Author Archives: Martin Kamote

Rais Magufuli asamehe wafungwa 5,533

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 5,533 leo Desemba 9, 2019. Anaripoti Martin Kamote … (endelea) Rais Magufuli ametoa msamah huo katika maadhimisho ...

Read More »

Zitto amng’ang’ania Prof. Kabudi ajiuzulu

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemtaka Prof. Palamagamba Kabudi, kujiuzulu uwaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwa madai ya kufeli kuendesha sera za ...

Read More »

Tume Huru ya Uchaguzi yamtesa Dk. Bashiru

MADAI ya Tume Huru ya Uchgauzi yanayotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani nchini, yanakinzana na mtazamo wa Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM). Anaripoti Martin ...

Read More »

Rais Magufuli: Jeshi msikubali vikwazo

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameyataka majeshi nchini kutokubali kuwekewa vikwazo, katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Martin Kamote…(endelea) Rais Magufuli ametoa wito huo leo tarehe 25 ...

Read More »

Mkapa aisisimua CUF, Prof. Lipumba amuita

BARAZA Kuu la Uongozi wa Taifa la CUF, limeeleza kuguswa na yaliyomo ndani ya kitabu cha Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa ‘Maisha Yangu, Kusudio Langu.’ Anaripoti Martini Kamote … (endelea). Prof. ...

Read More »

Waziri Jafo aanza kuandamwa 

SELEMANI Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), sasa anashinikizwa kujiuzulu. Anaripoti Martini Kamote…(endelea). Imeelezwa, ni kwa madai ya kushindwa kusimamia uchaguzi ...

Read More »

Kumbe Mkapa ndio injinia wa Magufuli!

MCHANGO wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa una nafasi kubwa katika kumwezesha Dk. John Magufuli kuwa rais wa Tanzania. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu cha Maisha ...

Read More »

Rais Magufuli: Nilinyweshwa sumu nife

RAIS John Mafufuli ametoa siri yake ya moyoni, namna alivyonusurika kuuawa kwa kunyweshwa sumu, wakati akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi wakati wa utawala wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa. Anaripoti Martin ...

Read More »

Rais Mkapa awakutanisha Maalim Seif, JPM

RAIS John Magufuli amekutaa uso kwa uso na Maalim Seif Sharif Hamad, kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Maalim Seif, ambaye alikuwa mgombea ...

Read More »

Polepole ‘awanyea’ wapinzani

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kinachowatesa vyama vya upinzani nchini ni uchaguzi kuugeuza sherehe badala ya kufuata kanuni. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Amesema, ...

Read More »

Chadema, ACT-Wazalendo waingia ‘mzigoni’

WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, kikijifungia leo tarehe 7 Novemba 2019, kikijadili mikiki inayokumbana nayo kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Chama cha ACT-Wazalendo kimechukua mkondo huo. Anaripoti Martin ...

Read More »

Chadema yabisha hodi Ikulu 

KUSHAMIRI kwa vituko, ghiliba na mikasa ya kuogofya, kwenye zoezi la uchukuaji fomu za kugombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kumeisukuma Chadema kubisha hodi Ikulu. Anaripoti Kamtote Martin … (endelea).  ...

Read More »

IGP Sirro aagiza aliyetishia kwa bastola, akamatwe

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema kijana aliyefahamika kwa jina moja la Shaban, atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kumtishia mwenzake ...

Read More »

Ni vituko: Fomu zatolewa usiku, zarejeshwa usiku

HOFU ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, imetamalaki. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na John Marema, Mkurugenzi wa Itikadi na Uenezi na Mawasiliano ...

Read More »

Dk. Kigwangalla, Makonda wavaana, kisa picha ya JPM

MUDA mfupi baada ya Paul Makonda, kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram, akimtaka mchekeshaji Idrisa Sultan ‘kujisalimisha’ katika kituo chochote cha polisi kwa madai ya kuvuka mipaka, Dk. Hamisi Kigwangalla ...

