocha mkuu wa kikosi cha Simba Didier Gomes ameonekana kutofurahishwa...
By Kelvin MwaipunguMay 16, 2021KIKOSI cha Simba kesho kitashuka dimbani kuwakabili Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
By Kelvin MwaipunguMay 14, 2021KIKOSI cha Yanga kesho kitashuka Uwanjani kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo Fc, utakaochezwa kwenye...
By Kelvin MwaipunguMay 14, 2021KUELEKEA mchezo wa kesho wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, Simba inapewa nafasi kubwa ya...
By Kelvin MwaipunguMay 14, 2021Mara baada ya mchezo wa Ligi Kuu nchini England kati ya Liverpool na Manchester United kuarishwa kutokana na vurugu za Mashabiki wa...
By Kelvin MwaipunguMay 13, 2021RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), amesema sababu za kiusalama ndiyo zilipelekea kuarishwa kwa mchezo kati ya Simba na...
By Kelvin MwaipunguMay 13, 2021SHABIKI wa Yanga, Mansur Hussen aliyetembea kwa miguu kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kutazama mchezo wa Simba na...
By Kelvin MwaipunguMay 12, 2021KLABU ya Manchester City imetangzwa kuwa bingwa mpya wa Ligi Kuu nchini England mara baada ya Manchester United kukubali kichapo cha mabao...
By Kelvin MwaipunguMay 11, 2021RATIBA ya michuano ya Kombe la Azam Federation CUP (ASFC) nchini Tanzania, hatua ya robo fainali, itashuhudia Yanga ikisafiri kwenda Shinyanga kuwavaa Mwadui...
By Kelvin MwaipunguMay 11, 2021MARA baada ya kuahirisha mchezo dhidi ya Yanga bodi ya Ligi Kuu imeahirisha tena mchezo wa Simba dhidi ya Coastal union kutoka...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2021PROFSA Abdallah Safari, mmoja wa wananasheria mahiri nchini Tanzania, amesema, hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuendelea kuwakingia kifua wabunge 19,...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2021Kamati ua uwendeshaji na usimamizi wa Ligi (kamati ya saa 72) itakutana hii leo tarehe 10 Mei 2021, kwa ajenda moja ya...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2021WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kutoa tamko kuhusiana na...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2021KLABU ya Simba imelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuishusha daraja Yanga kwa kugomea mchezo wao wa jan0a wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguMay 9, 2021Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba umeahilishwa kufuatia mkanganyiko wa muda wa kuanza mchezo huo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam umesema, utaipeleka timu yao katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, muda uliopangwa...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021