Author Archives: Irene Emmanuel

TRA kuwashukia waendesha Bahati Nasibu

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza kutekeleza jukumu la kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha jukumu ambalo ilikabidhiwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu anaandika Irene Emmanuel. Akiongea na waandishi wa ...

Read More »

Zaidi ya nyumba milioni 3.4 kukosa umeme Marekani

US-WEATHER-HURRICANE-IRMA

KIMBUNGA cha Irma kimesababisha vifo vitatu baada ya kutua katika jimbo la Florida kikitokea kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani ya Florida nchini Marekani, anaandika Irene Emmanuel. Kimbunga hicho kilichosababisha uharibifu ...

Read More »

Korea washangilia bomu la Nyuklia

Moja ya kombora la Korea Kaskazini baada ya kurushwa

KOREA Kaskazini imefanya sherehe kubwa kwa ajili ya kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa ya bomu la Nyuklia nchini humo, anaandika Irene Emmanuel. Sherehe hiyo imefanyika katika Mji Mmkuu, Pyongyang huku ...

Read More »

Chadema watetea wabunge wasiwe ombaomba

9c6e7-bunge2b-15

VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelituhumu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuvunja Katiba ya nchi na kuomba fedha kwa Serikali bila ...

Read More »

Huduma za Mkemia Mkuu zafika mikoani

Mkemia Mkuu wa Serikali, Prof. Samwel Manyele

MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali imelenga kuimarisha utendaji kazi wa maabara  katika kanda zake za Nyanda za juu kusini, na kanda ya ziwa kwa kuzipatia vifaa vya kisasa, anaandika ...

Read More »

RPC Mambosasa atua Kanda Maalum Dar

Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amemteu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP), Lazaro Mambosasa kuwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, anaandika Irene ...

Read More »

Wanaharakati wazidi kumsakama mke wa Mugabe

Mwanamitindo Gabriella Engels aliyeshambuliwa na Grace Mugabe

GABRIELLA Engels, mwanamitindo nchini Afrika Kusini aliyeshambuliwa na Grace Mugabe, mke wa Rais wa Zimbabwe, amepinga kinga ya kidiplomasia inayotolewa na serikali ya nchi yake kwa vigogo, anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »

Afya ya Bulaya yaimarika Muhimbili

DHwIhi7XkAAaX_c

ESTHER Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaendelea na matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kufikishwa hospitalini hapo jana, anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »

Ikulu yavunja ukimya wa ‘matrilioni’ ya makinikia

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi

IKULU ya Tanzania imesema kuwa majadiliano baina ya Kamati maalumu ya Tanzania na wawakilishi kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation unaendelea hadi sasa ikiwa ni siku ya 15,anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »

Wapiga debe Dar jino kwa jino na Polisi

Lucas Mkondya, Kaimu Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda maalum ya jijini Dar es Salaam limeahidi kupambana na wapiga debe katika vituo mbalimbali vya mabasi na kuwakamata, anaandika Irene Emmanuel. Hayo yamesemwaka leo na Kamanda wa ...

Read More »

Waangalizi wa uchaguzi watoa neno Kenya

Thabo Mbeki, Rais wa zamani wa Afrika Kusini akizungumza na waandishi wa habari nchini Kenya akiwa kama mwangalizi wa uchaguzi

WAANGALIZI wa uchaguzi wa nje ya nchi ya Kenya wakiongozwa na Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, wamepinga yaliyosemwa na mgombea urais kupitia muungano wa NASA, Raila Odinga kuwa ...

Read More »

Mwenyekiti wa Tume Kenya amtuliza Raila Odinga

Wafula Chebukata, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC)

WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IBEC), ameahidi kushughulikia malalamiko yaliyotolewa na mgombea urais kupitia Muungano wa NASA, Raila Odinga, juu ya kuwepo kwa madai ...

Read More »

Kubenea kuchangia 20mil ujenzi wa zahanati

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (aliyesimama) akizungumza na wananchi wa Kimara

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameahidi kutoa Sh. 20 milioni, kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya mitaa ya Kilungule A na B, iliyopo kata ya Kimara, Jimbo la ...

Read More »

Lukuvi awacharukia viongozi wa mitaa

William Lukuvi, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi (kulia waliosimama) akizungumza wananchi wa Ubungo

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nchini, amekemea vitendo vya uonevu vinavyofanywa na viongozi wa serikali za mitaa kwa kushirikiana na matapeli kuwanyonya wananchi, anaandika Irene Emmanuel. Akizungumza leo katika eneo ...

Read More »

Marekani na Korea wazidi kuvimbiana

Mifano ya makombora ya Scud yanayomilikiwa na Korea Kaskazini

Rex Tellerson, Waziri wa Mambo ya Kigeni  Nchini Marekani amejibu juu ya jaribio la pili la kombora la masafa marefu lililofanywa na Korea Kaskazini, anaandika Irene Emmanuel. “Sisi si maadui zenu, ...

Read More »

Meya Jacob kama Lissu,  amparura Magufuli

Boniface Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo

BONIPHACE   Jacob, Mstahiki Meya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaama amemtaka Rais John Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano  kuwakemea watendaji wa serikali wanaokataa kupeleka maendeleo kwenye ...

Read More »

Wafanyabiashara Ubungo wacharuka

Wafanyabiashara wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo wakisubiri mkutano na Kamati ya Fedha ya Jiji la Dar es Salaam

MFANYABIASHARA ambaye pia ni Naibu katibu wa Wafanyabiashara kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es salaam, John Shayo ametangaza kuuburuza mahakamani uongozi wa kituo hicho kwa madi kuwa umetafuna ...

Read More »

Lissu: Anayebisha Rais Magufuli siyo dikteta hana akili timamu

Kulia Rais John Magufuli na Tundu Lissu kushoto

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amezidi kusisitiza kuwa Rais John Magufuli ni dikteta na anayebisha hana akili timamu, anaandika Irene Emmanuel. Hii ni mara ...

Read More »

TCRA yavuna Sh. 9.6 bil kutoka kampuni za simu

Mhandisi James Kilaba, Mkurugenzi wa TCRA

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekusanya Sh. 9.6 bilioni kutoka kwa kampuni za simu za mkononi kutokana na faini walizotakiwa kulipa baada ya kufanya usajili wa laini za simu bila ...

Read More »

TRA kupiga mnada jengo la Star TV

Anthony Diallo, Mmiliki wa Sahara Media ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza,

KAMPUNI ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha Televisheni Star tv, Redio Free Africa (RFA) na Kiss FM imefungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushindwa kulipa kodi ...

Read More »

Tundu Lissu amchongea Ngeleja Takukuru

Tundu Lissu, Rais wa TLS

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amemuwakia William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kurudisha fedha za Escrow zinazodaiwa kutakatishwa, anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »

Wanafunzi wajawazito wamganda Rais Magufuli

Mpya magu

WANAFUNZI wa wanaopata ujauzito kutorudi shuleni wamezidi kumkera Rais John Magufuli kwani pamoja na kupiga marufuku, amekuwa akiendelea kuchimba ‘mkwara’ kila anapopata nafasi, anaandika Irene Emmanuel. Rais Magufuli alishapiga marufuku ...

Read More »

Mdee ampuuza Ndugai

Job Ndugai,. Spika wa Bunge la Tanzania

HALIMA James Mdee, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kauli ya Job Ndugai kwamba wabunge waliopewa adhabu hawatarudi bungeni hata wakienda mahakamani ni ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube