Author Archives: Jovina Patrick

Watumishi ofisi ya Magufuli wapigwa mkwara

Kaimu Mkurugenzi wa Maadili Utumishi, Lambart Chialo

OFISI ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR_MUU) imeshutumu wafanyakazi katika yake kwa kukwamisha malengo ya serikali kuhusu  maadili ya watumishi kwa kuwa watoro kazin pamoja na kutumia vibaya taarifa ...

Read More »

‘Saudi Arabia imekiri kushindwa’

Adel al-Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia

NAIBU Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia inaonesha kukiri kushindwa kwake baada ya kukubali kuanzishwa ...

Read More »

Wakimbizi wa Burundi waanza kurejea kwao

Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wakiwa ukingoni wa Ziwa Tanganyika wakisubili kuvushwa na Meli ya Mv Liemba

AWAMU ya kwanza ya wakimbizi wa kutoka Burundi wanaorejea kwa hiari yao kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao hii leo, anaandika Jovina Patrick. Hatua hiyo imefikiwa baada ya makubaliano wiki ...

Read More »

Walemavu wapaza sauti zao

Jenister Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kinatarajia kuanzisha mradi maalum utakaosaidia viziwi na watendaji wa serikali za mitaa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya mafungu ya fedha za walemavu kwa kutoa mafunzo ...

Read More »

Riadha yazidi kuing’arisha Tanzania

Wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania walipokuwa kwenye mashindano ya Afrika Mashariki

MCHEZO wa riadha umeendelea kuing’arisha Tanzania baada ya kuzoa medali 10 katika michezo ya Afrika Mashariki kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yaliyofanyika mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro, anaandika Jovina ...

Read More »

Wakili Manyama ajitenga na TLS

Wakili Leonard Manyama (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)

WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Leonard Manyama, amekataa agizo la Rais wa TLS, Tundu Lissu la kuwataka wanachama wake ambao ni mawakili ...

Read More »

Mmiliki wa Samsung duniani atupwa jela

Lee Jae-yong aliyetarajia kurithi kampuni ya Samsung, akiwa chini ya ulinzi baada ya kuhukumiwa

MRITHI aliyetarajia kurithi kampuni ya Samsung, Lee Jae-yong amehukumiwa kifungo cha miaka mitano na mahakama ya nchini Korea Kusini kwa kosa la rushwa, anaandika Jovina Patrick. Lee ambaye pia anafahamika ...

Read More »

Serikali yatangaza kibano kwa magazeti, majarida

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO,Hassan Abbasi

MSEMAJI wa serikali ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Habari (Maelezo, Hassan Abbas ametangaza kibano kwa tasnia ya habari kinachohusu usajili upya wa magazeti, majarida na machapisho yote ...

Read More »

RITA kuwafuata wananchi mikoani

Emmy Hudson, Kaimu Msajili Mkuu wa Vizazi na Vifo

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeanza maboresho ya Mkakati wa Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu (CRVS) ambao utatatua changamoto  zinazosababisha wananchi wengi kushindwa kujisajili kutokana na ...

Read More »

Chadema wazidi kuwagaragaza CCM mahakamani

Bilago Kasuku, Mbunge wa Jimbo la Buyungu. Picha ndogo ni Christopher Shiza

MAHAKAMA ya Rufani ya Tanzania muda mfupi uliopita imefuta rufaa dhidi ya Bilago Kasuku, Mbunge wa Jimbo la Buyungu (Chadema), anaandika Mwandishi Wetu. Rufaa hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa ...

Read More »

Tamasha la utamaduni kufanyika Dar

Kijiji cha Makumbusho

KAMPUNI ya masoko inayojishughulisha na ushauri na mikakati kwa wateja ZECHY Afrika imeandaa tamasha la kusheherekea utamaduni wa mtanzania (Chemichemi Canival) litakalofanyika mwezi Septemba katika kijiji cha Makumbusho jijini Dar ...

Read More »

Wakili Makene alilia fedha za ada ya TLS

Nyundo ya Hakimu

WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Mawakili Tanzania Bara(TLS), Emmanuel Makene amekilalamikia Chama hicho kuwa hakiwasaidii wanachama wake wakati wanatoa ada kila mwaka, anaandika Jovina Patrick. ...

Read More »

Mwanamuziki apiga gitaa wakati wa upasuaji

Gitaa

MWANAMUZIKI nchini India apiga gitaa kwenye meza ya kufanyia upasuaji ili kuwasaidia madaktari kutibu mishipa (involuntary muscle spasms) katika vidole vyake, anaandika Jovina Patrick. Abhishek Parasad aliombwa na madakdari kupiga ...

Read More »

Meya wa jiji atoa siku 12 kwa wakwepa kodi

Mwita Isaya, Meya wa Jiji la Dar es Salaam (aliyesimama) akizungumza na wafanyabishara wa stendi ya Ubungo

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Issaya Mwita ametoa siku 12 kwa wafanyabiashara wasiolipa kodi katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo kuhakikisha wanalipa vinginevyo atawachukulia hatua kali, ...

Read More »

Rais Magufuli ashutumiwa na ukabila

Rais  John Magufuli akishuka katika ndege ya Shirika la Ndege la  Tanzania

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema amemvaa tena Rais John Magufuli na sasa amemshutumu kwa kuendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kikabila na kikanda, anaandika Jovina Patrick. Lissu amewaambia ...

Read More »

Yanga yamtangaza mrithi wa Muro

Dismas Ten, Afisa Habari wa Yanga (katikati) akizungumza baada ya kutanganzwa na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa (kulia)

KLABU ya Yanga imemtangaza Dismas Ten kuwa Ofisa habari wa klabu hiyo ambaye anachuku nafasi ya Jerry Muro, anaandika Jovina Patrick. Dismas ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari, kabla ya ...

Read More »

Veta yaanzisha kozi ya makanikia

Yona Mwambopa, Mkufunzi wa Veta akizungumza na Mwandishi wa habari wa MwanaHALISI Online katika viwanja vya Sabasaba

CHUO cha Ufundi Stadi (VETA) kimeanzisha kozi itakayozalisha wahitimu watakaosaidia kuchakata na kung’arisha madini ya vito, anaandika Jovina Patrick. Kozi hiyo inakuja kipindi ambacho hivi karibuni serikali imezuia kusafirisha mchanga ...

Read More »

Rooney afunika Dar, Mwakyembe afurahia

Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akisalimiana na Wayne Rooney alipokuwa akiwasiri na timu yake ya Everton

IKIWA imebaki siku moja tu kufikia Julai 13, siku ya mechi ya Everton ya Uingereza na mabingwa wa Sportspesa, Gor Mahia itachezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, shauku ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube