Author Archives: Masalu Erasto

‘Saudi Arabia imekiri kushindwa’

NAIBU Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia inaonesha kukiri kushindwa kwake baada ya kukubali kuanzishwa ...

Read More »

Zaidi ya nyumba milioni 3.4 kukosa umeme Marekani

KIMBUNGA cha Irma kimesababisha vifo vitatu baada ya kutua katika jimbo la Florida kikitokea kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani ya Florida nchini Marekani, anaandika Irene Emmanuel. Kimbunga hicho kilichosababisha uharibifu ...

Read More »

Jaji Mkuu Rasmi Kuanza Kazi

Rais wa Tanzania  Dkt John Mgufuli, amemwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma, ambapo awali alikuwa akikaimu nafasi alikuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, baada ya aliyekuwa Jaji Mkuu ...

Read More »

Rais wa Mali kufungua kambi ya kijeshi

RAIS wa nchini Mali, Boubacar Keita amefungua kambi ya majeshi  inayohusisha nchi tano za Afrika yenye lengo la kupambana na wanamgambo katika eneo la sahel mwa Afrika lililokumbwa na mashambulizi ...

Read More »

Wakimbizi wa Burundi waanza kurejea kwao

AWAMU ya kwanza ya wakimbizi wa kutoka Burundi wanaorejea kwa hiari yao kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao hii leo, anaandika Jovina Patrick. Hatua hiyo imefikiwa baada ya makubaliano wiki ...

Read More »

Korea washangilia bomu la Nyuklia

KOREA Kaskazini imefanya sherehe kubwa kwa ajili ya kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa ya bomu la Nyuklia nchini humo, anaandika Irene Emmanuel. Sherehe hiyo imefanyika katika Mji Mmkuu, Pyongyang huku ...

Read More »

Mawaziri Simbachawene, Ngonyani wang’oka, Prof. Mruma abebwa

MAWAZIRI wawili wa serikali ya awamu ya tano, wameachia ngazi muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kuwataka kufanya hivyo leo asubuhi, anaandika Irene David. Waziri wa Nchi Ofisi ya ...

Read More »

Polisi wampiga risasi mtuhumiwa utekaji watoto Arusha

MTUHUMIWA aliyekuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kuhusika na utekaji na mauaji ya watoto wawili Maureen na Ikram amefariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka mikononi ...

Read More »

Chadema watetea wabunge wasiwe ombaomba

VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelituhumu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuvunja Katiba ya nchi na kuomba fedha kwa Serikali bila ...

Read More »

Chadema watishia ‘Nyau’ kuhusu Ukuta

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetonesha kidonda kilichopona baada ya kusisitiza kwamba bado kina dhamira ya kufanya maandamano kwa nchi nzima waliyoyapa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania ...

Read More »

Walemavu wapaza sauti zao

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kinatarajia kuanzisha mradi maalum utakaosaidia viziwi na watendaji wa serikali za mitaa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya mafungu ya fedha za walemavu kwa kutoa mafunzo ...

Read More »

Marekani yaonyesha uoga kwa Korea Kaskazini

MAREKANI imeapa kujibu shambulio lolote la kijeshi kutoka Korea Kaskazini dhidi ya nchi hiyo ama washirika wake, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis, ...

Read More »

Mbivu na mbichi za ‘dikteta uchwara’ Oktoba 4

UAMUZI mdogo kuhusiana na kesi ya “dikteta uchwara” inayomkabili Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu unatarajiwa kutolewa Oktoba 4, mwaka huu, anaandika Hellen Sisya. Mahakama ...

Read More »

Huduma za Mkemia Mkuu zafika mikoani

MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali imelenga kuimarisha utendaji kazi wa maabara  katika kanda zake za Nyanda za juu kusini, na kanda ya ziwa kwa kuzipatia vifaa vya kisasa, anaandika ...

Read More »

Riadha yazidi kuing’arisha Tanzania

MCHEZO wa riadha umeendelea kuing’arisha Tanzania baada ya kuzoa medali 10 katika michezo ya Afrika Mashariki kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yaliyofanyika mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro, anaandika Jovina ...

Read More »

Chadema yasisitiza kufanya maandamano kesho

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kwamba maandamano ya amani ambayo yalipangwa kufanyika kesho nchi nzima yatafanyika, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na MwanaHalisi Online, Edward Simbeye, katibu mwenezi wa ...

Read More »

Kamanda Mambosasa kunusuru akina Lissu?

LAZARO  Mambosasa Kamanda wa Kanda Maalumu  Dar es salaam amewataka wananchi wote pamoja na waandishi wa habari kumpa ushirikiano  ili jamii iweze kuishi katika hali ya usalama na  amani Anaandika Victoria Chance. Ameyasema hayo leo ...

Read More »

Makombora ya Korea Kaskazini yaitikisa Japan

KOREA Kaskazini imerusha makombora kuelekea mashariki mwa kisiwa cha Hokkaido kwa umbali wa kilomita 1000, anaandika Irene David. Waziri Mkuu wa Japani Shinzo Abe, amesema urushwaji huo wa makombora haujawahi ...

Read More »

Dawasa yaibuka na mikakati lukuki Dar

MAMLAKA ya Maji Safi na Taka Jijini Dar es Salaam (DAWASA), imetangaza mkakati mpya wa kukarabati miundombinu yake ikiwamo mabomba yaliyotoboka, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na Romanus Mwang’ingo, Kaimu ...

Read More »

Kimbunga chamia Marekani, chaua watu saba

WATU saba wamefariki nchini Marekani na wengine zaidi ya 1000 hawana makaazi ya kuishi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katikati ya mji wa Texas nchini Marekani ambazo zimeambatana na kimbunga kiitwacho ...

Read More »

Maporomoko yaua watu 1000 Sierra Leone

IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya udongo yaliyoambata na mafuriko katika mji wa milimani wa Regent nje kidogo ya Freetown nchini Sierra Leone imezidi elfu moja mpaka ...

Read More »

Wakili Manyama ajitenga na TLS

WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Leonard Manyama, amekataa agizo la Rais wa TLS, Tundu Lissu la kuwataka wanachama wake ambao ni mawakili ...

Read More »

Vita vyapoteza watu 40 nchini Sudan

WATU 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea katika jimbo la Yei nchini Sudan Kusini, anaandika Hellen Sisya. Mapigano hayo ambayo yanatokana na mgogoro wa kisiasa nchini humo, yametokea ...

Read More »

Mahakama Kenya yaamuru mitambo ya tume ichunguzwe

MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imekubali ombi la  Muungano wa Upinzani (NASA), nchini humo kukagua mitambo iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Agost 8 mwaka huu, anaandika Irene David. ...

Read More »

Wanasiasa wampasua kichwa RPC Mkondya

ALIYEKUWA Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, Lucas Mkondya, amesema anaondoka katika mkoa huo, huku akisema moja ya changamoto katika nafasi yake ni wanasiasa, anaandika ...

Read More »

Joao Lourenco aibuka mshindi Angola

CHAMA cha People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) nchini Angola kimeshinda uchaguzi mkuu uliofanyika jumatano ya wiki hii kwa zaidi ya asilimia 64, anaandika Victoria Chance. Chama hicho ...

Read More »

Mmiliki wa Samsung duniani atupwa jela

MRITHI aliyetarajia kurithi kampuni ya Samsung, Lee Jae-yong amehukumiwa kifungo cha miaka mitano na mahakama ya nchini Korea Kusini kwa kosa la rushwa, anaandika Jovina Patrick. Lee ambaye pia anafahamika ...

Read More »

RPC Mambosasa atua Kanda Maalum Dar

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amemteu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP), Lazaro Mambosasa kuwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, anaandika Irene ...

Read More »

Sinema ya Lissu na Polisi yaendelea Dar

JESHI la polisi limeendelea kumshikilia Mwanasheria mkuu wa Chama cha Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu aliyekamatwa juzi jijini Dar es Salaam na kushikiliwa katika kituo kikuu, anaandika Hellen Sisya. Mwanasheria huyo ...

Read More »

Wanaharakati wazidi kumsakama mke wa Mugabe

GABRIELLA Engels, mwanamitindo nchini Afrika Kusini aliyeshambuliwa na Grace Mugabe, mke wa Rais wa Zimbabwe, amepinga kinga ya kidiplomasia inayotolewa na serikali ya nchi yake kwa vigogo, anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »

Mahakama Kenya waonya wanahabari, mawakili

MAHAKAMA ya juu nchini Kenya imewaonya wanahabari, mawakili na wahusika wengine wa kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya mpinzani wake, Raila Odinga, anaandika Victoria Chance. Kenyatta ...

Read More »

Serikali yatangaza kibano kwa magazeti, majarida

MSEMAJI wa serikali ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Habari (Maelezo, Hassan Abbas ametangaza kibano kwa tasnia ya habari kinachohusu usajili upya wa magazeti, majarida na machapisho yote ...

Read More »

Polisi wamaliza upekuzi kwa Lissu, waambulia patupu

MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka nyumbani kwake bila kukuta chochote, anaandika Hellen ...

Read More »

Polisi watinga nyumbani kwa Lissu kusaka barua ya Bombardier

MAOFISA wa jeshi la polisi wamekwenda nyumbani kwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpekua, anaandika Hellen Sisya. Jana Lissu alikamatwa ...

Read More »

Bunduki zatumika kumkamata Lissu

ASKARI 17 wa Jeshi la Polisi wametumika kumkamata Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, eneo la Kisutu, Dar es Salaam, anaandika Hellen Sisya. Miongoni mwa watu hao, ...

Read More »

Afya ya Bulaya yaimarika Muhimbili

ESTHER Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaendelea na matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kufikishwa hospitalini hapo jana, anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »

Serikali ya JPM yapigwa ‘dongo’

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametoa tuhuma nzito kwa serikali ya awamu ya tano huku akisema kuwa haizingatii misingi ya sheria pamoja na kuheshimu utawala bora, anaandika Hellen Sisya. Amesema ...

Read More »

Sumaye asema serikali inamfanyia visasi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amevunja ukimya na kutamka bayana kwamba watawala wanaendesha nchi  kwa visasi ndiyo maana tangu ahame Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia ...

Read More »

Profesa Mukandala aburuzwa kortini 

ALIYEKUWA mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaa, Alphonce Lusako, amemburuza mahakamani, Makamu Mkuu wa  chuo hicho, Profesa Rwekaza Mukandala akimtuhumu kumkatisha masomo bila kufuata utaratibu, anaandika Hellen Sisya. ...

Read More »

Madereva daladala Ubungo wamaliza mgomo

Madereva wa Daladala  kituo cha  Simu 2000, Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam,  wamekubali kumaliza mgomo waliouanza mapema leo asubuhi kutokana watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kutoa ...

Read More »

Mbowe amchongea Magufuli kwa wananchi

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewataka watanzania kutokuogopa kumkosoa Rais John Magufuli pale anapokosea, anaandika Hellen Sisya. Mbowe ameyasema hayo mapema leo hii katika hoteli ya ...

Read More »

Mojonzi yaikumba Sierra Leone.

MIILI ya watu takribani 400 nchini Sierra Leone katika eneo la Regent na maeneo ya jirani mjini Freetown inatarajiwa kuzikwa leo katika mazishi ya pamoja kufuatia maporomoko ya matope na ...

Read More »

RITA kuwafuata wananchi mikoani

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeanza maboresho ya Mkakati wa Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu (CRVS) ambao utatatua changamoto  zinazosababisha wananchi wengi kushindwa kujisajili kutokana na ...

Read More »

Ikulu yavunja ukimya wa ‘matrilioni’ ya makinikia

IKULU ya Tanzania imesema kuwa majadiliano baina ya Kamati maalumu ya Tanzania na wawakilishi kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation unaendelea hadi sasa ikiwa ni siku ya 15,anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »

Wakenya wabaini  akili za kuambiwa changanya na zako

WAFUASI wa aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya, Raila Odinga wamepuuza kauli yake iliyowataka leo kutoenda kazini, anaandika Victoria Chance. Odinga aliwataka wafuasi wake kususa kwenda kazini kama ishahara ya kupinga ...

Read More »

Wapiga debe Dar jino kwa jino na Polisi

JESHI la Polisi Kanda maalum ya jijini Dar es Salaam limeahidi kupambana na wapiga debe katika vituo mbalimbali vya mabasi na kuwakamata, anaandika Irene Emmanuel. Hayo yamesemwaka leo na Kamanda wa ...

Read More »

Wahariri wamkaanga Makunga na wenzake

WAHARIRI wa vyombo mbalimbali vya habari wametoa onyo kali kwa uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kwa kudhalilisha jukwaa hilo pamoja na tasnia nzima ya habari hapa nchini, anaandika  ...

Read More »

Machafuko yaibuka Kenya, watano wapigwa risasi

WATU 5 wamepigwa risasi katika ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi nchini Kenya, anaandika Hellen Sisya. Ghasia hizo zimetokea jana baada ya kinara wa kambi ya ...

Read More »

Waangalizi wa uchaguzi watoa neno Kenya

WAANGALIZI wa uchaguzi wa nje ya nchi ya Kenya wakiongozwa na Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, wamepinga yaliyosemwa na mgombea urais kupitia muungano wa NASA, Raila Odinga kuwa ...

Read More »

Chadema wazidi kuwagaragaza CCM mahakamani

MAHAKAMA ya Rufani ya Tanzania muda mfupi uliopita imefuta rufaa dhidi ya Bilago Kasuku, Mbunge wa Jimbo la Buyungu (Chadema), anaandika Mwandishi Wetu. Rufaa hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa ...

Read More »
error: Content is protected !!