SHIRIKA la misaada ya kimatibabu la madaktari wasio na mipaka (MSF) linasema kuwa watu watatu wameuawa ndani ya hospitali katika eneo la...
By Masalu ErastoApril 26, 2022MSEMAJI wa Ikulu ya White House anayefahamika kwa jina la Jen Psaki amesema kuwa Marekani imekanusha katika taarifa siku ya jumatatu tarehe...
By Masalu ErastoApril 26, 2022MUASISI wa kampuni ya magari ya Tesla, Elon Musk ambaye pia ni tajiri namba moja duniani, amenunua kampuni ya mtandao wa kijamii...
By Masalu ErastoApril 26, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) nchini Tanzania katika ukaguzi wake kwa mwaka 2020/21 amebaini udhaifu wa usimamizi, ufuatiliaji na ukiukwaji...
By Masalu ErastoApril 20, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya...
By Masalu ErastoApril 20, 2022MWANARIADHA wakike amepatikana ameuawa huko Iten mji wa Kenya ,ambapo mwanariadha wa Olimpiki Agnes Tirop aliuawa miezi sita iliyopita polisi wameripoti. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 20, 2022Wanajeshi wawili wamewaua raia 15 kwa kuwapiga risasi katika mashambulio tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Masalu ErastoApril 19, 2022DAKTARI Krisna Singh kutoka North Lanarkhire mwenye umri wa miaka 72 , amepatikama na hatia ya makosa ya unyanyasaji wa kingono dhidi...
By Masalu ErastoApril 15, 2022MAREKANI imewahusisha wadukuzi wanaoungwa mkono na Korea Kaskazini, na wizi mkubwa wa fedha za mtandaoni dola milioni 615 kutoka kwa wachezaji maarufu...
By Masalu ErastoApril 15, 2022MSANII wa muziki nchini Tanzania, Maunda Zorro amefariki dunia usiku wa jana Jumatano tarehe 13 Aprili 2022, kwa ajali ya gari. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 14, 2022WAKATI Bunge likiendela kujadili hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara zilizo chini yake ya mwaka 2022/23, chama cha ACT-Wazalendo kimeshangazwa...
By Masalu ErastoApril 11, 2022SERIKALI ya Uingereza imewawekea vikwazo mabinti wa Rais Putin wa Urusi wanaofahamika kwa majina Katerina Vladimirovna Tikhonova na Maria Vladimirovna Vorontsova ,Pamoja...
By Masalu ErastoApril 8, 2022MAMLAKA ya udhibiti wa viwango nchini Kenya, imetipoti kuchunguza Usalama wa kiafya wa chokoleti maarufu inayofahamika kwa jina la Kinder Joy ambayo...
By Masalu ErastoApril 7, 2022WAKAZI wa Jimbo la Gujarat nchini India , wamepigwa na mshangao mkubwa , baada ya wanafunzi watatu kufariki dunia ghafla, kutokana na...
By Masalu ErastoApril 7, 2022Klabu ya soka ya Simba Tanzania imepangiwa kukutana na Orlando Pirates ya nchini Afrika kusini katika robo fainali ya kombe la shirikisho...
By Masalu ErastoApril 5, 2022MSAFARA mdogo wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu , International Geneve Comitee [ICRC] wa magari matatu, umeondoka kutoka Zaporiahzhia , kuelekea...
By Masalu ErastoApril 1, 2022KIJANA mmoja Kaskazini mwa Msumbiji aliyesemekana kufariki Dunia anayefahamika kwa jina la Eurella Manuel Benjamin ameonekana kijijini kwao akiwa mzima Baada ya...
By Masalu ErastoApril 1, 2022STEVEN Mangele maarufu Steve Nyerere ametangaza kujizulu nafasi ya Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT). Anaripoti Rhoda Kanuti, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoMarch 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia nchi ya Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya...
By Masalu ErastoMarch 25, 2022UMOJA wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika...
By Masalu ErastoMarch 22, 2022MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Malleko amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha mwaka mmoja madarakani kwa...
By Masalu ErastoMarch 19, 2022WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, zimeeleza mafanikio...
By Masalu ErastoMarch 16, 2022WANAWAKE wa ACT Tanzania waadhimisha siku ya wanawake Duniani kwa kuwatembelea wazazi katika Kituo cha Afya cha Palestina Sinza jijini Dar es...
By Masalu ErastoMarch 4, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Aikaeli Mbowe leo Ijumaa, tarehe 4 Machi 2022 amehitimisha siku 226...
