Thursday , 28 March 2024
Home kelvin
1173 Articles83 Comments
Michezo

Yanga, Simba kuweka kambi Morocco

  TIMU kongwe nchini Tanzania za Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam, zinatarajia kukwea pipa kwenda nchini Morocco kwa ajili...

MichezoTangulizi

Mnata, Shikalo watemwa Yanga, Haucho atambulishwa

  MABINGWA wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, imeendelea kujiimalisha kwa msimu wa 2021/22 kwa kumsajili kiungo mkabaji, Kharid Haucho....

Michezo

Tuisila Kisinda kuikacha Yanga, kutua Morocco

  UONGOZI wa mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam umesema, unakamilisha majadiliano na moja ya timu nchini Morocco kwa...

Michezo

Jonas Mkude arejea Simba

  JONAS Mkunde, Kiungo mkabaji wa mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21 na kombe la shirikisho, Simba ya jijini Dar es Salaam,...

Habari za Siasa

Maombi ya kutafuta uhuru wa Mbowe yashika kasi Chadema

  WANACHAMA na wafuasi wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, wameendelea kufanya maombi maalum, ya kumsihi  Mungu aingilie kati kwenye kesi inayomkabili...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaonya waghushi vyeti chanjo ya Korona “tutaanza na watumishi”

  SERIKALI ya Tanzania, imeonya kwamba itachukua hatua kali,  dhidi ya watu watakaobainika kughushi vyeti vya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19). Anaripoti...

MichezoTangulizi

Messi atokwa machozi, akiaga Barcelona

  MARA baada ya kucheza kwa miaka 21, hatimaye mchezaji hatari kwa sasa Duniani, Lionel Messi ameiaga rasmi klabu yake ya Barcelona, Uwanjani...

MichezoTangulizi

Yanga yampata mrithi wa Shikalo

  KLABU ya soka ya Yanga, imekamilisha usajili wa mlinda mlango Djigui Diarra, kutoka nchini Mali ambaye ameingia mkataba wa miaka miwili na...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi yawakamata wafuasi wa Chadema Kisutu

  BAADHI ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekamatwa na Polisi Tanzania nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Mtandao wakwamisha kesi ya Mbowe, Hakimu atoa maagizo

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imetoa amri ya kufikishwa mahakamani hapo kesho Ijumaa tarehe 6 Agosti 2021, saa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe kusikilizwa kimtandao akiwa gerezani

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, inasikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema,...

Habari Mchanganyiko

Wakamatwa kwa kutishia kuuwa kwa bastola

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wanne, kwa tuhuma za kutishia kuuwa watu kwa kutumia silaha aina...

MichezoTangulizi

Manara: Umarufu na Biashara zimeniondoa Simba

   ALIYEKUWA Afisa Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa sababu za kufanya biashara na kampuni zingine na umaarufu...

MichezoTangulizi

Peter Banda afungua usajili Simba

  Winga wa kimataifa wa Malawi Peter Banda, amekuwa mchezaji wa kwanza kufungua dirisha la usajilin ndani ya klabu ya Simba mara baada...

Michezo

Ligi Kuu Bara kuanza rasmi Septemba 29

  LIGI Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22, itaanza kupigwa kuanzia tarehe 29 Septemba 2021, mara baada ya kuchezwa mchezo wa...

Michezo

Yanga wakana kumsajili Banda

   KLABU ya Soka ya Yanga, imekana kuhusishwa na kumsajili winga wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda kufuatia tetesi za kuwa fundi huyo...

Michezo

TBC yaingia mkataba mnono na TFF

  SHIRIKA la Utangazaji Tanzania (TBC) limeingia mkataba wa miaka 10, wa matangazo ya matnagazo ya Radio kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na...

Michezo

Ni vikumbo vita ya usajili

  IKIWA Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika na Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), limeshafungua dirisha la usajili kwa klabu za Ligi Kuu na...

MichezoTangulizi

Yanga yavuta mwengine

  KLABU ya soka ya Yanga, imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji Yusuph Athuman Akitokea klabu ya Biashara United, Mara iliyokuwa inashiriki Ligi Kuu...

Michezo

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi kesho

MICHUANO ya klabu kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati (CECAFA Kagame Cup) yataanza kutimu vumbi rasmi kesho kwa jumla ya timu tisa...

MichezoTangulizi

Azam Fc yasaini mwengine kutoka Congo

KLABU ya Azam FC imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raiawa kidemokrasia ya Congo, Idris Mbombo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)...

MichezoTangulizi

MO Dewji akata Ngebe, aweka Bil 20

Mfanyabiashara na mwekezaji ndani ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji (MO), ameweka rasmi kiasi cha pesa shilingi 20 bilioni, kama sehemu ya uwekezaji...

MichezoTangulizi

Morrison, Mukoko wafungiwa michezo mitatu

  Wachezaji Bernad Morrison wa klabu ya Simba na Mukoko Tonombe kutoka Yanga wamefungiwa kutocheza michezo mitatu na kamati ya mashindano ara baaada...

Michezo

Hukumu kesi ya Yanga vs Morrison CAS, kutolewa ndani ya siku 26

  MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Kimichezo (CAS), itatoa hukumu ya kesi ya rufaa kati ya klabu ya Yanga na mchezaji, Bernard...

Michezo

Karia, Kidao wachanjwa

  RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ni miongoni mwa viuongozi waliopata chanjo ya corona, katika hafla iliyofanyika...

Michezo

Lamine ampewa mkono wa kwaheri Yanga

  KLABU ya Yanga imeachana rasmi na mlinzi wake wa kati, ambaye pia alikuwa nahodha wa kikosi hicho, Lamine Moro baada ya makubaliano...

Michezo

Simba haishikiki, yatwaa tena kombe mbele ya Yanga

BAO la dakika ya 79, lilofungwa na Thadeo Lwanga, lillitosha kuifanya Simba kutetea ubingwa wake wa kombe la Shirikisho (ASFC), dhidi ya Yanga,...

Michezo

Kocha Simba: Sina presha, nimeshawasoma Yanga

  KOCHA wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, Didier Gomes amesema, hana presha kuelekea mchezo wa fainali wa kombe...

Michezo

Tiketi elfu 11 zimeshauzwa mchezo Simba na Yanga

  JUMLA ya tiketi elfu 11 zimeshauzwa kuelekea mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa...

Michezo

Mapokezi ya Simba yasimamisha Kigoma

KIKOSI cha klabu ya Simba, kimewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Fainali wa kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga. Anaripoti Kelvin...

Michezo

Kisa Simba, Yanga wamkataa refa wa Fainali

  KLABU ya Yanga imeonekana kusikitishwa na kitendo cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumchagua Ahmed Arajiga kuwa mwamuzi wa mchezo...

Michezo

Simba, Yanga kufanya mazoezi uwanja mmoja Kigoma

  KUELEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation) siku ya tarehe 25 Julai, 2021, vikosi vya Simba na Yanga...

MichezoTangulizi

Yanga yaiwahi Simba Kigoma, yapokelewa kwa shangwe

  KIKOSI cha klabu ya Yanga kimetua rasmi mkoani Kigoma, kwa ajili ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya...

Michezo

TFF yafungua siku 42, dirisha la usajili

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefungua rasmi dirisha kubwa la usajili litakalodumu kwa siku 42, baada ya kumalizika kwa msimu...

MichezoTangulizi

TFF kicheko Mahakamani, zuio la uchaguzi laondolewa

  MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imeiweka pembeni kesi ndogo namba 305, ya zuio la shughuli za uchaguzi TFF, na kutaka...

Michezo

Biashara United kupanda ndege kimataifa mwakani

  KLABU ya Biashara United, kutoka Mara imefanikiwa kushiriki michuano ya kimataifa kwa msimu ujao, mara baada ya kumaliza katika nafasi ya nne...

Michezo

Gomes, Bocco wapeta tuzo mwezi Juni

  KOCHA wa klabu ya Simba, Didier Gomes pamoja na mshambuliaji wa klabu hiyo John Bocco wameshinda tuzo, mwezi Juni kwenye Ligi Kuu...

MichezoTangulizi

Fei Toto ampa zawadi ya mabao Niyonzima

  KIUNGO wa klabu ya Yanga, Feisal Salum ambaye ndiye mfunga wa mabao yote mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi...

Habari Mchanganyiko

Ofisa wa Serikali aficha mamilioni ‘hadi kwenye friji’

  VITA dhidi ya dawa za kulevya imelipuka upya nchini Tanzania, baada kuanza kufahamika kwa mtandao wa watumishi ndani ya taasisi za umma,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mabilionea walioanza maisha kwa kazi za kawaida

  INAELEZWA kila mtu anazaliwa tajiri, pia masikini. Utajiri au umasikini wake unategemea na mazingira anayokulia, lakini inategemea zaidi na yeye mwenyewe. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Rasmi Yanga kuweka kambi nchini Morocco

  KLABU ya Soka ya Yanga imepenga kwenda kufanya maandalizi  (Pre Season) kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano nchini Morroco, siku chache...

Michezo

Dube, Sure Boy kuikosa Simba

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Azam FC, Prince Dube pamoja na kiungo wa klabu hiyo, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ wataokusa mchezo dhidi ya Simba...

MichezoTangulizi

Mashabiki elfu 10, kutazama fainali Simba na Yanga Kigoma 

  KUELEKEA mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), idadi ya mashabiki watakaoruhusiwa kutazama mchezo huo ni elfu 10...

Michezo

Maguire, Sterling waingia kikosi bora Euro, Ronaldo atupwa nje

NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Uingereza Harry Maguire, Rahim Sterling na Kyle Walker wamejumuhishwa kwenye kikosi cha wachezaji 11 bora wa michuano...

Michezo

Niyonzima kuagwa Yanga, Juni 15

KIUNGO mshambuliaji Raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, ataagwa rasmi ndani ya klabu ya Yanga tarehe 15 Julai, 2021, baada ya kuhudumu kwenye kikosi...

Michezo

Simba kukabidhiwa kombe lao dhidi ya Namungo FC

MARA baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa mara ya nne mfululizo, klabu ya Simba itakabidhiwa kombe hilo...

Michezo

Mastaa wawili Yanga warejea kambini 

  WACHEZAJI Haruna Niyonzima pamoja na Lamine Moro wamerejea kwenye kambi ya klabu hiyo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kusimamishwa...

Michezo

Mchezo wa Azam FC dhidi ya Simba, wasogezwa mbele

  KUFUATIA kupata ajali mbaya ya gari, kwa kikosi cha timu ya Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro, bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza...

Michezo

Ronaldo, Donnarumma watamba Tuzo Euro

STAA na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, pamoja na mlinda mlango wa timu ya Taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma,...

MichezoTangulizi

Simba Bingwa, mara nne mfululizo

  MABAO mawili ya John Bocco na Chriss Mugalu yalitosha kuifanya Simba kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu...

error: Content is protected !!