KLABU ya Yanga imerejea nchini usiku wa kuamkia leo ikitokea Nigeria ilikokwenda kupepetana na River United ikiwa ni mchezo wa marudiano wa...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021WAKATI fununu za aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kwamba anarejea jangwani zikiendelea kushika kasi, kocha huyo amefunguka ujumbe mzito unaoashiria...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021ANAFUATA nyayo za Hayati Mwalimu Nyerere? Ndilo swali linaloibuka miongoni mwa Watanzania baada ya Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema kuelekea nchini Marekani...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya FC Horsed kutoka Somalia, klabu ya soka ya Azam FC, sasa...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021SERIKALI ya Marekani chini ya utawala wa Rais Joe Biden inaendelea na mpango wake wa kuwarudisha nyumbani wahamiaji kutoka Haiti. Anaripoti Glory...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi, uaminifu na uadilifu ili waweze kuleta matokeo chanya...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya uendelezaji na ujenzi wa miradi...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021ALIYEKUWA Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande, ameteuliwa na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, inayojihusisha na uhalifu dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021SERIKALI ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (Veta) kwa kila halmashauri. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021KIKOSI cha wachezaji 23 wa timu ya TP Mazembe ya Congo kinawasili nchini Tanzania leo Jumamosi, tarehe 18 Septemba 2021. Anaripoti Hunda...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021RAIS wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika amehitimisha safari ya maisha yake hapa duniani akiwa na miaka 84. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, itacheza na Jwaneng Galaxy FC ya Botswana katika michuano ya...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021BABA mmoja raia wa Marekani amedai alipwe dola milioni moja sawa na Sh bilioni 2.3 baada ya binti yake mwenye umri wa...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021NAIBU Rais wa Kenya, William Ruto amekubaliana na ombi la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini humo la kumpatanisha na Rais Uhuru Kenyatta....
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021KLABU ya soka ya Yanga leo imeingia makubaliano maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii kwa viwani Zanzibar na Mlima wa Kilimanjoro kupitia...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, kati ya mwaka 1991-2006, Profesa Matthew Luhanga (73), amefariki...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amesema zaidi ya wafanyabiashara 45,000 waliokuwa kwenye mfumo rasmi mkoani Dar es Salaam wamegeukia umachinga...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021SERIKALI imewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo uliotokea katika jimbo la Tshopo nchini...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021KOCHA msaidizi wa Simba, Thiery Hitimana ameiomba radhi klabu ya Mtibwa sugar kwa kile kilichotokea baina yake na viongozi wa timu hiyo....
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021SERIKALI ya awamu ya sita nchini Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kundeleza kilimo cha mazao ya chakula na biashara....
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watuhumiwa zaidi ya 150 wa makosa ya jinai, 17 makosa ya...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021SERIKALI ya Ufaransa imetangaza kuwaachisha kazi wahudumu wa afya 3,000 waliogoma kuchanjwa chanjo ya Corona licha ya nchi hiyo kupitisha sheria ya...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021WAENDESHA mashtaka nchini Uganda wamewaongezea mashtaka ya ugaidi wabunge wawili wa chama cha upinzani nchini humo – National Unity Party (NUP). Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021PAZIA la michuano ya Klabu Bingwa Ulaya limefunguliwa rasmi tarehe 14, 15 Septemba mwaka huu na kushuhudia mastaa namba moja duniani, Lionel...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah … (endelea). Uteuzi huo, umetangazwa leo Alhamisi tarehe...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021Wizara ya afya maendeleo, jinsia, wazee na watoto inatarajia kuzindua mpango wa kuharakisha chanjo ya Uviko-19 kuanzia tarehe 20 Septemba, 2021. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021RAIS wa zamani wa Angola, José Eduardo dos Santos amerejea nchini humo kimya kimya ili isizue mtafaruku hasa ikizingatiwa bado ana nguvu...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021JOKATE Mwengelo, Mkuu wa Wilaya ya Temeke (DC) Mkoa wa Dar es Salaam, nchini Tanzania amewaomba wanaume kuwaunga mkono wanawake ili kushinda...
By Masalu ErastoSeptember 15, 2021UPANDE wa Jamhuri, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtama ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama ...
By Masalu ErastoSeptember 15, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kukuza uchumi wa wanawake na kutekeleza malengo yote yaliyowekwa na serikali ya wamu ya nne. Anaripoti Patricia...
By Masalu ErastoSeptember 15, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake wote Tanzania kuweka mipango vizuri ili katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wamuweka rais mwanamke madarakani...
By Masalu ErastoSeptember 15, 2021MKUU wa misaada ya kimataifa, Martin Griffiths ameahidi kutoa dola bilioni 1.2 kuwasaidia mzozo unaoendelea nchini Pakistani. Anaripoti Helena Mkonyi TUDARCo …...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIA zaidi ya 20 wameuawa katika bonde la maajabu la Panjshir nchini Afghanistan katika mapigano baina ya Taliban na vikosi vya upinzani....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021KIMBUNGA Nicholas kimetokea Texas nchini Marekani na kusababisha mvua kubwa, kuharibu miundobinu ya barabara na majengo. Anaripoti Glory Massamu, TUDARCo … (endelea)....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimewataka wadau mbalimbali wakiwemo vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyombo vya habari...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ujenzi wa Ikulu ya Rais inayojengwa katika makao makuu ya nchi Chamwino jijini Dodoma umefikia asilimia 75....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021SERIKALI ya Tanzania, imewaomba wananchi waachane na mila potofu wasikwamishe zoezi la sensa ya watu na makazi, litakaoiwezesha Serikali kuweka mipango bora...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platinum ametumia jukwaa la burudani kuwasisitiza wananchi wa Taifa hilo, kujiandaa kuandikishwa katika sensa ya watu...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa kuwa zoezi la sensa sio geni… muda utakapofika kila Mtanzania ajitokeze kuhesabiwa kwani sensa...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021MKURUGEZI Mkuu wa ofisi ya Takwimu Tanzania (NBS), Dk. Albina Chuwa amesema sense ya watu na makazi itakayofanyika Agosti mwaka 2022, ni ya...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021ALI Kiba, msanii wa muziki nchini Tanzania, ametumia takribani dakika tatu kutumbuiza mbele ya mamia ya wananchi wakiongozwa na Rais wa Taifa...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021KAMISAA wa Sensa upande wa Tanzania Bara, Anne Makinda amewataka Watanzania wajione fahari kuhesabiwa kwa kuwa ni aibu kutohesabiwa katika sensa ya...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwapambanisha manguli wa Bongofleva nchini, Diamond Platnumz na Alikiba ambao imekuwa nadra kukutana kuperfome katika jukwaa moja....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021HAJI Sunday Manara, Msemaji wa Mabingwa wa Kihistori wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam amesema, wema aliooneshwa na...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021TIMU ya Real Madrid imeitandika Celta Virgo mabao 5-2, jana tarehe 12 Septemba, 2021 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu liliopo jijini Madrid Hispania....
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021CRESCENTIUS Magori, mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji amesema, kifo...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021WAKATI filamu ya ‘Royal Tour’ ikiwa katika maandalizi kabambe kutangaza vivutio vya utalii Tanzania, Kampuni ya kimataifa inayojihusisha na masuala ya utalii...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Ashatu Kijaji, amepewa kibarua cha kuziunganisha taasisi za Serikali na Teknolojia ya Habari...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021