By Masalu ErastoMarch 4, 2022Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania “TFF” limemfungia mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF Shaffi Dauda miaka mitano kujihusisha na soka ndani...
By Masalu ErastoFebruary 16, 2022MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), anayeshughulikia magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTDs), Dk. Mwele Malecela (58), utawasili nchini Tanzania usiku...
By Masalu ErastoFebruary 16, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe ameibuka malalamiko mahakamani ya kunyimwa chakula kwa zaidi ya miezi mitano kila...
By Masalu ErastoFebruary 14, 2022WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2022Mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka Marekani, Kylie Jenner (24) pamoja na mpenzi wake ambaye ni Msanii wa rap, Jacques Bermon Webster maarufu kama Travis...
By Masalu ErastoFebruary 7, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi( CCM), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameiagiza Wizara ya Maliasili...
By Masalu ErastoFebruary 1, 2022MGOMBEA wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kunje Ngombale Mwiru amewapagawisha wabunge baada ya kuwaahidi kupunguza...
By Masalu ErastoFebruary 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mkoa huo kupunguza matayarisho ya kinywaji maarufu mkoani humo cha pombe aina ya mbege, ili...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2022MKUU wa Wilaya ya Ilala, Ng’wilabuzu Ludigija ameunda timu ya uchunguzi wa chanzo cha moto katika Soko la wafanyabiashara wadogo la Karume ambayo inatarajia...
By Masalu ErastoJanuary 16, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufutia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Tanzania Assemblies of God (TAG),...
By Masalu ErastoDecember 26, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2022 huku akiwataka wananchi kufanya kazi kwa weledi na...
By Masalu ErastoDecember 25, 2021ZIKIWA zimebaki siku chache kuelekea kufunga mwaka 2021 na kukaribisha mwaka mpya wa 2022, kuna mambo mengi katika tasnia ya michezo yaliyofanyika...
By Masalu ErastoDecember 25, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali ya nchi hiyo kuingilia haraka na kudhibiti kupanda kwa kasi isiyo...
By Masalu ErastoDecember 23, 2021MSANII wa Bongo fleva na muigizaji katika tamthilia ya jua kali, Lulu Abasi maarufu kama Lulu Diva amepata msiba wa kuondokewa na...
By Masalu ErastoDecember 20, 2021MTANGAZAJI ambaye pia ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameingia kwenye anga za mastaa wenziwe ambao wamejipachika majina maarufu ya ‘chawa’...
By Masalu ErastoDecember 11, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wafanya biashara wadogo wadogo ‘machinga’ kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kwa kuwa kazi ya kuwaondoa barabarani...
By Masalu ErastoDecember 4, 2021MWAKILISHI Tanzania (Miss Tanzania) katika mashindano ya urembo duniani – Miss World, Juliana Rugumisa ameshindwa kwenda kushiriki katika mashindano hayo mwaka huu...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021Serikali ya Uganda na ubalozi wa China mjini Kampala wamekanusha ripoti kwamba China inaweza kuchukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa kimataifa...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021MNUFAIKA wa mpango wa tatu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wa awamu ya kwanza Antusa Mchau (38), ameiomba serikali kupitia TASAF...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021MWANAMITINDO wa Tanzania, Hamisa Mobetto kwa mara ya kwanza amekutana na mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Marekani, Rick Ross huko Dubai. Anaripoti Matilda...
By Masalu ErastoNovember 26, 2021JUMLA ya wanafunzi 907,802 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha mwaka mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Masalu ErastoNovember 24, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Wizara ya Maliasili na Utalii...
By Masalu ErastoNovember 22, 2021NI kufuru! Ndicho alichokifanya Staa wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz katika harusi ya mpambaji maarufu wa wasanii wa kike, Aris...
By Masalu ErastoNovember 21, 2021UKWELI ni kwamba penzi ni kama pembe la ng’ombe, kulificha huwezi! ndivyo mahaba ya Mwanamama Zarina Hassan kwa mkali wa Bongofleva, Naseeb...
By Masalu ErastoNovember 14, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania na wadau wote wa soka nchini kutokata tamaa kutokana na matokeo ya Timu ya Taifa (Taifa...
By Masalu ErastoNovember 13, 2021NI takribani miaka 34 imepita tangu kuuawa kwa aliyekuwa Rais wa Burkina Faso, Thomas Sankara. Lakini kesi juu ya mauaji yake imeanza...
By Masalu ErastoNovember 11, 2021