BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka waumini wake na watanzania wote nchini kumpuuza mtu mmoja aliyejitokeza huko mkoani Pwani, akidai kuwa yeye...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Issaya Mwita ametoa siku 12 kwa wafanyabiashara wasiolipa kodi katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani cha...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi katika maeneo kadhaa, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017VIONGOZI wa mashitaka nchini Uganda waliogoma wakidai ongezeko la mishahara wamekubali ombi la serikali la kurejea kazini huku wakati madai yao yakishughulikiwa, anaandika...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017JUHUDI za rais wa Marekani, Donald Trump, kuubadilisha muswada wa afya wa Obamacare zinaelekea kugonga mwamba kufuatia baadhi ya viongozi katika chama cha...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) ameikosoa serikali kuhusu namna inavyoshughulikia suala la uchochezi katika serikali ya awamu ya tano,...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limewakamata watuhumiwa mbalimbali wanaojihusisha na makosa mbalimbali ya kiuhalifu yakiwemo makosa ya kutumia madawa ya...
By Masalu ErastoJuly 17, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amezidi kusisitiza kuwa Rais John Magufuli ni dikteta na anayebisha hana akili...
By Masalu ErastoJuly 17, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema amemvaa tena Rais John Magufuli na sasa amemshutumu kwa kuendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kikabila...
By Masalu ErastoJuly 17, 2017TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kutamba katika uwanja wa nyumbani baada ya kukubali sare ya bao 1-1 dhidi ya Rwanda...
By Masalu ErastoJuly 15, 2017MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, amesema chama chake kitazunguka nchi nzima kuelimisha wananchi juu ya...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimekemea serikali kwa matumizi mabaya ya sheria za nchi dhidi ya viongozi na wanachama...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017ACACIA Mining Limited imekubali kuilipa serikali mrabaha wa asilimia sita (6%) baada ya sheria ya madini kubadilishwa, anaandika Victoria Chance. Kampuni hiyo inayomiliki...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017KLABU ya Yanga imemtangaza Dismas Ten kuwa Ofisa habari wa klabu hiyo ambaye anachuku nafasi ya Jerry Muro, anaandika Jovina Patrick. Dismas ambaye...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017CHRISTINA Mndeme, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini amevifungia vituo nane vya mafuta visivyofuata sheria za utendaji wilayani hapo ikiwemo kutokuwa na mashine...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekusanya Sh. 9.6 bilioni kutoka kwa kampuni za simu za mkononi kutokana na faini walizotakiwa kulipa baada ya...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017EMMANUEL Macron, Rais wa Ufaransa ameafiki uamuzi wa Donald Trump, Rais wa Marekani kijitoa katika mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi wa Ufaransa,...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017KAMPUNI ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha Televisheni Star tv, Redio Free Africa (RFA) na Kiss FM imefungwa na Mamlaka ya...
By Masalu ErastoJuly 13, 2017CHUO cha Ufundi Stadi (VETA) kimeanzisha kozi itakayozalisha wahitimu watakaosaidia kuchakata na kung’arisha madini ya vito, anaandika Jovina Patrick. Kozi hiyo inakuja kipindi...
By Masalu ErastoJuly 13, 2017SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) amefanya mabadiliko ya kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani pamoja na kamanda wa polisi...
By Masalu ErastoJuly 13, 2017SHIRIKA lisilo la kiserikali la Foundation For Civil Society (FSC) kesho linatarajia kuzindua kampeni ya “Chungulia Fursa Boda to Bado,” anaandika Victoria Chance....
By Masalu ErastoJuly 13, 2017RAIS wa zamani wa Brazil, Lula da Silva, amehukimiwa kifungo cha miaka tisa na nusu gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kupokea...
By Masalu ErastoJuly 13, 2017MAOFISA wa ngazi ya juu pamoja na wanasiasa wa upinzani nchini Kenya hawajatoa sauti kuhusiana na tamko la Tume ya Mishahara ya serikali...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017KESI ya Alphonce Lusako, mwanafunzi wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anayehangaikia haki yake ya kikatiba ya kujiendeleza kielimu baada...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017WATAALAMU wa masuala ya uchaguzi kutoka nchi za Kiarabu na barani Afrika wamemaliza mkutano jijini Nairobi uliolenga kuipatia Somalia mfumo bora wa uchaguzi...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amemuwakia William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kurudisha...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017KAMPUNI ya Kuja na Kushoka Tools Manufactures Group kimezindua mashine ya kutengeneza mkaa unatokana na taka na kukaushia zao la tumbaku, anaandika Irene...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017IKIWA imebaki siku moja tu kufikia Julai 13, siku ya mechi ya Everton ya Uingereza na mabingwa wa Sportspesa, Gor Mahia itachezwa katika...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017JESHI la China inajipanga kuweka kambi ya kijeshi nchini Djibouti huku lengo mojawapo likiwa ni kulinda amani kwa nchi za Afrika na Magharibi...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017HALIMA Mdee,Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka la...
By Masalu ErastoJuly 10, 2017WANAFUNZI wa wanaopata ujauzito kutorudi shuleni wamezidi kumkera Rais John Magufuli kwani pamoja na kupiga marufuku, amekuwa akiendelea kuchimba ‘mkwara’ kila anapopata nafasi,...
By Masalu ErastoJuly 10, 2017CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kimeanzisha operesheni maalumu ya kusaidia Chama cha Wananchi (CUF) kumwondoa Profesa Ibrahim Lipumba katika...
By Masalu ErastoJuly 10, 2017KITENDO cha William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema kurudisha fedha alizopewa miaka mitatu iliyopita na mfanyabiashara James Rugemalira, kimezua maswali sita ambayo hayawezi kuwa...
By Masalu ErastoJuly 10, 2017JUMLA ya madiwani 19 kati ya 21 wa Chama cha Wananchi (CUF), katika jiji la Dar es Salaam, wameunga mkono msimamo wa Katibu Mkuu...
By Masalu ErastoJuly 5, 2017TULIA Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtaka Rashidi Shangazi, Mbunge wa Mlalo, mkoani Tanga kufuta kauli yake...
By Masalu ErastoJuly 5, 2017KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania, Salum Mayanga amemuongeza kwenye kikosi straika wa Simba, John Bocco kuchukua nafasi ya Mbaraka Yussuf aliyekuwa...
By Masalu ErastoJuly 4, 2017BAADA ya wabunge nane wa Chadema kukamatwa na kuachiwa kwa dhamana jana usiku, leo wametakiwa kuripoti Polisi mjini Dodoma kwa mahojiano zaidi, anaandika...
By Masalu ErastoJuly 4, 2017KOREA Kaskazini imeendelea kuichokonoa Japan kwa kurusha kombora lingine la masafa marefu ambalo linasadikika limedondokea katika bahari ya Japan, anaandika Catherine Kayombo. Kombora...
By Masalu ErastoJuly 4, 2017KAULI ya Rais John Magufuli kuwataka wanafunzi wote wa kike wa shule za msingi na sekondari watakaopata ujauzito kutorejea mashuleni imeendelea kupingwa na...
By Masalu ErastoJuly 4, 2017KAULI ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli kuwa wakati wa utawala wake hakuna wanafunzi wataopata ujauzito wataruhusiwa kurejea masomoni baada...
By Masalu ErastoJuly 4, 2017HALIMA James Mdee, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kauli ya Job Ndugai kwamba wabunge waliopewa...
By Masalu ErastoJuly 3, 2017AMOS Makalla, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, ameshangazwa na hatua ya serikali kuu kupeleka fedha Sh. 9.6 bilioni kwa uongozi wa Chuo cha...
By Masalu ErastoJune 28, 2017MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, amehoji uhalali wa Bunge kuwaadhibu wabunge wa upinzani na “kuwanyamazia” wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Erasto...
By Masalu ErastoApril 28, 2017KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017,...
By Masalu ErastoApril 19, 2017NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL),...
By Masalu ErastoApril 14, 2017KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema viongozi na wanachama wa chama hicho wapo tayari kwa lolote kutokana...
By Masalu ErastoApril 9, 2017CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefanya maamuzi magumu kwa kuwafuta uanachama viongozi wake waliopatikana na makosa ya maadili kinyume na katiba na kanuni za...
By Masalu ErastoMarch 11, 2017KLABU ya Yanga imesitisha mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Van Der Pluijm kutokana na klabu hiyo kutokuwa na uwezo wa kuendelea...
By Masalu ErastoMarch 3, 2017MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ataendelea na ziara yake ya kikazi – kiserikali – ndani ya jimbo lake, kuanzia Jumatatu ya tarehe...
By Masalu ErastoMarch 3, 2017Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17, ‘Serengeti Boys’ ikiongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini...
By Masalu ErastoFebruary 8, 2017