Author Archives: Masalu Erasto

‘Hisabati’ za Simba na Yanga kuelekea Oktoba Mosi

  KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga katika Ligi Kuu soka Tanzania Bara, siku ya Oktoba Mosi mwaka huu utakaofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es ...

Read More »

Udhamini wa Makonda waingia doa

WANANCHI waliojitokeza katika zoezi la kupima afya zao lililoanza Jumamosi na Jumapili wiki iliyopita jijini Dar es Salaam, wamelalamikia mpango mbovu wa huduma hiyo, anaandika Aisha Amran. Wamesema, huduma hiyo imekuwa ...

Read More »

Prof. Lipumba katumwa

JITIHADA za kuua upinzani nchini sasa zinaonekana baada ya Prof. Ibrahim Lipumba kukubali kazi ya kubomoa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Shaaban Matutu. “Sikiliza, Lipumba hataki uenyekiti CUF,” ameeleza mbunge ...

Read More »

Wabunge wa Simba na Yanga vitani

WABUNGE wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, wanatarajia kucheza mchezo maalum wa mpira wa miguu wenye lengo la kukusanya ...

Read More »

Simba yaomba kulikimbia ‘shamba la bibi’

BAADA ya kuutumia Uwanja wa Uhuru kwa michezo mitatu ya ligi kuu soka ya Tanzania Bara, uongozi wa klabu ya Simba umeandika barua kwa Shirikisho la soka nchini (TFF) na ...

Read More »

Nani kawahonga Mwakyembe, Masaju?

MWAKA 1955 wakati mama yangu amebeba mimba yangu kulitokea jambo kule mkoani Mara katika Wilaya ya Tarime, ambalo halisahauliki miongoni mwa Wanyamongo wa Tarafa ya Ingwe na Wanyabasi wa Tarafa ...

Read More »

Watanzania watekwa nchini Kongo

WATANZANIA 12 jana wametekwa katika eneo la Namoyo, Jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) na kikundi cha waasi cha Maimai, anaandika Aisha Amran. Taarifa kutoka ...

Read More »

Magufuli anasababisha CCM wote tuchekwe

HIVI kama ni wewe, utafanyaje iwapo utatoka matembezini na kupishana mlangoni, na mamako mzazi, naye anakwenda matembezini, huku upande mmoja yuko uchi, kwa sababu pindo la sketi au gauni yake ...

Read More »

Waichongea CRDB kwa Rais Magufuli

WANACHAMA wa kikundi cha wakulima wa tumbaku (Tumaini Itave Association) cha Urambo, Tabora  wamemtaka Rais John Magufuli kuingilia kati mgogoro uliopo kati yao na benki ya CRDB, Anaandika Aisha Amran. ...

Read More »

Bakwata: Eid el Hajj Septemba 12

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza rasmi kuwa, tarehe 12 Septemba mwaka huu ni siku ya Sikukuu ya Eid el Hajj, anaandika Aisha Amran. Akizungumza kwa niaba ya Katibu ...

Read More »

Profesa Lipumba, 10 wakatwa CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemsimamisha uanachama aliyekuwa mwenyekiti wake wa taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kwa tuhuma za kuwa kinara wa vurugu zilizosababisha mkutano mkuu maalum wa chama hicho kuvunjika., anaandika ...

Read More »

Kiwanda cha mafuta matatani, wafanyakazi walia

UONGOZI wa kiwanda cha mafuta cha Tanzania Murzah Oil Mill unalalamikiwa kugoma kulipa mafao ya waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho baada ya kubinafsishwa kwake, jambo linalozidi kuchochea mgogoro baina ya ...

Read More »

Yanga kwazidi kufukuta, Akilimali atimuliwa

VIONGOZI wa Umoja wa Matawi wa Klabu ya Yanga umemsimamisha uanachama Ibrahim Akilimali, Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu hiyo katika kikao cha dharula kilichofanyika Jangwani asubuhi ya leo, ...

Read More »

Papa atembelea makahaba

PAPA Francis Kiongozi Mkuu wa kanisa Katoliki Duniani amekaa kwa zaidi ya saa moja na makahaba waishio nchini Italia ambao walisafirisha kutoka nchi mbalimbali duniani, anaandika Wolfram Mwalongo. Papa mwenye ...

Read More »

Siri MSETO kufungiwa zavuja

SERIKALI ya Rais John Magufuli imelifungia Gazeti la MSETO kwa miezi 36 (miaka 3) kwa madai, limeandika habari za uongo, anaandika Regina Mkonde. Hata hivyo, habari za ndani kutoka katika ...

Read More »

Waziri alidai Mseto fidia Bil. 1

EDWIN Ngonyani, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano amelitaka gazeti la Mseto kumuomba radhi pia kumlipa fidia ya Sh. 1 bilioni kwa madai ya kuandika habari za uongo dhidi ...

Read More »

Nape amtambulisha mrithi wa Mwambene

NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amemtambulisha Hassan Abbas, Mkurugenzi mpya wa Idara ya Habari Malelezo, anaandika Regina Mkonde. Uteuzi wa Abbas unafuatia uhamisho wa Assah Mwambene, aliyekuwa ...

Read More »

Waitara ampandia Rais Magufuli

MWITA Waitara, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam amesema, marufuku ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara nchini inatokana na kukosekana kwa fikra pevu miongoni mwa viongozi, ...

Read More »

Mtoto wa Obama aamua kuuza Mgahawa

Sasha Obama mtoto wa Barack Obama rais wa Marekani ameanza kazi ya uhudumu katika Mgahawa mmoja nchini Marekani, anaandika Wolfram Mwalongo. Sasha mwenye umri wa miaka 15 ameamua kuhudumia wateja ...

Read More »

Madiwani Kinondoni kuvaana ugawaji manispaa

KIKAO cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kimeketi muda huu kujadili ugawaji wa manispaa hiyo ili kupatikana kwa manispaa mpya ya Ubungo, anaandika Regina Mkonde. Boniface ...

Read More »

Rufaa ya serikali ndoa za utotoni yashangaza

WANAMTANDAO wa mashirika yanayopinga ndoa za utotoni, wameshtushwa na rufaa iliyotolewa na serikali ya kupinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania kesi iliyohusu ndoa za utotoni, anaandika Regina Mkonde. ...

Read More »

UKAWA wahamasishana kumsaka Lissu

VIONGOZI na wanachama wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wameombwa kujitokeza kwa wingi makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar es Salaam, kufuatilia hatma ya mbunge ...

Read More »

Prof. Muhongo: Tutawanyang’anya

  KAMPUNI na watu walio na maeneo ya uchimbaji madini ambao wameshindwa kuyafanyia kazi, watanyang’anywa na serikali, anaandika Regina Mkonde.  Baada ya kunyang’anywa maeneo hayo ya uchimbaji, watakabidhiwa wachimbaji watakaokuwa ...

Read More »

‘Asilimia 18 kodi benki inaumiza wananchi’

ASILIMIA 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) inayotozwa na serikali katika benki na taasisi za kifedha, unaathiri watumiaji wa huduma fedha hususani masikini, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo ...

Read More »

Mrema ajificha kwa Lowassa

HATUA ya Augustino Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha TLP kutajwa kama wakala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndani ya upinzani, inamkera, anaandika Regina Mkonde. Mrema ambaye hivi karibuni Rais John ...

Read More »

Kigamboni kujenga kituo cha polisi

WILAYA mpya ya Kigamboni imeanza mkakati wa kujenga vituo vya polisi ili kushughulikia wavuvi pamoja na wahamiaji haramu, anaandika Regina Mkonde. Hashim Mgandilwa, Mkuu wa Wilaya Kigamboni amesema kuwa alipata ...

Read More »

Polisi Dar wamuua jambazi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuua mtu anayesadikiwa kuwa jambazi, na kwatia nguvuni watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni vinara wa wizi wa magari, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza ...

Read More »

Watanzania wengi ni wavivu – Mavunde

ASILIMIA 71 ya watanzania wanatumia muda wao kufanya mambo yasiyo na tija ambayo hayasaidii katika ujenzi wa taifa na maendeleo yao kiujumla, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa na Anthony Mavunde, ...

Read More »

Mapya yaibuka hukumu ya Katumbi

HUKUMU ya kifungo cha miaka mitatu kwa Moise Katumbi Kiongozi wa Upinzani na rais wa klabu ya soka ya TP Mazembe ya nchini Kongo ilitolewa kwa shinikizo la Majasusi na ...

Read More »

Serikali yaahidi kuwalinda wafanyakazi

SERIKALI ya Tanzania imeahidi kupambana na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika maeneo ya kazi, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa na Alfred Mapunda, Kaimu Mkurugenzi wa Sera katika ...

Read More »

Clinton, tumaini jipya la wanawake

HILLARY Clinton, mke wa rais wa 42 wa taifa la Marekani Bill Clinton ameidhinishwa kuwa mgombea urais wa chama cha Democrat cha nchini humo huku akiweka rekodi ya kipekee, anaandika Pendo ...

Read More »

Basata lamfungia Nay wa Mitego

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Emamnuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, msanii wa muziki wa kizazi kipya, anaandika Regina Mkonde. Godfrey Mngereza, Katibu Mtendaji BASATA amesema, ...

Read More »

Usomaji MwanaHalisi, Mseto warahisishwa

MAGAZETI ya MwanaHALISI na Mseto yanayozalishwa na Kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), sasa yanaweza kusomwa popote kwa kutumia ‘application’ ya sim gazeti, anaandika Regina Mkonde. “Mteja anaweza kusoma ...

Read More »

Iyombe: Makazi kusajiliwa kisasa

  SERIKALI imepanga kutumia mfumo wa rejesta ya makazi kwa njia ya kielektroniki ili kupunguza gharama, kutopatikana kwa taarifa sahihi pamoja na kupeleka huduma stahiki kwa wananchi wote, anaandika Regina ...

Read More »

Dk. Shein ajitetea

DK. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi visiwani humo amejitetea kwamba ushindi wake ni halali, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya ...

Read More »

Serikali yatakiwa kuacha tafiti tegemezi

SERIKALI imetakiwa kuachana na mfumo tegemezi katika tafiti za kisayansi ili iweze kuwa na nguvu ya kupendekeza vipaumbele vyake vitakavyosaidia jamii kutokana na tafiti hizo, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo ...

Read More »

Magufuli: Nakuja, CCM mjiandae

RAIS wa awamu ya tano wa Tanzania ambaye pia ni mwenyekiti mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa kwa mabadiliko makubwa, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza ...

Read More »

MaDC watakiwa kufanya kazi za CCM

Jakaya Kikwete

Serikali imetakiwa kutoa semina kwa wakuu wa Wilaya wapya hapa nchini ili waweze kuelewa majukumu yao ikiwemo kukijenga na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo yao ya utawala, anaandika ...

Read More »

JK ataka mikutano ya hadhara

JAKAYA Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyemaliza muda wake, amewataka viongozi wa chama hicho kufanya mikutano ya hadhara kote nchini ili ...

Read More »

Wadaiwa Bodi ya Mikopo kutajwa majina hadharani

SERIKALI imepanga kutangaza kwa umma majina ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ambao hawajaanza kurejesha fedha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), anaandika Regina ...

Read More »

Aibu tupu Serikali ya Rais Magufuli

NI aibu katika utawala wa Rais John Magufuli tangu aingie madarakani kwa kuwa, hali ya ukandamizaji inaelezwa kukithiri, anaandika Regina Mkonde. Serikali ya Rais Magufuli imeelezwa kukithiri kwa ukiukwaji wa ...

Read More »

Msongola, Chanika kinara migogoro ya ardhi

MSONGOLA, Chanika katika Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam yanaongoza kwa kuwa na migogoro ya ardhi, anaandika Regina Mkonde. Migogoro hio imesababishwa na baadhi ya wenyeviti wa vijiji na serikali ...

Read More »

Lukuvi ateua mchunguzi migogoro ya ardhi 

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amemteua Jacob Mwambegele, Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Biashara kuwa mchunguzi wa mgogoro sugu wa ardhi katika ...

Read More »

CBE chashika usukani shindano vyuo vikuu

CHUO cha Biashara (CBE) jijini Dar es Salaam kwa wiki hii ndicho kinachoongoza kwenye Shidano la Uwekezaji kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, anaandika Regina Mkonde. Shindano hilo linadhaminiwa na Soko la ...

Read More »

‘Tanga sasa shwari’

WAKAZI wa Tanga wametakiwa kuendelea na shughuli zao kama kawaida kwa maelezo kuwa, ‘Tanga sasa ipo shwari, anaandika Regina Mkonde. Martine Shigela, Mkuu wa Mkoa wa Tanga ametoa kauli hiyo wakati ...

Read More »

Tukubaliane, hatuna wimbo wa taifa

KUMEKUWAPO na mjadala kwamba Watanzania hatuna wimbo wa taifa. Mjadala huu upo ndani na nje ya nchi yetu. Unashirikisha Watanzania na wasio Watanzania, anaandika Ansbert Ngurumo. Kuhusu suala hili, nakumbuka ...

Read More »

Dk. Possi: Riba nafuu zitasaidiwa wasiojiweza

TAASISI za kifedha nchini zimetakiwa kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa watu waishio maeneo ya vijijini hususan makundi ya watu wasiojiweza ikiwemo walemavu wa viungo ili waondokane na hali ya ...

Read More »

TRA yakabidhi EFDs 130 kwa Makatibu Wakuu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewapa Makatibu Wakuu 25 wa wizara mashine za kielektroniki (EFDs) 130 kwa ajili ya taasisi na mamlaka zenye wajibu wa kukusanya mapato ya serikali, anaandika ...

Read More »

Kufungiwa Dk. Mwaka, mapya yaibuka

HATUA iliyochukuliwa ya kufungia kituo cha tiba asili cha tabibu Dk. Juma Mwaka ‘Foreplan’ pamoja na vituo vingine viwili, kumesukumwa na maslahi binafsi, anaandika Regina Mkonde. Baraza la Tiba Asili na ...

Read More »

Magazeti, Majarida 473 yafutwa

NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amefuta viapo vya usajili wa magazeti na majarida 473 kutokana na kutofuata sheria za magazeti, huku akitoa onyo kwa waliosajili masafa ...

Read More »
error: Content is protected !!