Jabir Idrissa – Page 2 – MwanaHALISI Online

Author Archives: Jabir Idrissa

+255 774 226248

Lowassa: Nitagombea tena 2020

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza leo kwamba anajiandaa kugombea tena urais utakapofika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 2020. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Lowassa ametangaza hayo mbele ya wafanyabiashara ...

Read More »

Kafulila aufukuzia Ubunge Kigoma

MBUNGE wa zamani wa jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila amevuka kikwazo muhimu cha kesi aliyoifungua kupigania kiti chake cha ubunge baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora kuipangia siku ...

Read More »

Seif: Mimi si makamu tena wa rais

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad ametangaza rasmi kuwa yeye si makamu tena kwa sababu muda wa serikali iliyoongozwa na Dk. Ali Mohamed Shein kikatiba ...

Read More »

CUF: Hatutoshiriki sherehe za Mapinduzi

VIONGOZI wakuu wa Chama cha Wananchi (CUF) hawatashiriki shughuli za kiserikali zilizopangwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutokana na serikali iliyopo kutokuwa na ridhaa ...

Read More »

Seif rais Zanzibar, maandalizi ya kutangazwa yaiva

USHINDI wa Maalim Seif Shariff Hamad katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, ungali salama. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). MAWIO limeelezwa kuwa ushindi huo utadhihirishwa kabla ya Zanzibar ...

Read More »

Magufuli amsafisha Injinia Masauni

YULE mwanasiasa ambaye mwaka 2010 alinyang’anywa uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa kutuhumiwa kugushi umri, ndiye Naibu Waziri mpya wa Mambo ya Ndani. Anaandika Jabir Idrissa … ...

Read More »

Magufuli amwita Maalim Seif Ikulu

MAALIM Seif Shariff Hamad ambaye anapigania haki yake ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar baada ya uchaguzi huo kufutwa kihujuma, amekutana na Rais John Magufuli leo Ikulu jijini ...

Read More »

Mazombi wateketeza Hits FM Radio

MGOGORO wa kisiasa Zanzibar unaendelea. Ungedhani kwa asili yake, hasa kwa kuwa unahusu wanasiasa wanaogombania haki ya kuongoza serikali, uwahusishe wao tu wanasiasa. Sivyo ilivyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Maaskofu, Masheikh wampa neno Rais Magufuli

RAIS mpya wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameambiwa kama ni kweli amenuia kukomesha biashara ya madawa ya kulevya nchini, basi awashughulikie wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza bidhaa hiyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »

DK. Shein apingwa kushiriki uzinduzi wa Bunge la 11

WAKATI kungali na usiri mkubwa hapa wa vikao vya majadiliano vinavyohusisha viongozi wakubwa wa kisiasa Zanzibar, mpango wa Dk. Ali Mohamed Shein kuomba udhuru ili ashiriki hafla ya uzinduzi wa ...

Read More »

ASASI za kiraia zalalama Z’bar

ASASI za kiraia za Zanzibar zimetoa tamko la kutaka dhana ya utawala bora iheshimiwe katika muendelezo wa vikao vya majadiliano vinavyofanyika miongoni mwa viongozi wakubwa Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »

Subira yachosha Z’bar

MWENENDO wa mambo kuhusu mgogoro wa uchaguzi ulioibuka Zanzibar unazidi kukatisha tamaa wananchi hasa kwa kuhofia ukimya kutawala badala ya hatua za wazi za utatuzi. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

CCM mnahofia nini – Maalim Seif

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa anayepigania haki ya kuongoza Zanzibar baada ya kuchaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa Oktoba 25, amesema hakuna sababu ya viongozi wa CCM kumhofia. Anaandika Jabir ...

Read More »

Wakubwa waendeleza majadiliano Z’bar

VIONGOZI wakuu wa kisiasa Zanzibar wameendelea kukutana kwa faragha katika jitihada za mwisho za kuokoa mvurugiko wa amani kutokana na hatua ya kufuta uchaguzi mzima wa Oktoba 25. Anaandika Jabir ...

Read More »

Dk. Shein, Maalim Seif wateta

WANASIASA wawili wanaogombania kutwaa urais katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 25, walikutana mjini hapa jana na kuamsha upya “imani” miongoni mwa wananchi kwa vile huo ni mkutano wa ...

Read More »

Mimi ndiye rais wenu – Maalim Seif

KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad amewaasa wananchi wa Unguja na Pemba kutambua kuwa chama hicho ndicho kilichopata ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 na wasihadaike na ...

Read More »

SMZ yafunga kituo cha radio Z’bar

KADHIA ya ufutwaji uchaguzi wa Zanzibar ikiwa haijapatiwa ufumbuzi, kumekuwa na hatua za ukandamizaji wa uhuru wa habari hapa Zanzibar na tayari madhara yametokea. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). ...

Read More »

Tume ya Nyanduga yaingilia mgogoro wa Z’bar

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUU) inafanya utafiti wa dharura wa mgogoro wa kisiasa ulioanza upya Zanzibar kufuatia hatua isiyotarajiwa ya kufutwa uchaguzi mkuu wa tarehe 25 ...

Read More »

Rais Kikwete akutana na Maalim, ngoma mbichi

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa anayepigania haki yake ya kushika uongozi wa Zanzibar baada ya kutamka kuwa amechaguliwa na wananchi, amekutana na Rais Jakaya Kikwete ndani ya Ikulu ya jijini ...

Read More »

Mazombi wahangaika kuvamia CUF

MAKUNDI ya askari wanaotajwa kama kutoka vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakichanganyika na vijana wasiokuwa na mafunzo halisi ya kiaskari wamekuwa wakihaha kutaka kuvamia ofisi kuu za Chama cha ...

Read More »

Maalim Seif akaza kamba

MAALIM Seif Shariff Hamad ambaye anapigania haki yake ya kuongoza Zanzibar baada ya kuchaguliwa na wananchi, anataka kukutana na Rais Jakaya Kikwete “haraka leo kesho.” Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Maalim Seif: Jeshi halitamaliza mgogoro Zanzibar

HUKU hali ya mambo hapa Zanzibar ikiwa haijatulia, Maalim Seif Shariff Hamad leo amesema mgogoro uliosukumwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha utatatuliwa kwa njia ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar wafutwa

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya uchaguzi wa kisiwani humo bila kutoa sababu za kufanya hivyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Walioitosa CCM wapambisha kampeni

MAKADA wawili waliokihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), mmoja akiwa waziri wa zamani na mwingine mwenyekiti wa mkoa, wamefanya kampeni ya nguvu ya kumtakia kura nyingi Edward Lowassa kwenye mkutano mkubwa ...

Read More »

Lowassa ambana Kikwete

EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), amesihi utawala uliopo chini ya Rais Jakaya Kikwete kuwa makini usije ukasababisha vurugu kwa sababu ya kutaka ...

Read More »

Waislam wasiyumbishwe kuhusu Lowassa

SHEIKH Khalifa Hamisi, muislam maarufu nchini ambaye siku hizi anajitokeza kuzungumzia masuala ya kisiasa akijitambulisha kuwakilisha Taasisi ya Imam Bukhar, ametakiwa kuacha kuwagawa Waislam kwa kauli za kichochezi wakati huu ...

Read More »

Mtayachota kwa vidole vyenu

WA Kilindi juu. Mkampangia madumu Dadaangu wa Muyuni, anoizunguka nchi akimuombea ulaji mtaka mabadiliko kimtindo, Mapediloki. Eti nini, Magufuli si Ukawa? Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Sijawahi kusikia wao wakisema ...

Read More »

Lowassa: Nataka kura milioni 14

MGOMBEA urais aliyeteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa ametangaza rasmi kuwa ana shida ya kura milioni 14 ili atangazwe ...

Read More »

Wanafahamiana tena wamoja

RAISI anajidhalilisha kwa kukithiri mizaha. Anajisahau akidhania Saigoni – kijiwe cha maalwatan wa Da’Salama, wehu kwa utani wa Simba na Yanga. Alikuwa maarufu miaka ile ya 1980. Niliwahi kumsikia akisema ...

Read More »

CCM yajianika itashinda 69%

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) chenye historia ya woga kuruhusu wagombea wake kushiriki majadiliano ya wazi, kimejitokeza kuwa tayari mgombea wake wa urais wa jamhuri, Dk. John Magufuli, ashiriki. Anaandika Jabir ...

Read More »

Bashe kufuatilia mahakama ya mafisadi

MGOMBEA ubunge jimbo la Nzega mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe amesema akiingia bungeni atafuatilia kwa karibu uanzishwaji wa mahakama maalum kwa ajili ya kuwashughulikia “mafisadi ...

Read More »

Sumaye: Siogopi matusi, Kubenea safi

SI vitisho na matusi, wala madai ya kuwa yeye Frederick Sumaye alihama CCM na kuhamia UKAWA kwa kutafuta cheo, vitakavyomtoa nje ya mstari wa kumuunga mkono Edward Lowassa kuleta mabadiliko ...

Read More »

Hii Tume inanishangaza

NAUVAA ujasiri. Nilipokuwa nabashiri kabla ya kuchagua, watakuwepo watu laki wanadai haki kortini ya kuchagua, nilikuwa nahimiza ufanisi wa kazi. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Zilikuwepo dalili nyingi kazi ingefujika. ...

