KLABU ya Manchester United imeachana rasmi na kiungo wake Paul Pogba, mara baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo ambayo...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2022MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, klabu ya soka ya Simba imeachana rasmi na kocha wake Pablo Franco Martni mara...
By Kelvin MwaipunguMay 31, 2022KOCHA wa zamani wa Chelsea na Manchester United za Uingereza, Jose Mourinho ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha AS Roma ameimeingia kwenye...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2022BAO la dakika 74 lililowekwa kambani na Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Biashara United lilitosha kumfanya mshambuliaji huyo wa klabu ya Yanga...
By Kelvin MwaipunguMay 23, 2022MFUMO wa majaribio wa suluhishi za kifedha ulioandaliwa na Benki ya NMB umefungua wigo wa kuwawezesha wabunifu kujaribu suluhisho zao. Anaripoti Mwandishi...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2022KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita wachezaji 28 watakaojiunga na kambi, kwa ajili ya maandalizi ya...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2022KLABU za Simba na Azam FC zimetoshana nguvu kwa sare ya mabao 1-1, kwenye mchezo wa mzunguko wa 24 wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2022KOCHA wa klabu ya Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, Mbwana Makata pamoja na meneja wa kikosi hiko David Naftari wamefungiwa...
By Kelvin MwaipunguMay 17, 2022HATIMAYE klabu ya Simba imempa mkono wa kwaheri kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison, Raia wa Ghana ambaye atakauwa nje ya kikosi hiko...
By Kelvin MwaipunguMay 13, 2022MARA baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya Tanzania Prison, klabu ya Soka ya Yanga imetikiza dakika 27o sawa na...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2022Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba, Henock Inonga amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2022Kampuni ya Emirates Aluminium Profile imemzawadia kiasi cha shilingi Milioni mbili, Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally, kwa...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2022Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Ally Mayay amefunga juu ya ubora wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kusema kuwa wanaosema...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2022KLABU ya Soka ya Yanga ndani ya siku 17 zijazo, huwenda ikamaliza mchezo kwa kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu soka...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2022KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba Raia wa Mali, Sadio Kanoute hatokuwa sehemu ya kikosi cha klabu ya Simba kitakachoshuka dimbani kwenye...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2022LICHA ya kwenda sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa watani wa jadi, uliowakutanisha klabu za Simba na Yanga kwenye dimba la...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2022KLABU ya Simba imewasili salama nchini Afrika Kusini kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates, huku wakilalamika kuwa wenyeji...
By Kelvin MwaipunguApril 22, 2022TIMU ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi F, sambamba na timu za Taifa za Uganda na Algeria katika kuwania tiketi ya kufuzu...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022KLABU ya Soka ya Simba imeziomba mamlaka husika kuwapatia ulinzi wa kutosha wakati wa safari yao kuelekea nchini Afrika Kusini kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022KLABU ya soka ya Simba imeonekana kutouwazia mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya wapinzani wa karibu klabu ya Yanga, kwa...
By Kelvin MwaipunguApril 18, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amebaini ufanisi duni kwenye mchakato wa utoaji leseni kwa waendeshaji...
By Kelvin MwaipunguApril 15, 2022KLABU ya Orlando Pirates ya nchi Afrika Kusini, mpaka sasa haijatoa taarifa kuwa ni lini inatarajia kuingia nchini, kwa ajili ya mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 14, 2022KLABU ya soka ya Simba imezindua rasmi kampeni ya hamasa kuelekea mchezo wa hatua ya robo fainali wa michuano ya kombe la...
By Kelvin MwaipunguApril 12, 2022MARA baada ya kuibuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii juu ya ubora wa mshambuliaji wa klabu Yanga Fiston Mayele, Meneja Habari na...
By Kelvin MwaipunguApril 12, 2022KOCHA mkuu wa Yanga, Mohammed Nabi hatokuwa sehemu ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba kufuatia kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 11, 2022KOCHA wa klabu ya Simba Pablo Franco amechaguliwa kuwa kocha bora wa LigI Kuu Tanzania Bara mwezi Machi mara baada ya kumshinda...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Machi kufuatia kuonesha kiwango bora akiwa...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Simba kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022MTENDAJI mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amekili kuwa, huwenda winga wao Bernad Morisson atakosekana kwenye mchezo wa marudiano wa kombe...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022VIUNGO wa klabu ya Yanga Feisal Salum ‘Fei Toto’ sambamba na Khalid Aucho hawatakuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo kitakachoshuka dimbani...
By Kelvin MwaipunguApril 5, 2022RAIS SamiaSuluhu Hassan ameiagiza Taasisi yaKuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) “kuwashughulikia kisawasawa” wezi wa pembejeo za ruzuku na fedha za vyama vya...
By Kelvin MwaipunguApril 4, 2022USHINDI wa mabao 4-0, ulitosha kuifanya klabu ya Simba kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika mara...
By Kelvin MwaipunguApril 4, 2022BUNGE la Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo , limepiga kura kumuondoa Waziri wa Uchumi Jean Marie Kalumba , katika wadhifa wake Jumatano...
By Kelvin MwaipunguMarch 31, 2022KOCHA wa Timiu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Polusen ameonekana kukoshwa na bao la pili kwenye mchezo wa kimataifa wa...
By Kelvin MwaipunguMarch 24, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataizindua mwenyewe miradi yote inayotekelezwa Wilayani Chato mkoani Geita kama ambavyo angefanya mtangulizi wake Hayati Dk. John Magufuli....
By Kelvin MwaipunguMarch 17, 2022KATIKA kuelekea kutimiza mwaka mmoja wa uongozi wake, toka alipoingia madarakani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameonekana...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2022KLABU ya soka ya Yanga, imemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassan, kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2022BAO la dakika 42, lililowekwa kamabi na Pape Ousamne Sakho dhidi ya RS Berkane, lilitosha kuifanya klabu ya Simba kuwa kileleni kwenye...
By Kelvin MwaipunguMarch 13, 2022RAIS wa heshima na mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji “MO” amefunguka kuwa klabu hiyo tayari imeshaanza mazungumzo na baadhi ya...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2022KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya klabu ya Simba, kocha mkuu wa kikosi cha Biashara United Vivie Bahati, amefunguka...
By Kelvin MwaipunguMarch 3, 2022KOCHA mkuu wa kikosi cha Yanga, Mohammed Nasredin Nabi hakusita kumwagia sifa mshambuliaji wake kiongozi, Fiston Mayele raia wa Jamhuri ya Congo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 28, 2022UONGOZI wa klabu ya Soka ya Yanga umesema kuwa, katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanahitaji pointi 35 tu,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2022MWENYEKITI wa Baraza la Wazee la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Hashim Issa Juma, amekamatwa na Jeshi la Polisi,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 23, 2022KLABU ya Soka ya Yanga hii leo itashuka dimbani kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Biashara United kutoka mkoani...
By Kelvin MwaipunguFebruary 15, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewaagiza mawaziri watano kuelekea katika Bonde la Ihefu na kufanya tathmini ya uharibifu wa mazingira katika...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amewakumbusha wabunge kuzingatia uvaaji wa mavazi yanayoruhusiwa kikanuni na kuwa tayari kwa jambo lolote...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022MBUNGE wa Ilala (CCM), Mussa Azan Zungu, ametumia Kanuni za Bunge toleo la 2020, kuomba wabunge wamchague katika kiti cha U-Naibu Spika....
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022MARA baaada ya klabu ya soka ya Yanga hivi karibuni kutoa malalamiko yao kuhusu mwenendo wa waamuzi kwenye baadhi ya michezo ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022KUELEKEA mchezo wa hatua ya makundi wa michuano ya kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Simba imeonekana kuzamilia kufanya vizuri kwenye michezo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Raia wa Senegal, Pape Sakho amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi januari, (Emirate Aluminium ACP...
By Kelvin MwaipunguFebruary 9, 2022