MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CCM), Assa Makanika, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo, ambao wamekuwa wakikamatwa kwa kuitwa wakimbizi...
By Masalu ErastoJune 4, 2021HUSNA Sekiboko, mbunge wa viti maalum, aiomba Serikali ya Tanzania, kufanya marekebisho ya mtaala wa elimu ya msingi na sekondari. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoJune 4, 2021HOSPITALI ya CCBRT, imetoa wito kwa wazazi wanaojifungua watoto wenye tatizo la mguu kifundo, kuwafikisha hospitali mapema kwa ajili ya kupatiwa matibabu....
By Masalu ErastoJune 3, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amebanwa bungeni kuhusu utaratibu wa fedha za miradi zinazochoelewa kutumika, kurudishwa katika Mfuko Mkuu wa Hazina...
By Masalu ErastoJune 3, 2021MBUNGE wa Msalala mkoani Geita (CCM), Idd Kassim, amesema usafirishaji makontena ya makinikia kutoka Mgodi wa Bulyanhulu, umezua taharuki kwa wananchi ,...
By Masalu ErastoJune 3, 2021SERIKALI ya Tanzania, inakusudia kutatua matatizo ya mawasiliano Kijiji cha Matinje Ikombandulu, ambalo ni eneo la machimbo lenye idadi kubwa ya watu...
By Masalu ErastoJune 2, 2021ISSA Mchungahela, mbunge wa Lulindi (CCM), mkoani Mtwara, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwalipa wananchi wanaodai miche ya mikirosho, deni ambalo lina muda...
By Masalu ErastoJune 2, 2021MBUNGE wa Viti Maalum asiye na chama bungeni, Cecilia Daniel Paresso, ameiomba serikali kudhibiti mfumo wa bei kubwa za bidhaa sokoni ili...
By Masalu ErastoJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupaza sauti zao wanapokutana na changamoto za huduma ya afya, ili Serikali yake izifanyie...
By Masalu ErastoJune 1, 2021ANATROPIA Theonest, Mbunge Viti Maalum asiye na chama bungeni, amehoji mkakati wa Serikali, katika kuziba pengo la wahadhiri wa vyuo vikuu, wanaoteuliwa...
By Masalu ErastoJune 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeanza kuondoa changamoto ya ukata wa fedha, katika Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura), baada ya Mfuko...
By Masalu ErastoJune 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutumia Sh. 40 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji, kwenye mashamba ya uzalishaji wa mbegu...
By Masalu ErastoMay 31, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Ester Bulaya, amehoji lini Serikali itapeleka maji katika vijiji vilivyopitwa na Mradi wa Maji wa...
By Masalu ErastoMay 31, 2021MBUNGE wa Kilwa Kaskazini (CCM), Francis Ndulane, amesema uhaba wa watumishi wa umma, unasababisha baadhi ya zahanati jimboni humo, kuchelewa kufunguliwa. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 31, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, Hospitali ya Halmashauri ya Rorya mkoani Mara, inatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi Desemba 2021. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...
By Masalu ErastoMay 31, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema iko mbioni kuanzisha utaratibu wa kutoa vifaa badala ya fedha, katika mikopo inayotolewa na halmashauri, kwa vikundi vya...
By Masalu ErastoMay 31, 2021SAA 48 kabla ya Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) kuapishwa, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad....
By Masalu ErastoMay 31, 2021NYOTA ya Camilius Wambura, ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania, imeendelea kung’aa, baada ya Amri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, kumpandisha...
By Masalu ErastoMay 31, 2021SAKATA la kuzuiwa kwa mahindi yaliyodaiwa kuwa na sumu kuvu, katika mpaka wa Namanga mkoani Arusha, unaounganisha nchi ya Kenya na Tanzania,...
By Masalu ErastoMay 28, 2021WAKATI leo tarehe 28 Mei 2021, dunia ikiadhimisha siku ya hedhi, bado jamii inahitaji uelewa mpana kuhusu suala zima la hedhi salama...
By Masalu ErastoMay 28, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameshangazwa na kitendo cha Tarafa ya Mungaa, iliyoko katika Jimbo la Singida Mashariki, mkoani Singida,...
By Masalu ErastoMay 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Phumzile Mlambo-Ngouka, kuhusu...
By Masalu ErastoMay 28, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), liongeze juhudi katika usimamizi wa taasisi na...
By Masalu ErastoMay 28, 2021KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 27 kitakachoingia kambani tarehe 5 Juni, 2021...
By Masalu ErastoMay 28, 2021ALIYEKUWA Mhasibu katika Bandari ya Kigoma, Madaraka Robert Madaraka, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, kwa tuhuma za utakatishaji fedha na...
By Masalu ErastoMay 28, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Maisaka mkoani Manyara, Bakari Yangu, amekwepa kifungo cha miaka miwili gerezani, kwa kulipa faini...
By Masalu ErastoMay 28, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi vigogo 11 wa Wizara ya Fedha na Mipango, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili, za matumizi...
By Masalu ErastoMay 28, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, inatarajia kuanzisha mfumo wa ufuatiliaji taarifa za wajawazito, ili kupunguza vifo vya...
By Masalu ErastoMay 27, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua maafisa wa Taasisi ya Kuzuia...
By Masalu ErastoMay 27, 2021MBUNGE Viti Maalum mkoani Tanga (CCM), Mhandisi Mwanaisha Ulenge, amesema kuna haja ya nchi kuwa na taasisi huru, iitakayodhibiti utendaji wa wizara...
By Masalu ErastoMay 27, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Nusrat Hanje, amefikisha bungeni kilio cha wahitimu wa darasa la saba, wanaosoma katika Vyuo vya Ufundi...
By Masalu ErastoMay 27, 2021MBUNGE wa Makete mkoani Njombe (CCM), Festo Sanga, amehoji kauli ya Serikali kuhusu kukithiri vitendo vya ujambazi katika majiji nchini. Anaripoti Nasra...
By Masalu ErastoMay 27, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeamua kuachana na siasa za kiharakati, badala yake kinakuja na siasa shirikishi. Anaripoti Nasra Bakari, DMC…(endelea...
By Masalu ErastoMay 27, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imesema bajeti ya maendeleo katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
By Masalu ErastoMay 26, 2021BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeikopesha Serikali ya Tanzania Dola za Marekani 140 (Sh. 323.4 bilioni), kwa ajili ya utekelezaji mradi...
By Masalu ErastoMay 26, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amesema Serikali iko hatarini kupoteza Sh. 100 bilioni, endapo itavunja mkataba wa mradi...
By Masalu ErastoMay 26, 2021MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, amelishauri Bunge la 12 lijikite katika ajenda za kuchochea mapinduzi ya kilimo, kama Bunge...
By Masalu ErastoMay 26, 2021Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watano, wanaotuhumiwa kumuuwa aliyekuwa mlinzi wa Baa, Regan Sylvester. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoMay 25, 2021KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Camillius Wambura, amesema ameanzisha operesheni maalum ya kupambana na wahalifu wanaotumia...
By Masalu ErastoMay 25, 2021MBUNGE wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), Dk. Charles Kimei, ameiomba Serikali irudishe fedha za kodi zilizokusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...
By Masalu ErastoMay 25, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa taasisi za elimu nchini, kufanya utafiti juu ya mabadiliko ya teknolojia, ili kubaini...
By Masalu ErastoMay 25, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imeishauri Serikali imalize kulipa madeni ya fedha za korosho, ilizonunua kwenye msimu...
By Masalu ErastoMay 24, 2021WIZARA ya Ofisi ya Rais-Tamisemi, imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, itumie mapato yake ya ndani, kununua kipimo cha kuchunguza...
By Masalu ErastoMay 24, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge kuacha ngonjera katika kipindi cha maswali na majibu, ili kuokoa muda. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoMay 24, 2021MDHIBITI na Mkaguzi wa Fedha za Serikali Visiwani Zanzibar (CAG), Dk. Othman Abbas Ali, amemefichua ubadhirifu wa mabilioni ya shilingi katika wizara...
By Masalu ErastoMay 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, tarehe 22 Mei 2021, amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),...
By Masalu ErastoMay 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mabalozi 23, akiwemo Hoyce Anderson Temu, ambaye ni mwandishi wa habari na mjasiriamali....
By Masalu ErastoMay 22, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaonya wanachama wa chama hicho, walioanza kupanga safu za...
By Masalu ErastoMay 22, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 500 milioni kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya watoto, wanaume na wanawake ya magonjwa mchanganyiko hospitali...
By Masalu ErastoMay 21, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameshauri aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, aenziwe kwa kutimiza ndoto yake ya uanzishwaji somo...
By Masalu ErastoMay 21, 2021