Read More »

Mansour Himid kidedea

RUFAA aliyokatiwa Mansour Yussuf Himid, katibu wa mikakati ya ushindi wa Maalim Seif Shariff Hamad, kulenga kumzuia kugombea uwakilishi jimbo la Kiembesamaki, imetupwa. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Uamuzi wa ...

Read More »

Maalim Seif amuinua Lowassa Z’bar

KAMPENI ya Maalim Seif Shariff Hamad ya kushika madaraka ya Zanzibar imeanza kwa nguvu kwa kupata ugeni mzito wa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano, Edward Lowassa na mgombea mwenza ...

Read More »

Majogoo wa siasa Z’bar mbioni leo

MAJOGOO mawili ya kisiasa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na Dk. Ali Mohamed Shein wanapasha moto misuli kujiandaa na safari ngumu ya kampeni ya kugombea urais inayotarajiwa kuanza baada ya ...

Read More »

Makaidi akampeni kupitia Simba

MWENYEKITI Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi amesema mpira katika nchi hauwezi kuwa mzuri iwapo siasa za nchi ni mbaya. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

Sumaye: Lowassa anastahili urais

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kuwa Edward Lowassa ni mgombea makini asiye doa, na anastahili kuchaguliwa ili aongoze taifa linalohitaji mabadiliko. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Amesema kwamba ...

Read More »

Mshindo wa Lowassa hadharani

NGUVU ya utendaji kazi kimkakati iliyopo Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) inatarajiwa kudhihiri kesho utakaposhuhudiwa uzinduzi rasmi wa kampeni yake ya kushika hatamu za uongozi wa nchi. Anaandika Jabir ...

Read More »

‘Kura ya amani tuepushe machafuko’

KATIBU Mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA), Grace Tendega amesihi wanawake wote nchini kushiriki uchaguzi kwa amani na salama ili kuiepusha nchi kuingia katika machafuko. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

Mtikila na Chipaka wakatwa urais

WANASIASA wakongwe nchini, Christopher Mtikila na John Lifa- Chipaka wametupwa nje ya kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kushindwa kutimiza vigezo vya ...

Read More »

Wasaka ulwa ndani ya visa Z’bar

ORODHA ya wanasiasa wanaotamani urais wa Zanzibar inaweza kuwa ndefu kuliko ilivyowahi kuwa katika historia ya uchaguzi mkuu chini ya mfumo wa vyama vingi Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

Nkurunziza aapishwa ‘chapchap’

PIERRE Nkurunziza wa Burundi, ambaye ameanza kutengwa na jumuiya ya kimataifa, leo aliapishwa kushika upya wadhifa wa rais bila ya shamrashamra. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Sherehe ya kuapishwa kwake, ilihudhuriwa ...

Read More »

Maalim Seif kuanza safari Ikulu

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa Tanzania, ataanza safari ya kutwaa madaraka ya dola Jumapili atakapochukua fomu ya uteuzi ya kugombea urais wa Zanzibar. Anaandika Jabir ...

Read More »

Mahakama Kuu: Lowassa msafi

MGOMBEA Urais wa Tanzania, Edward Lowassa anayewakilisha UKAWA – Umoja wa Katiba ya Wananchi – kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo amewasilisha Hati ya Kiapo mbele ya Mahakama ...

Read More »

Sheikh Kishki aundiwa kiroja mtandaoni

ULAMAA maarufu wa Kiislamu nchini, Sheikh Nurdin Kishki, amesingiziwa taarifa zisizo na msingi na watu waliofungua akaunti katika mtandao wa kijamii wa Facebook na kuandika taarifa zinazomuonesha kama swahiba wa ...

Read More »

‘Dhibiti uhalifu Afrika msiende ICC’

VIONGOZI wa nchi za Afrika wawe tayari kushughulikia masuala ya uvunjaji wa haki za binadamu, ikiwemo mauaji ya kupanga ya raia, iwapo wana msimamo wa kutoitaka Mahakama ya Kimataifa ya ...

Read More »

Mafuriko nchi nzima. Kimbau, Masha wahama CCM

KAMBI kuu ya upinzani katika siasa za Tanzania, imezidi kuimarika. Matukio mawili, moja la jana, jingine leo hii, yametokea na kuongeza nguvu ya kampeni ya kuitoa CCM madarakani chini ya ...

Read More »

Mazrui kampeni meneja wa Maalim Seif Zanzibar

MAALIM Seif Shariff Hamad amemteua Nassor Ahmed Mazrui, msaidizi wake mkuu katika shughuli za siasa ndani ya Chama cha Wananachi (CUF), kuwa kiongozi wa timu ya kampeni ya kutafuta urais ...

Read More »

Wagombea ubunge, uwakilishi CUF hawa

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetangaza majina ya wanachama wake watakaogombea viti katika Bunge na Baraza la Wawakilishi na kuridhia maamuzi yaliyofanywa majimboni na wananchi. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Kwa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube