Author Archives: Kelvin Mwaipungu

Karia ruksa kuwania uongozi FIFA

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeidhinisha kuwa rais wa sasa wa shirikisho hilo, Wallace Karia kugombea ujumbe wa baraza ndani ya Shirikisho la Mpira ...

Read More »

Yanga yatamba mbele ya Kagera

KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Kaitaba mkoani Kagera. Anaripoti ...

Read More »

Tuisenge arejea APR, asaini miaka miwili

MSHAMBULIAJI raia wa Rwanda Jacque Tuisenge amesaini miaka miwili kuitumikia klabu ya Apr inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo akitokea klabu ya Petro Luanda ya nchini Angola. Anaripoti Kelvin Mwaipungu… (endelea). ...

Read More »

Ligi Kuu kuendelea kuwasha moto kesho

MICHEZO ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea wikiendi hii kwa kuchezwa jumla ya mechi tisa, zitakazo chezwa katika viwanja tofauti tofauti, huku mabingwa watetezi klabu ya Simba wanatarajia kuwa katika ...

Read More »

40 kuingia kambini kuivaa Senegal

JUMLA ya wachezaji 40 wa kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queen kinatarajia kuingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa ...

Read More »

KCB yamwaga mamilioni Ligi Kuu

BENKI ya KCB imeingia mkataba wa mwaka mmoja na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ wenye thamani ya Tsh 500 Milioni kwa ajili ya udhamini wa Ligi Kuu Tanzania ...

Read More »

Yanga kujipima ubavu kwa Mlandege

TIMU Yanga kesho itacheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi mabingwa wa Ligi Kuu visiwani Zanzibar, Mlandege katika kujiweka sawa kuwakabili Kagera Sugar kwenye mchezo ujao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Man Utd, Man City kuanza Ligi mwisho wa wiki hii

KLABU za Manchester United na Manchester City zinatarajia kuanza mbio zake kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza mwishoni wa juma hili baada ya kupumzika kwa wiki moja. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Yanga yaanza kukusanya pointi Ligi Kuu

GOLI la dakika ya 86 lililofungwa kwa kichwa na beki kisiki wa Yanga, Lamine Moro limetosha kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea) ...

Read More »

Yanga wazindua jezi mpya 2020/21

MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, wamezindua jezi mpya ambazo zitatumika katika msimu wa 2020/21. Anaripoti Kelvin Mwapungu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Samatta njia panda Aston Villa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta anayekipiga kwenye klabu ya Astorn Villa huenda akauzwa katika dirisha hili kubwa la usajili kufuatia uongozi wa klabu hiyo ...

Read More »

TFF yadai wasifu wa makocha

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuwasilisha wasifu na vyeti vya makocha wao waliowaajili kuvinoa vikosi vyao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Magoli 14 yafungwa ligi kuu, KMC yaongoza

MICHEZO ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 imemalizika huku ikishuhudia magoli 14 yakifungwa katika mechi kumi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam…(endelea) Pazia la ...

Read More »

Yanga yaiteka nchi, mashabiki waitika

IDADI kubwa ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kwenye kilele cha “Wiki ya Mwananchi” kinaweza kuwa kielelezo tosha cha kuonesha kufanikiwa kwa tamasha hilo ambalo lilijumuisha burudani za muziki kutoka kwa ...

Read More »

Saprong, Kisinda waanza kwa furaha Yanga

BAADA ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa jana Jumapili tarehe 30 Agosti 2020 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kwenye kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ mshambuliaji Michael Sarpong na ...

Read More »

Kikwete aishauri Yanga kumwacha Morrison

RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewataka mashabiki wa klabu ya Yanga kutoumizwa kichwa na sakata la mchezaji Bernard Morrison kuhamia kwa watani zao Simba ...

Read More »

Simba yaanza kubeba makombe

TIMU ya Simba imeanza vyema safari ya msimu wa ligi 2020/21 kwa kutwaa Ngao ya Jamii. Anaripoti Kelvin Mwapungu…(endelea) Simba ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ...

Read More »

Pari Match waikogesha Mamilioni Mbeya

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Pari Match imeingia mkataba na klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya Sh. 270 milioni kama mdhamini mkuu. Anaripoti ...

Read More »

Yanga yatangaza kocha mpya

MABINGWA wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga, imemtangaza Zlatko Krmpotic kuwa Kocha Mkuu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Kocha huyo anakuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Luc Eymael ...

Read More »

Kikwete mgeni rasmi tamasha la Yanga

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la klabu ya Yanga maarufu ‘Siku ya Mwananchi’ litakalofanyika Jumapili ...

Read More »

Matatizo ya kifamilia yamkosesha kazi kocha Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kuachana na aliyetaka kuwa kocha wao Cedric Kaze kutokana na kutoa taarifa ya kuchelewa kufika nchini kwa wiki tatu kutokana na matatizo ya kifamilia. ...

Read More »

Simba mguu sawa kuivaa Namungo FC

KLABU ya Simba imecheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC na Transit Camp kujiweka sawa kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC, unaotarajiwa kuchezwa 30 Agosti, ...

Read More »

Mashabiki kuandamana Messi kuondoka Barcelona

BAADA ya mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi kutuma maombi maalumu kwa uongozi ya kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo, mashabiki wa klabu hiyo wameonekana kujikusanya katika mitaa mbalimbali ...

Read More »

Yanga kucheza na Aigle Noir kilele siku ya Mwananchi

KLABU ya Yanga inatarajia kucheza na timu ya Aigle Noir kutoka Burundi katika kilele cha Tamasha la Siku ya Mwananchi, linalotarajiwa kufanyika Jumapili 30, Agosti kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar ...

Read More »

Morrison atoa ya moyoni kuhusu Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison amesema kuwa klabu ya Simba ndio chuo cha mpira wa miguu nchini Tanzania na hakuna klabu nyingine. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Manara amaliza utata

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa bado yupo sana ndani ya klabu ya Simba na wala hana mpango wa kuondoka katika siku za hivi karibuni kama taarifa ...

Read More »

Cedric Kaze kocha mpya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umemtangaza Cedric Kaze kuwa kocha mpya wa klabu ya Yanga, ambaye atakiongoza kikosi hicho katika misimu ujao wa mashindano. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Kaze ...

Read More »

Majaliwa awataka Watazania kubadilika, wapende vyao

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wabadilike na wajifunze kujivunia kilicho chao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). “Lazima tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo, tukisemee kitu chetu, tujivunie kitu ...

Read More »

David Kameta asaini Simba

KLABU ya Simba imemsajiri aliyekuwa beki wa Lipuli FC, David Kameta, kwa mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuimalisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara ...

Read More »

Simba yazindua nembo na jezi mpya

KLABU ya Simba leo Ijumaa 14 Agosti, 2020 imezindua nembo yake mpya na jezi zitakazotumika kwenye msimu ujao wa kimashindano 2020/21 katika michuano ya ndani na nje ya nchi. Anaripoti ...

Read More »

Yanga wamkatia rufaa Morrison Fifa

MUDA mchache baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kutoa maamuzi ya kesi ya kimkataba kati ya klabu ya Yanga na Bernard Morrison, klabu hiyo haijardhishwa na uamuzi ...

Read More »

Morrison aishinda Yanga, kupelekwa kamati ya maadili

BERNARD Morrison amefanikiwa kuibwaga klabu ya Yanga kwenye kesi ya kimakataba iliyokuwa inasikilizwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Anaripoti ...

Read More »

Nyaraka kuamua hatma ya kesi ya Morison, Yanga

KAMATI ya Sheria na hadhi ya Wachezaji inatarajia kutoa maamuzi juu ya kesi ya kimkataba kati ya mchezaji Benard Morrison na uongozi wa klabu ya Yanga, baada ya shauli hilo ...

