MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam umesema, utaipeleka timu yao katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, muda uliopangwa...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeusogeza mbele, mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, kati ya Simba dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021KLABU ya Manchester City ambayo kikosi chake kipo chini ya Pep Guardiolla huenda leo wakatangazwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu England kama...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021IKIWA umebaki muda mchache kabla ya mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga, kupigwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021BARAZA la Wazee la Mkoa wa Dar es Salaam, limemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aongeze juhudi katika uimarishwaji misingi ya...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021KOCHA msaidizi wa Simba Suleiman Matola, awataka washabiki wa simba wajitokeze kwa wingi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa kikosi chake kesho kimepanga kwenda kuonesha burudani kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021WAKATI joto la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21 kati ya watani wa jadi, Simba dhidi ya Yanga likipamba moto, Kocha...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021MCHEZO war obo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Kaizer Chief dhidi ya Simba rasmi sasa utachezwa...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili 2021 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara huku kocha...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021JESHI la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limetoa masharti matano kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi (Simba na Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara tutashuhudia baadhi ya wachezaji wanaocheza eneo la ulinzi...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Real Madrid, kocha wa kikosi cha Chelsea, Thomas Tuchel ametoa pongezi kwa...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021Klabu ya Manchester United ya nchini England ipo tayari kutoa kiasi Euro 90 milioni sawa na shilingi 250.8 bilioni, kwa jili ya...
By Kelvin MwaipunguMay 5, 2021KOCHA wa kikosi cha Real Madrid Zinedine Zidane amethibitisha kurejea kwa naohodha wa kikosi hiko Sergio Ramos kwenye mchezo wa leo wa...
By Kelvin MwaipunguMay 5, 2021KIUNGO mshambuliaji wa Yanga C,arlos Carlinho yupo hatihati kuukosa mchezo dhidi ya Simba, kutokana na kuumia kwenye mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho...
By Kelvin MwaipunguMay 5, 2021KLABU ya Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya tarehe 8 Mei, 2021, ambapo kiingilio cha chini...
By Kelvin MwaipunguMay 5, 2021MSHAMBULIAJI wa PSG, Kylian Mmbape huenda akaokosa mchezo wao dhidi ya Manchester City leo, baada ya kupata majeruhi ya kifundo cha mguu...
By Kelvin MwaipunguMay 4, 2021EMMANUEL Mwandemba kutoka Arusha, ndiye atakayekuwa mwamuzi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa kwenye Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguMay 4, 2021UONGOZI wa klabu ya Coastal Union umekanusha taarifa za kuwa imeachana na kocha wake, Juma Mgunda baada ya matokeo mabovu ya hivi...
By Kelvin MwaipunguMay 4, 2021NAIBU waziri wa utumishi na utawala bora Deogratius Ndenjembi amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa timu mbalimbali hapa nchini wakifungwa na Yanga...
By Kelvin MwaipunguMay 4, 2021WACHEZAJI watatu wa klabu ya Yanga, Feisal Salum, Tonombe Mukoko pamoja na Michael Sarpong watarejea Uwanjani kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi...
By Kelvin MwaipunguMay 3, 2021RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema, Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fedrick Mwakalebela alipaswa kupewa...
By Kelvin MwaipunguMay 3, 2021MCHEZO wa Ligi Kuu nchini England kati ya Liverpool dhidi ya Manchester United utamua hatma ya ubingwa wa Manchester City kwa msimu...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2021SERIKALI ya Palestina, imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), iwachunguze maafisa wa Serikali ya Israel wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya ukiukwaji...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza watumishi waliostaafishwa kazi ikiwemo walioghushi vyeti, kulipwa...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2021KIUNGO wa timu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki wa klabu hiyo wa mwezi Aprili mara baada ya...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2021KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde amesema, takribani wanafunzi 90,025 wanatarajiwa kufanya mtihani wa Kidato cha Sita...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2021WAKILI Kuawayawaya Stephen Kuwayawaya, amemshauri Rais Samia Suluhu kuwa makini na watendaji wa ofisi yake. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kuwayawaya ametoa ushauri huo...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2021USHINDI wa bao 1-0, limewatosha kuifanya Yanga, kutinga hatua ya robo fainali ya michuano Kombe la Shirikisho (FA Cup) dhidi ya Tanzania...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021KLABU ya Simba imepangwa kucheza na Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepanga droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo Orlando Pirates kutoka...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, amesema atashirikiana na viongozi wa chama hicho, kupitia upya sera na miongozo...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021MWENYEKITI mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho, kutekeleza vyema Ilani ya Uchaguzi...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imepokea na itayafanyia kazi malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu wa ukaguzi unaofanywa kwenye...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemchagua kwa asilimia 100, Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa Mwenyekiti wa chama...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Phillip Mangula, amewaomba wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa chama hicho, kumchagua Rais...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021IKIWA msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaelekea mwishoni na klabu mbalimbali zimeanza kufanya mandalizi ya usajili, klabu ya Yanga ipo kwenye...
By Kelvin MwaipunguApril 29, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kesho tarehe 30 Aprili 2021 itatangaza Uwanja utakaopigwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa...
By Kelvin MwaipunguApril 29, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umemalizana na nahodha wa kikosi hiko John Bocco kwa kumsainisha mkataba mpya mara baada yaw a awali...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021Baada ya tetesi nyingi hatimaye klabu ya Simba imemuongezea mkataba beki wake wa kushoto Mohammed Hussen ‘Tshabalala’. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021KUFUATIA taarifa za beki wa kulia wa Simba, Shomary Kapombe kutaka kutimkia Yanga, baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu uongozi...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021KIKOSI cha Namungo FC leo kitashuka dimbani kwenye mchezo wa kukamilisha hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021BAADA ya kutoka sare ya mabao 1-1, kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea,...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amekuwa na msimu bora mpaka sasa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuhusika katika mabao 20...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021IKIWA imebakia miezi miwili kumaliza kwa mkataba wake ndani ya klabu ya Simba, beki wa kushoto na nahodha msaidizi wa kikosi hiko,...
By Kelvin MwaipunguApril 27, 2021KLABU ya Real Madrid itashuka dimbani leo kuwaalika Chelsea kwenye nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) kwenye...
By Kelvin MwaipunguApril 27, 2021KOCHA msaidizi wa kikosi cha Dodoma Jiji, Renatus Shija ameapa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguApril 26, 2021KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone pamoja na mlinzi wa kati, Pascal Wawa wamerejea kikosini baada ya kukosa mchezo uliopita wa Ligi...
By Kelvin MwaipunguApril 26, 2021BAO la dakika ya 86 lililofungwa na Prince Dube lilitosha kuifanya Azam FC kutoka kifua mbele kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguApril 25, 2021