Author Archives: Irene David

Jaji Mkuu Rasmi Kuanza Kazi

Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma akila kiapo

Rais wa Tanzania  Dkt John Mgufuli, amemwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma, ambapo awali alikuwa akikaimu nafasi alikuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, baada ya aliyekuwa Jaji Mkuu ...

Read More »

Mawaziri Simbachawene, Ngonyani wang’oka, Prof. Mruma abebwa

George Simbachawene, aliyekuwa Waziri wa TAMISEMI. Picha ndogo Mhandisi Edwin Ngonyani, aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi

MAWAZIRI wawili wa serikali ya awamu ya tano, wameachia ngazi muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kuwataka kufanya hivyo leo asubuhi, anaandika Irene David. Waziri wa Nchi Ofisi ya ...

Read More »

Polisi wampiga risasi mtuhumiwa utekaji watoto Arusha

Samson Petro kijana aliyeuwawa na Polisi. Picha ndogo Kamanda wa Arusha, Charles Mkumb

MTUHUMIWA aliyekuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kuhusika na utekaji na mauaji ya watoto wawili Maureen na Ikram amefariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka mikononi ...

Read More »

Marekani yaonyesha uoga kwa Korea Kaskazini

MAREKANI imeapa kujibu shambulio lolote la kijeshi kutoka Korea Kaskazini dhidi ya nchi hiyo ama washirika wake, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis, ...

Read More »

Makombora ya Korea Kaskazini yaitikisa Japan

Mifano ya makombora ya Scud yanayomilikiwa na Korea Kaskazini

KOREA Kaskazini imerusha makombora kuelekea mashariki mwa kisiwa cha Hokkaido kwa umbali wa kilomita 1000, anaandika Irene David. Waziri Mkuu wa Japani Shinzo Abe, amesema urushwaji huo wa makombora haujawahi ...

Read More »

Dawasa yaibuka na mikakati lukuki Dar

DSC_0215

MAMLAKA ya Maji Safi na Taka Jijini Dar es Salaam (DAWASA), imetangaza mkakati mpya wa kukarabati miundombinu yake ikiwamo mabomba yaliyotoboka, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na Romanus Mwang’ingo, Kaimu ...

Read More »

Kimbunga chamia Marekani, chaua watu saba

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

WATU saba wamefariki nchini Marekani na wengine zaidi ya 1000 hawana makaazi ya kuishi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katikati ya mji wa Texas nchini Marekani ambazo zimeambatana na kimbunga kiitwacho ...

Read More »

Mahakama Kenya yaamuru mitambo ya tume ichunguzwe

bachelor of law-supreme-kenya

MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imekubali ombi la  Muungano wa Upinzani (NASA), nchini humo kukagua mitambo iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Agost 8 mwaka huu, anaandika Irene David. ...

Read More »

Wanasiasa wampasua kichwa RPC Mkondya

Lucas Mkondya, Kaimu Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

ALIYEKUWA Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, Lucas Mkondya, amesema anaondoka katika mkoa huo, huku akisema moja ya changamoto katika nafasi yake ni wanasiasa, anaandika ...

Read More »

Sumaye asema serikali inamfanyia visasi

Frederick Sumaye, Mwenyekiti Chadema Kanda ya Pwani

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amevunja ukimya na kutamka bayana kwamba watawala wanaendesha nchi  kwa visasi ndiyo maana tangu ahame Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia ...

Read More »

Madereva daladala Ubungo wamaliza mgomo

kituo2

Madereva wa Daladala  kituo cha  Simu 2000, Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam,  wamekubali kumaliza mgomo waliouanza mapema leo asubuhi kutokana watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kutoa ...

Read More »

Mojonzi yaikumba Sierra Leone.

DHMAG7cWAAAnbML

MIILI ya watu takribani 400 nchini Sierra Leone katika eneo la Regent na maeneo ya jirani mjini Freetown inatarajiwa kuzikwa leo katika mazishi ya pamoja kufuatia maporomoko ya matope na ...

Read More »

Suluhu ya dhamana yaanza kusakwa na Chadema

Profesa Abdallah Saffari, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeandika barua kwa ofisi ya Jaji Mkuu wa Tanzania, kikiomba wafuasi wao wanapokamatwa kwa makosa yanayodhaminika waweze kupewa dhamana, anaandika Irene David. Ofisi hiyo ...

Read More »

Mwakyembe awashukuru Watanzania

DFqSxXeXcAUTRTZ

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk.Harrison Mwakyembe, amewashukuru viongozi mbalimbali wa serikali na Watanzania wote kwa ujumla waliohusika kufanikisha shughuli nzima ya kumpumzisha mke wake Linah Mwakyembe, anaandika Irene ...

Read More »

Marekani yaziwekea vikwazo Urusi, Korea

BARAZA la Wawakilishi nchini Marekani limepiga kura ya kziwekea vikwazo nchi za Urusi, Korea Kaskazini na Iran kutokana na kufanya makosa mbalimbali, anaandika Irene David. Akizungumza na Baraza hilo, David ...

Read More »

Wanachama 54 Chadema wambwaga OCD wa Geita

Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo

MAWAKILI wanaowatetea wanachama 54 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), wameshinda pingamizi la Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo, katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kufanya ...

Read More »

Polisi Dar yanasa 44 wizi wa magari

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya (wakwanza) na kulia ni muonekano wa gari lililong'olewa baadhi ya vifaa

JESHI la Polisi Kanda maalum Dar es salaam limewakamata watuhumiwa 44 wa wizi wa vifaa vya magari pamoja na vifaa hivyo vya magari,  katika oparesheni maalum inayoendelea, anaandika Irene David. Lengo la ...

Read More »

Kubenea: Nitauza hata kiatu kumwondoa Lipumba

kubenea

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amesema yupo tayari kuuza chochote alichonacho hadi afanikishwe operesheni ya kumwondoa ofisini Prof. Ibrahim Lipumba anayeng’ang’ania uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) ...

Read More »

Mbunge Kubenea kuhojiwa Polisi Dar 

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea  amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambulika na Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini Profesa Ibrahim Lipumba kuacha kulipotezea muda Jeshi ...

Read More »

Polisi walikoroga Ruvuma, wazuia vikao vya ndani vya Chadema

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya mikutano ya ndani, anaandika Irene David. Katazo hilo limekuja siku chache baada ya viongozi waandamizi wa chama ...

Read More »

BAKWATA yampinga “Mtume wa uongo” Pwani

Msemaji Mkuu wa Mufti, Khamis Mataka

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka waumini wake na watanzania wote nchini kumpuuza mtu mmoja aliyejitokeza huko mkoani Pwani, akidai kuwa yeye ni Nabii Ilyasa, anaandika Irene David. Mwenyekiti ...

Read More »

Polisi Dar wakamata watuhumiwa 200

Baadhi ya vitu vilivyokamatwa na Jeshi la Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limewakamata watuhumiwa mbalimbali wanaojihusisha na makosa mbalimbali ya kiuhalifu yakiwemo makosa ya kutumia madawa ya kulevya, anaandika Irene David. Kaimu Kamanda wa ...

Read More »

Sumaye akemea serikali kunyanyasa wapinzani

Frederick Sumaye, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimekemea serikali kwa matumizi mabaya ya sheria za nchi dhidi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, anaandika Irene David. ...

Read More »

Sirro afanya uteuzi mwingine

Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

SIMON Sirro, Mkuu wa  Jeshi la Polisi nchini (IGP) amefanya mabadiliko ya kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani pamoja na kamanda wa polisi wa mkoani Mbeya, anaandika Irene David. Katika  ...

Read More »

Mashine ya kuzalisha mkaa wa kutengeneza yazinduliwa

Leonard Gabriel, Mkurugenzi wa Kuja na Kushoka

KAMPUNI ya Kuja na Kushoka Tools Manufactures Group kimezindua mashine ya kutengeneza mkaa unatokana na taka na kukaushia zao la tumbaku, anaandika Irene David. Leonard Gabriel, Mkurugenzi wa kiwanda hicho ...

Read More »

Halima Mdee ashtakiwa kwa matusi, aachiwa kwa dhamana

Halima Mdee, Mbunge wa Kawe akitoka Mahakama ya Mkazi Kisutu muda mfupi baada ya kusomewa mashataka yake

HALIMA Mdee,Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka la kutumia lugha ya matusi, anaandika Irene David. Mdee ...

Read More »

Chadema wajitosa kumng’oa Prof. Lipumba Buguruni

Saed Kubenea, Makamu Mwenyekiti Kanda ya Pwani (Chadema) akizungumza na Waandishi wa habari

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kimeanzisha operesheni maalumu ya kusaidia Chama cha Wananchi (CUF) kumwondoa Profesa Ibrahim Lipumba katika ofisi za makao makuu ya chama hicho ...

Read More »

Mtandao wa wanafunzi wampinga Rais Magufuli

Rayson Elijah, Mwanasheria wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP)

KAULI ya Rais John Magufuli kuwataka wanafunzi wote wa kike wa shule za msingi na sekondari watakaopata ujauzito kutorejea mashuleni imeendelea kupingwa na makundi mbalimbali katika jamii, anaandika Irene David Mbali ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube