Author Archives: Masalu Erasto

Rais Kikwete azindua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

UJENZI wa bandari inayotarajiwa kuwa ya kwanza kwa ukubwa kuliko zote katika kanda ya Afrika Mashariki umeanza mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani. Bandari hiyo inayojengwa maeneo ya Mbegani mjini Bagamoyo, ...

Read More »

Rais atulie, hajui sheria – Mallya

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unashikilia msimamo wa kuelekeza wananchi kubaki vituoni wakishapiga kura na kumtafadhalisha Rais Jakaya Kikwete asiwatishe kwa sababu hilo ni suala la sheria ambayo “si ...

Read More »

Mgombea Chadema kujenga sekondari ya mfano

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Arumeru Magharibi kupitia Chadema, Gibson Meiseyeki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuongoza jimbo hilo atahakikisha anajenga shule ya sekondari ya mfano katika kata ya Kiutu, Arumeru. ...

Read More »

Mgombea CUF arusha kombora CCM

MGOMBEA udiwani katika Kata ya Sandali iliyopo Temeke, Dar es Salaam kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Khalidi Yahaya amekituhumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa ya ...

Read More »

NEC, UNDP zazindua mawasiliano ya mpiga kura

IKIWA zimebaki siku 10 kufikia Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Kimataifa (UNDP) leo wamezindua ...

Read More »

‘Toroka Uje’ yashika kasi, Mwapachu naye atoroka CCM

ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho kutokana na chama kupoteza ...

Read More »

Ulimwengu awapa somo waandishi

MWANDISHI mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi kuipinga rushwa kwa vitendo hasa wakati huu wa uchaguzi mkuu. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Amesema, waandishi ...

Read More »

Stars kuwavaa Algeria Novemba 14, Ligi Kuu kesho

MECHI ya hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Algeria ‘The Fox Desert’ utafanyika Novemba 14, ...

Read More »

Madansa kuombea amani Tanzania

CHAMA cha muziki wa Disco Tanzania (TDMA) kimeandaa onyesho kubwa la kuombea amani nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, litakalofanyika Oktoba 17 mwaka huu. Anaandika Sarafina Lidwino… (endelea). ...

Read More »

Polisi Dar yavuruga Bawacha

JESHI la Polisi limevamia na kuvuruga maandamano ya amani ambayo yaliandaliwa na Baraza la wanawake Chadema (BAWACHA), licha ya kupewa taarifa siku tatu kabla juu ya kufanyika kwa mkutano huo. ...

Read More »

Kampeni jimbo la Arusha zasimama kupisha msiba

KAMPENI za wagombea Ubunge jimbo la Arusha Mjini zimesimama kufuatia kifo cha Mgombea Ubunge wa chama cha ACT-Wazalendo, Estomiah Mallah aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya KCMC iliyopo ...

Read More »

Chifu Bilingi aimaliza kabisa Dodoma

DIWANI aliyemaliza muda wake kupitia Chadema kata ya Dodoma Makulu, Chifu Ally Bilingi amewataka wananchi wa kata hiyo kuhakikisha wanamchagua mbunge wa Chadema Jimbo la Dodoma Mjini, Benson Kigaila, Rais ...

Read More »

Mch. Mtikila apumzishwa

MWILI wa aliyekuwa muasisi na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila, umepumzishwa kijijini kwake, Ludewa mkoani Iringa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mtikila alifariki dunia Jumapili iliyopita ...

Read More »

TACCEO yamshangaa Rais Kikwete

MTANDAO wa asasi za kiraia wa kuangalia chaguzi Tanzania (TACCEO) umeeleza kumshangaa Rais Jakaya Kikwete kwa kuteua watendaji wapya ikiwa zimebaki siku chache kabla ya taifa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu. ...

Read More »

Mkwasa apewa mkataba wa kudumu Stars

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Charles Boniface Mkwasa amepewa mkataba wa kudumu kukinoa kikosi hicho  kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi ...

Read More »

Polisi waanika kiini cha kifo cha Mch. Mtikila

BAADA ya kutokea kifo cha Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila maeneo ya Msolwa, Chalinze, mkoa wa Pwani, kuliibuka hisia nyingi kutokana na chanzo cha kifo hicho, ifuatayo ni taarofa ...

Read More »

Ndege ya Marekani yaanguka Afghanistan

WATU 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan. Jeshi la Marekani limesema kuwa ndege hiyo yenye ...

Read More »

Mbeya City wapinga adhabu ya Nyosso

UTETEZI na malalamiko ya klabu ya Mbeya City kuhusiana na adhabu aliyopewa nahodha wake, Juma Said Nyosso na Bosi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya kumfungia kutojihusisha na mchezo wa ...

Read More »

Taifa Stars wanaanza kujiwinda kuikabili Malawi

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimeanza mazoezi leo mchana katika uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo dhidi ya Malawi ...

Read More »

Ahadi ya elimu bure yamuinua Lowassa

AHADI ya kutoa elimu bure kuanzia ngazi ya vidudu hadi chuo kikuu anayoitoa mgombea urais anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa leo ilipokewa kwa shangwe kubwa na ...

Read More »

NEC waapa kula sahani moja na wabaya wa Lowassa

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametoa ovyo kali na kuahidi kuwachukulia hatua za kisheria, wanasiasa na wagombea wanaofanya kampeni chafu kwa kutaja majina ya ...

Read More »

Yanga yatakata, Tambwe, Busungu wapeleka msiba Msimbazi

MABAO ya Amissi Tambwe na Malimi Busungu yamemaliza uteja wa klabu ya Yanga kwa Simba kwa miaka miwili, kwani ushindi wa mwisho ulipatikana Machi 18, 2013. Anaandika Erasto Stanslaus … ...

Read More »

Mwili wa Waziri Kombani kuzikwa J’tatu Morogoro

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, Celina Kombani unatarajiwa kuwasili ...

Read More »

Kuziona Simba, Yanga 7,000, kuanza kuuzwa Ijumaa

VIINGILIO vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ...

Read More »

ACT-Wazalendo waunga mkono utafiti Twaweza

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimekubaliana na matokeo ya utafiti yaliyotangazwa jana na Taasisi ya Twaweza. Utafiti huo ulihusu maoni ya wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika Sarafina ...

Read More »

Wagombea Hanan’g wamgomea Msimamizi wa Uchaguzi

WAGOMBEA wa nafasi za Ubunge na Udiwani katika Wilaya ya Hanang, Manyara wamedai kutokua na imani na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hanang, Felix Mabula ambaye ni Msimamizi mkuu wa uchaguzi ...

Read More »

Star Times yadhamini Ligi daraja la kwanza

KAMPUNI ya StarTimes Media ya jijini Dar es salaam leo imeingia mkataba wa udhamini na TFF kudhamini Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) inayoshirikisha timu 24 kutoka katika mikoa 16 ...

Read More »

Twaweza: Magufuli ni zaidi ya Lowassa

UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza umeonesha kuwa, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli anayo fursa ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa zaidi ya asilimia ...

Read More »

Treni ya umeme yaanza kutumika Ethiopia

NCHI ya Ethiopia imezindua rasmi usafiri za treni ya umeme ya kubeba abiria mijini, ambayo ndiyo ya kwanza katika nchi za Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara. Treni hiyo itatumika ...

Read More »

Kubenea aongoza promosheni ya MwanaHALISI

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Hali HALISI Publishers, Saed Kubenea leo ameungana na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kufanya promosheni ya kutangaza gazeti la MwanaHalisi barabarani ikiwa ni toleo ...

Read More »

Lowassa karibu Kilwa J’tano

WAKAZI wa wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, Jumatano watashuhudia ugeni mzito wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, anayewakilisha Ukawa, Edward Lowassa, atakapowasili kwa ajili ya kampeni ya kuomba kura. ...

Read More »

Chadema kumburuza Dk. Magufuli kortini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kumshitaki mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli kwa madai ya kutumia vibaya nembo za chama hicho. Anaandika Sarafina ...

Read More »

Wahitimu wa vyuo hawakidhi soko la Ajira

ASILIMIA 50% ya wahitimu kutoka vyuo vikuu hawakidhi mahitaji ya soko la Ajira katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki hali inayopelekea wengi kutoajiriwa katika sekta binafsi na zile za ...

Read More »

Jenerali Gilbert Diendere kuongoza Burkina Faso

BAADA ya mapinduzi nchini Burkina Faso, walinzi wa Rais wamemtangaza Jenerali Gilbert Diendere ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Rais Blaise Compaore, kuwa kiongozi mpya wa taifa hilo. Taarifa iliyotolewa ...

Read More »

Vijana waathirika wakubwa wa mitandao

TAKWIMU zinaonyesha kwa kila sekunde 18 watu watano wanaathirika na makosa ya kimtandao huku waathirika wakubwa wa mitandao wakiwa ni vijana ambao ni theluthi mbili ya wanaotumia mitandao hiyo. Anaandika ...

Read More »

Wadau wapinga Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia

WADAU wa elimu wameishauri serikali kupitia na kuangalia upya mchakato wa kubadili lugha ya kufundishia kuwa kiswahili kuanzia awali hadi vyuo vikuu. Anaandika Ferdinand Shayo, Arusha … (endelea). Wadau hao ...

Read More »

Majaji wa3 kusikiliza kesi ya mitandao

JOPO la Majaji watatu leo limeanza rasmi kusikiliza shauri linalohusu kupinga Sheria ya Makosa ya Mitandaoni, Na. 14 ya mwaka 2015. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Prof. John Eudes Ruhangisa, ...

Read More »

TFDA yakamata vipodozi haramu vya Sh. mil. 135

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi pamoja na Shirikisho la Polisi wa Kimataifa (Interpol) imesema, vipodozi haramu ilivyovikamata kwenye opereshemi yake ya siku tatu ...

Read More »

Sheria ya Makosa ya Mitandao yapingwa mahakamani

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kutetea haki za binadamu leo wamefungua kesi ya Kikatiba kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya ...

Read More »

TFF, Azam TV zarudisha Kombe la Shirikisho

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa udhamini wa kampuni ya Azam Media kupitia Azamtv Sports leo wamezindua kombe la Shirikisho litakalofahamika kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambalo ...

Read More »

NHIF yadhamini matibabu ya wachezaji Ligi Kuu

MFUKO wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeingia makubaliano ya udhamini wa bima ya afya kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kwa klabu 16 vya Ligi Kuu ya ...

Read More »

Mbunge wa Chadema aahidi hospitali Arumeru

MGOMBEA Ubunge jimbo la Arumeru Magharibi kwa tiketi ya Chadema, Gibson Meiseyeki amesema kuwa atahakikisha analibadili jimbo hilo kwa kuweka miundombinu ya barabara, hospitali kubwa ya kisasa na maji katika ...

Read More »

Gwajima: Dk. Slaa basi tena

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema Dk. Willibrod Slaa ametekwa na mke wake Josephine Mushumbusi na haiwezekani kumtoa. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Gwajima amesema ...

Read More »

Hassanali aanza safari ya kumng’oa Zungu Ilala

MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Ilala kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassanali amezindua rasmi kampeni zake katika jimbo hilo la mkoani Dar es Salaam. Anaandika ...

Read More »

Kubenea kumvaa Dk. Slaa

NIMEMSIKILIZA kwa makini, Dk. Willibrod Slaa, aliyekuacha Ukatibu mkuu wa Chadema na katibu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akizungumza katika mahojiano na kituo cha telebisheni cha Star TV. ...

Read More »

UKAWA walia rafu za CCM, wamchana Masaburi

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umelalamika rafu wanazofanyiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku zikifumbiwa macho na vyombo vya dola, pamoja na Tume ya Uchaguzi. Anaandika Sarafina Lidwino … ...

Read More »

MwanaHALISI huru – Jaji

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesema Waziri wa Habari, Dk. Fennela Mkangara hakufuata utaratibu wa kisheria katika kulifungia gazeti la MwanaHALISI Julai 30 miaka mitatu iliyopita. Anaandika Erasto Stanslaus … (endelea). ...

Read More »

Mbatia amchambua Dk. Slaa

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema hautajishughulisha na tuhuma zisizo na kichwa wala miguu kwa kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka kusikia kauli za matumaini badala ya zinazopasua taifa. Anaandika ...

Read More »

Serikali yakataa deni la walimu

SERIKALI imebaini wizi na udanganyifu uliofanywa na walimu na wakurugenzi wa Halmashauri katika kuandaa madai ya walimu ya mwaka 2014. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Wizi na udanganyifu uliogundulika ni ...

Read More »

Askari wa Wanyamapori wadaiwa kuwapiga wafugaji Ngorongoro

MGOGORO mpya umeibuka Ngorongoro baada ya Askari wa Wanyamapori wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kudaiwa kuwapiga wafugaji wa kata za Endulen na Alaitole wanaoishi pembezoni mwa hifadhi hiyo. Anaandika ...

Read More »
error: Content is protected !!