Author Archives: Josephat Isango

Mo Dewji ‘apiga bao’

MOHAMMED Dewji, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), ametangazwa na Jarida la African Leadership kuwa mshindi wa tuzo ya African Leadership Magazine Person ...

Read More »

Muhongo aufyata, Wananchi walia

TAMBO za Prof. Sospeter Muhongo, Waziri wa Nishati na Madini kwamba, ‘umeme hautapanda, mimi ndio waziri nimesema’ zimefika kikomo, anaandika Josephat Isango. Jana Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji ...

Read More »

CCM yadaiwa kutapeli

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinatuhumiwa kujimilikisha maeneo ya mabondeni kinyume cha sheria za, kutafutia hati na kulikodisha kwa bei kubwa kwa wafanyabishara wa ABG African Link Traders Ltd kabla ya kuanza ...

Read More »

Tundu Lissu akamatwa

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, anaandika Josephat ...

Read More »

Kashfa nzito Jeshi la Polisi

NSATO Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili, anaandika ...

Read More »

Mwigulu atwikwa mzigo wa maiti

MWIGULU Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Boniventure Mushongi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani wamedaiwa kuwajua watu waliohusika na mauaji ya watu saba ambao maiti zao ...

Read More »

Rais ‘amvizia’ Kinana

RAIS John Magufuli aliondoka Ikulu jijini Dar es Salaam hadi ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba bila kujulisha viongozi wake wakuu wa chama hicho, anaandika Josephat Isango. Taarifa ...

Read More »

UKUTA moto

GIZA limetanda nchini kufuatia Serikali ya Rais John Magufuli kujiapiza kupambana na “Operesheni UKUTA,” anaandika Josephat Isango. Taarifa kutoka serikalini zinasema, mkakati umepangwa wa kuhakikisha waratibu na watekelezaji “Operesheni UKUTA” ...

Read More »

Chadema mguu sawa! Mbowe  hadi kieleweke

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka viongozi na wafusi wa chama hicho katika ngazi mbalimbali, kutotishika na vitisho vya jeshi la polisi, anaandika Josephat Isango. ...

Read More »

Lissu hajulikani alipo, Chadema wamsaka

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki hajulikani alipo. Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Singida wanamsaka, anaandika Josephat Isango. Lissu alikamatwa na Jeshi la Polisi jana ...

Read More »

Polisi wazidisha danadana tuhuma za Sosopi.

Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limeendelea kupiga danadana tuhuma zinazomkabili Patrick Ole Sosopi, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), anaandika Josephat Isango. Taarifa ...

Read More »

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane ...

Read More »

Vodacom Foundation yatumia bilioni 15 katika miradi ya kijamii nchini 

Kampuni ya Simu ya Vodacom imetumia bilioni 15  kusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye jamii kupitia taasisi yake ya kusaidia masuala ya kijamii ya Vodacom Tanzania Foundation, anaandika Josephat Isango. ...

Read More »

Lissu amjibu Magufuli

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema kauli za Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni za kibaguzi na zinavunja umoja ...

Read More »

Chadema yawapuuza Mutungi, Sendeka

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakina mpango wa kumjibu Jaji Francis Mutungi msajili wa vyama vya siasa nchini wala Christopher Olesendeka. anaandika Josephat Isango. Salumu Mwalimu, Naibu Katibu ...

Read More »

Jeshi la Polisi linajifedhehesha

AKIZUNGUMZA wakati wa kupokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, Rais John Magufuli alisema siasa kwa sasa hazina nafasi hadi baada ya miaka mitano, anaandika Josephat Isango. Kwa maneno yake ...

Read More »

BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

BARAZA la vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeapa kwenda mkoani Dodoma kusaidia jeshi la polisi kuzuia mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Josephat Isango… (endelea). ...

Read More »

Vodacom yadhamini ziara ya wahariri Nairobi

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambayo ndiyo wadhamini wakuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, imekabidhi hundi ya Shilingi Milioni sita kwa ajili ya kudhamini ziara ya mafunzo ...

Read More »

Masauni matatani

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yusuf Masauni, ameingia katika mgogoro kwa kuingilia majukumu ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), anaandika Josephat Isango. Masauni anatuhumiwa kuingilia madaraka ...

Read More »

Polisi yahaha kuficha waliovunjwa miguu

JESHI la Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limekana kuwa kuna watu waliovunjwa miguu waliopo kwenye chumba cha watuhumiwa kilichopo kituoni na kusema anayetakiwa kusema kuwa kuna watuhumiwa waliovunjwa ...

Read More »

NACTE yatoa wito kutoa maoni ya utendaji wake

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeutaka umma wa watanzania na wadau wa elimu kutoa mrejesho juu ya huduma zinazotolewa na Baraza hilo ili kuweza kuboresha huduma zake, ...

Read More »

Serikali yaumbuka–Bajeti hewa

SERIKALI ya Dk John Magufuli imeumbuliwa na kambi ya upinzani, imeumbuka kwa kupeleka bajeti hewa itakayopitishwa na wabunge wengi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Josephat Isango.  David Silinde, Waziri ...

Read More »

Moto wawaka KKKT

WAKATI Asime Modern Mwakilima, Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani akitafakari kuhama Ukristo na kuingia Uislam, waraka uliosambaza ndani ya kanisa hilo ...

Read More »

Sukari imetusahaulisha Lugumi?

SAKATA la kukosekana sukari limeshika kasi nchini.Tatizo la kukosekana sukari lilianza baada ya Rais John Magufuli kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi kwa kile alichosema ni kulinda ...

Read More »

Sakata la sukari: Mkapa alipuliwa

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Anthony Komu, amemtuhumu Rais John Pombe Magufuli, kusababisha uhaba wa sukari nchini, anaandika Josephat Isango. Anasema, uamuzi wa rais wa kupiga marufuku uigizaji wa sukari kutoka ...

Read More »

KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango. Taarifa kutoka kwenye ...

Read More »

Sakata la Malasusa, watoto watoroshwa

MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya ...

Read More »

Bundi wa ugoni atua kwa Askofu Malasusa

DK. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu, ...

Read More »

Wanawake ‘waula’ bima za magari

WANAUME wengi hupata ajali za barabarani kulinganisha na wanawake kutokana na uendeshaji usio salama ikiwamo mwendo kasi na kuendesha magari mabovu, anaandika Josephat Isango. Patrick Lodamun Afisa masoko wa kampuni ...

Read More »

Mrema: Mfikishieni ushauri huu Magufuli

AUGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP) amesema, ushauri wake kwa Rais John Magufuli ni kubadili mwelekeo wake kwa vyombo vya habari, anaandika Josephat Isango. Amesema, Rais Magufuli ili ...

Read More »

Mahakama yampa masharti Kubenea

HATIMAYE hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers akidaiwa kumtolea lugha ya matusi Paul Makonda, Mkuu ...

Read More »

Mwigulu aomboleza kwa Lissu

MWIGULU Nchemba Waziri  wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi ameomboleza msiba wa Christina Mughwai, mbunge wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Singida, na kumsifu marehemu kuwa ...

Read More »

Maalim Seif: Namhurumia Dk. Shein

TAREHE 20 Machi 2016, kulifanyika uchaguzi wa marudio wenye utata katika visiwa vya Zanzibar, ambao ulisuswa na chama kikuu cha upinzani visiwani humo, Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar (CUF). Aliyetangazwa ...

Read More »

Zanzibar yaiponza Tanganyika

UCHAGUZI wa marudio uliofanyika tarehe 20 Machi 2016, na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni iliyopitishwa na Bunge kwa haraka haraka mwaka jana, vimeanza kuleta madhara kwa Tanzania Bara, baada ya ...

Read More »

Msife moyo, uchaguzi ni mchakato, si tukio – Mbowe

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewashauri Watanzania wasife moyo kwa matokeo mabaya ya uchaguzi yaliyopinduliwa; na kwamba matokeo hayo yawe chachu ya kufanya  vizuri zaidi ...

Read More »

Maalimu Seif afunguka

SIKU mbili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Zanzibar, na siku moja kabla ya kuapishwa Dk Ali Mohamed Shein, Maalim Seif Shariff Hamad, Mgombea wa Urais wa Zanzibar katika uchaguzi ...

Read More »

Uchaguzi wagawa majeshi Zanzibar

Baada ya kuwepo fununu za mgawanyiko ndani ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar juu ya usimamizi wa amani katika uchaguzi wa marudio utakaofanyika machi 20 mwaka huu, uongozi wa ...

Read More »

TBC kuonesha bunge ‘live’

KILIO cha ukosefu wa fedha za kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge la Tanzania kupitia Shirika la Utangazaji nchini (TBC) ambacho kimekuwa kikitolewa na serikali, sasa kimepata ufumbuzi, ...

Read More »

Mabilioni ya NSSF yatafunwa

BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Tija la Taifa (NIP) imeishauri serikali kuunda tume ya kuchunguza matumizi mabaya ya fedha za serikali zaidi ya dola za Kimarekani 1.5 bilioni, anaandika ...

Read More »

Hamburg yaisaidia Kinondoni mradi bil 3.5

MANISPAA ya Kinondoni kwa ushirikiano na Manispaa ya Jiji la Hamburg, nchini Ujerumani ziko katika hatua za mwisho za ujenzi wa mradi mkubwa kwa ajili ya kukusanya taka zinazooza na ...

Read More »

Benki ya Access yaburuzwa kortini

TAASISI ya Fedha ya Access Bank yenye anwani 95068, inatarajiwa kufikishwa mahakama ya usuluhishi Dar es Salaam kujibu tuhuma mbalimbali dhidi ya mfanyakazi wake. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Nyaraka ...

Read More »

Wahariri wa Mawio, MwanaHALISI waachiwa kwa dhamana

MHARIRI wa gazeti la Mawio, Simon Mkina na Mhariri wa gazeti la MwanaHALISI ambaye pia ni mwandishi Mwandamizi wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa wameachia kwa dhamana na Jeshi la ...

Read More »

Segerea waanza kukabili changamoto za Elimu

TAASISI binafsi na wadau wa elimu nchini, wametakiwa kuiunga mkono Serikali katika juhudi za kutekeleza mkakati wa elimu bure, kutokana na matatizo yanayoikabili sekta hiyo ikiwemo madawati na vyoo kwenye ...

Read More »

Mapinduzi ya Zanzibar yaibua jambo zito

MAADHIMISHO ya 52 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yameibua hoja ya mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk, John Pombe Magufuli na Dk. Ali Mohamedi Shein. Anaandika Josephat Isango …. ...

Read More »

Ndugai ateua Kamati ya Kanuni

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amewateua wabunge 15 kuwa wajumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge. Anaandika Josephat Isango … (endelea) Kamati ya Kanuni imeundwa na kutangazwa kabla ya nyingine ...

Read More »

UVCCM yataka Rais mstaafu afukuzwe CCM

UMOJA wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kumvua uanachama Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume. Anaandika Josephat Isango …. (endelea). Kauli hiyo imetolewa katika viwanja ...

Read More »

CCM wajibu mapigo Z’bar, uchaguzi upo pale pale

SAA chache baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad kutangaza kasoro na athari za kurudia Uchaguzi uliofutwa kinyume cha sheria na Jecha Salim Jecha, ...

Read More »

Kubenea: Ili tufanikiwe tuweke pembeni itikadi zetu

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amefanya ziara katika Kata ya Makurumla iliyoko jimboni kwake na kutembelea masokoni, Zahanati na shuleni. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Katika ziara hiyo aliwaomba viongozi ...

Read More »

Mbunge wa Ubungo mbaroni kwa amri ya Makonda

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amekamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Tukio ...

Read More »

Kubenea kumshitaki Meneja wa Kituo cha Mabasi Ubungo

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, amesema atamshitaki Meneja wa Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani (UBT), Juma Idd, kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe, kutokana na kushindwa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube