Author Archives: Hellen Sisya

Ndugai agomea milioni 43 matibabu ya Lissu.

Job Ndugai, Spika wa BUnge la Tanzania. Picha ndogo Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki ( Chadema), Tundu Lissu na kufunguka kwamba Spika Job Ndugai ...

Read More »

Polisi watanda makao makuu Chadema, wakamata wafuasi

kfhj

JESHI  la polisi limewakamata watu kadhaa ambao walikuwa wakipita katika ofisi za makao makuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) zilizopo eneo la Ufipa, Kinondoni jijini Dar es salaam ...

Read More »

IGP  Sirro aambiwa aanze na Makonda

9

Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu  kamanda Simon Sirro, mkuu wa jeshi la polisi nchini kuwa jeshi lake linawafahamu  watu ambao inadai hawajulikani, ...

Read More »

Chadema yazidi kumtekenya Magufuli, wasema anahusika kumdhuru Lissu

DJhTkOFW4AAnv9H

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeituhumu serikali ya rais John Magufuli kuwa inahusika na tukio la shambulio la kifo dhidi ya Tundu Lissu, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Kesi ya Mdee kumtusi Magufuli yapigwa kalenda

Halima Mdee (mwenye nguo nyeupe) akiwa mahakamani akisubiri kesi yake kutajwa kabla ya kuhairishwa

KESI inayomkabili mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), imepigwa kalenda hadi Oktoba 11,mwaka huu itakapoanza kusikilizwa, anaandika Hellen Sisya. Mdee ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama ...

Read More »

Mbivu na mbichi za ‘dikteta uchwara’ Oktoba 4

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema. Picha ndogo Rais John Magufuli

UAMUZI mdogo kuhusiana na kesi ya “dikteta uchwara” inayomkabili Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu unatarajiwa kutolewa Oktoba 4, mwaka huu, anaandika Hellen Sisya. Mahakama ...

Read More »

Chadema yasisitiza kufanya maandamano kesho

Patrobass Katambi, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema Taifa (BAVICHA). Picha ndogo IGP Simon Sirro

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kwamba maandamano ya amani ambayo yalipangwa kufanyika kesho nchi nzima yatafanyika, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na MwanaHalisi Online, Edward Simbeye, katibu mwenezi wa ...

Read More »

Vita vyapoteza watu 40 nchini Sudan

150302104355_south_sudan_640x360_afp

WATU 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea katika jimbo la Yei nchini Sudan Kusini, anaandika Hellen Sisya. Mapigano hayo ambayo yanatokana na mgogoro wa kisiasa nchini humo, yametokea ...

Read More »

Sinema ya Lissu na Polisi yaendelea Dar

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, akiwa chini ya ulinzi wa polisi

JESHI la polisi limeendelea kumshikilia Mwanasheria mkuu wa Chama cha Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu aliyekamatwa juzi jijini Dar es Salaam na kushikiliwa katika kituo kikuu, anaandika Hellen Sisya. Mwanasheria huyo ...

Read More »

Polisi wamaliza upekuzi kwa Lissu, waambulia patupu

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida (katikati), akiinga ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu

MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka nyumbani kwake bila kukuta chochote, anaandika Hellen ...

Read More »

Polisi watinga nyumbani kwa Lissu kusaka barua ya Bombardier

Ndege ya Bombardier aina ya Q400

MAOFISA wa jeshi la polisi wamekwenda nyumbani kwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpekua, anaandika Hellen Sisya. Jana Lissu alikamatwa ...

Read More »

Bunduki zatumika kumkamata Lissu

vlcsnap-2017-07-29-20h32m57s281

ASKARI 17 wa Jeshi la Polisi wametumika kumkamata Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, eneo la Kisutu, Dar es Salaam, anaandika Hellen Sisya. Miongoni mwa watu hao, ...

Read More »

Serikali ya JPM yapigwa ‘dongo’

Rais John Magufuli, Rais wa Tanzania. Picha ndogo Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametoa tuhuma nzito kwa serikali ya awamu ya tano huku akisema kuwa haizingatii misingi ya sheria pamoja na kuheshimu utawala bora, anaandika Hellen Sisya. Amesema ...

Read More »

Profesa Mukandala aburuzwa kortini 

Prof. Rwekaza Mukandala, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

ALIYEKUWA mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaa, Alphonce Lusako, amemburuza mahakamani, Makamu Mkuu wa  chuo hicho, Profesa Rwekaza Mukandala akimtuhumu kumkatisha masomo bila kufuata utaratibu, anaandika Hellen Sisya. ...

Read More »

Mbowe amchongea Magufuli kwa wananchi

Dk. John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) (Picha kubwa) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewataka watanzania kutokuogopa kumkosoa Rais John Magufuli pale anapokosea, anaandika Hellen Sisya. Mbowe ameyasema hayo mapema leo hii katika hoteli ya ...

Read More »

Wahariri wamkaanga Makunga na wenzake

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Theophil Makunga

WAHARIRI wa vyombo mbalimbali vya habari wametoa onyo kali kwa uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kwa kudhalilisha jukwaa hilo pamoja na tasnia nzima ya habari hapa nchini, anaandika  ...

Read More »

Machafuko yaibuka Kenya, watano wapigwa risasi

Mkuu wa Polisi katika mji wa Nairobi, Japheth Koome

WATU 5 wamepigwa risasi katika ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi nchini Kenya, anaandika Hellen Sisya. Ghasia hizo zimetokea jana baada ya kinara wa kambi ya ...

Read More »

Meena awaomba radhi wanahabari

Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (katikati) akizungumza na Theophil Makunga, Mwennyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania na Naville Meena, Katibu wa Jukwaa hilo

NEVILE Meena, Katibu Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amewaomba radhi waandishi wa habari na Wahariri, anaandika Hellen Sisya. Msamaha huo unafuatia Meena kutoa kauli kwamba kuanzia leo, wamemfungulia Mkuu wa ...

Read More »

Marekani kushambuliwa na makombora

Mifano ya makombora ya Scud yanayomilikiwa na Korea Kaskazini

NCHI ya Korea Kaskazini inapanga kurusha makombora karibu na kisiwa kimoja nchini Marekani Korea imesema kwamba inatafakari uwezekano wa kurusha makombora karibu na jimbo la Marekani la Guam katika bahari ...

Read More »

Chadema kuchambua sekta ya elimu nchini

Susan Lyimo, Waziri Kivuli wa Elimu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuandaa mkutano na waandishi wa habari ili kuchambua hali ya sasa ya elimu ya juu nchini, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Mdee aichana  bodi ya mikopo 

55f80272-3993-475d-9d17-fc3b24b4750e

Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la kawe (Chadema) ameituhumu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) kwa kufanya ubaguzi wa elimu, anaandika Hellen Sisya Akizungumza katika ...

Read More »

Chadema wabuni njia mpya kumkabili Rais Magufuli

John Mnyika, Mbunge wa Kibamba(wakwanza) na Boniface Jacob, Meya wa Ubungo

JOHN Mnyika, Naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kibamba amesema kuwa rais Magufuli anatumia kivuli cha kuleta maendeleo kuminya ...

Read More »

Mbunge Kubenea alia na rafu za serikali ya JPM

IMG-20170804-WA0016

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, amesema Watanzania wanakuwa maskini kwa sababu ya ubaguzi unaofanywa na serikali, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza katika mkutano wa hadhara ...

Read More »

Meya wa Chadema amvaa Rais Magufuli

Boniface Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo. Picha ndogo Rais John Magufuli.

BONIPHACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo amewalalamikia watendaji wa Rais John Magufuli kwa kuwa wanakwamisha miradi ya maendeleo katika maeneo ambayo yanaongozwa na upinzani, anaandika Hellen Sisya. Meya huyo ...

Read More »

Mbivu na mbichi wabunge wa CUF kujulikana Agost 4

Wabunge wa CUF waliovuliwa uanachama wakiwa mahakamani wakisikiliza shauri lao la kupinga hatua hiyo

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inatarajia kutoa uamuzi kuhusiana na mapingamizi yaliyotolewa na upande wa serikali katika kesi iliyofunguliwa na wabunge nane wa Chama cha Wananchi (CUF), ambao walivuliwa uanachama wiki ...

Read More »

Korea Kaskazini yazidi kuililia Marekani

Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un

SERIKALI ya Korea Kaskazini imeionya Marekani isitumie njia za vikwazo zaidi wala za kijeshi dhidi ya Pyongyang, anaandika Hellen Sisya. Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ...

Read More »

Tundu Lissu: Hatutanyamaza

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

MARA baada ya kuachiwa huru na mahakama, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ametupa dongo lingine kwa Rais John Magufuli kwa kumwambia kuwa watanyamaza wakiwa wafu, anaandika Hellen Sisya. Lissu ...

Read More »

Tundu Lissu aibwaga serikali, apata dhamana

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida (katikati), akiinga ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, hatimaye amepata dhamana baada ya ombi la mawakili wa serikali la kuomba mahakam imnyime dhamana kutupiliwa mbali, anaandika Hellen Sisya. Hakimu Mkuu Mkazi wa ...

Read More »

TCU yafafanua ada ya usajili wanavyuo

Eleuther Mwageni , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

SERIKALI kupitia Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imeviagiza vyuo vikuu kote nchini kutoza kiasi cha pesa kisichozidi Sh. 10,000 kwa kila mwanafunzi atakayeomba nafasi ya kujiunga na elimu ya ...

Read More »

Wanaharakati wahukumiwa kifungo cha maisha nchini Misri

Moja ya maandamano ya wanaharakati wa Ikhwanul Muslimin

Mahakama ya Jinai nchini Misri imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaharakati 43 wa Ikhwanul Muslimin, anaandika Hellen Sisya. Katika hukumu hiyo mahakama hiyo imesema wanaharakati hao walishiriki maandamano yaliyopigwa marufuku dhidi ...

