KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Raia wa Senegal, Pape Sakho amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi januari, (Emirate Aluminium ACP...
By Kelvin MwaipunguFebruary 9, 2022WACHUNGUZI kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema wanao ushahidi wa kutosha unaoonyesha hatua kwa hatua namna maadui wanavyotaka kuiyumbisha nchi hiyo....
By Kelvin MwaipunguFebruary 9, 2022KLABU ya soka ya Simba itashuka dimbani Jumapili tarehe 13, dhidi ya ASEC Mimosas, kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya kombe...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2022KAMPUNI ya GSM imejiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kufuatia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2022MARA baada ya Timu ya Taifa ya Senegal kutwaa ubingwa wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON), Rais wa nchi hiyo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amefunguka kuwa katika bajeti ijayo ya Serikali atashauliana na Waziri mwenye dhamana ya michezo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2022UONGOZI wa klabu ya soka ya Simba umemsimamishwa kwa muda, kiungo mshambuliaji wake Bernad Morrison Raia wa Ghana kufuatia kuwa na matatizo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 4, 2022Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi feki za Mabingwa wa kihistoria wa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 2, 2022SERIKALI imepanga kuanza kupita kila kijiji, mtaa, wilaya, halmashauri na mkoa kusaka vijana wenye vipaji vya sanaa mbalimbali ili kuwasaidia. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguFebruary 2, 2022Kiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Chelsea Frank Lampard, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Everton kwa mkataba wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 31, 2022JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu utata wa tukio la kujinyonga hadi kufa kwa Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Grayson Mahembe...
By Kelvin MwaipunguJanuary 31, 2022KIUNGO mkabaji Raia wa Jamhuri ya Congo, Mukoko Tonombe amekamilisha usajili wake na kijiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini mwao,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2022UONGOZI wa la Dodoma nchini Tanzania, umesema hautasita kumchukulia hatua za kisheria mtu ambaye anakwamisha juhudi za maendeleo sambamba na utunzaji wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 23, 2022KLABU ya soka ya Simba imepoteza mchezo wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Tanzania mara baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 17, 2022DROO ya 32 ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam imechezeshwa hii leo, ambapo bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 17, 2022FISTON Kalala Mayele kwa sasa ni moja ya washambuliaji ambao hawakamiti kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya kuingoza Yanga kwenye...
By Kelvin MwaipunguJanuary 16, 2022DIRISHA la kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa katika nafasi ya uspika kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 15 Januari limefungwa rasmi...
By Kelvin MwaipunguJanuary 16, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kufuta matokeo yote ya watahiniwa 214 waliofanya udanganyifu katika upimaji kitaifa wa darasa la nne,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 15, 2022KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kumrejesha kiungo wake raia wa Zambia Clatous Chama, mara baada ya kufanikiwa kumsajili tena akitokea...
By Kelvin MwaipunguJanuary 14, 2022LICHA ya kutwaa taji la kombe la Mapinduzi, klabu ya soka ya Simba imetwaa tuzo tatu muhimu kwenye michuano hiyo ambayo imeunguruma...
By Kelvin MwaipunguJanuary 14, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeagiza uchunguzi dhidi ya wimbi la wanahabari kupata ajali, wakiwa katika misafara ya viongozi wa umma. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 12, 2022Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake kujifunza mafunzo ya ufundi wa ushonaji wa nguo kwa kuwa ni mojawapo ya sekta...
By Kelvin MwaipunguJanuary 11, 2022KLABU ya soka ya Simba imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika visiwani Zanzibar kufuatia kuondoka na ushindi wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2022KOCHA wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amemtetea mlinda mlango wake Erick Johora aliyeingia kuchukua nafasi ya Aboutwalib Mshery na kufungwa penati...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2022MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ameondoka kwenda Lilongwe nchini Malawi kuhudhuria mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2022MBUNGE wa Mlimba (CCM), Mkoa wa Morogoro, Godwin Kunambi amechukua fomu za kuwania kurithi mikoba ya Job Ndugai ya uspika wa Bunge...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2022ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele amechukua fomu za kuwania Uspika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu..(endelea). Masele...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2022Wachezaji wanne wa timu ya Taifa ya Morocco wataukosa mchezo wa leo dhidi ya timu ya Taifa ya Ghana, kwenye michuano ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2022KIUNGO wa klabu ya Simba Jonas Mkude amechgauliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki wa klabu ya Simba mwezi Desemba kwenye tuzo za...
By Kelvin MwaipunguJanuary 2, 2022KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga mwaka 2021 kwa kishindo mara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguDecember 31, 2021KOCHA mkuu wa klabu ya Simba Pablo Martin amemtakiwa kila la kheri mchezaji Ibrahim Ajibu mara baada ya kujiunga na Azam Fc...
By Kelvin MwaipunguDecember 31, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba pamoja na benchi la ufundi kwa sasa wapo katika wakati mgumu juu ya kuamua hatma ya mkataba...
By Kelvin MwaipunguDecember 31, 2021MLINZI wa kulia wa klabu ya Yanga Raia wa Jamhuri ya Congo, Djuma Shaban yupo hati hati kuukosa mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguDecember 30, 2021KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Ibrahim Ajibu amejiunga rasmi na matajiri wa jiji la Dar es Salaam, klabu ya...
By Kelvin MwaipunguDecember 30, 2021WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikiendelea kupamba moto, kwa kupigwa michezo 11 kwa baadhi ya timu, vita nyingine imeibuka katika kutafuta mfungaji...
By Kelvin MwaipunguDecember 30, 2021KLABU ya Soka ya Yanga imemtangaza rasmi mlinda mlango Aboutwalib Hamidu Mshery kama usajili mpya ndani ya klabu hiyo akitokea kwenye kikosi...
By Kelvin MwaipunguDecember 29, 2021WALIOKUWA wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), wamehoji ukimya wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, juu ya...
By Kelvin MwaipunguDecember 29, 2021WAKATI mlinda mlango namba moja wa klabu ya Yanga Djigui Diarra akitimka kwa ajili ya kujiunga na kambi ya Timu ya taifa...
By Kelvin MwaipunguDecember 29, 2021Clatous Chama Raia wa Zambia akiwa na kikosi cha RS Berkane atakutana uso kwa uso na timu yake ya Zamani ya Simba...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2021HATIMAYE zimesalia siku tatu 2021 kufika ukingoni usiku wa Ijumaa, tarehe 31 Desemba mwaka huu, huku dunia ikitikiswa na vifo vya watu...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2021KLABU ya Simba imewakata ngebe Kmc ambao walitamba hapo awali kuondoka na ushindi kwenye mchezo huo, mara baada ya kuwabugiza mabao 4-1,...
By Kelvin MwaipunguDecember 24, 2021WINGA wa klabu ya Simba Peter Banda anatarajia kutimka ndani ya kikosi cha Simba mara baada ya kujumuishwa kwenye kikosi cha Timu...
By Kelvin MwaipunguDecember 24, 2021KLABU ya KMC ya Kinondoni inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imetamba kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu dhidi...
By Kelvin MwaipunguDecember 24, 2021Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Novemba kwenye Ligi Kuu nchini England “EPL”,. Huku...
By Kelvin MwaipunguDecember 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuanzisha mradi wa kuiuzia gesi Kenya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo Ijumaa, tarehe 10...
By Kelvin MwaipunguDecember 10, 2021MCHEZAJI kiraka wa klabu ya simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Erasto Nyoni, amewataka mashabiki wa klabu ya Simba kujitokeza kwa...
By Kelvin MwaipunguDecember 9, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameruhusu mashabki kuingia bure kwenye michezo miwili ya kirafiki kati ya Tanzania...
By Kelvin MwaipunguDecember 9, 2021LEO Disemba 7, 2021 klabu ya soka ya Simba imemtangaza Tyron Damons Raia wa Afrika kusini kuwa kocha mpya wa makipa, akija...
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Watanzania kushirikia kikamilifu katika harakati za uwekezaji nchini badala...
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Steven Munga, amewakingia kifua wachungaji sita....
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021