Read More »

Yanga yaachana na Yondani na Juma Abdul

KLABU ya Yanga leo imetangaza rasmi kuachana na wachezaji wake wakongwe, Kelvin Yondani na Juma Abdul baada ya kutofikia makubaliano baada ya mikataba yao kumalizika baada ya msimu kumalizika. Anaripoti ...

Read More »

Ninja arejea Yanga

ABDALLAH  Shaibu (Ninja) amerejea tena ndani ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya La Garaxy inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Mshambuliaji mpya Yanga aibuka mchezaji Bora mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Julai katika msimu wa 2019/20 baada ya kuwabwaga wachezaji ...

Read More »

TFF yampiga nyundo aliyekuwa kocha Yanga

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya Sh. 8 milioni, aliyekuwa kocha wa Yanga, Luc Eymael kwa kutoa maneno ya uchochezi ...

Read More »

Kocha Simba: Tumekuja kushinda fainali

KULEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema, wamekwenda Sumbawanga Mkoa wa Rukwa kucheza fainali hiyo ...

Read More »

Hatma ya Mbao FC, Mbeya City Ligi Kuu leo

KLABU za Mbao FC pamoja na Mbeya City zinashuka dimbani leo katika michezo ya marudiano ya mtoano (Play off) katika harakati za kuwania kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ...

Read More »

TFF yafungua dirisha la usajili

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF limefungua dirisha la usajiri kwa klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la kwanza, Daraja la pili na Ligi Kuu ya wanawake kwa kipindi ...

Read More »

Watuhumiwa watatu ujambazi wauawa Dar

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi eneo la Chamazi, waliokuwa kwenye gari aina ya Nissan X Trail lenye namba za usajili T ...

Read More »

Uwanja wa Taifa sasa kuitwa, Uwanja wa Mkapa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, amebadili jina la uliokuwa Uwanja wa Taifa na sasa kuwa unaitwa Uwanja wa Mkapa katika kumuenzi Hayati Mkapa kwenye mchango ...

Read More »

Yanga wamtimua kocha wake, kisa ubaguzi

KLABU ya Yanga imemfuta kazi kocha wake, Lucy Eymael kutokana na kauli zake za kibaguzi alizozitoa kwa mashabiki wa timu hiyo katika vipindi tofauti. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam ...

Read More »

Prof. Lipumba- Mwaka 2001 Tulijitenga na Mkapa

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema baada ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001, walijitenga na Rais mstaafu Benjamin William Mkapa. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam ...

Read More »

Kifo cha Mkapa, Chadema yaahirisha mikutano kuwapata wagombea urais

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetangaza kuahirisha mikutano yake iliyokuwa ianze tarehe 27 hadi 29 Julai 2020 ili kupisha maombolezo ya kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya ...

Read More »

Chadema yawaita Watanzania kumpokea Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimewakaribisha wanachama, vongozi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho. Anaripoti ...

Read More »

Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zamlilia Mkapa

BAADHI ya klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zimetuma salamau za rambirambi kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamini William ...

Read More »

‘Serikali imuenzi Mkapa kwa utawala bora’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa wito kwa serikali kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa katika dhana yake ya utawala bora. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na wanahabari ...

Read More »

Corona yawaibua shirika la usawa wa kijinsia

SHIRIKA la Usawa wa Kijinsia leo limeendesha semina ya siku mbili kwa waathirika wote wa maswala ya jinsia katika sehemu zao za kazi na makazi, haswa kwenye kipindi cha mlipuko ...

Read More »

Gwajima: Tutaishinda Chadema kabla ya sadaka ya kwanza

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni mtu pekee atakayeweza kurudisha jimbo la Kawe kwenye himaya ya Chama cha Mapinduzi (CCM) asubuhi na mapema. Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!