Thursday , 25 April 2024
Home erasto
1150 Articles147 Comments
Afya

Watoto milioni 14.6 wapatiwa chanjo ya polio

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya watoto 14,690,597 wametiwa huduma ya chanjo ya polio ya matone sawa na asilimia 118.6...

Tangulizi

Mpina apinga uanzishwaji mahabusu za watuhumiwa dawa za kulevya

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amepinga uanzishwaji wa mahabusu za watuhumiwa wa dawa za kulevya pamoja na masharti ya kumuweka mtu...

Habari Mchanganyiko

Askofu mwingine Anglikana afariki dunia, Dk. Mwinyi amlilia

  ASKOFU Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, John Ackland Ramadhani amefariki dunia jana tarehe 12 Septemba, 2022 katika Hospitali ya Taifa...

Kimataifa

Sangoma aliyetabiri kifo cha Malkia Elizabeth aibua mjadala

  WAKATI dunia ikiomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, watumiaji wa mtandao wa Twitter wameibua Tweet ya mganga mmoja matata aliyebashiri...

Habari za Siasa

Wabunge CCM kuwachuja wagombea EALA

  WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 10 Septemba, 2022 wanatarajiwa kufanya uchaguzi wa ndani wa wagombea wa ubunge wa Bunge...

Habari za Siasa

TLP yampata anayekaimu nafasi ya Mrema

  SEKRETARIETI ya chama cha TLP imemchagua aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Hamadi Mkadamu kuwa kaimu mwenyekiti taifa wa chama hicho kufuatia kifo cha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awekea mkazo sera mpya ya R-Nne

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametaka mkazo zaidi uwekewe kwenye kufundisha na kueneza sera mpya ya R-Nne inayohusu upatanishi, kuvumiliana, kuishi pamoja na...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaiagiza Serikali kusikiliza ushauri wa wananchi kuhusu tozo

  KAMATI Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM imeiagiza serikali kusikiliza maoni na ushauri wa wananchi kuhusu utekezaji wa bajeti ya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo wapangua baraza kivuli la mawaziri

  OFISI ya Waziri Mkuu Kivuli ya Chama Cha ACT Wazalendo, imefanya mabadiliko ya Baraza Kivuli la Mawaziri ikiwa ni mara ya kwanza...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bei ya petroli, dizeli yashuka

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei ya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli ambapo zimeshuka hadi...

Habari Mchanganyiko

Waziri wa mambo ya nje Norway atua nchini kwa ziara ya siku 3

  WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Norway anayeshughulikia masuala ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na nchi za Nordic, Anne Beathe Tvinnereim...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ahudhuria mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika

  MAKAMU Rais Dk. Philip Mpango leo tarehe 5 Septemba, 2022, amewasili Kigali nchini Rwanda Kumwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

Habari za Siasa

Kigaila asema licha ya ukimya hamasa ni kubwa kwa upinzani

NAIBU Katibu Mkuu bara wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Benson Kigaila, amesema mpaka sasa hamasa ya watanzania juu ya vyama vya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watano wafariki, 54 wajeruhiwa ajali ya basi Shinyanga

  WATU watano wamepoteza maisha huku 54 wakijeruhiwa Katika ajali ya Basi lililogongana na Fuso  uso kwa uso eneo la Ibadakuli Manispaa ya...

Tangulizi

Simba yapata pigo, daktari wao afariki

  Klabu ya soka ya Simba ya Jijini Dar es Salaam leo Septemba 2 2022 imepata pigo baada aliyekuwa daktari wa timu ya...

HabariMichezo

Simba Queen wapewa basi kwa Safari za ndani

  Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo  Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya  uuzaji wa magari ya...

Habari za Siasa

Rais Samia azindua kituo kipya cha Polisi Kizimkazi

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Septemba, 2022 ameanza ziara visiwani Zanzibar ambapo pamoja na mambo mengine amezindua kituo kipya...

Elimu

UDSM yafadhili walimu 16 kufundisha masomo ya sayansi

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kupitia Ndaki ya Sayansi Tumizi na Sayansi Asili (CoNAS), kimewezesha wanafunzi 16 waliohitimu masomo ya ualimu...

Habari za Siasa

Bashungwa: Tozo ni mwarobaini maboresho ya sekta muhimu

  WAZIRI wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Innocent Bashungwa, amesema tozo za miamala zimekuwa mwarobaini wa kuboresha...

Habari Mchanganyiko

Rais Dk.Mwinyi aongoza mamia ya wananchi maziko ya kaka yake

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 31 Agosti, 2022 amejumuika na viongozi wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi yamwachia kwa dhamana Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Jumatano tarehe 31, 2022, limemwachia kwa dhamana laiyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Madeni ya Serikali yameifilisi NHIF

MSEMAJI wa sekta ya uwekezaji, mashirika ya umma na hifadhi ya jamii wa ACT wazalendo, Mwanaisha Mndeme, amesema kuanzia mwaka 2018 hadi 2022...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza polisi kuimarisha TEHAMA kudhibiti uhalifu

  RAIS Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujikita katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa lengo la...

Habari za Siasa

Masauni: Vijana wanalipwa kuichafua serikali mitandaoni

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuboresha kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliani...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo kumjadili mgombea EALA, uchaguzi mkuu

  CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kufanya kikao cha Halmashauri Kuu tarehe 4 Septemba mwaka huu ambapo pamoja na mambo mengine kitaidhinisha jina la...

Michezo

Azam FC wambadilishia majukumu kocha wao

  MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam – Azam FC leo tarehe 29 Agosti, 2022 wamethibitisha kumbadilishia majukumu kocha wao mkuu, Abdihamid...

Habari Mchanganyiko

Huu hapa mchakato wa uteuzi wa majaji nchini

  JAJI mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema mitandao ya kijamii haitoi taarifa sahihi kuhusu namna au utaratibu ambao wanautumia kupata majaji...

Habari Mchanganyiko

Kurekebisha tabia, haki za wafungwa kipaumbele magereza

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema upo umuhimu wa kutenganisha shughuli za msingi za magereza na zile shughuli za...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua majaji 52 ndani ya miezi 15

JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema ndani ya miezi 15 mahakama imepata ongezeko la majaji 52, tisa wakiwa wa Mahakama ya...

Habari Mchanganyiko

Makongoro ataka ‘macho’ Mirerani, Biteko amjibu

MKUU wa mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere ameitaka Serikali kurejesha watu maalumu wa kufuatilia mienendo ya mauzo ya madini ya Tanzanite maarufu kama...

Habari za Siasa

Mawakili wabishana Mdee wenzake kuhojiwa, uamuzi Septemba 2

  MAWAKILI wa upande wa waleta maombi wamepinga upande wa washtakiwa (Chadema), kuwahoji Halima Mdee na wenzake saba ambao waliitwa mahakamani leo kwaajili...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake wafika mahakamani, kesi yaanza kunguruma

  KWA mara ya kwanza Halima Mdee na wenzake sita, ambao ni Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema, wamefika mahakamani kuitika...

Habari Mchanganyiko

Mazishi ya Mrema, familia yaaswa, aibu kugombana

  MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema umezikwa jana kijijini kwake Kiraracha- Marangu mkoani Kilimanjaro huku viongozi wa dini na wanasiasa...

Habari MchanganyikoTangulizi

TWAWEZA: Tozo imewagawa wananchi

  MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wampa tano Samia uboreshaji huduma za kijamii

  MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...

Habari Mchanganyiko

Utafiti Twaweza: Uchumi tatizo kubwa linalosumbua kaya

  MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...

Habari Mchanganyiko

JKT yafungua dirisha la maombi ya mafunzo kwa vijana

  JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limefungua dirisha la maombi kwa vijana wa Kitanzania kujitolea kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kuanza mchakato...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa aongoza waombolezaji kumuaga Mrema

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameongoza mamia ya waombolezaji kuuga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Mchamungu: Mrema alikuwa kiongozi wa kipekee

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Henry Mchamungu amesema kuwa Hayati Agustino Mrema alikuwa kiongozi wa kipekee kutokana uweledi aliouonesha...

Habari Mchanganyiko

Warioba: Mrema alijua kuchagua maneno ya kuzungumza, ni mwanamageuzi

  WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema atamkumbuka marehemu Agustino Mrema kama moja ya wanasiasa mahiri waliojua kuchagua maneno sahihi ya kuzungumza...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mzee Mrema kuzikwa Alhamisi

  MWILI wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Agustino Lyatonga Mrema unatarajiwa kuzikwa Alhamisi tarehe 25 Agosti, 2022 nyumbani kwake...

Michezo

Lewandowski afungua akaunti ya mabao Barcelona

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Barcelona raia wa Poland, Robert Lewandowsik amefungua rasmi akaunti ya mabao katika klabu yake mpya baada ya jana...

Kimataifa

Mwili wa Dos Santos wawasili Angola wakati wa kampeni za uchaguzi

  MWILI wa Rais wa zamani wa Angola Jose Eduardo Dos Santos, aliyefariki nchini Uhispania mwezi Julai, umewasili katika mji mkuu wa Angola,...

Michezo

Simba waipa pole Yanga kwa ajali ya mashabiki

  UONGOZI wa klabu ya Simba umetoa pole kwa wapinzani wao Yanga kufuatia ajali ya gari la mashabiki wa timu hiyo lililokuwa linaelekea...

Habari za Siasa

Nape: Hakuna aliyeripoti kuibiwa bando, muda wa maongezi

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema licha ya kutoa ofa kwa mwananchi yeyote aliyeibiwa vifurushi vya intaneti...

Kimataifa

Mwili wa Rais Angola waendelee kusota mochwari, mwanaye akata rufaa

  BINTI wa Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Uhispania ulioamuru mjane...

Michezo

Mmoja afariki, 5 wajeruhiwa wakielekea mechi ya Yanga, Coastal

  MTU mmoja amefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku tarehe 19 Agosti, 2022 katika barabara ya...

Habari za Siasa

Majaliwa awatoa hofu wanaohamia Msomera kutoka Ngorongoro

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, amewatoa hofu wananchi wote wanaohamia Kijiji cha Msomera kutoka Hifadhi ya Eneo la...

Kimataifa

Ukraine yahofia Urusi kuzima kinu cha kufua umeme cha nyuklia

KAMPUNI ya nyuklia ya serikali ya Energoatom ya Ukrein imesema vikosi vya Urusi vilipanga kuzima mtambo wa kuendesha umeme kwenye mtambo wa nyuklia...

Habari Mchanganyiko

Kundi la tano kaya 25 kutoka Ngorongoro mbioni kuhamia Msomera

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Pindi Chana amesema kundi la tano la wakazi wa Ngorongoro takribani kaya zisizopungua 25 kwa sasa...

error: Content is protected !!