Read More »

Fatma Karume naye amvaa Rais Magufuli

Fatuma Karume, Wakili wa kujitegemea. Picha ndogo Rais John Magufuli

FATUMA Karume, wakili wa Tundu Lissu, Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kila mtu ana haki ya kumkosoa Rais, anaandika Hellen Sisya. Wakili huyo ameyasema hayo ...

Read More »

JPM amewataka Watanzania kuvumiliana

Rais John Magufuli

RAIS John Magufuli, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwa na mioyo ya kuvumiliana, anaandika Hellen Sisya. Rais Magufuli ameyasema hayo mapema leo hii akiwa katika ziara ...

Read More »

Hekima za Ndugai kuokoa wabunge nane wa CUF

Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa bado anaitafakari barua ambayo ameipokea kutoka kwa, Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye anatambulika ...

Read More »

Tundu Lissu kumkuta ya Lema?

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema (katikati mwenye fulana nyekundu) akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri kusikiliza shauri lake

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amenyimwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya kutoa lugha ya uchochezi ambayo imesababisha chuki kwa ...

Read More »

Tundu Lissu afikishwa mahakamani Kisutu muda huu

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida, akiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), baada ya kuwekwa mahabusu siku nne, hatimaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ...

Read More »

Kim Jong-un aitambia Marekani

Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini

Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini  amesema kuwa, vitisho vya hivi karibuni vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yake, ni vya kijinga, anaandika Hellen Sisya. Kiongozi huyo ...

Read More »

Wapinzani Uganda wala ‘kibano’ kama wa Tanzania

Askari Polisi nchini Uganda wakiwa katika majukumu yao ya kawaida

POLISI nchini Uganda imewatia mbaroni wapinzani waliofanya mkusanyiko wa kupinga serikali wiki iliyopita, anaandika Hellen Sisya. Emilian Kayima, Msemaji wa jeshi la polisi nchini humo amesema kuwa, karibu wapinzani 20 ...

Read More »

Vyuo vikuu vya ‘wababaishaji’ kukiona

dsc_0025

TUME ya vyuo vikuu nchini (TCU), imesema itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya vyuo vikuu ambavyo vitatangaza kozi ambazo hazitambuliki na tume hiyo pamoja na Baraza la Taifa la ...

Read More »

Vyuo 80 kushiriki maonesho ya elimu ya juu

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

VYUO takribani 80 vinatarajiwa kushiriki maonesho ya elimu ya juu, sayansi na teknolojia yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, kuanzia tarehe 26 mpaka 29 Julai, ...

Read More »

TCU yajivua rasmi udahili wa wanafunzi

Eleuther Mwageni , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imejivua rasmi jukumu la kusimamia suala la udahili kwa wanafunzi ambao wanatarajia kujiunga na masomo ya elimu ya juu mwaka huu , anaandika Hellen ...

Read More »

Hiki ndicho anachokitamani Tundu Lissu

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki, akilia kwa uchungu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amewaeleza Watanzania kuwa kitu pekee ambacho kinaweza kuikomboa nchi kutoingia katika machafuko, anaandika Hellen Sisya. Fuatilia VIDEO HII ili ujue nini alichowashauri Watanzania.  

Read More »

Kesi ya Lusako bado

Alphonce Lusako, Mwanafunzi aliyefukuzwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari wa MwanaHALISI Online

KESI ya Alphonce Lusako, mwanafunzi wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anayehangaikia haki yake ya kikatiba ya kujiendeleza kielimu baada ya kunyimwa na chuo hicho, imekwama, anaandika ...

Read More »

Maswali sita Ngeleja kurudisha fedha za Rugemalira

DEXbJebXUAALzpT

KITENDO cha William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema kurudisha fedha alizopewa miaka mitatu iliyopita na mfanyabiashara James Rugemalira, kimezua maswali sita ambayo hayawezi kuwa na majibu, anaandika Hellen Sisya. Ngeleja leo ...

Read More »

Dk. Tulia amdhibiti Mbunge wa CCM

Dk. Tulia Ackson, Naibu  Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

TULIA Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtaka Rashidi Shangazi, Mbunge wa Mlalo, mkoani Tanga kufuta kauli yake juu ya Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, ...

Read More »

Wabunge wa Chadema wahojiwa Polisi

Wabunge wa Chadema waliohojiwa kwa tuhuma za kumshambulia Juliana Shonza, Mbunge wa Viti Maalum CCM

BAADA ya wabunge nane wa Chadema kukamatwa na kuachiwa kwa dhamana jana usiku, leo wametakiwa kuripoti Polisi mjini Dodoma kwa mahojiano zaidi, anaandika Hellen Sisya. Wabunge hao walishikiliwa na Polisi ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube