Author Archives: Yusuph Katimba

Lissu, Membe watwishwa zigo ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

HATMA ya kuwapo kwa ushirikiano wa vyama viwili vya siasa nchini Tanzania vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT- Wazalendo kuelekea uchaguzi mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Prof. Lipumba kugombea urais Tanzania

MKUTANO Mkuu Maalum wa Chama cha Wananchi (CUF), leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020, umempitisha Prof. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa chama hicho kuwani urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...

Read More »

Prof. Lipumba: CCM bila dola haipo

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema, Watanzania wamechoshwa na maisha ya umasikini, na sasa uhai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kubaki madarakani unategemea hisani ya dola. ...

Read More »

Membe: Mkapa alithamini akili kubwa

BERNARD Kamilius Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nneu, amemtaja Hayati Benjamin William Mkapa, Rais mstaafu wa Tanzania kwamba ni kiongozi aliyethamini akili kubwa. ...

Read More »

Mama Samia: Akisimama Mkapa, shughuli imeisha

MAMA Samia Suluhu Hassam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameeleza kufadhaishwa na kifo cha Benjamin Mkapa, Rais wa awamu ya tatu. Anaripoti Yusuph Katimba, Dar es ...

Read More »

Butiku: Ukiondoka madarakani, usiwachagulie Watanzania kiongozi

JOSEPH Butiku, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakina tabia ya kuwachaguliwa Watanzania rais na huo ulikuwa msimamo wa Hayati Benjamin William ...

Read More »

Maalim Seif: Mkapa alisema Tanzania si mali ya mtu, kikundi cha watu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo amesema, Hayati Benjamin Willium Mkapa alikuwa jasiri ingawa mengine hakuyapenda. Anaripoti Yusuph Katimba, Dar es ...

Read More »

Kosa la Mbatia ni lipi?

MIJADALA kwenye mitandao ya kijamii, imekoleza tuhumadhidi ya Mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, kwamba anatumika na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kudhoofisha upinzani. Anaandika Yusuph ...

Read More »

Selasini akoleza moto uenyekiti Chadema

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameonya kuwa hatua yeyote ya kuminya demokrasia ndani ya chama chake, yaweza kukigharimu chama ...

Read More »

Urais wa Membe waendelea kupata wafuasi  

BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 ndani ya Chama ...

Read More »

Prof. Lipumba kupata pigo jingine la mwaka  

WABUNGE karibu wote wa Chama cha Wananchi (CUF), kutokea Unguja na Pemba,  wanatarajiwa kutangaza kuondoka kwenye chama hicho, muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Taarifa zilizofikia MwanaHALISI ONLINE kutoka Dodoma, ...

Read More »

Maalim Seif: Zitto siyo mnafiki kama yule

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemweleza Zitto Kabwe kwamba sio mnafiki. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akikaribishwa Makao Makuu ya ACT-Wazalendo Kijitonyama jijini Dar es ...

Read More »

Kagame, Museven wakaribia kuzichapa  

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame (62), amemtuhumu “swahiba wake wa miaka mingi,” Rais wa Uganda, Yower Musseven, kwamba anapanga njama za kuangusha serikali yake. Anaripoti Yusuf Katimba … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

‘Hiki ndio kilio kikuu cha Wapalestina’

PALESTINA haihitaji kupendelewa, kubebwa wala kubembelezwa bali inahitaji haki yake na hiki ndio itasimamia milele. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 21 Februari 2019 Hamdi Mansour ...

Read More »

1.5 Trilioni zipo wapi?

SI Bunge wala wananchi wanaojua kiasi cha Sh. 1.5 Trilioni ambazo hazikuonekana kwenye Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ya 2016/17 zilipo. Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea).   Serikali kwenye ...

Read More »

Bungeni; Ni Serikali vs Wananchi  

Naibu Spika Job Ndugai

MKUTANO wa 14 wa Bunge la Jamhuri unaanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, hatma ya maoni ya wananchi na mapendekezo ya serikali katika Muswada wa ...

Read More »

Askofu ampa ‘live’ JPM kuhusu demokrasia

RAIS John Magufuli ameshauriwa ‘kulegeza’ kidogo demokrasia ili Watanzania wapate afueni kutokana na sasa kujaa hofu. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza kwenye kikao kati ya Rais Magufuli na viongozi ...

Read More »

Mgogoro wa Spika Ndugai, Prof. Assad watua kwa JPM  

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amefikisha kiaina mgogoro unaovuma kwa sasa kati yake na Prof. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Rais ...

Read More »

Mbowe, Matiko waitwa Mahakama ya Rufaa

KESI ya kupinga kurejeshewa dhamana iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasim na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwekahazina wa Baraza la Wanawake la chama hicho (BAWACHA), ...

Read More »

Waitara aanza mbio za kutaka kumng’oa Heche

MBUNGE wa Ukonga (CCM), Mwita Mwaikabe Waitara, ameanza kampeni za “kumdhoofisha” na hatimaye kumng’oa, hasimu wake mkuu kisiasa, mbunge wa Chadema katika jimbo la Tarime Vijijini, John Heche. Anaripoti Yusuph ...

Read More »

Kikokotoo chaondoka na Mkurugenzi SSRA

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dk. Irene Isaka. Anaripotu Yusuph Katimba…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ...

Read More »

Rais Magufuli ametufanya tutembee kifua mbele – Zitto

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amesema kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia matumizi ya kanuni mpya za vikokotoo kwa ajili ya wafanyakazi waliostaafu, ni ishara tosha ya umakini wa ...

Read More »

Mbunge wa Chadema apata ajali mbaya

MBUNGE wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kunti Yusuf Majala, amejeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Ajali hiyo ...

Read More »

Waraka wa Maulid waibua mauaji haya

WARAKA wa Maulid (Sikukuu ya Maulid) uliotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania umeibuka na matukio mbalimbali yaliyotokea nchini. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Waraka huo umetolewa leo Jumanne ...

Read More »

CUF Lipumba yakaza kamba

WAKATI uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea kukaribia mwakani, Chama cha Wananchi (CUF) kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba imeeleza kuwa, ‘atakaye ajiunge nao.’ Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Abdul Kambaya, ...

Read More »

Hii ni Jahannam katika uso wa dunia

UNAWEZA kujiuliza, kwanini wanadamu wamekuwa na tabia za ovyo zaidi ya wanayama wakali? Nini hasa walichojisahau mpaka kutojali maumivu wanayopata wengine? Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Dunia inabagua, inajielekeza kule kwenye ...

Read More »

Balozi: Palestina haitalegeza kamba

TAIFA la Israel limeondoa furaha yetu, linataka kuondoa utambulisho wetu katika ardhi ya Palestina, kamwe hilo halitafanikiwa. Anaandika Yusuph Katimba…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 10 Oktoba 2018 na Hamdi Mansour ...

Read More »

Hili ndio chimbuko la uadui wa Israeel, Iran

TANGU kufanyika kwa Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979, ambapo viongozi wa kidini wenye msimamo mkali walichukua mamlaka na kumaliza utawala wa Kifalme wa Reza Shah Pahlavi, Iran imekuwa ikiitisha ...

Read More »

Ujinga, udikteta unatesa Afrika

RAIA wa nchi za Afrika wanazo sababu nyingi za kutamani na hata kupanga kubadili tawala zao zilizoasi. Ni mabadiliko ambayo yatawezesha kufikia kilele cha uhuru na haki zilizominywa na watawala ...

Read More »

Lissu atoa ya moyoni

TUNDU Lissu, Mbunge was Singida Mashariki amesema kuwa upinzani umeshambuliwa kuliko kipindi chochote nchini Tanzania. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Lissu amesema hivyo leo tarehe 28 Agosti 2018 usiku saa ...

Read More »

Tumpime kwa viwango hivi

KITABU cha “The Prince” kilichoandikwa na Machievelle imeelezwa kuwa, kufaulu au kutofaulu kwa mtawala yeyote hutegemea anavyoweza kuwateua wasaaidizi wake. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Ikiwa atawateua wasaidizi waaminifu na ...

Read More »

Serikali yamliza Makonda, atoa laana

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yupo kwenye mtihani wa kunasua ‘makontena yake yaliyobeba samani’ bandarini jijini Dar es Salaam. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Samani hizo ...

Read More »

Ridhiwani Kikwete ‘apaniki’

RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze ameishiwa uvumilivu. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mbunge huyo kijana anaeleza kukerwa na tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba ‘anakerwa’ na wanasiasa wanaohama vyama vyao na kujiunga ...

Read More »

Waislam wamporomoshea dua JPM

SWALA ya Eid Alhaj iliyoswaliwa kitaifa jijini Dar es Salaam imemalizika kwa kuombewa dua Rais John Magufuli. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Dua hiyo imeendeshwa na Kaimu Mufti, Khatib Jongo ...

Read More »

Lipo doa, NEC itazamwe vizuri

MFUMO wa uendeshaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC) unalalamikiwa – kwa muda mrefu sasa kutokana na madai ya kushindwa kubeba uhuru na uwazi katika shughuli zake. Anaandika ...

Read More »

SSRA: Dawa ya waajiri ‘wakaidi’ imepatikana

HATUA ya waajiri kutolipa michango ya wafanyakazi wao katika mifuko ya kijamii imepatiwa dawa. Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea). Ilivyo sasa mwajiri akishindwa kulipa, atapelekwa Mahakamani na kisha atatakiwa kupeleka stakabadhi ya ...

Read More »

Kikwete: Asante serikali, asante wadau

RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze mkoani Pwani ameeleza kufurahishwa na namna serikali na wadau wa maendeleo wanavyoshiriki kulivusha Jimbo la Chalinze katika vikwazo mbalimbali ikiwempo sekta ya afya. Anaripoti Yusuph ...

Read More »

Rais Magufuli awapa pole Waislam

RAIS John Magufuli ametuma pole kwa Waislam nchini kutokana na kifo cha aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Salum Hassan Fereji. Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea). Sheikh Fereji alifariki dunia usiku wa ...

Read More »

Waitara atumwa kuinadi CCM Buyungu

ALIYEKUWA mbunge wa Ukonga, kupitia Chama cha Demokrasia (CHADEMA), Mwita Mwaikabe Waitara, anaelekea jimboni Buyungu, wilayani Kakonko, mkoani Kigoma, kukiongezea nguvu chama chake kipya (CCM). Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea). Waitara aliyetangaza kujiengua ...

Read More »

CCM yamgeuka Lugola Buyungu

MAZINGIRA ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Buyungu yamekilazimisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumtosa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Ni kile ...

Read More »

Kiswahili kimefika kiwango hiki

KUNA watumiaji wachache wa mtandao maarufu wa facebook wanaofahamu kwamba, mtandao huu unatumia lugha ya Kiswahili kuandaa mikataba ya kulinda taarifa zao za siri zinazoingizwa humo, japo mtandao huo unatumiwa ...

Read More »

Marekani: China ni tishio

MAREKANI inapiga yowe kwamba, China inanyemelea nafasi yake ya kuwa taifa kubwa duniani. Inasema China inaendesha ‘vita baridi,’ pia ni tishio. Anaripoti  Yusuph Katimba…(endelea). Akiwa kwenye semina ya masuala ya ...

Read More »

Chadema kinakwenda Buyungu kushiriki uchaguzi au kushinda?

KIPYENGA cha kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Buyungu, wilayani Kakoko, mkoani Kigoma, kimepulizwa. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Uchaguzi mdogo wa Buyungu unafanyika kufuatia kufariki dunia kwa ...

Read More »
error: Content is protected !!