Jabir Idrissa – Page 3 – MwanaHALISI Online

Author Archives: Jabir Idrissa

+255 774 226248

Lowassa abeba fomu za urais NEC

Msafara wa Mgombea wa Urais kupitia UKAWA, Edward Lowassa

EDWARD Lowassa tayari amechukua fomu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) za kugombea urais katika kura itakayopigwa Oktoba 25 mwaka huu, siku ya uchaguzi mkuu nchini. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

CUF yakaribia kupata mrithi wa Prof. Lipumba

Prof. Ibrahim Lipumba

BAADA ya Profesa Ibrahim Lipumba kuchukua uamuzi wa ghafla wa kujiuzulu uenyekiti wa CUF jana, vikao muhimu vya dharura vimeanza kwa lengo la kujaza nafasi hiyo. Anaandika Jabir Idrissa … ...

Read More »

Bin Seif Khatibu atupwa Uzini

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mohamed Seif Khatib

MWANASIASA mkongwe nchini, Muhammed Seif Khatibu ameangushwa katika kura za maoni za kuwania uteuzi wa kugombea ubunge, jimbo la Uzini, Mkoa wa Kusini Unguja. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Wakati ...

Read More »

Makongoro Mahanga amfuata Lowassa

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari juu ya uamuzi wake wa kujitoa CCM na kuomba kujiunga na Chadema

MWANASIASA aliyepata lawama za kulazimisha ushindi katika uchaguzi mkuu wa 2010 jimboni Segerea akigombea ubunge, Dk. Makongoro Mahanga, amejiondoa rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hapo hapo Mahanga alitangaza nia ya ...

Read More »

Waziri wa Fedha ajitosa ubunge Zanzibar

Waziri wa Fedha katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Saada Salum Mkuya

WAZIRI wa Fedha katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Saada Salum Mkuya, kwa mara ya kwanza ameingia katika kinyang’anyiro cha kusaka ubunge kwa uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika ...

Read More »

Misuli ya Lowassa yatetemesha CCM

Watia nia Bernard Membe (kushoto) akisalimiana na Edward Lowassa leo asubuhi katika kikao cha Halmashauri Kuu

CHAMA Cha Mapinduzi kimeingia katika wakati mgumu kimaamuzi baada wajumbe wengi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kugomea matokeo yaliyotoka ya Kamati Kuu kuchagua majina matano lakini huku wakimtupa nje ...

Read More »

Janjaweed wavamia, wamdhalilisha mwanamke

Moja ya matukio yaliyowahi kufanywa na Janjaweed kisiwani Zanzibar

MWANAMKE mmoja mwenye mume wakiishi kijiji cha Mtende, Wilaya ya Kusini Unguja, amedhalilishwa na wanaume watatu waliomvamia nyumbani kwake asubuhi leo kumshinikiza ahame Chama cha Wananchi (CUF) ili arudi CCM. ...

Read More »

Rais Kikwete atambia kufunga magazeti

Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete ameshikilia dhana yake ya kutosheka na kiwango cha uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa kuzingatia takwimu za idadi ya magazeti na vituo vya redio na televisheni ...

Read More »

Cheyo awachafua UKAWA

Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo

JOHN Momose Cheyo, mbunge wa muda mrefu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano, amepiga kampeni chafu dhidi ya wabunge wanaotokana na vyama vilivyounda UKAWA akitaka wasirudi bungeni. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

Blatter atangaza ujiuzulu Fifa

Rais wa Shirikisho la Soka la KImataifa (Fifa), Sepp Blatter

RAIS wa Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA), Joseph (Sepp) Bletter, raia wa Uswisi, barani Ulaya, ametangaza rasmi kuwa atajiuzulu wadhifa huo. Anaandika Jabir Idrissa …. (endelea). “Nitaitisha haraka mno kikao ...

Read More »

Maalim Seif aahidi neema Z’bar

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

MOJA ya hoja kuu alizozitoa Maalim Seif Shariff Hamad katika kuendelea kusaka urais wa Zanzibar ni kukubalika kwake kutokana na imani ambayo haijachuja aliyopewa na Wazanzibari. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

CUF yathibitisha UKAWA

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salim Mwalimu

UONGOZI wa juu wa Chama cha Wananchi (CUF) umefanya uamuzi wa kihistoria wa kulisabilia jimbo la Kikwajuni kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) utakapofanyika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. ...

Read More »

Moyo: Sitapigania uanachama wangu CCM

Mwanasiasa Mkongwe nchini na muasissi wa siasa za maridhiano Zanzibar, Nassor Hassan Moyo

MWANASIASA mkongwe nchini na muasissi wa siasa za maridhiano Zanzibar, Hassan Nassor Moyo, ambaye jana alinyang’anywa uanachama wake katika Chama cha Mapinduzi (CCM) alichoshiriki kukianzisha 5 Februari 1977, amesema hatapigania ...

Read More »

Maalim Seif amfuata Balozi Seif Kitope

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad

WAKATI Balozi Seif Ali Idi akisema hampendi Maalim Seif Shariff Hamad, viongozi wasaidizi wakuu wa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, kesho Maalim anatarajiwa kuhutubia jimbo la Kitope, ambako ...

Read More »

CCM yadhihirisha ZAN-ID mtaji

Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shain

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimethibitisha kunufaika na utaratibu wa kuhusisha haki ya kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi na maslahi ya kisiasa baada ya wawakilishi wake wote kushikamana na kuikataa hoja binafsi ...

Read More »

Gari la Wengert labeba bangi

Gari la kampuni ya uwindaji ya Wengert Windrose Safaris (WWS) likiwa kituo cha polisi jijini Arusha huku likiwa limebeba magunia ya bangi

GARI la kampuni ya uwindaji ya Wengert Windrose Safaris (WWS) inayomilikiwa na wawekezaji wa Marekani, limekutwa na bangi na dereva wake anashikiliwa kwa uchunguzi. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Dereva ...

Read More »

Rwanda yaikanyaga Tanzania kwenye utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu akibadilishana mawazo na wageni waliotembelea banda la Tanzania

UNAHITAJI kupitia hatua 26 kukamilisha utaratibu wa kufungua kampuni nchini Tanzania ili kuwekeza mradi wa kiuchumi utakaochangia nguvu katika kukuza pato la taifa. Angalia tofauti: Burundi ni hatua tatu, Kenya ...

Read More »

Rais Kikwete atawaachia nini albino?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa maalbno na mawaziri wake

RAIS Jakaya Kikwete, aliyebakiza miezi saba tu ya kustaafu uongozi, yupo kwenye mtihani mgumu wa kutakiwa kufanya uamuzi kabla hajaachia madaraka. Anaandika Jabir Idrissa… (endelea). Katika muda huo, ana uchaguzi ...

Read More »

Expertise Letter Sample

Edit Report Howto Act to Greatly Help Animals Do you want to aid stop annihilation? You http://essaysource.com/application-essay/ can find techniques a good pure individual can make a big difference by ...

Read More »

Mbunge: Serikali acheni kuikwapua mifuko

Mwenyekiti wa CUF, wilaya ya Lindi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini, Salum Barwany.

MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Baruwany ametaka serikali iache utamaduni mbaya wa uingiliaji mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuipa fursa ya kisheria ya kuimarisha huduma kwa wafanyakazi wanaotoa michango ...

Read More »

Things to Make With Paper

Edit Report Ways to Get Started Writing To create something is actually a big undertaking. To start publishing may be the hardest aspect. It usually comes normally and then your ...

Read More »

Mansour anogesha siasa Zanzibar

Mwanasiasa, Mansour Yusuf Himid akisailiama na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa chama hicho.

SAFARI ya kihistoria ya mwanasiasa kijana wa Kizanzibari, Mansour Yussuf Himid, ndio kwanza inanoga. Baada ya kutulia akibakia asiye chama tangu alipofukuzwa CCM zaidi ya mwaka sasa, hatimaye amejiunga rasmi ...

Read More »

Dangote hafungamani na Prof. Muhongo

Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote

DOKTA Aliko Dangote, raia wa Nigeria, ni tajiri Na. 1 barani Afrika; wakati Profesa Sospeter Muhongo ni Mtanzania aliyebobea elimu ya miamba (jiolojia). Wote hao wanapojadili dhana ya uwekezaji kwenye ...

Read More »

‘Toa chakula tujenge maabara’

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Kikwete

VIONGOZI wa halmashauri nchini wanahaha kukamilisha utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete la kujenga maabara tatu katika shule za sekondari za kata. Lakini Halmashauri ya Jiji la Mwanza imefuja ...

Read More »

Msimamizi mifuko ya hifadhi asema hali nzuri

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA), Irene Isaka

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA), Irene Isaka amesema si kweli kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya kifedha. Ingawa ...

Read More »

Ugaidi na hoja nzito ya Muungano

Jaji Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, Omar Othman Makungu

SI rahisi kuona kama jambo linalobishaniwa na wanasheria, linalohusu Wazanzibari kukamatwa Zanzibar lakini wakashitakiwa Tanzania Bara, linaweza kuwa na mvuto mkubwa. Linao. Ndio maana kwenye baraza za mjini Zanzibar, linajadiliwa ...

Read More »

CCM hakina mvuto tena

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu.

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na mtihani mkubwa wa kusambaratika. Wala wanaochangia muanguko wa chama hiki si watu walioko nje ya chama, kwa kweli ni makada wake, wengine wakiwa ndio ...

Read More »

Kesi ya padre Mushi mtegoni

Mwili wa marehemu Evarist Mushi ukipelekwa makaburini tayari kwa kuhifadhiwa.

OKTOBA 3 mwaka huu inaweza kuwa siku ya mwisho kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) wa Zanzibar kutoa kisingizio cha kutokamilika kwa upelelezi wa kesi ya mauaji ya Padre Evarist Mushi ...

Read More »

Kesi ya Katiba yanguruma kama simba

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Goerge Masaju akifafanua jambo.

KESI ya madai inayohoji uhalali wa Bunge Maalum la Katiba kubomoa Rasimu ya Pili ya Katiba; kunyoa ibara na kuingiza sura mpya, itaingia katika hatua muhimu 15 Septemba. Ni siku ...

Read More »

Viongozi wa Kiislam walalamika kuteswa

Watuhumiwa na kesi ya ugaidi wakifikishwa katika Mahakama ya Kisutu

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imeingia katika kashfa nzito ya askari wake kutajwa kuwa wanaendesha mateso kwa watuhumiwa wanaokuwa kwneye mamlaka ya Jeshi la Polisi. Kashfa hiyo imethibitika wiki iliyopita ...

Read More »

Hawakatai katiba CCM, ukweli hawataki mabadiliko

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda

KILA nikitafakari matamshi yanayotolewa na wakubwa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) ninapata picha moja tu iliyo kubwa: hawataki katiba mpya kwa mwelekeo ulioletwa. Mwelekeo ulioletwa katika kuendeleza utaratibu wa kuipatia ...

Read More »

Muswada wa Sheria ya Katiba ‘wachanwa’ Rais Kikwete mtegoni

Wenyeviti wa vyama vya upinzani wakiwa Ikulu na Rais Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete amewekwa mtegoni. Ama akubaliane na Bunge au vyama vya siasa katika mchakato wa kuleta Katiba mpya, MwanaHALISI Online linaweza kuripoti. Tayari vyama vitano vya siasa vilivyoko bungeni ...

Read More »

Mkono kufilisi nchi

Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono

KAMPUNI ya mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono inadaiwa kulipwa na TANESCO, takriban shilingi 18 bilioni kwa huduma ya ushauri, MwanaHalisi Online limegundua. Nyaraka ambazo gazeti hili limeona zinaonyesha ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube