SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yaendelea kuweka mikakati thabiti katika maeneo yote hatarishi ikiwemo mipakani na...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018SAID Juma Makapu amefiwa na mama yake mzazi nyumbani kwao Zanzibar, hivyo kusababishwa kuondolewa katika orodha ya wachezaji wa Yanga wanaosafiri kuelekea nchini...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018BASILA Mwanukizi, Mkurugenzi wa kampuni ya Look LTD ambao ni waandaaji wapya wa Shindano la Miss Tanzania kwa mwaka 2018 amesema kuwa atahakikisha...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018IDADI ya wagonjwa waliofanyiwa huduma ya kupandikizaa figo katika hospitali ya Taifa Muhimbili imefikia 19 tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo mwaka 2017. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 21, 2018WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) unaonesha...
By Masalu ErastoAugust 21, 2018WIZARA ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imehamisha umiliki wa viwanja viwili kutoka Makonde kwenda kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) vilivyokuwa...
By Masalu ErastoAugust 20, 2018SERIKALI ya China imetoa ufadhili kwa wanafunzi 20 kutoka nchini Tanzania kwa ajili ya kwenda China kusoma masuala yahusuyo mafuta na gesi. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 20, 2018HARAKATI za Profesa Ibrahim Lipumba kumtosa Maalim Seif, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) zinaelekea ukingoni. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Kwa sasa...
By Masalu ErastoAugust 18, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Tanesco, Dawasco na kampuni mbalimbali za simu za mkononi limeanzisha msako...
By Masalu ErastoAugust 17, 2018AKINA Mama wajawazito wametakiwa kuwahi kliniki mara wanapohisi wana ujauzito na kufuata ushauri wa wataamu wa afya ili kuwakinga watoto wanaotarajia kujifungua dhidi...
By Masalu ErastoAugust 17, 2018MTANDAO wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umetoa shukrani kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kwa kukubali ushauri wao wa utaratibu mpya wa wanafunzi wa...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018DK.Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, amesema kuwa uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzitaka kampuni zinazomiliki Zuku, DSTV...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018EDWIN Van Der Sar, mlinda mlango wa zamani wa Manchester United ni moja kati ya majina matatu yaliotajwa kuja kukalia kiti cha Mkurugenzi...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kuwa na mfumo mpya wa kielektroniki utakomwezesha mwanafunzi kuthibitisha chuo anachokwenda kusoma baada ya kuchaguliwa na...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya mkakati wa kuhakikisha watanzania wote wanaougua magonjwa ya damu watibiwe ndani ya nchi kwa kujengea uwezo hospitali zote...
By Masalu ErastoAugust 13, 2018SERIKALI imevifunga viwanda viwili vya wachina vilivyoko Kibaha mkoa wa Pwani vinavyojihusisha na utengenezaji wa nondo na uzalishaji wa malighafi ya kutengenezea Gypsum...
By Masalu ErastoAugust 11, 2018UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya hali ya juu ili kujikinga na...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa idadi ya wanawake wanaotumia huduma za Afya za Kisasa...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandiishi wa habari wa Wapo Radio...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018JAMII imeshauriwa kubadilika na kula maharage ya SUA Karanga ambayo yanatengenezwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) huku yakiwa...
By Masalu ErastoAugust 9, 2018VIONGOZI na watendaji wakuu wa halmashauri ya Jiji la Tanga wametakiwa kuwa wabunifu katika kuhakikisha wanawafikia wanawake wengi wanaoishi mjini ili waweze kujiunga...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza jamii ya Tanzania juu ya utumiaji wa maji safi na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018WATU 13 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji fedha wa Sh....
By Masalu ErastoAugust 7, 2018PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema Serikali imejipanga kuandaa na kutoa mafunzo ya uwezeshaji wa programu za kisomo na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, inatarajia kufanya udahili wa wanafunzi kwa asilimia 100 kutoka wanafunzi 150...
By Masalu ErastoAugust 6, 2018JESHI la Polisi Kanda Maluum ya Dar es salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuteka watu na kudai fedha kwa kutumia gari...
By Masalu ErastoAugust 3, 2018MFALME wa maigizo ya uchekeshaji nchini, Amri Athuman anayefahamika kama ‘Mzee Majuto’ amelazwa chumba cha wagonjwa mahtuti (ICU) kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili....
By Masalu ErastoAugust 3, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza kuwa huduma za uzazi kwa wajawazito zinatolewa bila ya malipo...
By Masalu ErastoAugust 1, 2018MHANDISI Isack Kamwelwe, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, amefanya ziara katika kiwanja kipya cha ndege cha Julius Nyerere kilichopo DSM kufanya ukaguzi...
By Masalu ErastoAugust 1, 2018MBUNGE wa Ubungo na Mkurugenzi Mtendaji wa MwanaHALISI, Saed Kubenea, leo Jumatatu, tarehe 30 Julai, saa sita mchana, atakuwa na mkutano na waandishi...
By Masalu ErastoJuly 30, 2018NCHI ya Irani imejibu tishio la Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kumuonya kwamba atapoteza kila anachomiliki iwapo ataruhusu nchi yake kulishambulia Taifa...
By Masalu ErastoJuly 27, 2018AUGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole, amesema kama Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amedhamilia kuwashughulikia wanaowabambikizia...
By Masalu ErastoJuly 27, 2018SERIKALI inayoongozwa na Rais John Magufuli imepongezwa kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa kutoa na kuchukua hatua hasa katika magonjwa ya mlipuko. Anaandika Khalifa...
By Masalu ErastoJuly 26, 2018KUFUATIA ujenzi wa daraja la juu kwenye makutano ya barabara ya Morogoro na Mandela, Kampuni ya UDA Rapid Transport (UDART) inayotoa huduma kwenye...
By Masalu ErastoJuly 26, 2018ASKARI waliokamatwa kwa ajili ya uchunguzi wa mauaji ya Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilini Akwilina wameachiwa huru baada ya uchunguzi kutobaini...
By Masalu ErastoJuly 24, 2018JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho litaadhimisha Siku ya Mashujaa waliopoteza uhai wakipigania Taifa, kwa kufanya shughuli za mbalimbali za...
By Masalu ErastoJuly 24, 2018MHANDISI Izack Kamwelwe, Waziri wa Uchukuzi, Usafirishaji na Mawasiliano amempa siku 30 Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzungumza na Kampuni ya Mtandao wa simu ya ...
By Masalu ErastoJuly 23, 2018RAIS John Magufuli amemtaka mkandarasi wa daraja la Salender kuhakikisha anakamilisha kazi hiyo ndani ya muda uliopangwa huku akiwataka kuwatumia wafanyakazi kutoka Tanzania....
By Masalu ErastoJuly 23, 2018KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepinga vikali kitendo kitendo cha wananchi wanaosadikika ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Masalu ErastoJuly 23, 2018SERIKALI imeombwa kuweka utaratibu wa upatikanaji wa fedha za kununua visanduku vya tiba kwa wanyama na kuweza kumkabidhi kila wanafunzi ili wanafunzi wanaomaliza...
By Masalu ErastoApril 29, 2018SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo, amewasilisha hoja binafsi Bungeni ili kupata Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, huku akimtwisha...
By Masalu ErastoMarch 11, 2018KIWEWE kimetawala ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya wapinzani wao wakuu kwenye uchaguzi unaotarajia kufanyika Februari 17 kuapa kulinda kura kwa gharama...
By Masalu ErastoFebruary 15, 2018TAMKO LA BARAZA LA MAASKOTU KATOLIKI TANZANIA UTANGULIZI Wapendwa Familia ya Mungu, Na Watu Wote wenye Mapenzi Mema, “Neema na iwe kwenu, na...
By Masalu ErastoFebruary 12, 2018TAASISI za dini ni miongoni mwa wadau wakubwa wanaochangia kuwapo na kuendelea kustawisha amani ya nchi yetu ya Tanzania. Anaripoti Richard Makore …...
By Masalu ErastoDecember 29, 2017TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), hatimaye imeridhia takwa la mgombea ubunge wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), katika jimbo la Singida...
By Masalu ErastoDecember 27, 2017RAIS John Magufuli amepinga wizi ulifanyika dhidi ya TTCL kwa kuinyanganya kampuni yake tanzu ya Airtel na kumtaka Waziri wa Fedha, Philip Mpango...
By Masalu ErastoDecember 21, 2017SHIRIKA la Posta Tanzania, limezindua nembo mpya ya shirika hilo baada ya ile ya zamani kukaa zaidi ya miaka 24 hadi kufika leo,...
By Masalu ErastoDecember 21, 2017MPANGO wa Damu Salama, unakabiliwa na uhaba wa vitanda kwa vinavyotumiwa na watu wanaofika hapo kwa ajili ya kuchangia damu kwa hiari, anaandika...
By Masalu ErastoDecember 19, 2017TUME iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa kuchunguza mgogoro wa ardhi uliodumu zaidi ya miaka 26 katika vijiji vinavyopakana na hifadhi ya taifa...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na wadau wengine wameunda kamati ndogo ya uchunguzi na kuituma Kibiti kuthibitsha...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017