TUME ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), imeazimia kuongeza muda wa kupiga kura siku ya uchaguzi katika maeneo yenye sheria ya muda...
By Masalu ErastoAugust 3, 2017Rex Tellerson, Waziri wa Mambo ya Kigeni Nchini Marekani amejibu juu ya jaribio la pili la kombora la masafa marefu lililofanywa na Korea Kaskazini,...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inatarajia kutoa uamuzi kuhusiana na mapingamizi yaliyotolewa na upande wa serikali katika kesi iliyofunguliwa na wabunge nane wa Chama...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017BONIPHACE Jacob, Mstahiki Meya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaama amemtaka Rais John Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuwakemea...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017WITO wa amani umeendelea kutolewa kwa wananchi nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu, ili kuepusha machafuko yaliyozuka katika uchaguzi wa mwaka 2007, anaandika Catherine...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017MAUAJI ya Kaimu Mkurugenzi wa Masuala Teknolojia wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IEBC), yameziibua nchi za Marekani na Uingereza na...
By Masalu ErastoAugust 1, 2017HATIMAYE hoja zilizotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zimemuibua msemaji wa serikali wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hassan Abbas, anaandika...
By Masalu ErastoAugust 1, 2017ALGERIA imesema haitachukua mkopo wa kigeni licha ya nchi hiyo kukabiliwa na matatizo mengi ya ndani hususani ya kiuchumi, anaandika Victoria Chance. Uchumi...
By Masalu ErastoJuly 31, 2017SERIKALI ya Korea Kaskazini imeionya Marekani isitumie njia za vikwazo zaidi wala za kijeshi dhidi ya Pyongyang, anaandika Hellen Sisya. Wizara ya Mambo...
By Masalu ErastoJuly 31, 2017MARA baada ya kuachiwa huru na mahakama, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ametupa dongo lingine kwa Rais John Magufuli kwa kumwambia kuwa...
By Masalu ErastoJuly 27, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, hatimaye amepata dhamana baada ya ombi la mawakili wa serikali la kuomba mahakam imnyime dhamana kutupiliwa mbali,...
By Masalu ErastoJuly 27, 2017JOB Ndugai, Spika wa Bunge amebariki kuvuliwa uanachama kwa wabunge nane wa Chama cha Wananchi (CUF) na anayedai kuwa Mwenyekiti halali wa chama...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017SERIKALI kupitia Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imeviagiza vyuo vikuu kote nchini kutoza kiasi cha pesa kisichozidi Sh. 10,000 kwa kila mwanafunzi...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017KAMPUNI ya masoko inayojishughulisha na ushauri na mikakati kwa wateja ZECHY Afrika imeandaa tamasha la kusheherekea utamaduni wa mtanzania (Chemichemi Canival) litakalofanyika mwezi...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017WAZIRI Mkuu, Kasimu Majaliwa leo amefungua rasmi maonyesho ya 12 ya vyuo vikuu hapa nchini, anaandika Victoria Chance. Maonyesho hayo ya siku tatu...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk.Harrison Mwakyembe, amewashukuru viongozi mbalimbali wa serikali na Watanzania wote kwa ujumla waliohusika kufanikisha shughuli nzima...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017BARAZA la Wawakilishi nchini Marekani limepiga kura ya kziwekea vikwazo nchi za Urusi, Korea Kaskazini na Iran kutokana na kufanya makosa mbalimbali, anaandika...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017MAWAKILI wanaowatetea wanachama 54 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), wameshinda pingamizi la Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017Mahakama ya Jinai nchini Misri imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaharakati 43 wa Ikhwanul Muslimin, anaandika Hellen Sisya. Katika hukumu hiyo mahakama hiyo imesema...
By Masalu ErastoJuly 26, 2017WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Mawakili Tanzania Bara(TLS), Emmanuel Makene amekilalamikia Chama hicho kuwa hakiwasaidii wanachama wake wakati...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017FATUMA Karume, wakili wa Tundu Lissu, Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kila mtu ana haki ya kumkosoa Rais,...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017RAIS John Magufuli, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwa na mioyo ya kuvumiliana, anaandika Hellen Sisya. Rais Magufuli ameyasema...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017CHAMA cha walemavu Tanzania (CHAWATA), kimeiomba serikali ya awamu ya tano kuwaangalia kwa jicho la tatu katika swala zima la uchumi wao, anaandika Victoria...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa bado anaitafakari barua ambayo ameipokea kutoka kwa, Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amenyimwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya kutoa...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017CHAMA cha Upinzani cha Union For Democracy and Social Progress (UDPS) cha DRC kimebainisha mpango wake wa kumshinikiza rais Joseph Kabila kuondoka madarakani,...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017BUNGE la Congress limetaka Urusi iadhibiwe kwa kosa la kuingilia uchaguzi wa rais uliofanyika mwaka jana nchini Marekani, anaandika Catherine Kayombo. Bunge hilo...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), baada ya kuwekwa mahabusu siku nne, hatimaye amefikishwa katika...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017MSEMAJI wa rais wa Marekani, Donald Trump amejiuzulu kufuatia uteuzi wa rais wa mkurugenzi mpya wa mawasiliano nchini humo, anaandika Catherine Kayombo. Sean...
By Masalu ErastoJuly 22, 2017MAREKANI imetishia kusitisha misaada kwa viongozi wa Sudan Kusini endapo hawatashiriki katika mazungumzo ya ngazi ya juu na kushindwa kuheshimu muda wa mwisho...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017MWANAMUZIKI nchini India apiga gitaa kwenye meza ya kufanyia upasuaji ili kuwasaidia madaktari kutibu mishipa (involuntary muscle spasms) katika vidole vyake, anaandika Jovina...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017VIJANA sita wakiwamo wavulana wanne na wasichana wawili kutoka Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti yaliyokuwa yakifanyika jijini Washington DC, wametoweka nchini...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kuwa, vitisho vya hivi karibuni vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yake, ni...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017Wizara ya Nishati na Madini imefanya mabadiliko kufuatia kupitishwa kwa sheria mpya ‘the written laws (miscellaneous amendmend ) Act 2017 iliyofanyiwa marekebisho kadhaa...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017POLISI nchini Uganda imewatia mbaroni wapinzani waliofanya mkusanyiko wa kupinga serikali wiki iliyopita, anaandika Hellen Sisya. Emilian Kayima, Msemaji wa jeshi la polisi...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017TUME ya vyuo vikuu nchini (TCU), imesema itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya vyuo vikuu ambavyo vitatangaza kozi ambazo hazitambuliki na tume...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017JUMUIYA ya Tawala ya Mitaa (ALAT) Tanzania inatarajia kuhamia mkoani Dodoma ifikapo tarehe 1 mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya kutekeleza agizo la Rais John...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017VYUO takribani 80 vinatarajiwa kushiriki maonesho ya elimu ya juu, sayansi na teknolojia yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017BUNGE la taifa nchini Poland limepitisha muswaada unaolipa nguvu ya kuteua au kutengua viongozi wa mahakama kuu wakiwemo majaji wa juu, anaandika Catherine...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017JESHI la Polisi Kanda maalum Dar es salaam limewakamata watuhumiwa 44 wa wizi wa vifaa vya magari pamoja na vifaa hivyo vya magari, katika oparesheni...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imejivua rasmi jukumu la kusimamia suala la udahili kwa wanafunzi ambao wanatarajia kujiunga na masomo ya elimu...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017CHAMA cha Wapangaji Tanzania (Tanzania Tenants Association), kimeiomba serikali kuweka chombo maalum kwa ajili ya kulinda maslahi ya wapangaji, anaandikaCatherine Kayombo. Akizungumza na wanahabari,...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amesema yupo tayari kuuza chochote alichonacho hadi afanikishwe operesheni ya kumwondoa ofisini Prof. Ibrahim Lipumba...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambulika na Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017WACHUNGUZI wa Umoja wa Mataifa wanaochunguza mauaji ya wataalam wao nchini DRC wamebaini kwamba wanajeshi wa serikali ya hiyo wanahusika na mauaji hayo,...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017ANTONY Diallo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha televisheni Star TV, Redio Free Africa (RFA) na Kiss...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya mikutano ya ndani, anaandika Irene David. Katazo hilo limekuja siku...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017VIFAA mbalimbali kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi mkuu nchini Kenya vimeanza kuwasili nchini humo kutokea Dubai, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa vifaa hivyo...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amewaeleza Watanzania kuwa kitu pekee ambacho kinaweza kuikomboa nchi kutoingia katika machafuko, anaandika Hellen Sisya. Fuatilia VIDEO HII...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017MFANYABIASHARA ambaye pia ni Naibu katibu wa Wafanyabiashara kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es salaam, John Shayo ametangaza kuuburuza mahakamani uongozi...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017