Thursday , 25 April 2024
Home kelvin
1174 Articles83 Comments
Habari

Rais Samia: Kuna mambo sitayatimiza kwa kukaa ‘Ikulu’

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuna mambo yaliyoanishwa katika Ilani ya Uchaguzi wa 2020 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hataweza...

Michezo

14 za fuzu makundi kombe la Shirikisho Afrika

  JUMLA ya Timu 14, kati ya 16 zimefanikiwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, mara...

Habari za Siasa

Balozi Mndolwa: Msiwachukie wapinzani

  BALOZI Fransic Mndolwa, ameshauri wanasiasa wa vyama vya upinzani wasichukiwe bali wapendwe, akisema wana msaada katika Taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

HabariTangulizi

Mgogoro mwingine waibuka KKKT

  MGOGORO mwingine umelikumba Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya wachungaji watatu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, kumtuhumu Askofu wao,...

HabariTangulizi

Rais Samia ateua DC, ahamisha 2

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dadi Horace Kolimba kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Karatu mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi...

Michezo

Karia: Ligi ngumu

  RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amekili kwa kinywa chake kuwa Ligiya msimu huu ni ngumu na hivyo...

Tangulizi

Kilichojiri kesi ya Makonda, hati ya mashtaka yabadilishwa

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, nchini Tanzania, imekubali ombi la mwandishi mwandamizi wa habari nchiniwanahabari mkongwe, Saed Kubenea, kuondoa...

Michezo

GSM kudhamini Ligi Daraja la kwanza

  MARA baada ya kuingia mkataba hivi karibuni wa kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kampuni ya Gsm Group imeonesha nia...

Michezo

Kocha Simba aingia ubaridi mchezo wa marudiano Zambia

  MARA baada ya kutoka na ushindi wa mabao 2-1, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Geita Gold Mine, kocha...

Michezo

Ronaldo awatolea uvivu waandaji tuzo Ballon d’Or

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Manchester United, Cristiano Ronaldo amemjia juu muandaaji wa tuzo ya Ballor d’Or Pascar Ferre ambaye pia ni mhariri...

MichezoTangulizi

Messi awabwaga, Lewandowski, Salah tuzo Ballon d’Or

  MSHAMBULIAJI wa Psg na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya  mchezaji bora...

Michezo

Aucho arejea, Yanga dimbani leo dhidi ya Mbeya kwanza

  KLABU ya soka ya Yanga, hii leo itashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza huku kiungo...

Habari za Siasa

Kada wa Chadema aibua mapya kesi ya Mbowe wenzake

  LEMBRUS Mchome, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) mkoani Kilimanjaro, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awatoa hofu wanaohoji uamuzi wa kuwarejesha shule waliopata ujauzito

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeamua kuwarejesha shule watoto wote walioacha shule kwa sababu mbalimbali kama vile, utoro, sababu za kisheria...

Michezo

Rangnick mwalimu wa Klopp, Tuchel ashushwa Manchester United

  KLABU ya Manchester United imemtangaza Ralf Rangnick kuwa kocha mkuu wa muda wa klabu hiyo mara baada ya kumtimua Ole gunnar solskjaer...

MichezoTangulizi

GSM yamwaga fedha Ligi Kuu, yaingia udhamini wa Bil 2

  KAMPUNI ya Gsm imeingia mkataba wa miaka miwili wa udhamini mweza wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu...

MichezoTangulizi

CAS yatupilia mbali rufaa ya Yanga kwa Morrison

MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana...

Michezo

MO Dewji apewa Urais wa Heshima Simba

  BODI ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, imemteuwa Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ kuwa Rais wa klabu hiyo mara...

MichezoTangulizi

Penalti ya Fei Toto, Simba wataka uchunguzi ufanyike

UONGOZI wa klabu ya Simba, umevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tukio la penalti lilitokea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,...

Michezo

Nchi tisa Barani Ulaya zafuzu kombe la Dunia

  MATAIFA tisa kutoka Barani Ulaya, yameafanikiwa kufuzu moja kwa moja kwenye michuano ya kombe la Dunia, mara baada ya kumalizika vinara kwenye...

Michezo

Majaliwa ataka wadau kuwekeza soka la vijana

  KUFUATIA kipigo cha mabao 3-0, walichokipata timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Congo,...

Michezo

Vigogo watatu wa soka Afrika, watanguliza mguu moja Qatar

  VIGOGO wa watatu wa soka Barani Afrika, tayari wamefanikiwa kufuzu kwa hatua inayofuata ya michuano ya kufuzu fainali za kombe la Dunia,...

Michezo

Stars kuifuata Madagascar na Ndege ya kukodi

  TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka jioni ya leo tarehe 12, Novemba 2021 kuelekea jijini Antananarivo, Madagascar kwa ajili ya...

Michezo

Poulsen akubali mziki wa Congo

  MARA baaada ya kupoteza mchezo kwa bao 3-0, dhidi ya Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Congo, kocha wa Timu ya Taifa...

Tangulizi

Stars basi tena, yatupwa nje kufuzu kombe la Dunia

  TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetupwa nje rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kufuzu kwa fainali za kombe la Dunia mara baada...

Tangulizi

Nape ataka utawala wa Rais Magufuli uchunguzwe

  MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi nchini Tanzania, Nape Nnauye ametaka uchunguzi maalumu ufanyike katika akaunti ya deni la Taifa katika kipindi cha...

Michezo

CAF waiondoa Biashara United kombe la Shirikisho

  MARA baada ya kushindwa kwenda kucheza mchezo wa marudiano nchini Libya dhidi ya Al Ahly Tripol, kamati ya mashindano ya Shirikisho la...

Makala & Uchambuzi

LSF ulivyopunguza msongamano magerezani, 35,000 wapata msaada wa kisheria

  UPATIKANAJI wa haki kwa wote ni jambo linalotarajiwa na kila mtu bila kujali mazingira aliyopo kwa wakati huo. Ndio maana hakuna mtu...

Michezo

Simba kuwakosa wanne leo dhidi ya Namungo FC

  KLABU ya soka ya Simba itakosa huduma ya wachezaji wake wanne, ambao wanakabiliwa na majeraha kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Michezo

Yanga yajikita kileleni, yampiga Ruvu tatu

   USHINDI wa mabao 3-1, dhidi ya Ruvu Shooting umzidi kuifanya klabu ya Yanga, kujichimbia kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Michezo

Conte amrithi Nuno Spurs

  ANTONIO Conte, kocha raia wa Itary aemeingia kandarasi ya miaka miwili kukinoa kikosi cha Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu nchini England mara...

Habari za SiasaTangulizi

Kampuni ya Tigo yaelezea miamala aliyoifanya Mbowe

FREDY KAPARA (38), shahidi wa tano upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

Habari za SiasaTangulizi

Mahojiano Rais Samia, BBC yaibua mvutano kesi ya Mbowe

  MAHOJIANO aliyoyafanya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na kugusia kesi inayomkabili kiongozi wa chama...

Habari za Siasa

Rais Samia amtembelea Lowassa

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Simba wapewa Wazambia kombe la Shirikisho

  KLABU ya soka ya Simba inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imepangiwa kumenyana na kikosi cha Red Arrows ya kutoka nchini Zambia, kwenye...

Michezo

Haya ndio mafanikio ya Gomes ndani ya Simba

  MARA baada ya kuchukua nafasi ya Sven Vandebroeck tarehe 24, Januari 2021, na kuanza kazi ya kukikonoa kikosi cha Simba katika kipindi...

HabariMichezoTangulizi

Simba yamtimua Gomes, Hitimana arithi mikoba yake

  KLABU ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, imevunja mkataba na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Didier Gomes Da Rosa, mara...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya Mbowe: Jaji mpya ajitambulisha, RPC Kingai aanza kutoa ushahidi

  KESI inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, imeanza kusikilizwa tena katika Mahakama...

MichezoTangulizi

Geita waishiwa uvumilivu, wamtimua Ndayilagije

  Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wa kikosi hiko Ettiene Ndayilagije,...

Michezo

Super Sunday: Vigogo Ulaya kutifuana

  NI sikukuu ya wapenda soka. Siku kubwa na yenye mvuto wa aina yake ulimwenguni. Ndivyo unaweza kuielezea leo Jumapili, tarehe 24 Oktoba...

MichezoTangulizi

Bocco mchezaji bora ligi kuu, Fei Toto shirikisho, Chama…

JOHN Raphael Bocco, Nahodha wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba, ametwaa tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa msimu 2020/21. Anaripoti...

Michezo

Newcastle yaachana na kocha wake

  Klabu ya soka ya Newcastle United ya nchini Uingeleza imeachana rasmi na aliekuwa kocha wake Steven Bruce, baada ya makubaliano ya pande...

Michezo

Yanga yaendelea kukusanya pointi, yaipiga KMC

  TIMU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, imeendelea kuonesha makucha yake katika ligi kuu NBC Tanzania Bara 2021/22, kwa kujikusanyia pointi...

Michezo

Kocha Yanga ang’aka kutumika wachezaji nane wa kigeni mchezo mmoja.

  KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Mohmed Nabi ameonekana mbogo, kutokana na kanuni ya kutumia wachezaji nane wakigeni katika mchezo mmoja, kitu...

Michezo

Simba yaitisha mkutano mkuu

KLABU ya soka ya Simba kupitia bodi ya wakurugenzi, imeitisha mkutano mkuu wa mwaka ambao utafanyika Tarehe 21, Novemba 2021 kwenye ukumbi wa...

Michezo

Simba yatumia dakika 3 kuwaua Wabotswana

  DAKIKA tatu zimetosha kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba kuanza safari vyema ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika...

Habari za Siasa

Kilio cha kuunganishiwa umeme na NIDA chaibuka, serikali yajibu

SERIKALI ya Tanzania, imeombwa kuingilia kati changamoto zinazokwamisha huduma zinazotolewa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)....

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania yazungumzia uchunguzi kupotea Azory Gwanda

  MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amesema Jeshi la Polisi nchini humo, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu tukio la kupotea kwa...

Michezo

Kocha atoboa siri ya ushindi Biashara United

  KOCHA wa kikosi cha Biashara United, Moses Odhiambo amesema kuwa ubora wa wachezaji wake ndio siri kubwa ya kupata ushindi dhidi ya...

Michezo

Yanga yaibadilishia gia angani Azam FC

KLABU ya soka ya Yanga, imebadili gia angani kwa kurudisha mchezo wao dhidi ya Azam FC, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...

error: Content is protected !!