Read More »

Anyimwa fomu kisa kutochangia Mbio za Mwenge

RAFU, hujuma na hila vimeanza kuchipuka, ambapo baadhi ya wagombea kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedaiwa kunyimwa fomu kwa kutochangia mbio za Mwenge. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

CCM yaikingia kifua Zimbabwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutofurahishwa na hatua ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo tangu mwaka 2000. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye ofisi za CCM, Lumumba jijini Dar es ...

Read More »

Chauma yajaa hofu serikali za mitaa

HOFU imeanza kukumba vyama vya upinzani nchini, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kimeitaka ...

Read More »

Makonda amvimbia mteule wa JPM

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefutilia mbali kauli ya Sofia Mjema, Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwamba ibada zifanywe siku maalum tu. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Makonda ametangaza ...

Read More »

ACT-Wazalendo: Tumekwama

SERIKALI imekwama kushawishi wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la wapiga kura, jambo ambalo linaleta taswira hasi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Joran Bashange, Mwenyekiti ...

Read More »

Wampuuza Makonda: Tujiandikishe ili iweje?

BAADHI ya wafanyabiashara wamepuuza agizo la Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam la kufungua maduka yao kuanzia saa tano asubuhi leo tarehe 14 Oktoba 2019. Anaripoti Martin Kamote ...

Read More »

Tuzo EJAT zazinduliwa, makundi matatu yatemwa

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), leo tarehe 11 Oktoba 2019 limezindua rasmi usaili wa kuwania tuzo za umahiri wa uandishi wa habari (EJAT) kwa mwaka 2019. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). ...

Read More »

Upepo, mvua kubwa, mawimbi: TMA yatoa tahadhari

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari kutokana na kuwepo kwa vipindi vifupi vya mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa, vinavyotarajiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ...

Read More »

Makonda: Kwa mvua hizi, kuweni na tahadhari

KUFUATIA mvua zinazoendelea kunyesha, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wakazi wa mkoa wake kuwa na tahadhari  ili kuhepuka mafuriko. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Makonda ametoa ...

Read More »

MPFCR: Vijana jiepusheni na mihadarati

TAASISI ya Kinamama na Kinababa kwa Mageuzi ya Jamii (MPFCR), imewataka vijana kuacha matumizi ya mihadarati kutokana na madhara yake. Anaripoti Kamote Martin … (endelea). Pia imewataka vijana hao kuacha kulalamika ...

Read More »

‘Wavamizi mwendokasi, hakuna faini ni mahakamani’

MADEREVA wa vyombo vya moto vinaovamia barabara ya mabasi ya mwendakasi, hawatotozwa faini badala yake watapelekwa mahakamani. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema hivyo ...

Read More »

Sisikii tena ‘vyuma vimekaza’- Dk. Mpango

DAKTARI Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango ameeleza kwamba, sasa hivi hasikii tena malalamiko ya ‘vyuma kukaza’ kutokana na benki za biashara kushusha riba. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Dk. ...

Read More »

Makonda: Kama si njaa, ningejiuzulu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, kama isingekuwa njaa, basi angefanya uamuzi wa kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kukosolewa na Rais John Magufuli. Anaripoti Martin Kamote … ...

Read More »

Ujerumani, Tanzania zaingia makubaliano ya afya

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesaini mkataba wa makubaliano wa miaka mitatu na serikali ya Ujerumani kwa ajili ya kuimarisha afya ya msingi ...

Read More »

Rais Magufuli amfuta kazi Mkurugenzi Mkuu TISS

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Dk. Modestus Kipilimba. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Taarifa iliyotolewa na ...

Read More »

Vipaji vya watoto kusakwa Leaders Club

KAMPUNI ya kuandaa filamu nchini Tanzania (J FILM 4 LIFE), imeanza utaratibu wa kutafuta vipaji vya kuigiza kwa watoto ili kushiriki kwenye vilamu mpya ya watoto wanayotarajia kuiandaa. Anaripoti Martin ...

Read More »

Jacqueline Mengi ajitokeza ‘nawapenda’

MJANE wa hayati Dk. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amesema, mambo magumu wanayoyapitia wajane sasa na yeye anayapitia. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Jacqueline ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Agosti 2019, alipotembelewa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram