Author Archives: Masalu Erasto

Mawaziri kujadili umeme A. Mashariki

UJUMBE wa mawaziri na viongozi wakuu kutoka nchi za Afrika Mashariki, wameahidi kuunga mkono harakati za kutafutia muafaka tatizo la upungufu wa nishati.  Viongozi kadhaa wakiwemo mawaziri na makatibu wakuu ...

Read More »

Magufuli amkaba mkoa meneja TBA

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameagiza aliyekuwa Meneja wa Wakala wa Majengo ya Serikali (TBA) Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Ndossa kusimamishwa kazi mahali alipo ili arejee kujibu tuhuma na ...

Read More »

Waganga wa jadi 18 mbaroni

WAGANGA wa jadi 18, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera, wakidaiwa kukutwa na nyara za Serikali zenye thamani ya sh. milioni 60.4. Anaandika Mwandishi wetu… (endelea) Watuhumiwa hao wamenaswa ...

Read More »

Albino wazichapa Ikulu kabla kuteta na JK

KIKAO baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi viongozi  wa Chama Cha Watu Wenye Ulemavu wa ngozi (Albino), nusura kishindwe kufanyika baada ya Albino kuvurugana na viongozi wao katika lango ...

Read More »

Pinda ahamasisha BRN

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema kuwa Serikali itahakikisha kuwa sekta na miradi inayotambuliwa na kuingizwa kwenye Mfumo wa Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ni ile yenye manufa makubwa na ya ...

Read More »

Simba vs Yanga, vita ya Tambwe na Okwi

MECHI ya watani wa jadi, Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa, itakuwa na wachezaji 22, lakini vita itakuwa kati ya Amissi Tambwe na Emmanuel ...

Read More »

Utetezi wa Gurumo wa Ikulu wazua mshangao

MAJIBU tata ya Mnikulu, Shabani Gurumo mbele ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yalizua mshangao kwa wananchi waliokuwepo. Pia utetezi huo ulizua mvutano mkubwa kati ya ...

Read More »

Kigogo wa Ikulu akiri kupokea fedha za ESCROW

SHABANI Gurumo- mtumishi wa Ikulu mwenye cheo cha mnikulu, leo amefikishwa mbele ya Baraza la Sekretarieti Maadili ya Viongozi wa Umma akikabiliwa na kosa la kukiuka maadili kwa kupokea sh. ...

Read More »

Wananchi waua polisi Mwanza

MATUKIO ya wananchi kujichukulia sheria mikononi yanazidi kuchukua sura mpya baada ya askari Polisi PC Magesa kushambuliwa na kisha kuuwawa katika Mtaa wa Kanindo Kata ya Igoma Wilayani Nyamagana Mkoa ...

Read More »

Huyu ndiye Rais Pohamba mshindi wa tuzo ya Mo Ibrahim

RAIS anayeondoka madarakani nchini Namibia, Hifikepunye Pohamba (79), ameingia kwenye historia ya washindi wa tuzo ya dola milioni tano ya Mo Ibrahimu ya uongozi wa Afrika. Rais huyo ambaye anatarajiwa ...

Read More »

Wanawake wataka mafanikio zaidi

WAKATI Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kusherehekea Siku ya Wanawake, Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), umeainisha changamoto kadhaa zinazowakabiri wananwake nchini. Anaandika Sarafina Lidwino... (endelea). Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Mvua ya mawe Shinyanga yaua 38 na kujeruhi 60

WATU 38 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 60 kujeruhiwa vibaya kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyonyesha usiku wa kuamkia leo na kusababisha mafuriko katika Kijiji cha Mwakata,  Kata ya ...

Read More »

Yanga yaitunishia misuli Bodi ya Ligi

KLABU ya Yanga imesisitiza itapeleka timu yake uwanjani kesho kwa ajili ya mechi dhidi ya Ruvu JKT na haitaenda uwanjani Machi 11 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi. Yanga imelalama ...

Read More »

Serikali yafuta rasmi, tiketi za elektroniki Taifa

SERIKALI imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa. Uamuzi huo umetangazwa ...

Read More »

Wauza madini watatu wauawa kinyama

ENEO la Mjohororoni wilayani Hai, mkoa wa Kilimanjaro jirani na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kando ya barabara ya Moshi/Arusha, linazidi kuwa na rekodi mbaya ya matukio ...

Read More »

Uturuki kuwajengea kituo Albino

UBALOZI wa Uturuki nchini Tanzania, umeahidi kujenga kituo maalumu kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino). Anaandika Sarafina Lidwino… (endelea). Kituo hicho kitakuwa na huduma zote za kijamii, ...

Read More »

Pinda ahimiza fursa za kibiashara Mbeya

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Mkoa wa Mbeya unaweza kupaa kiuchumi kama utazingatia fursa za kibiashara ilizonazo na kuwekeza zaidi kwenye viwanda vya usindikaji mazao ya kilimo na mifugo. Anaandika ...

Read More »

Magufuli asitisha bomoabomoa

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza kutobomoa nyumba zilizopo kando kando ya barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-hadi Lomwe yenye urefu wa kilomita 40.6. Anaandika Mwandishi wetu… (endelea). Badala yake Dk. Magufuli ...

Read More »

Pohamba ashinda tuzo ya 2014 ya Mo Ibrahim

RAIS anayeondoka madarakani nchini Namibia, Hifikepunye Pohamba (79), ameshinda tuzo ya dola milioni tano ya Mo Ibrahimu ya uongozi wa Afrika. Tuzo hiyo ya dola milioni 5 hutuzwa kiongozi wa ...

Read More »

Kilwa watakiwa kuitosa CCM

WANANCHI wa mikoa ya Kusini wametakiwa kutobweteka kwa mafanikio madogo ya ujenzi wa barabara badala yake, wametakiwa kukiondoa Chama Cha Mapinduzi madarakani kwa kuichagua Chadema. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Wanawake CUF wambana Shaka

KATIBU wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, emetakiwa kuwa makini katika matamko yake ili kujiepusha na uongo. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Onyo hilo kali limetolewa ...

Read More »

Luku zataabisha wateja TANESCO

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kutoa huduma kwa wateja wake wanaotumia meta za LUKU kutokana na hitilafu iliyojitokeza katika mtambo wa kuuza vocha tangu Februari 27 mwaka ...

Read More »

Komba afa na bendi yake ya TOT

KUTOKUWEPO kwa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT) katika shughuli ya kuagwa kwa kiongozi wake, Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, imedhihirisha kuwa kiongozi huyo amekufa na bendi yake. ...

Read More »

Watoto wenye Saratani wasaidiwa

JUMUIYA ya wauguzi Tanzania, imetoa msaada wa dawa, vifaa vya shule na vya kuchezea kwa watoto wanaondelea kupata matibabu ya Saratani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili vyenye dhamani ya shilingi ...

Read More »

Komba asimangwa mitandaoni, familia yalalamika

MTOTO wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), John Komba, amelalamikia baadhi ya wananchi wanaosambaza kashfa za baba yake. Anaripoti Sarafina Lindwino…(endelea). Gerald Komba, mtoto wa tatu wa hayati John ...

Read More »

Kigogo Ikulu ashitakiwa kwa Kinana

MBUNGE wa Tabora Kaskazini (CCM), Sumar Shaffin Ahmedali, amewasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, kuchafuliwa katika jibo lake. Sumari anamtuhumu Almasi Athumani Maige, kuanza kampeni kabla ya ...

Read More »

Azam yatupwa nje Ligi ya Mabingwa Afrika

PAMOJA na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza, timu Azam FC imeng’olewa katika michuano ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 ...

Read More »

Kapteni John Komba afariki

MBUNGE wa Mbinga Magharibi ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kapteni John Komba (60), amefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam majira ...

Read More »

Makonda aanza kwa tambo

MKUU wa Wilaya wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Paul Makonda, ameainisha kero nne atakazoanza kuzipatia ufumbuzi. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea) Kero hizo ni afya, elimu, ardhi na maji ...

Read More »

Uandikishaji BVR wakwama

UANDIKISHAJI wapigakura kwa mfumo wa Biometric Voters’ Registration (BVR) uliopangwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kukamilika ndani ya siku saba, umekwama. Edson Kamukara anaandika…(endelea). MwanaHALISI Online, imebaini kukwama ...

Read More »

Simba yaitumia salamu Yanga, yainyuka Prisons 5-0

SALAMU ziwafikie. Ushindi mnono wa mabao 5-0 walioupata timu ya Simba dhidi ya Prisons ni salamu kwa watani wao Yanga kuelekea katika mchezo wao utakaochezwa Machi 8, 2015 kwenye Uwanja ...

Read More »

Yanga yaisambaratisha Mbeya City, Simba yachapwa na Stand

TIMU ya Yanga leo imeendelea ubabe wake katika jiji la Mbeya baada ya kuichakaza Mbeya City kwa mabao 3-1 katika mchezo uliochezewa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu za Sokoine jijini Mbeya. ...

Read More »

Chama cha Albino kumshitaki Rais Kikwete UN

CHAMA cha Albino Tanzania (TAS), kimetoa miezi mitatu kwa Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati vitendo vya mauaji ya albino yanayoendelea nchini. Akishindwa kuchukua hatua, watamshitaki Umoja wa Mataifa (UN). Anaripoti ...

Read More »

Lamudi: Nunua nyumba, kiwanja kiganjani kwako

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imezindua namba maalum itakayotoa fulsa kwa wanunuzi, madalali na wamiliki wa viwanja, nyumba na vitu visivyohamishiwa kufanya biashara kupitia simu zao za mkononi. Anaandika Erasto Stanslaus ...

Read More »

Yanga yarudi kileleni, Azam yabanwa na Ruvu

USHINDI wa mabao 3-0 ulioipata Yanga dhidi ya Tanzania Prisons, umeifanya timu hiyo ikae kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Yanga ambao imevuna ushindi huo katika mchezo ...

Read More »

Kiongozi wa vijana wa JKT atekwa

GEOGE Mgoba, kongozi wa vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), waliokuwa wakishinikiza serikali ya kutekeleza ahadi yao ya kupatia ajira ametekwa. Taarifa zinasema, Geoge ametekwa na wanaodaiwa ...

Read More »

Sitta akabidhiwa mgogoro wa CHAKUA, SUMATRA

MGOGORO unafukuta kati ya Chama cha kutetea abiria nchini (CHAKUA) na Mamlaka ya usafirishaji wa majini na nchi kavu (SUMATRA). Mgogoro wa sasa, unahusu gharama za usafirishaji abiria baada ya ...

Read More »

Azam yarudi kileleni, yaifumua Mtibwa 5-2

MABINGWA watetezi, Azam FC wamefanikiwa kurejea kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuichakaza Mtibwa Sugar kwa mabao 5-2 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, ...

Read More »

Walinzi wa Rais Mugabe wasimamishwa kazi

KUANGUKA kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kumepelekea maafisa usalama 27 kusimamishwa kazi wakatii uchunguzi ukiendelea. Maafisa hao wamekabidhiwa barua za kusimamishwa  siku ya Ijumaa. Mmoja wa maafisa alisema kuwa ...

Read More »

Ivory Coast yatwaa taji la AFCON 2015

TIMU ya Taifa ya Ivory Coast ndiyo mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2015 baada ya kuifunga Ghana kwa penalti 9-8 kufuatia sare ya 0-0 katika dakika 120 katika ...

Read More »

Ngassa arudi kwa kasi, akitungua Mtibwa mbili

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngassa jana amerudisha heshima yake katika klabu hiyo baada ya kuifungia mabao mawili katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa ushindi wa mabao 2-0. Anaripoti ...

Read More »

Nigeria yahairisha Uchaguzi Mkuu

Nigeria imesitisha uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge mpaka Machi 28 mwaka huu. Uamuzi huu umefikiwa kutokana na sababu za kiusalama kwani mapambano yanayoendelea kati ya majeshi ya serikali na ...

Read More »

Simba, Azam FC zabanwa ugenini, Yanga, Mtibwa Taifa kesho

MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara umeanza leo huku matokeo ya sare yakitawala katika michezo sita iliyochezwa leo kwenye viwanja tofauti tofauti. Anaripoti Erasto Stansalus ….. (endelea). Simba ...

Read More »

Polisi Tanzania, mmewaona wenzenu wa Guinea ya Ikweta

VURUGU zilizotokea katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Fainali za Mataifa Afrika kati ya wenyeji Guinea ya Ikweta na Ghana, zimetia dosari fainali hizo, lakini ni funzo wa ...

Read More »

TCRA yawatwisha mzigo viongozi wa dini

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma amewataka viongozi wa dini kutoa elimu vya kutosha kwa waumini wao inayohusu ubaya wa matumizi yasiyotija ya mitandao ya ...

Read More »

Simbachawene amkubali mbaya wa Prof. Muhongo

WAZIRI mpya wa Nishati na Madini, George Simbachawene amekabidhiwa rasmi ofisi na harakaharaka akatambua mchango wa Dk.   Reginald Mengi, ambaye alikuwa adui mkubwa kwa mtangulizi wake Profesa Sospeter Muhongo. Anaripoti ...

Read More »

Mbeya City yafufukia Msimbazi, yaichapa 2-1

TIMU ya Mbeya City ambayo ilionekana kuanza vibaya msimu huu, leo imefufua matumaini yake katika mchezo wake dhidi ya Simba baada ua kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, mechi iliyopchezwa ...

Read More »

Limbu amng’ang’ania ‘Zitto’

LUCAS Limbu, mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparence (ACT), ameendelea kung’ang’aniza kuwa Samson Mwigamba na Prof. Kitila Mkumbo, siyo wanachama wa chama hicho. Sarafina Lidwino, anaandika. Limbu, ...

Read More »

Waziri Muhongo ajiuzulu, aahidi kutoa ukweli

WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kuomba kujiuzulu wadhifa wake, anaripoti Erasto Stanslaus. Prof. Muhongo amefikia hatua ...

Read More »

‘Uhaba wa vifaa, walimu wa sayansi shida’

WAKATI matokeo ya mitihani ya kidato cha pili yanaonesha kwamba kuna tatizo kubwa la watoto kutoelewa masomo ya sayansi, baadhi ya wakuu wa shule wanasema hawana tatizo hilo, anaripoti Sarafina ...

Read More »
error: Content is protected !!