SHIRIKA la Posta Tanzania, limezindua nembo mpya ya shirika hilo baada ya ile ya zamani kukaa zaidi ya miaka 24 hadi kufika leo,...
By Masalu ErastoDecember 21, 2017MPANGO wa Damu Salama, unakabiliwa na uhaba wa vitanda kwa vinavyotumiwa na watu wanaofika hapo kwa ajili ya kuchangia damu kwa hiari, anaandika...
By Masalu ErastoDecember 19, 2017TUME iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa kuchunguza mgogoro wa ardhi uliodumu zaidi ya miaka 26 katika vijiji vinavyopakana na hifadhi ya taifa...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na wadau wengine wameunda kamati ndogo ya uchunguzi na kuituma Kibiti kuthibitsha...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017KIAMA cha madalali wa kupangisha nyumba na wamiliki wa nyumba za kupangisha kinakuja baada ya serikali kukusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni wa...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017NASYEKZI Lilash, mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Arash, Tarafa ya Loliondo, Wilaya ya Ngorongoro, Mkoani Arusha, amelazimika kumwachisha ziwa mtoto wake wa...
By Masalu ErastoNovember 30, 2017KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), kimeibuka na kusema kwamba hatma ya katiba mpya ipo mikononi mwa Rais John Magufuli kama atakuwa...
By Masalu ErastoNovember 28, 2017BAADA ya kuathirika kiuchumi kutokana na operesheni ondoa mifugo, katika vijiji vinavyopatakana na hifadhi ya Serengeti, Loliondo, wilayani Ngorongoro, sasa watoto walazimika kufanya...
By Masalu ErastoNovember 28, 2017WADAU mbalimbali wa masuala ya siasa za Tanzania wamezidi kutoa maoni yao kuhusu uchaguzi mdogo wa marudio ya udiwani ambao ulifanyika jana katika...
By Masalu ErastoNovember 27, 2017KATIKA hali ya kawaida mtu anaweza kujiuliza nini kimetokea katika uchaguzi wa marudio katika kata 43 hapa nchini. Siku za hivi karibuni kumekuwa...
By Masalu ErastoNovember 27, 2017BAADHI ya ng’ombe katika kijiji cha Arash Loliondo, Ngorongoro, mkoani Arusha, wameshindwa kupata soko kutokana na kuwa na majeraha ya risasi huku wengine wakiendelea...
By Masalu ErastoNovember 26, 2017FAMILIA ya watu 19 imeeleza namna inavyolala chini ya mti baada ya nyumba yao kubomolewa katika operesheni ya kuwaondoa wafugaji iliyofanyika Loliondo, Ngorongoro,...
By Masalu ErastoNovember 25, 2017IMEELEZWA pamoja na Shirika la Posta kumilikiwa na serikali kwa asilimia 100, ni asilimia 20 tu ya taasisi za serikali ndio zinatumia huduma...
By Masalu ErastoNovember 18, 2017BILIONEA wa nyumba za Lugumi aliyeteka vichwa vya habari siku za hivi karibuni, Dk. Louis Shika, amekamilisha malipo ya bima kwa ajili ya...
By Masalu ErastoNovember 18, 2017MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Arash Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha, Nondomoli Saile, ambaye ameathirika na vitendo vya ubakaji wakati wa...
By Masalu ErastoNovember 14, 2017BAADA ya kudumu kwa mgogoro wa Ardhi kwa muda mrefu katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kati ya wafugaji na hifadhi,...
By Masalu ErastoNovember 12, 2017JAMII ya Wafugaji wa Loliondo, Ngorongoro, mkoani Arusha, wamesema kuanzia sasa watakuwa wa kwanza kutoa taarifa kwa yeyote atakayebainika kuingiza mifugo kwenye eneo...
By Masalu ErastoNovember 10, 2017KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Rais John Magufuli ameondoa amri ya kuwazuia wananchi kulima katika maeneo ya mito na kuwataka kuendelea kufanya hivyo...
By Masalu ErastoNovember 7, 2017UMOJA wa Ulaya (EU), umetoa msaada wa Euro Milioni 50 ambazo ni sawa na takribani Sh. bilioni 130 kwa ajili ya miradi ya...
By Masalu ErastoNovember 2, 2017MAWASILIANO ya barabara kati ya jiji la Dar es Salaam na mikoani imerejea leo baada ya magari kuanza kupita katika daraja la Kiluvya...
By Masalu ErastoOctober 27, 2017GOODLUCK ole Medeye, aliyepata kuwa naibu waziri katika serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameibuka na kusema mazingira ya sasa nchini hayafai kufanya...
By Masalu ErastoOctober 27, 2017SERIKALI ya eneo la Catalonia nchini Hispania imetangaza kupata ushindi wa kujitawala baada ya wakazi wake kushiriki kwa wingi katika kura ya maoni...
By Masalu ErastoOctober 2, 2017RAIS wa Cameroon, Paul Biya amelaani ghasia zilizotekelezwa na wananchi na kusababisha mauaji ya watu nane wakati wa maandamano ya raia wa nchi...
By Masalu ErastoOctober 2, 2017MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki ( Chadema), Tundu...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2017RAIS wa Marekani Donald Trump amesaini sheria mpya ya kuongeza vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini juu ya mpango wake wa zana za Nyuklia...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2017JESHI la polisi limewakamata watu kadhaa ambao walikuwa wakipita katika ofisi za makao makuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) zilizopo eneo...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2017MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza kutekeleza jukumu la kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha jukumu ambalo ilikabidhiwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2017MAMIA ya wananchi wa kijiji cha Chabuhora, wilayani Karagwe, mkoani Kagera, wanahitaji msaada wa haraka wa chakula, baada ya mashamba na nyumba zao...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2017JESHI la polisi nchini Kenya limewakamata watu wanne raia wa Burundi waliokuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la kighaidi la Al-Shabab, anaandika Catherine Kayombo. Kwa...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2017ASASI isiyo ya kiserikali nchini kongo imesema watoto wengi zaidi wanakosa elimu kutokana na mgogoro na mfumo duni wa elimu wa nchi hiyo....
By Masalu ErastoSeptember 12, 2017OFISI ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR_MUU) imeshutumu wafanyakazi katika yake kwa kukwamisha malengo ya serikali kuhusu maadili ya watumishi kwa kuwa...
By Masalu ErastoSeptember 12, 2017Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu kamanda Simon Sirro, mkuu wa jeshi la polisi nchini kuwa...
By Masalu ErastoSeptember 12, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeituhumu serikali ya rais John Magufuli kuwa inahusika na tukio la shambulio la kifo dhidi ya Tundu...
By Masalu ErastoSeptember 12, 2017KESI inayomkabili mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), imepigwa kalenda hadi Oktoba 11,mwaka huu itakapoanza kusikilizwa, anaandika Hellen Sisya. Mdee ambaye pia ni...
By Masalu ErastoSeptember 12, 2017NAIBU Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia inaonesha...
By Masalu ErastoSeptember 11, 2017KIMBUNGA cha Irma kimesababisha vifo vitatu baada ya kutua katika jimbo la Florida kikitokea kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani ya Florida nchini...
By Masalu ErastoSeptember 11, 2017Rais wa Tanzania Dkt John Mgufuli, amemwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma, ambapo awali alikuwa akikaimu nafasi alikuwa Kaimu Jaji Mkuu...
By Masalu ErastoSeptember 11, 2017RAIS wa nchini Mali, Boubacar Keita amefungua kambi ya majeshi inayohusisha nchi tano za Afrika yenye lengo la kupambana na wanamgambo katika eneo...
By Masalu ErastoSeptember 11, 2017AWAMU ya kwanza ya wakimbizi wa kutoka Burundi wanaorejea kwa hiari yao kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao hii leo, anaandika Jovina Patrick....
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017KOREA Kaskazini imefanya sherehe kubwa kwa ajili ya kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa ya bomu la Nyuklia nchini humo, anaandika Irene Emmanuel. Sherehe...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017MAWAZIRI wawili wa serikali ya awamu ya tano, wameachia ngazi muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kuwataka kufanya hivyo leo asubuhi, anaandika...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017MTUHUMIWA aliyekuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kuhusika na utekaji na mauaji ya watoto wawili Maureen na Ikram amefariki dunia...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelituhumu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuvunja Katiba ya...
By Masalu ErastoSeptember 6, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetonesha kidonda kilichopona baada ya kusisitiza kwamba bado kina dhamira ya kufanya maandamano kwa nchi nzima waliyoyapa...
By Masalu ErastoSeptember 6, 2017CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kinatarajia kuanzisha mradi maalum utakaosaidia viziwi na watendaji wa serikali za mitaa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya mafungu...
By Masalu ErastoSeptember 6, 2017MAREKANI imeapa kujibu shambulio lolote la kijeshi kutoka Korea Kaskazini dhidi ya nchi hiyo ama washirika wake, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2017UAMUZI mdogo kuhusiana na kesi ya “dikteta uchwara” inayomkabili Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu unatarajiwa kutolewa Oktoba...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2017MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali imelenga kuimarisha utendaji kazi wa maabara katika kanda zake za Nyanda za juu kusini, na kanda ya...
By Masalu ErastoAugust 31, 2017MCHEZO wa riadha umeendelea kuing’arisha Tanzania baada ya kuzoa medali 10 katika michezo ya Afrika Mashariki kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yaliyofanyika...
By Masalu ErastoAugust 30, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kwamba maandamano ya amani ambayo yalipangwa kufanyika kesho nchi nzima yatafanyika, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na...
By Masalu ErastoAugust 30, 2017