RAIS wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, Frederik Willem de Klerk amefariki dunia akiwa na umri...
By Masalu ErastoNovember 11, 2021DAKIKA chache baada ya Aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe kumbwaga Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba katika hukumu...
By Masalu ErastoOctober 28, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa aliyekuwa Waziri mambo ya nje, Bernard Membe kiasi cha...
By Masalu ErastoOctober 28, 2021KIOO wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA, akiwa ni msanii pekee kutokea Afrika mashariki...
By Masalu ErastoOctober 21, 2021MSHAMBULIAJI wa Liverpool ambaye pia ni raia wa Misri, Mohamed Salah amezidi kupamba moto kila panapokucha baada ya jana tarehe 19 Oktoba,...
By Masalu ErastoOctober 20, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesongeza mbele mechi kati ya Tanzania Prisons dhida ya Biashara United iliyokuwa ichezwe kesho Jumanne...
By Masalu ErastoOctober 18, 2021MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kagaigai amesema mkoa huo umevunja rekodi kwa wananchi wake kuchangamkia chanjo ya Johnson&Johnson kudhibiti ugonjwa wa...
By Masalu ErastoOctober 15, 2021SHIRIKISHO la mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), limeruhusu klabu ya Simba kuingiaza mashabiki, kwenye mchezo wa klabu Bingwa Barani Afrika dhidi...
By Masalu ErastoOctober 15, 2021Washambuliaji wawili wa klabu ya soka ya Simba Chriss Mugalu na Yussuf Mhilu wanatarajiwa kuikosa Mechi Kati ya Simba na Jwaneg Galaxy...
By Masalu ErastoOctober 15, 2021UONGOZI wa klabu ya Soka ya Biashara United kutoka mkoani Mara, umesema kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kombe...
By Masalu ErastoOctober 14, 2021BONDIA wa Tanzania, Abdallah Pazi maarufu kama ‘Dulla Mbabe’ ametangaza rasmi kujiweka kando na masuala ya masubwi mpaka mwakani hii. Anaripoti Damas...
By Masalu ErastoOctober 11, 2021KIJANA aliyefahamika kwa jina Nchimwa Magidu Ndula (22), amuawa kwa kipigo kutoka kwa baba yake mzazi, Magidu Ndula Jisusi (55) baada ya...
By Masalu ErastoOctober 11, 2021VYAMA vya ACT – wazalendo na CCM vimegawana majimbo Konde Visiwani Zanziba na Ushetu mkoani Shinyanga katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana tarehe 9...
By Masalu ErastoOctober 10, 2021HAFTHOR Julius Bjornsson ndiye mwanaume mwenye nguvu zaidi duniani ambaye pia ni mcheza filamu nchini Marekani. Ni raia wa Iceland, alipata umaarufu...
By Masalu ErastoOctober 8, 2021Klabu ya soka ya Newcastle ya nchini Uingereza jana Oktoba 7, 2021 imekamilisha dili la kuuza hisa zake katika kampuni la Saudi...
By Masalu ErastoOctober 8, 2021TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imetinga fainali ya michuano ya COSAFA inayofanyika nchini Afrika Kusini. Anaripoti Damas Ndelema,...
By Masalu ErastoOctober 7, 2021MWANDISHI wa habari na mfanyabiashara maarufu nchini Malawi, Russell Chimbayo amefariki dunia siku mbili baada ya kufunga ndao na mchumba wake, Jacqueline...
By Masalu ErastoOctober 7, 2021TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘’Twiga Stars’’ imeendeleza ubabe katika michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Ukanda...
By Masalu ErastoOctober 4, 2021CRISPIN Ngush, mchezaji wa Mbeya Kwanza nchini Tanzania, aliyefunga bao maridadi kisha kuishiwa nguvu na kupelekwa hospitalini, ameruhusiwa kurejea kambini kuungana na...
By Masalu ErastoOctober 4, 2021Baadhi ya vigogo vya soka Barani Ulaya vimekua na wikendi mbaya baada ya kupoteza michezo yao ya ligi kuu na kupoteza alama...
By Masalu ErastoOctober 4, 2021RAIS wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amesema, tofauti na ambavyo alieleza huko nyuma, ameamua kujiuzulu siasa na hivyo, hatajitosa katika kinyang’anyiro cha urais katika...
By Masalu ErastoOctober 3, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa uraia mchezaji...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini humo, Jaji Francis Mutungi kutoingilia ratiba...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021UKISTAAJABU ya Mussa uyataona ya Firauni. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile alichokifanya Khoirul Anam, raia wa Indonesia aliyeamua kufunga ‘ndoa’ na ‘rice cooker.’...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021BAO pekee lililofungwa dakika ya 69 na mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagera dhidi ya Dodoma Jiji limerejesha furaha kwa mabingwa hao watetezi wa...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021SAKATA la uraia wa mchezaji mpya wa Simba ya Dar es Salam, Kibu Denis limemuibua Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akimtaka Waziri...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaheshimu, inathamini na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021SAA chache kabla ya Simba ya Dar es Salaam, kushuka dimbani kuumana na Dodoma Jiji, aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021KIONGOZI wa kijeshi nchini Guinea, Kanali Mamady Doumbouya anatarajiwa kuapishwa leo tarehe 1 Oktoba 2021kama rais wa mpito. Anaripoti Patricia Kighono, TUDARCo...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021RAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama kuu ya Paris nchini huko baada ya...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021MWANAMITINDO na mzazi mwenza wa Staa wa Bongofleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma au Fahyvanny’ ameweka wazi kuwa hana matatizo na...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021HALI ya majonzi imetanda katika Chuo kikuu cha Laikipia nchini Kenya baada ya mwanafunzi mmoja wa kike kuuawa kinyama kwa kuchomwa kisu...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021WAPALESTINA wawili wauawa na vikosi vya Israel kwenye matukio tofauti huko Palestina. Anaripoti Glory Massamu TUDARCo kwa msaada wa mitandao ya kimataifa...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021KANSELA wa Ujerumani, Angela Merkel amempongeza mgombea wa ukansela aliyekuwa mpinzani wake kupitia chama cha Social Democratic SPD Olaf Scholz. Anaripoti Helena...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania, kesho Ijumaa tarehe 1 Oktoba 2021, itatoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha,...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeshakamilisha kitini kinachotoa muongozo wa namna mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s) yatanufaika na misamaha ya kodi....
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa mitihani mitano kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini ikiwamo kuoanisha mipango yao na vipaumbele na mipango ya...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT)...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021BAO pekee lililofungwa dakika ya 24 na kiungo hodari wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limetosha kupeleka shangwe kwa mashabiki wao ndani...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza, Tony Blair. Anaripoti Wiston Josia, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021HATIMAYE Staa wa Bongofleva nchini, Ali Salehe Kiba maarufu kama Alikiba ametangaza kuachia albam yake ya tatu inayokwenda kwa jina la ‘The...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021Mshambuliaji wa mpya wa klabu ya PSG Raia wa Argentina Lionel Messi amefungua rasmi akauti ya mabao katika klabu yake hiyo, mara...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021Klabu ya soka ya Yanga leo 29 Septemba 2021, itanza kutupa karata yake ya kwanza katika Ligi Kuu Tanzania Bara ugenini dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021MOHAMED Dewji, Mkurugenzi wa Bodi ya Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ametangaza kuachia nafasi hiyo na kumteua...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji nchini Tanzania, Dk. Anna Makakala, ametangaza nafasi za ajira 350 za cheo cha Konstebo wa Uhamiaji kwa vijana...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya Dar es Salaam, imeanza msimu mpya wa ligi kuu 2021/22 kwa droo dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameliomba Kanisa la Anglikana Tanzania kuunga mkono dhamira ya Serikali katika kuwainua wanawake kijamii, kiuchumi, kisiasa na kupambana...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021RAIS wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un maarufu kama ‘Kiduku’ kutokana na staili yake ya nywele, amesimamia urushwaji wa kombora la masafa mafupi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania amesema, Serikali itahakikisha fedha zinazotolewa na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa Kanisa la Anglikana Tanzania kurudi kwenye misingi ya kimaadili ya kanisa...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021